Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
MAMA DANGOTE AMVAA SHILOLE/DIAMOND HAKUPENDA AMEMKOSEA/YULE DADA TUNAMJUA ALITAKA KUTOA MILIONI 20
Вставка
- Опубліковано 16 бер 2021
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Kakurupuka shishi Kwa Sisi Wazanzibar shabiki zake dai tunasema sio heshma. ,, Alafu dunia imechenji anco kaongea point na sio kila shabiki mkamuona ndie kwapengine wengine wanatumwa Kwa namna moja au nyengine . Mungu amlinde Mondi pamoja na familia yake 😘😘😘
Mmh
Kweli kabisa ulichoongea hata huyo dai mwenyewe hakufurahikia anaonesha wazi maskin
Maman Mond asanti sana kuwa hangi na mutoto wako sana.mimi niko maman.mashabiki ya hivi inaogopesha.asante sana Oncle chamute
Huyo mm unae mshabikia anakata kiuno jukwaani na amemkna mme wake daaaah hii ni hatariii 😓😓😓
Mrs Shamte mko vizuri kwa biashara ❤️♥️♥️
I like the creativity in Refresh now
Yani mama uyu mm nampendagasana ju anajielewa Sana l loveyou mamadangote 😘😘😘😘😘
Kazid sana yy na baba level hawana mipaka
Nikweli kakoseya sana shishi
Ni kweli kabisa kitu kibaya alicho fanya shilole usirudie dada fikiria kwanza kabla hujafanya au uliza ushauri kwa familia maana unaijuwa vizuri unaongea nao
Huyomm mbona anasauti nzuri utafikili dume jike utashangaa kupiga picha hushangai weye kumtambulisha bb mwengine au nitabia alizozoe zakinafiki
Alikurupuka sana
Kwakweli nimependa Mama kama Mama amefanya anatakiwa awe makini kwa mtoto wake hongera mzazi mwenzangu
Sana maana wanawake wengine si wazuri hasa huyu wa kusukumiwa bila tarifa
Mama anamajibu huyu 😝😝staring 🔥🔥
Nakupenda sana mama Dangote, SHILOLE Umezidi Shobo Kiukweli Kha!🙌🙌🙌
Zawandi kwa wasafi 🔥🔥🔥🔥
Kweli alikosea sas mbele za watu ivyo mbon asipige simu
Huyu mama nasibu mjinga Sana Wala hafkirii kwnza adabu yenyewe Hana uzee uwo bado kutembea na watoto mambo mengne yakupite kizee wewe utafute msala uswali waachie watoto mambo yao shilole kweli anakosea lakin na wewe mama ni mtu mzm uwache uhayawni na uzeek vbay
Shilole alikosea Sana hakuonyesha heshima kwa diamond platnamz
Mama dangote leoo umenifuraisha sana waooo
Kweli hata ukitazama macho ya babu tale na nasib wametazamana macho kuwa hawakufurahiya
Apo umezungumza ukwel big
Umeonaaa eeeh🙏🙏
Alikuwa amtaarifu mapema na sio kumshtukiza mana amewasimamisha khafla
Tale mnafkimimi ningekua shsh ningestuka
Huyu mtangazaji anaakili sana ya kuhoji yaan mama dangote kiulaini 😅
Hahaha akumuungisha biashara
Kwahiyo uncle shamte ameongea kama Mzee Nyange... Hajapenda.. 😂😂
Skuiz ma baba wakambo wakali wanachunga watoto ili wapendwe
🤣🤣🤣🤣Msi nichekeshe
@@kalelekalele6444 tuta banana humu humu
@@mahamedabdi1881 umeona
Una nn lakin 😂😂😂😂😂
Eti shilole kashakula dola zakeeee....dola hizo xitakutokea puani 🤣🤣🤣🤣🤣
Ila mama leo nimekuelewa kumbe mtaratibu ivo na unavoonesha huna tabu nimekupenda bure
Sana ♥️♥️
Mm hunipendi?
Umeonaeee
Mama dangote kumbe mremboo
@@lucyhussein7126 sana
Good job 👍👌👍 mammy Dangote
Shilole muongo mno🤣🤣
🔥🔥🔥🔥
Wahandishi wa wasafi media ni wambea sana kuliko kazi zenu
Shishi nakpenda sana lkn umekosea d mwenyewe hakupenda iyo kitu mama yuko sahihi bhana wengne wanatumwa dunia ya sasa imebadilika wanadamu wanaroho chafu roho za kikatili ucludie tena muombe msamaha mama.
Mama yuko sahihi 100%, Shilole hajui protocol
Diamond you need to get away from these so called females bringing you down or to Allah forbidden a killer to you please we value you too much my son these women are disperate IN SHAA ALLAH KHER
@@aishaomar1845, he must be very careful or else women will bring him down like the biblical Samson
@@nahyialetomia9284 l know just coz he is nice but now he is bigger and bigger he has to we don't want him to end up like MJ 🤣😅🤣🤣😅
Mama upo sawaa na unafanya kile mama ambacho anatakiwa kufanya kwa mwanae
Love you mama Dangote uko sawa
Mama ka mama yuko 👌sahihi.shishi nampenda lkn nae kazidi kujichetua khaa.uko really sawa lkn kuwa mtulivu.unapayuka sana.unajishushia hadh yko.uswahil umekuzid.punguza
Mama D ako sawa kumwangalia mwanae,coz vijana sometime wakipakuliwa hao hula tu bila kujali then at the end of it duh...... 🇰🇪
Shishi umekosea sana kwa kweli Sasa weye njo unamletea wanawake ama
Shilole ttz shobo nyingi
Shilole ngwaaaaa
Hatari Sana jamani
Shilole n shidaaa
Ni kweli shilole alivyofanya sio vizuri
Mama dangote rudi kwa mungu wko utubu sai umekuwa Mtu mzima
Dah...nimecheka...sn
Due itakuwa unajuana sana na mama dangote... 😁😁
Kwahiyo Shishi amepewa dolla😂😂😂
We aliyah ume kaaje
Unajua mie pia nimetaka kuuliza mkao gani huo huomkao ni wakimalaya malaya yoyote mtazame ukaaji atakuna nywele atatafuna kucha hizo nidalili mbovu
@@salmadhiab2693 🤣🤣🤣
@@salmadhiab2693 😂😂😂
Malaya huwo
@@salmadhiab2693 malaya
Ooooookkkkkkkk apoo nimeelewa yani roho inawauma shishi atakuwa ame kula elaaaa
wewe huelewi na hutaelewa
@@mathewdyzymaleyafrica9128 ukielewa ww inatoshs maana aituusu nahuyo nimama shishi nimwanae alishindwa kumpigia sm adi aje kwenye mitandao
Shilole anajitoa fahamu sana
Sanaaaaaa
Huyu mama hovyoo tuh
That was so primitive, i didnt like it either. Thats bad manners. Shilole hapo alikosa adabu. Watching from Texas.
I'm supporting mama i can read the girl is bad you can tell mtizame alivyoshutuka at one point when she was getting her phone ready
Mtangazaji mbeya😀😀😀
Umeona ehh adi bi.mkubwa anacheka kaingia milango sio
👏👏👏
Good
Uyo mdada nimuongo eti hajui Kiswahili alafu amejibi nini apo eti no kiswahili nikusema ameskia yenye Babu tale ameuliza
Shilole amekosea kwa kwel haikuwa sehem sahih ya kumpeleka uyo shabik pale..
Kabisa kaharibu biashara Sasa mboso baada atrend anatrend diamond
Dah sema me nakupenda bi sandra
nimepongeza mama umejua kutunyoshea mtu😀😀
Sema huyu jamaa anajua sana kuhoji daaaaah
Vimeumana 😂😂😂😂😂
❤️❤️❤️
Wa tanzania mnapenda umbea khaa 1k in 58 minutes 🤣😂😂🤣🤣😂😂mmenishinda tabiya
😂😂😂😂 yaan
Kweli 🤣🤣🤣
ni tabia siyo tabiya😂
BABA WAKAMBO NAE MKALI ULIKO BABA MZAZI
Mtangazaji unajua sanaa
Shilole mshamba tuu
Uncle ety press ya usingle😅😅😅
Asante uncle umeeleweka
Nimecheka leo 🤣🤣🤣🤣🤣
Mama unsauti nzitoo 😀😀🙌🙌
Ok
One day is one day, we understand shilole what she done,but where is Kanumba today!!!!!
So ame coseya plz for give her
Namu mpenda maman diamond
Na huyo uncle shamte hapo ndo anauza vitambaa vya esma mke wa msizwa😅😅😅😅🏋️🏋️🤐
Wakwanza mnipe likes zangu
Ilo nalo neno
acha ushoga
Shishi nae alipuyanga
hili mama dangote roho mby mno
Uyo mama dangot nayeye nishida jekweri nanywere zake
Baby tale's facial expression tells it's all.they were abit embarrassed..
Exactly
Apo nimeelewa mama dangote anamlinda mwanae diamond Mana diamond anamaadui wengi huwez kumuamin mtu kirahisi hujui anania gani kwer wapo makin na wanajitambua saana hii familia sio yamchezomchezo ndomana Babu tale alimshusha na kumpandisha huyu dada,,inaonekana hata chakula mond hali ovyoovyo Safi hakurupuki
Kabisa
Uncle kaa mbali na mambo haya
mwache time yake yaja tena atatamani hangeingia kwa hii Familia..
Shilole amekosea. Kakurupuka. Mungu mlinde Daimond Plantum 🙏
sema mama dangote mpole kumbe
Haa mabig
Mimi mwenyewe sijapenda shilole ameudhi Sana mjinga Sana
Hello
Ni kweli kabisa kakosea Shilole
🤣🤣🤣dimond mwari analindwaaaa hahahaaaaaaaa watandale sanaaaaa ovyoooooo na wewe anko kale damu yako acha kutumika kwa bikizeee
I personal think mama Dangote was very right,
ila shishi ni mjuwaji sana ana penda sifa
Uyo mtangazaji wa kike ndio roho kwatuuuuuu maana kaona angeibiwa bwana 😂
Tabia mbaya 😃😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🙆♂️
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
I believe she's milking Mr behind the scene. She looks happier and angry
Nimechekaa Sana macho kuvimba wana furahisha snaaa..hawaa udaku
Jaman uyu kaka anaehoji mbona kama kimbembe wa kwenye saloon ya mama kimbo
Kweri auncle shamnte
😂😂😂😂😂😂 ilo li dada nalo n limalayaaa
Izo sikafu mama hata kukunja vizuri daaaa
Mama Diamond anaongea vizuri loo
Jamaniiiii tunaombolezaaaaa
Hii
Pia me natokea palis natk kupinga picha n diamond 😂😂😂🤣🤣🤣someone take me t shishi
Uyo Mama Anazinguwa Muda Mwingine
Shilole tatizo anaongea sana.labda hata hakuna nia mbaya na hakujua kama walishaenda dukan.sasa the way alivoenda.mazingira sio sahihi..lakin mama nae angempigia sim...wasameheane tu.
Uncle shamte kwa kuchunga nimekukubali, huchezi mbali
Msitete bimkubwa anafel mashabik wangap wanakumbatia kama wangekuwa wanamzuru wange mzr mama analala na mtoto wake wivu tu
Ehhh...Ndicho alichofanya Shishi!!!!Kweli alichemsha.Aliwezajewezaje kumwanza mtoto watu jamani!!!
Yaaan huyu mm simuelw kummak zakeee ....Laana tuuu hawaaaa
Ww mama mondi chiz sana akitaka apelekwe yeye kwauyo mondi