TUNDU LISSU ALIVYOFIKA NA GARI ALIYOPIGWA NAYO RISASI KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR Місяць тому +1

    Waliohusika ....wameenda wao dah acheni mungu aitwe mungu

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 Місяць тому +2

    Mwananchi wakawaida akitembea na gar lanamna huyo ataambiwa gar lako bovu

  • @kingmseti9205
    @kingmseti9205 Місяць тому +2

    Hata sasa Mungu amesimama

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 Місяць тому

    Lisu hilo gari lipeleke katika mashirika ya dini likafanye kazi ya utume. Alama ulizonazo pajani zinatosha kuwa kumbukizi kwako mm sioni kama kunahaja yakukaa ukiona alama hizo za lisasi kwa gari yako. kingine kunawatu huumizwa sana na gari hilo pindi wakiziona hzo tundu za risasi nikuumbe tu AYO ongea na mshua hilo gari likatumike kumtumikia mungu maana daah siyo poa ety ni Mungu tu

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq Місяць тому +1

    Subuhallah alla mnyaturu ana shida jamani duuuu

  • @MaguguStore
    @MaguguStore Місяць тому +1

    Huuuuh ni ushamba sana

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o Місяць тому

    Rudi CCM uwe rais huko hakuna mafanikio

  • @safarimasika3944
    @safarimasika3944 Місяць тому +1

    Ulisema gari ikae makumbusho! Hapo ndio makumbusho?

  • @MaguguStore
    @MaguguStore Місяць тому

    Ndio unataka tukuchaguwe kuwa Rais no thank ...u