Raahana nyiy izirael ipo siku Damu za maraika watoto kwa wakubwa wasiyokuwa na khatiya mnawauwa kama mnauwa wanyama kumbe binadamu wenzetu hata wanayama ukichinja unaomba Dua kwanza mungu atawaona inauma sana qatito wanavyoteseka yatima kama wote walemavu kibao waliyokufa kibao Tunamuachiya Mungu afanye KAZI yake
Auliwe tuu msakeni pumbavu zake.
Raahana nyiy izirael ipo siku Damu za maraika watoto kwa wakubwa wasiyokuwa na khatiya mnawauwa kama mnauwa wanyama kumbe binadamu wenzetu hata wanayama ukichinja unaomba Dua kwanza mungu atawaona inauma sana qatito wanavyoteseka yatima kama wote walemavu kibao waliyokufa kibao Tunamuachiya Mungu afanye KAZI yake
yaani uongo tu, kila siku
MNALALA SANA KINOMA.HIZI HABARI NIZATOKA MAJUZI
Yes...
Hamuwez mtakwisha wote
BORA TU AFE HUYU NI LAANA KWA DUNIA NI SAWA NA SARATANI KATIKA JAMII.
Hakuna chochote hionimipango yakupanga tu hakunajipya usiamini sana habari zao hawa wa isiraeli ni wafiki tu
Sio kweli ni gadi ya kisiasa tuu ajiwekea huyo pimbi
Haswaa
Sympathy baada ya mauaji
Ni mpumbavu asiye na hakili.
Gwido twende na wakati hii habari tushaisikua ina inakaribia wiki sasa
Hawna uwezo wowote islael anaingia na kuua iran wao wanafanya nini wamepanga kumuua Netanyahu wamegonga mwamba ila mosadi wakiamua kumuua hayatora wanamuondoa.
😂😂😂 Pasta Mavi
Manyumbu Wanahangaika tu
Huyo atakuwa ni jamaa ya Yuda Isikariyote. Lakini Mungu atawatetea Taifa lake Israeli.
Thank You Father God for protecting Your son.
Atajuta huyo aijui mosad😂
Yan hawa mafala wanataka kujikuta wanaakili sana hawana lolote yan wamelichukia shoga mwenzao alafu wakamkamata wanataka kuganya watu wajinga hao🧐🧐
Hilo gawio dogo sana kumuua mtu kama huyo
Iva iran
Kwann hajafa huyu mbwa
Ipo siku litakufa tena kifo kibaya shetani hili zee
Usiye mpenda kaja kufa hafi
Ni jambo la muda kifo kiko nyuma yake Netanyahu maana kila nafsi itaonja mauti
Bola linge kufa tu
Niuwongo huyo mtuhumiwa hata wasiwasi Hana anacheka muongooo
Mmmh kazi ipo bwana huyo anatakiwa atolewe tu kafara hana jipya anateketeza raia wengi mno
Viva 🇮🇷 iran
Ilo sio kweli ni propaganda za kizayuni.
Ummmm Mwenyewe anacheka tu
😂Amidhalau
Ukipigana na mtu muoga akikuotea atapiga hadi watoto wako,mifugo yako na kila kinachokuhusu atahakikisha anateketeza,huyo ndio Israel mzayuni.
Ndio utaratibu wao toka zama hizo
Israili hatoki ataenda tuu kama tadinu tudani
Netanyahu ni muongo namba moja ulimwenguni
Viva hezbu llah