Kama Mahakama na polisi wamekataa dhamana ya pesa zote hizo Sasa yeye atafanya Nini hata kama ni Rafiki wa karibu kwa hiyo ndiyo maisha yasiendelee? Ila watu jamani Kwa Sasa hawaoni mabaya ya P. Diddy wanaangalia rafiki yake anafanya nini wanataka alale tu ndani kuongeza biashara haimanishi anakula Bata au kufurahia Rafiki yake kupata shida watu waache kujudge wenzao vibaya
Jay z sio kichaa yeye mwenyewe ni m'black america hao wakiamua kumchangia na kumuundia zengwe chap tu anafilisiwa kila mtu ale urefu wa kamba yake toa kwanza kitu kwenye jicho lako ndo umtoe mwenzio jay na didy wanajuana tangu miaka ya 90s anajua maisha ya didy a-z wamwache jay anajua ukimya wake niwaa nn
Rafiki wa kwriiii ni mungu....Mungu ndo Kila ki2 napita znguu😅😅😅😅😅🎉
Ni kweli jay z rafiki ake snaaa puff daddy ila maisha haya kila mtu na lake
Rafiki wa kweli ni njaa
Jayz fala sana
Hapa kwetu machawa wangemtetea na asigeenda jela kamwe
Ushirikiano saa anakimbia na kitaulo Jay z alikuwepo acha apambane na kombe lake
Jay z sio rafiki wa kweli uyo alikaa kimy kwa r.kelly sembuse uyo ao wote ma freemason
😂😂sio fremason wao ni illuminati 😂
Kama Mahakama na polisi wamekataa dhamana ya pesa zote hizo Sasa yeye atafanya Nini hata kama ni Rafiki wa karibu kwa hiyo ndiyo maisha yasiendelee? Ila watu jamani Kwa Sasa hawaoni mabaya ya P. Diddy wanaangalia rafiki yake anafanya nini wanataka alale tu ndani kuongeza biashara haimanishi anakula Bata au kufurahia Rafiki yake kupata shida watu waache kujudge wenzao vibaya
Maisha hayana urafik na mtu
Ulafiki wa kishetani haudumu
jiandae kwanza ndo uje utoe taarifa kwa umma lasivyo utaishushia hadhi tv yenu ya bongo 5
😂😂aanabahatisha tu kutanga hajui mifiii tu
Amaya taka yeye
Jay z sio kichaa yeye mwenyewe ni m'black america hao wakiamua kumchangia na kumuundia zengwe chap tu anafilisiwa kila mtu ale urefu wa kamba yake toa kwanza kitu kwenye jicho lako ndo umtoe mwenzio jay na didy wanajuana tangu miaka ya 90s anajua maisha ya didy a-z wamwache jay anajua ukimya wake niwaa nn
@@FxL_47 Acha ushamba utashikwa bila kosa. Acha kukariri Maisha mnuka pumbu ww
@@Gwen5845 SAWA MKISII WA KITUI
Did mjinga achawafe