GREEN CARD LOTTERY NI NINI? UNAOMBAJE? UNAPATAJE?
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- #visa #lottery #greencard #usa #marekani #dvlottery
Green Card Lottery ni nini? Kwanini wewe uombe? Unaweza kufaidikaje kama ukiwa mshindi?
Jifunze kujua kiundani kuhusu masharti ya uombaji.
Website ya kuomba ni www.dvprogram.state.gov na huwezi kuomba sasahivi hadi ifike mwezi October
Am from Kenya. Have been following your channel na kusema kweli this channel yafaa kua na subscribers Zaidi ya laki Hadi millioni... very educative shukran
Good information bother ila nimeangalia watanzania wengi hawana ndoto za kufika marekani na wanaofika marekani au ulaya wanaona bora waishi Tanzania, Tanzania inatengeneza mamilionare na mabilionare wapya fursa nyingi ziko Africa, kila siku miji imejengeka iko siku mtafika Tanzania mtapasahau, jitahidini kurudi na kuwekeza nyumbani
You are a such a braveman
Asante sana Mr Makulilo kwa encouragement unatupa kila siku God akupe unacho kitaka in ur life
Ahsante kwa info Kaka always 🙏🏿
Mr EBM mm sina elimu ya juu naweza jaza primary school
Thanks EBM
Shukran san broo kila la here nimekufatilia uliwahi kueleza in English vzr kbx lkn hii umekuwa fupi Kama umepunguza vitu hiv au Kuna muendelezo wake
dudh ilo taifa mungu alilende lipo tofauti na nilivyokuwa nafkir
Asante Sanaa kaka kwa kutupaaaa elimu
Aiseh ndo nmeelewa vizuri hii kitu,shukrani
Ahsante Sana kwakunielimisha
Nakufata mzee EBM
Thanks for info bro
Naomba kuuliza, je! Ukiwa na mke zaidi YA mmoja utaruhusiwa kuondoka nao wote?
Asante sana kwa ushauri mzuri
Uncle naomba ujibu sms yangu watsap sababu leo mbona nimeenda wanataka tutoe elfu 20 ya kupiga picha na wewe unasema ukishinda ndo una toa pesa inakuaje apo
samahn mwalimu sjaelewa mkiomba watu elfu Tano anatakiwa kushinda mtu mmoja au
Kwakweli nmekuelewa sana kaka
Toa darasa zaidi hii kitu
Kindly am asking I wish to apply for dv2024 will I have to wait until October 1st 2022 to do my application?
Nimefatilia video zako sana ww unatuelimisha vya kutosha 2023 Nitaitaji msahada wako namba ya kushiriki kucheza
Kaka EBM naomba u post link ya website ya kuomba kwasababu ulisearch zinaleta link nyingi tafadhali
link hiyo ndugu
@@hamsikrasheedi1796 nipe Link
@@hamsikrasheedi1796 nisaidie hiyo link
@@hamsikrasheedi1796 naomba link plz
Nitumieni Link jamani nijiunge
Kwa Sisi wa kongomani tunafanyaje kwa kupata iyo GREEN CARD LOTTERY ( Bahati kasibu)?
Ubarikiwe nimekupata kaka
Mungu akuweke 🙏
Hi
Lazima nicheze
Asante kaka
Thank you
Asante sana
First 🙌🏿🤗💜
Ukiwa marekan...unaweza cheza hii pia..?
😍😍😍
Sisi wengine hiyo Green card wala hatuijui wala hatuna njozi ya kuja America
I'm from Rwanda, please i need your support. I just want to apply so that I can win this huge lottery.
Asante sn. Kwa nchi nyingine kama uingereza kuna utaratibu gani kwa vibali kama hivyo?
Kwanza hujui kutumia lugha nzuri arafu kwa nini uongee kama unafoka?? eti sio unaenda ubalozini na litumbo lako ndio nini?? tumia lugha za staha bwana mdogo
wewe hujaona mazuri yote aliyoongea ila umesikia hilo tuuu?
Hakika nimekuelewa sana nimimi nitakuwa nimmoja wapo wakUomba grini codi
Namba yako kaka
Naeza apply hii week ama nigojee hio October
Sawaaa it is oky❤❤❤❤
Nice bro
Kaka naitaji Sana kushiriki DV lottery mwaka huu 2023 plz naitaji Sana
Eleza taratibu za kupata green card au kuomba mbn maelezo unayo meng mzee
sas kwasisi tulokuw nje yanchi nahatujuw kuomba jeunatusaidiaje
I lost my comfimation number. How can I track it
I will apply ASAP
Naomba unisaidie email yako nijaribu kukuuliza swali please
Ahsant but vp kuhusu Zanzibar huna branch Yako au anaefanya green card
Utatusaidiaje huku
Kuhusu umri kuna kikomo cha umri kwa muombaji au ipoje
Asante sana umetufungua mawazo
Kuosha mbwa😂 2:09
dar bro nakufatilia sana unanimovivate sana
Bro Naomba Masada wako
Na litumbo lako ndio lugha gani???? umeshindwa kutumia lugha ya staha!!!! Shame on you
Uje tena mwaka huu
Wabongo hawanamuda huo
Hiyo visa inalipiwa shingapi ubalozini
Habari bro nikitaka kuomba green card lazima niwe na passport?
Ndio
sio lazima sharti la passport limeondolewa
kaka
Hiyo inalipiwa shingapi ubarozini
Kuosha mbwa😂
Unachezaje naomba maeelekezo jamani
Lini unakujatena tanzania
nakufatilia kaka
Nitumie link, nijiunge!!!
Wanakilipia naul
nakuomba unisaidie ki2 kimuja kak
Kaka unapatika wapi hapa Dar es salaam? ili nifike unielekeze vizuri
Yupo marekaní huyu
Website haikubali
Fb unatumia nani
Muwe mnatoa na elimu ya watu kujituma sio kwenda marekani kwenda marekani Green kadi yellow kadi kliniki kadi zote hazina maan kama hujitumi hapo ulipo
Nice
Nahitaj kupata namba yako ya whatsap ndugu
Sasa nakutumiajee pichaa
Tusaidie tunakutumiaje picha?
Unaenxa niwai number yako plse
Kaka Makulilo naomba email yako au whtsap no yko nina mambo nahitaji kujua kutoka kwako