Steve upo vzur,una hekima na moyo mkubwa sana ila wanakupinga bure tu sbb ya wivu na chuki...hakuna hasiyekula hata kidogo pale anapochangisha...ulipaswa kuwa Rais wao sbb huwa ni muhamasishaji na unajitoa no.1...ubarikiwe
Inalilah wainalilah rajiuna hivi nyie waandishi mbona mnakosaga Cha kuandika?kwanini mpaka useme etii diamond kumbe Steve hakumutaja diamond nyie kunavitu havijakaa sawa kwenu sio ushabiki umewazidi huu ndio ukweli wasanii wengi hawakufika kwanini useme diamond tu??
Stivu manyerere hamasisha mkiugua wasanii mjazane na mtoe michango kuokoa maisha ya msanii mwenzenu na si kufika kwa wingi akifariki wakati akiumwa hamjampatia hata chapa ya kichwa cha sungura mpambanieni akiwa mgonjwa mahututi apone na si sifa misibani
Yote na yote,tutengeneze na mungu anayejua kuishi kwetu na kuondoka kwetu kwanza,pia tusiache kutenda mema kwa wanadam pale tunapokua na uwezi wa kuyatenda maana tunayowatendea watu duniani ndio mungu anayoyaangalia na ujira wetu kwake uko hapo, Poleni,familia,pole kwa Taifana pole kwa wote walioguswa na msiba wa Grace mapunda mungu ndie mtoa faraja ya nguvu,akawape faraja yake😢
Kama sipo Tanzania na msiba umetokea .kila mtu atakufa usiseme hivyo.smba asifanye kazi zake za nje ya nchi akae anasubili mtu afe akazike.kama yupo atakuja kama ayupo .jopo lake lipo watakuja.
Hivi mnajisifia kuwa nawingi wawatu wanao wazika na kuwaaga jee ? Mlisha tengenezi wingi wawatu watakao wapokea baada ya kuzikwa au mna amini kula laha duniani halafu tukifa yameisha minaamini kunamaisha mengine baada ya haya yunayo takiwa kuyapigania asantee
Kweli kabisa stive hongera
Umeongea kitu cha khekima.sana.tujifunze.kitu.hapo.kwa stivi..kweli kabisa . Utu. Ndio..kitu. pesa sio kitu ijenge.kesho.yako😢😢😢
Mimi niko congo🇨🇩 inaniuma sana angalao tungeli onatu hat mwili wa tesa jmn Yani tuna sikitika sana apa Congo🇨🇩 mungu ampokeye kwa salama mama tesa😭😭😭
Umeongea point sana stive
Sio lazima awepo diamond ila tu ajue hii ni safar ya kila mtu
Sure! Truth be told
Steve upo vzur,una hekima na moyo mkubwa sana ila wanakupinga bure tu sbb ya wivu na chuki...hakuna hasiyekula hata kidogo pale anapochangisha...ulipaswa kuwa Rais wao sbb huwa ni muhamasishaji na unajitoa no.1...ubarikiwe
Hakika kk tesa mama wa kucheka Cheka tu mashaallah kweli tesa😭😭😭😭
Umeongea sahihi kabsaa kiongozi
Uwa ana Busara Tivu wake kweli tuache majivuno
Nyerere naye domo sana
Polen jaman safali ni moj mungu akamueke mahal pem pepon amin
Kweli..kaka❤
Kweli kka ❤
Ila kweli❤ pumzika salama gress
Umeongea kweli kabisa
Kweli
Hadi Leo Steve ni kijana😂😂😂 watangazaji bana
Poleni
❤❤❤❤❤❤❤😅🎉😂😊
Kweli nyerere❤❤❤👆👆
Inalilah wainalilah rajiuna hivi nyie waandishi mbona mnakosaga Cha kuandika?kwanini mpaka useme etii diamond kumbe Steve hakumutaja diamond nyie kunavitu havijakaa sawa kwenu sio ushabiki umewazidi huu ndio ukweli wasanii wengi hawakufika kwanini useme diamond tu??
Kweli kabisa
Umeongelea point kbsaaa
Freemason huwa wanamashariti huyo D ni free hawazi kuja navyy ataondoka stev saa ingine nakkbali sana
Umeongea ukweli kabisa
Kweli maneno yako
Upo sahii
Mpk Oman ipo tuna waona
Wamakonde Hatutaki ukubwa tuko kwenye misiba sana wamakonde oyeee Dada yetu (GRACE) kapumzishwa kwa hamani🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Huyu kwanza haitwi stive Nyerere.
Nimeumia sana nilimpenda sana tesa
Stivu manyerere hamasisha mkiugua wasanii mjazane na mtoe michango kuokoa maisha ya msanii mwenzenu na si kufika kwa wingi akifariki wakati akiumwa hamjampatia hata chapa ya kichwa cha sungura mpambanieni akiwa mgonjwa mahututi apone na si sifa misibani
Mungu amuweke kunako stahiki
is.true😢
Ndio anko waambie hawatazikwa na pesa zao mtu anaenda na amali yake
Yote na yote,tutengeneze na mungu anayejua kuishi kwetu na kuondoka kwetu kwanza,pia tusiache kutenda mema kwa wanadam pale tunapokua na uwezi wa kuyatenda maana tunayowatendea watu duniani ndio mungu anayoyaangalia na ujira wetu kwake uko hapo,
Poleni,familia,pole kwa Taifana pole kwa wote walioguswa na msiba wa Grace mapunda mungu ndie mtoa faraja ya nguvu,akawape faraja yake😢
Wanajua.watazkwa.tuu.kwasababuu.wanajiona.wao.ni.wasanii.na.nimatajiri
Kweli kaka 🎉🎉🎉 uja kosea mama mcheshi
Burundi tunawakubali sana
📌📌📌📌
Stiv umeongea Kaka. Msahafu una cema kwa wenye akili ya kutafakar
Kama sipo Tanzania na msiba umetokea .kila mtu atakufa usiseme hivyo.smba asifanye kazi zake za nje ya nchi akae anasubili mtu afe akazike.kama yupo atakuja kama ayupo .jopo lake lipo watakuja.
Kaka msema kweli ha pendi ila umesema kweli daimond huzulia misiba hakuna atae kaa milele sote tuna pika
Acha majungu wewe zika diamond Yuko nje kikazi wewe kama haunakazi tangulia yeye atakuja kutoapole nasiolazima kuendawote msibani familiayake imefika acha mdomowewr
Wewe koma muache aongeye chizi Nini uyo diamond Kaz gan mupuhuzi wewe😂😂😂
Anasema ukweri
Umekosea kaka iyo kiimani ninyumba yakudumu nasio yamilele
Kwa hiyo milele inaweza kukatishwa au. Milele ni milele haina mwisho. Sawa na kudumuuu
Kabisa mjomba umeongea pwenti
WaTz hutusaidiani wakati tunaumwa ila tunajali sana misiba. 😢
Mpaka leo hamjitambui? Kweli hamjitabui maana hiyo mafiramu yenu yalivyo ovyo.
We nd uko ovyo
Kweli kbs bab wako na mkatab hawat kuf
Kweli kabiisa kaka yangu sitivu yeyele
Kwel kabisa yan wabadilike wabadilike
Kwani lazima waje? Mbona wasanii wa mpira wa miguu wa ngumi wa netball amuwalalamikii?
Apo umemlenga diamond
Hivi mnajisifia kuwa nawingi wawatu wanao wazika na kuwaaga jee ? Mlisha tengenezi wingi wawatu watakao wapokea baada ya kuzikwa au mna amini kula laha duniani halafu tukifa yameisha minaamini kunamaisha mengine baada ya haya yunayo takiwa kuyapigania asantee
Point ya kuzingatia zaidi hii petro.usiamini binadamu kbs.
Nikweli kabisa kibri tuache uko sahihi mungu atupe mwisho mwema
Tivu wake
We acha kelele wap pole wafiw 2
Acha wivu
Haunajipya kazikupiga kelele
Chawa mkubwa wewe
Nenda kamsujudie samia
Msenge nn ww
Acha kelele Kuma ww
Fromkenya poleni sana
𝑊𝑎𝑎𝑚𝑏𝑖𝑒 𝑢𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑤𝑎𝑚𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑏𝑟𝑜𝑜
𝑅.𝑖.𝑝 𝑚𝑖𝑠𝑠 𝑔𝑟𝑎𝑐𝑒 𝑚𝑎𝑝𝑢𝑚𝑛𝑑𝑎 𝑤𝑖𝑙𝑙 𝑚𝑖𝑠𝑠 𝑦𝑜𝑢 𝑖𝑛 𝑘𝑒𝑛𝑦𝑎❤
Kweli