CHAMA HAWEZI KUISHI YANGA |"KWANZA MZEE"| JEMEDARI AFICHUA MAZITO |GEOFF APIGILIA MSUMARI |KUMEKUCHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 64

  • @user-pn8ux8of7f
    @user-pn8ux8of7f День тому

    Chama kiwango chake kwa sasa ni singida siyo yanga

  • @kajembeswai635
    @kajembeswai635 21 день тому +1

    Jemedari ni kenge tu,wameshindwa kumbakiza sasa wanatafuta pakutokea

  • @mashipeter4819
    @mashipeter4819 20 днів тому +1

    Yanga wamemsajili Chama kama kuikomoa Simba. Na ndo maana wamempa mwaka mmoja. Na Yanga wamempa mwaka mmoja kwasababu hawana Imani kama atafanya yale aliyoyafanya Simba kipindi cha nyuma. Itoshe kuwa hakuna mchezaji atadumu na tim mmoja milele.

  • @mtmarchcontempo
    @mtmarchcontempo 20 днів тому +4

    Hizo ni negative anticipations hivi ni kweli Chama hana positive anticipations pale Yanga! Acheni kutuonyesha kuuumia kwenu.Chama kwenda Yanga anakwenda kucheza na mafundi na atakuwa rejuvenated kwenye uchezaji wake. Kwanza hao wachezaji wa umri mdogo mahiri kwa timu zetu tutawapata wapi? Wakati timu zetu za vijana hazizalishi wachezaji wa kwenda senior teams. Mara ya mwisho kufanya hivyo ni kwenye Simba ya Kina Mkude , Ajib, Seseme na ndiyo hao wanaishia! Kama ilivyokuwa Kwanza kwa Yanga ya kina Mkweche, Addolf Rishard, Tostao, Pondamali na wenzao wa miaka ile ya 1970. Siku hizi baada ya intake 5 za Yanga Under 20 unampata Mzize 1?

    • @hamisimahenge5807
      @hamisimahenge5807 19 днів тому

      Salute!!, EFM RADIO & E-TV Zina wachambuzi njaa ambao hawana profesionalism na hawajawahi kuwa na positive arguments na YANGA SC hata siku moja

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 16 днів тому

      Mbona Povu..?

  • @jaylosalphonce9659
    @jaylosalphonce9659 19 днів тому +1

    Katika wachambuzi ambao sijawah kuwaelewa ni uyu kenge jemedali saidi.

  • @janejoel2465
    @janejoel2465 18 днів тому +1

    Ni kweli chama ni mzee kwasababu unalingana nae umli wewe jemedali

  • @user-sg6xy4qs6o
    @user-sg6xy4qs6o 20 днів тому +1

    Dada mbona unamaneno mengi?
    Mbona ujitambui ndugu yangu
    Wewe ulisema viongozi wa yanga wahuni mara dickon job siyo beki kwa kuwa mfupi leo mmehamia kwa chama hama kweli nyie mashoga

  • @user-jd6yr3rm1q
    @user-jd6yr3rm1q 17 днів тому +1

    Hivi Kuna siku haya machawa ya Simba yaliisifu yanga..?? Mi sikumbuki..!!

  • @GoodluckLesilwa-kq2ln
    @GoodluckLesilwa-kq2ln 21 день тому

    Bint Kazumali chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... porojo kibaoooooooooooo......

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 18 днів тому +1

    Kwani wewe kijana?? Unaweweseka! Atatamba Yanga hadi utaona aibu usi kalili maisha.

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 20 днів тому

    Hawa wachambuzi ambao ni mashabiki wa Simba wameumia sana. Hata maneno yao ukiyasikiliza vizuri utagundua wameumia haswaa

  • @DottoWence
    @DottoWence 20 днів тому

    Siasa za mchezo wa soka ndiyo zilivyo. Akina R. Matheus (Mjerumani) alicheza soka umri Mkubwa, Kadhalika Ibrahimovic na wengine wengi mf. Rud Gullit, Frank Rijkaard, Roberto Baggio etc

  • @user-jd6yr3rm1q
    @user-jd6yr3rm1q 17 днів тому +1

    Huyu jamaa ni mshirikina

  • @mtmarchcontempo
    @mtmarchcontempo 20 днів тому

    Chama mwenyewe roho kwatu huko kwa kuziishi ndoto zake za kutua Yanga. Ila huku Wachambuzi wenye Mahaba na timu zao wanazikoholea mate microphones zao hadi zinanuka shombo🤣🤣

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 20 днів тому

    Jemedari kwanza angalia wewe na chama nani mzee unaupara juu mpaka chini una chuki sana na yanga tunakujua maisha upati umaarufu

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 20 днів тому

    Mbona mnajipoza sana

  • @SimonAmon-dr8xw
    @SimonAmon-dr8xw 6 днів тому

    JEMEDARI AMEONGEA VIZURI SIJUI MAKASIRIKO YAMETOKA WAPI

  • @ewikama1559
    @ewikama1559 20 днів тому

    Hizi ni personal weaknesses za watu.
    Kwa nini iwe ajabu chama kuhamia yanga lakini iwe sawa kwa ntibazokiza kuhamia simba.

  • @enockjoseph3818
    @enockjoseph3818 20 днів тому

    Huyo jamaa anae ongea hajawahi kuwa na akili hata siku moja anamsongo wa mawazo kuachwa na demu wake

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 20 днів тому

    Simba hawajafanya maamuzi mchezaji mwenyewe hakutaka kubaki simba

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy 20 днів тому

    UKUTE HUYU MZEE NI MCHAWI HATUJUI TU😂😂😂

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 20 днів тому

    Kuna jamaa nimemkubalii "pale mtia huruma aliposema tuwapongezee thimba kwa maamuz madhurii "" jamaa akasema mazuriii eeehh 😅😅 kama alambwe kibao na òruma then apigwe teke na jemedariiii halaf atokee jefff amuongezee na tanganyika jerk 😂😂😂😂😂

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 14 днів тому

    Inaonyesha umeumia.Yanga mpeni uongozi huyu angalau mwenyekiti wa matawi.

  • @maribahanyora8478
    @maribahanyora8478 21 день тому

    Hahahahahahahaha😅😅😅

  • @user-so1iu4vd2v
    @user-so1iu4vd2v 20 днів тому

    roho ya mtu kicha unaweza ukawa unaumia rohoni ila kusema ndo shida

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 20 днів тому

    JEMEDARI UMEPITWA NA WAKATI KWANI CHAMA MWENYEWE ANAFAHAMU KWAMBA UMRI UNAENDA LAKINI ANATAKA KUSTAAFU KWA AMANI NA NDIO MAANA AMESAINI MWAKA MMOJA. KOMBE LA AFRIKA LIKIPATIKANA, IMEISHA HIYO.

  • @user-gj1bx9ow3u
    @user-gj1bx9ow3u 16 днів тому

    Ila jemedali si aende kulima mihogo kwao kwa nilazima uwe mchambuz ndoo mana hii redio hata sisikilizi

  • @hajiyusuf3837
    @hajiyusuf3837 14 днів тому

    Kumbe wewe ni mtabiri😂😂 umekua shekhe yahaya.

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 20 днів тому

    MNA KNOWLEDGE NDOGO YA MPIRA,LKN HAMTAKI KUJIFUNZA NA NI SABABU YA MIOYO MIGUMU MLIYO NAYO ( Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? Wala hamkumbuki? )MNAPOFUSHWA NA UPOFU WA MAJIVUNO,UFAHARI,KUKOSA UPENDO NK.acheni wakati useme.

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 19 днів тому

    CHAMA AKIISHI SIMBA NDIO ANAKUA KIJANA,MBONA KAGERE ALIKUWA MZEE

  • @octaviusrutta4553
    @octaviusrutta4553 20 днів тому

    Nakosa hata kuandika juu ya wachambuzi wapuuzi kama nyie

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 17 днів тому

    Ndio maana tumempa kandarasi ya miaka miwili atufanyie kazi, yaani we unafikiri una akili kuliko YANGA... 🤣🤣🤣

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 17 днів тому

    Da Miaka 33 bado hamkbali umri umeenda,ngoja tuone muda utaonges

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 20 днів тому

    Huyu ndio mwisho wake hapo kapotea kimpira

  • @AndersonMokiwa-is5ch
    @AndersonMokiwa-is5ch 7 днів тому

    Haya maneno yako jemedar ndio yanampa hasira chama na atakiwasha yanga balaa kwani hata yeye kajifunza alipoenda Bernanke

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 4 дні тому

      Atapiga chenga nyingi mwisho wa mechi droo au wamepigwa tena😂😂😂

  • @user-mr3fs6mi2r
    @user-mr3fs6mi2r 20 днів тому

    Wemchambuz mbugira acha shobo

  • @gabriel-dh3qn
    @gabriel-dh3qn 20 днів тому

    Mzee wewe siyo CHAMA.

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 18 днів тому

    HUYU JAMAA JEMBE LA DARI LA MTIPA HATA KUJIITA MWANA HABARI HAFAI KABISAAAA!!!!! KAMA ALIWAHI KUTUKANA,NA KUTAMKA: WANAJITIA KIDOLE NA KUNUSA WENYEWE!! KWA KWELI HAFAI!! NA HATA HABARI ATAKAZO WAFIKISHIA UMMA WA TANZANIA,ZITAKUWA NA MASHAKA MAJUBWA SANA!! HAZIFAI NA HAFAI!! MAANA ANAONYESHA ATAANDIKA ANAYOYAPENDA YEYE!! NA WANAYOYAPENDA,ASIO WAPENDA HATA ANDIKA HAKI YAO NA HATO TETEA HAKI YAO KWA SABABU HAWAPENDI TU BASI.MTU HUYU NI HATARI KULIKO MCHAWI.

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 20 днів тому

    Unaweza kukuta mtu ana kipara ukizani ni mzee kumbe akili zake ni za mtoto mdogo.

  • @Hope-ok9dy
    @Hope-ok9dy 20 днів тому

    Jemedari Acha ukuma msenge wewe kuma la mama yako shamba kuma wewe

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 19 днів тому

      Usimtukane huyu jamaa ni mshamba ila usimtukanie mama yake hivyo hata humpendi mama yake hajamtuma Mimi simkubali mana siku zote Huwa mpingaji zidi ya timu yetu ila usimtukane mama yake

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 6 днів тому

      Punguza makasiriko

  • @FabianiNguvumali
    @FabianiNguvumali 19 днів тому

    Amakweli ushabiki mbaya San asiyejuwa nan Kama nyie ndomawakala wachezaji simba

  • @aljabryaljabry8780
    @aljabryaljabry8780 20 днів тому

    Huyo mzee upara hama akili huyo ni simba

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 16 днів тому

    mbona simba walimchukua saido akiwa ana miaka 37😆😆😆😆

  • @salimhemed7125
    @salimhemed7125 16 днів тому

    Acha kumtusi makosa ya kimtandao hayo

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 20 днів тому

    Hata baba na ,,,,, pia ni wazee utaweza kuishi nao tobo wewe mumechokolewa mkubali tu acheni ujinga na chuki zenu nyoko

  • @KabungaKalla-fw4pp
    @KabungaKalla-fw4pp 13 днів тому

    Kwahiyo wewe kuhama studio iwe mjadala!? Mpira ni biashara mchezaji akihama msimpangie awe wapi kwa wakati gani.

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 20 днів тому

    Jemedari wewe ni mashabiki wa Simba, ila ni wewe umekuwa ukimsifia sanaaaaa hata leo kama Chama angebaki ungesifia tu na kusema kwamba Yanga hawana uwezo wa kumsajili Chama

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 20 днів тому

      Tuwe wakweli yanga wamembeba chama kwakua yanga inamhitaji au nikutaka tu kuwaumiza watani? Hiyo ni political football kama kweli we ni mtu wa mpira shida tz mpira ni kama dini Kua lolote la timu halipaswi kujiuliza Wala kulichanganua

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 20 днів тому

      ​@@fahadfaraj6474umeongea kwa uchungu sanaaaaa

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 20 днів тому

    For the past misimu miwili

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 День тому

    Mtu chukiiiii

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 18 днів тому

    Mzeee kam baba yake

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 20 днів тому

    Ili limakonde lijinga hili acha kutujaza ujinga wako chama alikua mchezaji muhimu sana simba

    • @NkondokayaJoe
      @NkondokayaJoe 20 днів тому

      Si mlikuwa mnasema ni mzee amekuja kwenu amekuwa Lulu ama hakika gongo wazi inachekesha

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 20 днів тому

      ​@@NkondokayaJoejichekeniii

  • @asmahozza8468
    @asmahozza8468 20 днів тому

    You always talking nonsense....kama huna cha kuongea kimya kitawale...cz huwa umnafungwa midomo misimu ukiisha

  • @user-zv7ef5ke1e
    @user-zv7ef5ke1e 20 днів тому

    Jemedary we kuma tu

  • @user-nt3wk2sx5r
    @user-nt3wk2sx5r 16 днів тому

    Nyie ni wachambuzi washabiki wa Simba tunajua chama kabembelezwa sana aongeze mkataba ikashindikana nyie munadanganya watu

    • @AyubuIssa-np3vc
      @AyubuIssa-np3vc 5 днів тому

      Yule Alisha saini mkatabanayanga mdasana nandiomana alishindwa kusaini