ANKO ZUMO KAZAA NJE..😃

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 360

  • @ashaabdi5368
    @ashaabdi5368 2 роки тому +7

    yaani huyo mm kabisa 😅😅😅👌👌👌halafu nalea mwanzo mwisho piga kelele kwa wamama wenye moyo km huu😁😁❤❤❤

  • @Official83640
    @Official83640 2 роки тому +20

    Pongezi kwa Habiba umewakomesha big up

  • @juliethmajenda969
    @juliethmajenda969 2 роки тому +15

    Mwenye hekima hashindani 👌

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 2 роки тому +8

    😂😂😂😂😂😂Habiba Zumo Ipo makini na Ndowa Yake 👌👌👌👌Wanawake mpate Somo

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 2 роки тому +14

    🤣🤣🤣🤣🤣hiyo ndiodawa yao yakuwatibu 🤣🤣🤣🤣

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 2 роки тому +3

    Aki ya MUNGU Nimecheka sana yani mama mai ume wakomesha🤣🤣🤣🤣 yani kama wanataka uduma wakatafute kwingine mtoto kavika kwao tena Atazoea mama mukubwa.🤣🤣🤣🤣 raundi hii ime kula kwao 😳😳😳💯💯🙏🙏

  • @jackcomedy
    @jackcomedy 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣huduma za mama mtu Sasa🤣🤣🤣🤣

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 2 роки тому +2

    Wanataka hela wakale kupitia mtoto, mmeshushuk 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hamlambi kitu hapo mke wa Zumo kabana💯💯

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 2 роки тому +1

    hii nayo sitochoka kuiangalia duu nzuri kweli💯💯💯

  • @husseinyussuph6198
    @husseinyussuph6198 2 роки тому +1

    Huyu dada king'ang'anizi huyo mwenzetu tumepatikana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 роки тому +6

    Mama mai umejuwa kuwakomesha😂😂😂

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 2 роки тому +5

    Mama mai huyoooo 😂😂😂😂

  • @user-dn1dw9su6e
    @user-dn1dw9su6e 2 роки тому +2

    Muongeze tena ndo mutajua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣love ❤️ frome burundi 🇧🇮 ♥

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 2 роки тому +3

    Hahaha huduma za mama mtu sasa👻

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 2 роки тому +2

    Daah mama mai 😳😂😂💓💓

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 2 роки тому +1

    Kali sana😂😂

  • @aishahassan4142
    @aishahassan4142 2 роки тому +2

    Safi sanaa mama mai wengi wanazaa na waume za watu ili tu kuharibu ndoa za wenzao, lime washuka kazi nzuri 😃😃😃

  • @athumanimpilipili2543
    @athumanimpilipili2543 2 роки тому +4

    Huduma za mama MTU 😂😂😂😂

  • @arafatabubakar001
    @arafatabubakar001 Рік тому

    Wanawake wote wangalikuwa hvo. Tungalikuwa mbali sanaa

  • @frdmedia6235
    @frdmedia6235 2 роки тому +1

    Huduma za mama mtu sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnnabie5445
    @johnnabie5445 2 роки тому +8

    Balaa zito 😂😂😂😂😂💕🔥

  • @tarifsarahoman7047
    @tarifsarahoman7047 2 роки тому +3

    🤣🤣Habiba umejuwa kuwakomesha

  • @greenlessmlay2327
    @greenlessmlay2327 2 роки тому +1

    Huduma za mama mtu sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @florencekiza7436
    @florencekiza7436 2 роки тому +1

    Eti Uduma ya mama Mtu sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🏽

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 2 роки тому +2

    Hongera sana mama mai . 💪💪💪🤣🤣🤣🤣

  • @kingmrume
    @kingmrume Рік тому

    🤣😂😀Safi sana mkaza Zumo

  • @aishamatovu3726
    @aishamatovu3726 2 роки тому +9

    That was absolutely the antidote of women who comes with foolish ideas to disturb the peace , you have a good heart to take in your husbands kid instead of being angry and jealous to take over your household , you're a real woman .

  • @husseinyussuph6198
    @husseinyussuph6198 2 роки тому

    Hataki lakini.. Anataka atataka huyu atanizoea😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂

  • @user-be4fj1bh8p
    @user-be4fj1bh8p 2 роки тому +1

    Hidaya Leo dawa imekupata hongera mama mai na baba mai ndoa idumu milele 😂😂😂 hataki atazoetu

  • @zou7470
    @zou7470 2 роки тому +3

    Ila hidaya chuhuli imekuwa yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 2 роки тому +13

    Love From DOHA QATAR😂😂

  • @aminamsomali1619
    @aminamsomali1619 2 роки тому +5

    imekula kwao 😂😂😂

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 роки тому +2

    Heheheeee mumetoka kapa patupu chezea busara nyie🤣🤣🤣

  • @richardtungaraza7509
    @richardtungaraza7509 2 роки тому

    Ni moja fundisho kubwa sana

  • @danciledeciella6442
    @danciledeciella6442 2 роки тому +8

    Hidaya Leo anakubali kama amepatikana🤣🤣🤣

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 Рік тому

    Yaani komesha kelele😂😂😂wewe ni mdogo wangu hasaaaaa habiba😂😂 leta mtt mtuondolee kero

  • @mwajumalubunga1534
    @mwajumalubunga1534 2 роки тому +1

    Habiba umejuwa kuwakomesha 😂😂😂

  • @mweefezzymwee4994
    @mweefezzymwee4994 2 роки тому +3

    Wooow nimependa ,,,,mwanamke ambaye ana hekima

  • @ndegezndechez1734
    @ndegezndechez1734 2 роки тому +9

    Nakupenda maman Mayi❤️❤️❤️😘😘

  • @atepamashavu6122
    @atepamashavu6122 2 роки тому

    nampenda sana mai

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 2 роки тому

    😄😄😄😄Raha tu jamani wenyewe wakazani ndoa itavunjika kumbe loh

  • @mathewarum6986
    @mathewarum6986 2 роки тому +4

    Tofauti ya matarajio yao 😂😂😂

  • @fzafza6746
    @fzafza6746 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Mama Mai komeshaaaa kimboko..

  • @user-lt2bt1cn7b
    @user-lt2bt1cn7b 9 місяців тому

    Nimecheka kwa sauti😂😂😂😂

  • @munnahsaid7329
    @munnahsaid7329 2 роки тому

    Mmepatikana mtoto kafika kwao ...hkuna hela wla ukwaju...kma hamtazidi mtakoma🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @fatmahassan9153
    @fatmahassan9153 2 роки тому +2

    Zumooo irudiwe iyoooooooo😂😂😂😂😂😂

  • @vickyjuakam8826
    @vickyjuakam8826 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 sija wai kucheka kiivo leo nime cheka sana duuuu

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 2 роки тому +6

    Sema kimeumana

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 daah huyo rafiki mtu ameniacha hoi mnoko kinoma yani anapigilia misumari balaa🤣🤣🤣🤣😅

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому +1

    Nimeipenda hii

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 2 роки тому +2

    Wee umewaeza mama Mai

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 2 роки тому +1

    Tatizo walitaka kuharibu ndoa but umewatibu kwa hikma congratulations

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 роки тому +1

    Hahahahahahahahaaaaaa Ma mkwe umenifurahisha mpaka basi umbeyanumewashuka kina shoga kidawa Hahahahahahaaaaa ukifika umefika mkwe wangu utoke uende wapi?????Hahahahaaaaaa

  • @rammyrajab4649
    @rammyrajab4649 2 роки тому

    kabisa hata mimi akiniletea nalea tu

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 2 роки тому

    Mserereko umekwama...watu wamesepa.

  • @rachaeldhahabu5096
    @rachaeldhahabu5096 2 роки тому +1

    Hidaya uko vizuri

  • @asmaseleman.5957
    @asmaseleman.5957 2 роки тому

    Napenda mama my

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 2 роки тому

    😂 😂 😂 😂 Yame washuka katulieni ssa

  • @leonidamoraa2612
    @leonidamoraa2612 2 роки тому +5

    Hiii nayo noma

  • @gospelvalid342
    @gospelvalid342 2 роки тому +2

    Boraaa wamekomeshwaaaa khaaaaa 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @nzeyimanaabdallah131
    @nzeyimanaabdallah131 2 роки тому

    Huduma za mama mtu😅😅😅

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 роки тому +1

    😃😃😃😃 amewakomesha Mama Mai

  • @nyarkindubay5454
    @nyarkindubay5454 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimependa hii baala

  • @fetyada3500
    @fetyada3500 2 роки тому

    Umefanya vzr mama mai

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 2 роки тому

    Hahahaaaaaa......Shuuuuuuu.....Maza hausi kabana ‘ kumaaaaninaaa...!

  • @mayrialz8371
    @mayrialz8371 2 роки тому +2

    Km ingekuwa hivi hakungekuwa na mauaji y mapenzi 🤣hongera mama mai👏👏👏👏👍

  • @muhsinmsimu7449
    @muhsinmsimu7449 2 роки тому

    Nimeipenda hiyo

  • @happybakari643
    @happybakari643 2 роки тому

    Hahhaahha habiba noma hakuna kuibiwa

  • @fainajaffary4070
    @fainajaffary4070 2 роки тому +1

    😃😃😃😃🤣kawakomesha hatar

  • @saumucharo3239
    @saumucharo3239 Рік тому

    Hongera sana mama Mai🥰🥰

  • @martinvenance8555
    @martinvenance8555 2 роки тому

    Umetisha mama zomu

  • @mosatawi393
    @mosatawi393 2 роки тому +1

    🤣 🤣 🤣 🤣 Wamekom daaaah

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 роки тому +9

    MaashA'llah Mama Mai Kanona kweli 😍😍😍😍

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 2 роки тому +1

    🤣🤣 huduma gan za mama mtu,😂🤣

  • @jumanurdini9814
    @jumanurdini9814 2 роки тому +2

    Mpo vzr aise 🤣🤣🤣 uncle zumo umeshinda huu mthn

  • @edithalagwen8465
    @edithalagwen8465 2 роки тому

    Mtoto nitamchukua ndyo hana makosa ila sasa Baba nikifika ndan nimpiga makwenzi mm nina hasira sanaaa

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 2 роки тому

    Na Leo ime kuwaje mama Mai kuku weza

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 2 роки тому +1

    Wanawake kama hawa bado wapo huko kwenu ????😁😁😁

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 2 роки тому +1

    Hiday mishipa imemtoka hahahhaa

  • @doreenkendikathurima314
    @doreenkendikathurima314 2 роки тому +1

    😂😂😂 kinaya

  • @ednamasud2613
    @ednamasud2613 2 роки тому +1

    🤣🤣🤸🤸🤣
    Wamekomeahwa.

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 2 роки тому

    Napenda sana

  • @titomafia254
    @titomafia254 2 роки тому +1

    Kali sana 🔥🔥🔥

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 2 роки тому +1

      Kali snap muache kuzalisha nje hamjengi ela zinaishia kwa michepuko

  • @Danlizah
    @Danlizah 2 роки тому

    Mwanangu uyoooo

  • @venture_rafael
    @venture_rafael 2 роки тому +1

    HIII NDO YENYEWE SASA🤣🤣🤣🤣🤣

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 роки тому

    Walikuja kuvunja ndoa hatimaye wamemkuta mama Mai kagongea misumari vilivyo😂😂😂😂😂

  • @hamizaramadhan1275
    @hamizaramadhan1275 2 роки тому +1

    Safi sanaa

  • @athumanmvungi4527
    @athumanmvungi4527 2 роки тому

    Jamani shemeji umetisha

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

    Hilo nalo neno, mama Mai hongera

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 2 роки тому +8

    ❤️❤️❤️👏👏🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @jamilasaidi3749
    @jamilasaidi3749 2 роки тому

    Hahaaaha et huduma za mama mtu je.. hahhaa

  • @sophiasophia1356
    @sophiasophia1356 2 роки тому

    Umemkomesha htr uyo kiswaswadu

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 2 роки тому +4

    🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂

  • @fatumasalum8171
    @fatumasalum8171 2 роки тому

    Tumeleta toto hilo HIDAYA BWANA😂😂😂

  • @malijefwa7806
    @malijefwa7806 2 роки тому

    Huduma za mama mutu😂😂😂😂

  • @ramadhanikizingq8972
    @ramadhanikizingq8972 2 роки тому +1

    Huyu hidaya pasua kichwa

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 роки тому +1

    mama maikiboko 🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @godelivamuswahili2988
    @godelivamuswahili2988 2 роки тому

    😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣iyo kali sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣