ANKO ZUMO NA MCHEPUKO😀

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 200

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 роки тому +18

    Hii comedy ni nzuri sana. Inaficha siri za nyumbani. Safi sana. Mwanamke mwema anapaswa kuwa hivi

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 3 роки тому +18

    Nzur inapendeza lakin Mama Mai Unaanza kuniuzi Sasa mbona unaharibu ngozi yako Ivo acha bhana mwanzon uliendza sana na rangi yako Yani unachukiza kiukweli Wala hupendezi

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 роки тому

      Alafu nashangaa anqtqfutq nn ss wakati yy ni mweupe

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 3 роки тому +2

      Ujinga tu Yani mtu akishaanza kuwa maalufu Kidogo basi anatafuta weupe Ivi awajifunz Kwa Monalisa Yan Yule dada nampenda mm hanaga makuu anajikubali sana

  • @zou7470
    @zou7470 3 роки тому +14

    Kwel umetisha mwanamke mwema hustiri ayibu ya ndani kwakwe ❤❤❤

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 роки тому +21

    🤣🤣🤣🤣🤣 wanawake wanapitia mengi

  • @ayshaothman3995
    @ayshaothman3995 3 роки тому +4

    Acheni kuwa mnasema msivo vijuwa wapi uliskiya wamesema usutwa sunna Subhanallah iyi kauli sionzuri dadazangu

  • @peninahkadogo4131
    @peninahkadogo4131 3 роки тому +6

    🤣🤣🤣🤣hii kali sana na huyu mwanamke ni mnzuri ju anaeka siri ya mume wke

  • @mohammedmohamed969
    @mohammedmohamed969 3 роки тому +20

    Mama zumo n mwanamke mwemaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angelazizi4831
    @angelazizi4831 3 роки тому +2

    Jaman ka vile hujafumania kweli bonge la tabasamu...vzr sana kufcha siri ya mumeo....😘😘😘

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 роки тому +6

    Mama maya punguz kujipaka hayomafuta

    • @najmaulaya8819
      @najmaulaya8819 3 роки тому

      Mama yooh.umeona hilo atakuwa mbaya saiv

  • @danciledeciella6442
    @danciledeciella6442 3 роки тому +17

    Mke mzuri anaficha aibu ya nyumba yako🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aishajeanine3552
    @aishajeanine3552 3 роки тому +11

    Penda sana mama mai wa mie🥰

  • @gladysrodrick8239
    @gladysrodrick8239 3 роки тому +3

    Jamani anae mkubar habiba kama mm tujuane

  • @mjy353
    @mjy353 3 роки тому +6

    mbna uso wa ma zumo umekuwa mbovu

  • @tatumussa7930
    @tatumussa7930 2 роки тому +1

    Tusiww went tamaa Kam ank zumo😄😃

  • @kombosalimhamad8353
    @kombosalimhamad8353 3 роки тому +2

    Duh lkn mama uo mkorogo achana nao

  • @bijumafundi1737
    @bijumafundi1737 3 роки тому +3

    😂😂 umenikausha mbavu wallahi 😂😂

  • @user-dn1dw9su6e
    @user-dn1dw9su6e 2 роки тому +2

    Eti shetwani lajimu🤣🤣🤣🤣❤❤love ❤️ frome burundi 🇧🇮♥

  • @biashanazallah3668
    @biashanazallah3668 3 роки тому +6

    Mma Mai WWE nakupenda bure🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatumashakombo115
    @fatumashakombo115 3 роки тому +5

    Hongera jaman nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @winfridaphilemon8165
    @winfridaphilemon8165 3 роки тому +3

    Habiba mbavu zangu jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @priscaleonce5614
    @priscaleonce5614 3 роки тому +5

    Ma mai mbona uso umeharibika

  • @shamisalryam4775
    @shamisalryam4775 2 роки тому +1

    Big up habiba yaani umetisha sana

  • @situnayenge7476
    @situnayenge7476 3 роки тому +5

    Acha niwe wakwanza mimihaaaaaaa

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 2 роки тому

    Mashallah hii comedy nimeipenda bure .wambea amewakomesha lakini wanazidi kualikana kuja kumpa pole....na kweli tabia yakuchepuka chepuka mtaani nikujitia aibu mume mwenyewe na mke nimkumdhalilisha mtaani hasa uswahili watamsema mpaka apate presha ama akunde kwa mawazo.

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 роки тому +2

    Mama mai wakausha Mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂kwekwekwekwe

  • @sophiasoph2596
    @sophiasoph2596 3 роки тому

    Nimecheka sana karibuuuuu aah safi sana mama mai uko vizur

  • @abdoulrahimmigomba3885
    @abdoulrahimmigomba3885 2 роки тому

    Nimempenda sana huyo mke kwakweli. Ila duniani kuna wambea jamani daaaaah

  • @mwanawetuamiri6747
    @mwanawetuamiri6747 2 роки тому

    Mama Mai dada yangu acha kujichubua unajiharibu ngozi yako

  • @witnessmush746
    @witnessmush746 3 роки тому +2

    Kaz nzur jamn napend san na mai tumemmic

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому +3

    Daaah yamemfikia Hidaya kazi ipo
    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 3 роки тому +1

    Buzza noma kishenzi😆😄🤣🤣🤣

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 2 роки тому +1

    😂😂😂😂 tuliopo kwenye ndoa tunaelewa haya

  • @mwh8547
    @mwh8547 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka hapo mwisho mama mai🤣🤣

  • @Helen-zs5ti
    @Helen-zs5ti 3 роки тому +5

    Mama mai jaman 😂😂😂😂😂👏

  • @munnahasha9324
    @munnahasha9324 3 роки тому

    Mbavu zangu jamani mlitafutana mkapatana ongereni aky

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 2 роки тому

    kwa hii kuna itaji moyo duuuu🤣🤣🤣😳😳😳 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣 Majirani nao wambea kweli kweli

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 3 роки тому +2

    Mai zumo jmn .Ninawapenda sana.Mungu awalinde 🙏💕💖

  • @omjaber5959
    @omjaber5959 3 роки тому +5

    hahahahah noma sana

  • @omarmwamisi5862
    @omarmwamisi5862 3 роки тому +11

    comedy nzuri ila pangeni sauti zenu, wengine tunatumia earphones. Unapoizidishia sauti ili umsikie mtu kaongea niini unakuta baadae inakuumiza maskio... Kwamfano, hapo mwanzo Habiba alipojitokea si ilipiga kelelele tofauti na la maongezi yao. Mjitahidi jamani ki-upande huo

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому +1

    😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣majirani wambea hao jmn

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 роки тому

    Safi kabisa habiba

  • @wardaally7644
    @wardaally7644 3 роки тому +5

    Dah habiba mbona uso umekuaje punguza mkorogo haki umeharibika na hiyo mikono imekuwa kama ndiz za kuchoma

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 3 роки тому

    Habiba ww wajua kustiriana Na mumeo ila usimzoeshe sana muda Atazidi😜lkn nzuri 👌🏼

  • @godfreysway1732
    @godfreysway1732 3 роки тому

    ingekuw mwanmke mwingine angeanza kuelezea ilivyo kuwa..,kun somo hapo kwa wanawake na wanaupe pia jmn

  • @marryalfred8029
    @marryalfred8029 3 роки тому +2

    Ndivyo inavyotakiwa wanawake kuwa na sir kwawaume zetu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому

    Nilecheka sana asante mama mai🤣🤣🤣😘😘😘🙏❤️

  • @happyrichard3188
    @happyrichard3188 3 роки тому +2

    Hidaya Sasa inasemekana umemfumania mmeo kule uchochoron🤣🤣

  • @mududdi9450
    @mududdi9450 3 роки тому +1

    Good idea

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому

    Mmmh jaman ww habiba uwo uso 😪😪looooh mwambia mumeo awe ana kumwangia Usoni maana sio kwa mafenisi ayo 🤧🤧🤧

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому +2

    Kweli wamekosea jikaze tu!

  • @pillyommarhemedi296
    @pillyommarhemedi296 3 роки тому

    😀😀😀😀😀karibuuuuuuuuuuuuu

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 3 роки тому +1

    Hoyaaaa! Mtatuvunja mbavu!

  • @shukranmubarikiweiii579
    @shukranmubarikiweiii579 2 роки тому

    Kikombe chaujasiri upewe 💯😂

  • @zuleikhasuleiman4634
    @zuleikhasuleiman4634 2 роки тому

    😁 Kajikaze so kwa hali hii

  • @Fatmaissa-ju6kk
    @Fatmaissa-ju6kk 2 роки тому

    Niaatari san mama zumo🤣🤣🤣🤣

  • @malijefwa7806
    @malijefwa7806 3 роки тому

    Uso una nn habiba waharibika

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 3 роки тому +5

    🔥🔥🔥

  • @dorothmungure9393
    @dorothmungure9393 3 роки тому

    Zumo hujavaa uhalisia inaonyesha kama unacheka nadhani ingetakiwa uonyeshe huzuni kama mtu anayejutia alichofanya.

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 2 роки тому

    Sichok kutizama hii😂😂😂😂😂😂

  • @abrahamotieno8187
    @abrahamotieno8187 Рік тому

    Yes mwanamke mwema 😭

  • @mustakimukarimu5165
    @mustakimukarimu5165 3 роки тому +1

    😂😂😂😂Mwambie huyo mwanamke aje kwangu

  • @saidjuma25
    @saidjuma25 3 роки тому +1

    Nimekukubali mke wa zumo

  • @pierreadams3114
    @pierreadams3114 3 роки тому +1

    Hwhahaha dah kiboko

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 2 роки тому

    Sheitwani Rajiim 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 роки тому +2

    Daah kua mwanamke w boma nikazii kweli🤣🤣🤣🤣

  • @edithalagwen8465
    @edithalagwen8465 3 роки тому +1

    Dawa ya wambea 🤣

  • @bensonnahkdgks2119
    @bensonnahkdgks2119 3 роки тому

    Mama Mai unachekesha sana

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣Eti mekosea

  • @samanyaswai2883
    @samanyaswai2883 3 роки тому

    Wanawake km Hawa hawapo siku hizi akufumanie harafu ukuteteeeeee km hivi mama Mai

  • @gydherbals255
    @gydherbals255 3 роки тому +2

    Zumo unacheka hauko seriouse

  • @sheikhaomar4035
    @sheikhaomar4035 3 роки тому +2

    Very funny yaani bi habiba umenchekesha

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 3 роки тому +3

    😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 роки тому +2

    Mambo pambe 😂😂😂

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 3 роки тому +3

    Mmmh michunusi toomuch

  • @juweidup491
    @juweidup491 3 роки тому +2

    Mimorog mibya jmni wanawke

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 роки тому

    Ma Mai si kwa ubaya dada tnakupenda ila cream imebuma hio itakuharibu acha mpnz dada

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera Kwa Kuficha Aibu Za Mumeo.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      ficha kila siku atafanya hayo hayo

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

      @@heyumi2340 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ajuwa Akifanya Yuafichwa Aibu.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      @@mwanahalimamwachili9679 😂😂😂mie sifichi haki ya mungu

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

      @@heyumi2340 🤣🤣🤣🤣 Humpendi Mumeo Dada.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      @@mwanahalimamwachili9679 hawapendeki mwaya mwanaume hata umsafishe kwa ulim huhuuu atakuona wa kitambo 2

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +4

    😂😂

  • @muddy6076
    @muddy6076 3 роки тому

    Ankooo kachoka kuhongwa daaah

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому +2

    Hhhhhhhh hhh mtihani

  • @marthanzeyimana6749
    @marthanzeyimana6749 2 роки тому

    😂😂😂😂Nihuzuni kwa kweli

    • @abdoulrahimmigomba3885
      @abdoulrahimmigomba3885 2 роки тому

      Nimejikuta vimachozi vinanilengalenga. Wao wamefanya kama Comedy lakini kuna mafunzo fulani makubwa tu hapo.

  • @aishachande9535
    @aishachande9535 3 роки тому

    Ali kiba

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 роки тому +1

    Hidayaaa😂😂😂😂😂

  • @evergelald8560
    @evergelald8560 3 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂

  • @khalidmasanja4822
    @khalidmasanja4822 2 роки тому

    👏👏🤝

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 3 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌🥷🏼😎 moo juuu

  • @nellywanjiku876
    @nellywanjiku876 3 роки тому +2

    😂😂😂😂

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 2 роки тому

    🤣🤣mbona shetanirajiimu

  • @ummuhassan2268
    @ummuhassan2268 2 роки тому

    Haha shaitwani rajimu

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 3 роки тому

    Mama Mai rudisha rangi yako ya awali plzz

  • @arafashatry1479
    @arafashatry1479 3 роки тому

    Karibuuuuuuuuu😂😂😂😂

  • @saphymediaz
    @saphymediaz 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 3 роки тому +7

    😂😂😂 Hii kali

  • @zenaidarobert212
    @zenaidarobert212 3 роки тому

    Mke mwelevu😁

  • @hidayayussufu7080
    @hidayayussufu7080 3 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Bass

  • @wemasarwat366
    @wemasarwat366 3 роки тому +1

    Dah nmecheka

  • @wemamgallah9026
    @wemamgallah9026 3 роки тому +1

    😂😂😂💐

  • @zuenamohamed9993
    @zuenamohamed9993 2 роки тому

    Mkeo mzuri