Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kama kawaida mm ndo wakwanza Kuona hii ila mnaninyima like sijui shida ni nini majirani zetu
Hodi
Top 15 nikiwakilisha team magaidi wapi likez zenye team hamam team kubus❤❤❤❤
Eeh Mungu nipe maisha mazuri lakini nisikukwaze eeeh Mungu nipe maisha marefu ydaima nikupendeze 🤲😢 ash Leo umependeza
Nimecheka zizi kimekulamb leo umbeya wote kwisha😂😂😂chezea bok ww😂
Wa mwisho hapa wana penzi hasara kazi nzuri kweli dunia inasunguka sana😂😂😂❤❤❤
Seif chunga yasikutokee puani toto letu mbavu zimechoka jamani 😂😂😂😂😂❤❤❤❤
kakutana na mzimu😂😂😂😂
@jamilashabani8580 noma sana 🤣🤣🤣🤣
Mm natamani feti na zein waowane mumependezana sanaa❤🎉🎉
Zena umemwambia ally ukweli mauwa kwako🎉🎉🎉ally huna msimamo wala mwlekeo😅wa maisha mume wa vipi ww
LEO NIMEMUONA HUYO SEFU WA KIROBA CHA MKAA HAPA MAKUMBUSHO ANAPANDA GARI LA BUZA 😂 NIKAANZA KUKUMBUKA ANAVOLELEWA NA ZIZI LA NG'OMBE NIKACHEKA SANA😂😂😂
😂😂😂
😀😁😀😁😀
Penzi hasara kweli😂😂
Zena mbona hamuamkii babaake😮
😂😂😂zizi umbeya umekuponza😅😅😅🎉🎉❤❤❤
Ilikwel pezi hasara kwel kweli 😮😮😮
😂😂😂😂😂😂 kamdomo🤫🤫 wangapi tumeona mshahara wa umbea kwa zizi la ng'ombe yaan akirudia daah😂😂😂😂😂
Team penzi hasara piga keleeeee
😂😂😂😂😂😂😂😂zizi umbea haufai ona sasa
Hapa ndani nikupenda wa mwingine mwingine kampenda mwingine looooo hasara kweli nawapenda kwa mafunzo mazuri ka jamii ❤❤❤❤❤❤❤
Kama wanaume wote wangekuwa kama ali 😂 waaaa anakologa wanawake 😂😂😂😂😂
Masikini Ally jmniiiii haelewii nin anataka
Yaan mpaka ananiboa
Kazi nzur sana ❤
Ally Huna Msimamo nyooo 😢 Nyie si Mlikuwa mnatumia kimya ila Mimba niya Ben bana 😢 Ao kampime Zena iyo Mimba 😅😂😂
Hii mimba itakuwa ya Ben ju zena alikuwa anameza pills akiwa na Ally ...so Ally kuwa na msimamo basi nawe😂😂😂kitakuramba
Sasa Ally unajua kabisa zena na fetty ni maadui wanachekeana kinafk kilichokufanya umwambie fetty kua zena mjamzito ni kitu gani unataka umpoze zena wewe Ally mbona huna kaba😢❤❤
Huyu ali hata tina arudi bado atampenda hana msimamo pii😂😂
Ali ushaibiwaaaaaa kapime kwanza.Halafu zena,Shangazi na baba ako mwafanaa sannaaaaa
Mungu atakulaani zena hoyo mimba itatoka
Zena amesema kweli Ally Hana msimamo n kila mtu ameona kweli Ally Hana msimamo ata Linah pia…penzi hasara twendeni nalo😂😂
Sefu Bwana kutoka fungu la kumi hati unusulike😅😅😅
Ukistajabu ya zizi utaona ya boko na sefu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kimeumana Ali kimekuramba😅
Naliona penzi jipya la fet😅
Ashi umefan na lukamb😂
Zizi weeee😂😂😂😂😢😂
❤❤❤❤❤
Kazi nzurii
Zizi leo😂😂
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wanaume kama Ali ni mtihani sana kwakeli mpaka anaboa anaharibu Muvi
Kaz nzur ❤❤
Ali mwanaume wa hovyo anayumba kama dela
Ally acha stress bana kua na msimamo basi uyo Zena c ulkia akimeza pills ndo ufanye nae mapenz iyo mimba ya Ben bana Zenah amekuj kuwatega ww na faith
😂😂😂😂😂Iyi flm n moto moto😅yamekufik ndugu😅
nimekuwa watano 😊
𝕫𝕚𝕫𝕚 𝕞𝕨𝕒𝕟𝕒𝕜𝕦𝕝𝕚𝕗𝕚𝕟𝕕😂😂😂😂😂😂😂
Ila zena mzuri maashallah
❤❤❤
Aly huna musimamo kwa lweli
Yani uyu Ally nimupuuzi kbs , mwanaume Gani uyu ambaye Hana musimamo jameni
Ally unayumba sana me unanikela
♥️♥️♥️💓💓🇰🇪
Huyu Ali ovyo sana
😂😂😂😂 hii yaleo kali 😢
Zein na feti wanaendana aky
Sijawai kuona mwanaume kama uyu ana musimamo kapisa
❤❤😂
Yaani Ali Hana msimamo kabisa
Zizi umbea umekuponza
Yani Ally kunamda hata ckuelewi kabisa unavyopelekeshwa hata bendela inanafuu yani wewe huko twende dah! Hata cjui unakwama wapi?
Kumbe sijawai
Ali usiingie mtegoni mapema Ivo kumbuka Zena alitumia dawa Kila alipokutana na ww xaii waingizwa mtegoni bila kujua
Naiishe hii jmni tumechka ndipo
Huu mchezo sefu na Lina ndio wanachangamsha
Wakwanza mm leo
Wa kwanza RDC
Mm cjaelewa fetty analia nn
Mimba ya zena niya beni maana alipokuwa na Ally siwalikuwa wanatumia kinga
𝕤𝕚𝕛𝕒𝕨𝕒𝕚 𝕜𝕦𝕠𝕟𝕒 𝕞𝕨𝕒𝕟𝕒𝕦𝕞𝕖 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕖 𝕙𝕒𝕟𝕒 𝕞𝕤𝕚𝕞𝕒𝕞𝕠 𝕜𝕞𝕒 𝕙𝕦𝕪𝕦 𝕒𝕝𝕝𝕪 😂😂😂😂😂😂
Zeni ako na wife?,, asking with 99 others
Movie Kali lakini too much episodes...
😂😂😂😂😂boko
😂😂😂😂😂😂😂
Mie wa 3 leo
Ivi kweli hii mimba itakuaje ya Alli na wakati Zena alikuwa natumia bidonge yaku zuwiya mimba? Mi nama chaka
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤

Ali ushaibiwaaaaaa kapime kwanza.
Halafu zena,Shangazi na baba ako mwafanaa sannaaaaa