DAKIKA | Episode 6

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @Benny318m
    @Benny318m 5 годин тому +25

    Hii muvi inaonyesha uwezo mkubwa walionao wananchi katika kutatua changamoto za uhalifu mtaani na mapungufu makubwa yaliyopo kwenye jeshi letu la polisi dhidi ya kupambana na uhalifu, dadangu sheishei anza kujitafutia ulinzi dhidi ya watu wasiojulikana hasa kwa Tanzania yetu kwa sasa, maana wanatamani kuona chochote tunachokifanya kinaonyesha uthabiti wa serikali yetu na tusionyeshe madhaifu yao, hongera sana kazi nzuri ❤❤❤❤

  • @FrankSulle-m4h
    @FrankSulle-m4h 4 години тому +9

    Namkubali huyu. Sister hana kazi mbaya kama na wewe unakubali gonga like hapa

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 5 годин тому +9

    😳😳😳...weh huyu be dada anamoyo kwakweli katili kinoma yaani tokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 gonga like hapa na mungu atakuepusha na mambaya kama haya😅😅😅

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 4 години тому +2

    Sheila ooo pesa zitakwenda na kesi kama kawa pole mpedwa kz nzuri Sana wapedwa ❤❤

  • @ReymaMa5-rv1gs
    @ReymaMa5-rv1gs 5 годин тому +3

    Wapi Maua y sheishei much love 💞 from Kenya 🎉🎉

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 5 годин тому +4

    Hongela sana dada yetu kazi nzuri.Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI🇧🇮

  • @JizzoSimba
    @JizzoSimba 5 годин тому +6

    Wanao muamuni shey shey kam mimi dodosha like hapo kutok 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @OrisNkulu-o6x
    @OrisNkulu-o6x 5 годин тому +3

    Ongera sana dada ❤❤❤❤

  • @Faithkerubo-v4r
    @Faithkerubo-v4r 40 хвилин тому

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 hii movie inamafundisho kinoma❤

  • @Bizo-hd
    @Bizo-hd 4 години тому +2

    Shey shey mambo ya macomputer hawakuwezi😀

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 години тому +1

    Very creative series. Umeuwa sana sheishei

  • @irenejonathan5865
    @irenejonathan5865 5 годин тому +12

    Leo angalau na mimi nimewahi hata likes 20 tu

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 58 хвилин тому

    Mdogo wangu Shey nakpenda bure maanauna jitahidi

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 4 години тому +3

    Yaliyopita, kwenye dakika 😂

  • @MwizikuluSixtus-q5g
    @MwizikuluSixtus-q5g 5 годин тому +2

    Pamoja sanaa Leo nimekuwa wa kwanza naomba like zenu wadau tupo pamoja tunaomkubali shey shey

  • @Unique_girl02
    @Unique_girl02 5 годин тому +2

    Kuwahi ndio best❤

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 години тому +1

    sheishei unakosoa watu wenye kazi yao , kuwa makini

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 2 години тому

    Noma sana 😊😊

  • @DanielMassawe-um8yz
    @DanielMassawe-um8yz 2 години тому

    Atimaye imetoka nimesubiri sana😂

  • @ObediEmmanuel-f5x
    @ObediEmmanuel-f5x 5 годин тому +3

    Mimi wakwanza kutoka congo

  • @AnithaStiven
    @AnithaStiven 50 хвилин тому

    Hii imeenda nawapenda ❤❤❤❤

  • @PatriciaMshanga
    @PatriciaMshanga 5 годин тому +2

    ❤❤❤ pambe sana

  • @AlphaSilau-i7w
    @AlphaSilau-i7w 3 години тому +1

    tupo na wewe dada mpaka mwisho❤

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 4 хвилини тому

    MNATRACK SHEY SHEY MNAMJUA MNA MSIKIA MASHINE YAKAZI HYO SHEY SHEY 🎉🎉🎉🎉

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 2 години тому

    Sheila hii yako ni noma dada😮😮

  • @mariamomary6003
    @mariamomary6003 5 годин тому +3

    Sauti ya jambazi wa Sheila ooh my god

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 3 години тому

    Wee 🔥🔥 ongeza mda

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 4 години тому

    Hongereni sana kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉❤❤

  • @Sharohkenyatta-d3h
    @Sharohkenyatta-d3h 5 годин тому +2

    Kazi nzuri sheyshey and the group 😊

  • @slokidog
    @slokidog 2 години тому

    nimewayi leo big up sheyshey

  • @aminambwaga5417
    @aminambwaga5417 3 години тому

    Hongera sana sheishei

  • @chrismamesofficiel1996
    @chrismamesofficiel1996 5 годин тому +7

    Dadangu unafanya vizuli sana nitsku support sana

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 4 години тому +2

    Shey bado ujafanya chochote kwa kumpoteza askari bado unakazi ya kujinaswa katika hiyo kesi

  • @OnessyNyongesa
    @OnessyNyongesa 5 годин тому +3

    wakwanza nipe likes zangu from kenya

  • @HappinessQueenoflove
    @HappinessQueenoflove 5 годин тому +2

    From Kenya

  • @lindauma982
    @lindauma982 5 годин тому +2

    Afwande wa ovyo kazi ni hongo nkt😂

  • @MohammedBilali-n3e
    @MohammedBilali-n3e 10 хвилин тому

    Muwai kutoa muendelezo siyo adi mwakani

  • @CharlyKanduki-u9v
    @CharlyKanduki-u9v 3 години тому

    Yani mimi natamani kuwa kama cheychey niwe mkatili kama huuu cheychey ni Noma sana namkubali sana

  • @OMARYNJONSON
    @OMARYNJONSON 3 години тому

    Dada unajua kuigiza ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Rukia-x1r
    @Rukia-x1r 5 годин тому +2

    Nimewahi nami tuhuwan

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 5 годин тому +2

    Namimi nimeiwai leo

  • @JohnMutembei-o6y
    @JohnMutembei-o6y 5 годин тому +3

    Kazi safi

  • @Lovekidoti32
    @Lovekidoti32 4 години тому

    Shey shey watamkamata kwa mbinde sana

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla 3 години тому +1

    Afande waovyo nilijua tu mwisho wake shely naikubali movi yako

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 43 хвилини тому

    Kazi tamu

  • @noreennafula-zj8zp
    @noreennafula-zj8zp 3 години тому

    Nakukubali sheila😂😂

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 3 години тому +2

    Tunaomba uongeze muda,maana ukitoa ya yalotokea nyumaa na hayo mambo ya dakika zinakwenda basi tunabakiwa na dakika kama 10 tu za mchezo

  • @AgnessGondwe-p2h
    @AgnessGondwe-p2h 3 години тому

    Nimejitahd na mm leo jmn kuwah

  • @edisonkimaro4792
    @edisonkimaro4792 3 години тому +1

    Good job

  • @jennifercharls4991
    @jennifercharls4991 4 години тому

    Mnachelewesha af dakika chache sana

  • @JohariMakinda
    @JohariMakinda 5 годин тому +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AminaFuraha-r8f
    @AminaFuraha-r8f 2 години тому

    I like this video is so good❤❤❤

  • @NasrahMsiagi
    @NasrahMsiagi 3 години тому

    Waooh🎉🎉🎉

  • @deoselcom9701
    @deoselcom9701 3 години тому

    Ongeza muda

  • @Samuel-pu9qu
    @Samuel-pu9qu 5 годин тому +3

    Am the fast to day likes jamani

  • @bwakahamisi9607
    @bwakahamisi9607 3 години тому +1

    Safiiii🎉🎉🎉

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 2 години тому

    🙏🙏🙏🌺🌺💖💖💖💖💖💖💖💖🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yuui1878
    @yuui1878 3 години тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 4 години тому

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 4 години тому

    twede kazi saniiiiiii

  • @Unicesafari
    @Unicesafari 3 години тому

    Nice 👏 👏

  • @YassinKhalid-d3g
    @YassinKhalid-d3g 5 годин тому +2

    😅😅😅😅

  • @saumuzimba1160
    @saumuzimba1160 4 години тому

    nani mwengine ameona sheyshey kavaa kidanga cha 🇰🇪

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 11 хвилин тому

    Shey shey🎉🎉🎉

  • @BoraMwavita
    @BoraMwavita 50 хвилин тому

    Sheila Sheila kwann unaongeza kesi juu yakesi dada?? Duuh.

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je 5 годин тому +2

    😢😢😢😂,

  • @Alkebulan-Afrika
    @Alkebulan-Afrika 2 години тому

    Hacking memeionesha kama kitu rahisi sana daah

  • @FarhaniSelemaniRamadhani
    @FarhaniSelemaniRamadhani 4 години тому

    shey shey 🔥🔥🔥🔥

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 4 години тому

  • @FurahaHamiss-v8o
    @FurahaHamiss-v8o 4 години тому +1

    😂❤❤😂

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 4 години тому

    🎉🎉🎉

  • @Tabitha-y4f
    @Tabitha-y4f 4 години тому

    ❤❤❤

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 4 години тому

    ❤❤

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u 4 години тому

    ❤❤❤❤

  • @RizikiMchome-l5s
    @RizikiMchome-l5s 4 години тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @usterbae
    @usterbae 4 години тому

    ❤❤❤

  • @FaithKayamba-ji5lx
    @FaithKayamba-ji5lx 3 години тому

    ❤❤