Kamati ya Bunge imemuhoji RC Makonda leo Dodoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @demansumwa7839
    @demansumwa7839 7 років тому +2

    hivi kweli bungee Lita muadabisha au ataendela kulindwa

  • @allyfaraji907
    @allyfaraji907 7 років тому +3

    raha sana ukiwa na Mb.

    • @maryamreema2018
      @maryamreema2018 7 років тому

      Ally faraji sana baba

    • @maryamreema2018
      @maryamreema2018 7 років тому

      Ally faraji sana baba

    • @mutakabaka
      @mutakabaka 7 років тому

      Ndugu unaanza kutamba tena au ndo nyie mia tano mnaiita jero..

  • @dhhvjfjbcj3232
    @dhhvjfjbcj3232 7 років тому +1

    Wapo kweli baadhi wa wabunge wanalala kweli

  • @harounali1626
    @harounali1626 7 років тому +4

    Hadhi alopewa hapo inaonesha kuwa, yeye yupo juu kuliko kamati ya bunge ilomwita.
    Kamati imekaa inasubiri yeye mwenye kuhojiwa, na wala si yeye awepo hapo asubiri watakao mhoji. Itifaki ime zingatiwa.

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 років тому +2

    Angefungwa Kwanza, Alafu ajitetee badae, yeye ndivyo alivyo wafanyia wenzake.

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 7 років тому

    ndezi hao kwani awalali kweli bungeni.tena makonda anisahau kuwaambia wanapiga mipasho tu. makonda kachape kazi kweli kweli

  • @joramlondomanyika6612
    @joramlondomanyika6612 7 років тому +4

    Habari za huyo mlikubaliana msitangaze vipi tena unafki au

    • @rajabomary5280
      @rajabomary5280 7 років тому +1

      Joram Manyika wametangaza kwa niaba ya kamati ya bunge sio makonda

    • @khadijawendomwachirenje3513
      @khadijawendomwachirenje3513 7 років тому

      Rajab Omary maudhui ya kikao hicho NI Nini ama NI Nani ? akili ziamke

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 7 років тому +1

    Watanzania wote tunajua kuwa baadhi ya wabunge wanalala bungeni kwasababu kasema adui yao MAKONDA ndo imeonekana kosa #UKWELI UNAUMA 😏

  • @brucechonjo3417
    @brucechonjo3417 7 років тому +3

    episode ya ngapi hii tena..

  • @kaposweatamka4709
    @kaposweatamka4709 7 років тому +1

    hii ni behind the scene

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 7 років тому +4

    hawajatoa habari ya makonda wametoa habari ya kilichotokea kwenye kamati ya bunge ,lakin makonda akifanya jambo lake kama kutekeleza majukumu yake kama mkuu wa Mkoa hawatariporti kama ikatokea jambo fulan ambalo linamhusu mkuu huyu lenye taswira ya kumkosoa basi litaripotiwa .

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 7 років тому

    ukweli unauma tu.ila kweli baadhi ya wabunge kazi kusinzia tu wakiwa bungeni
    na kupija mabenchi afadhali makonda na ww umeliona ilo

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 років тому

    Kazi zake tu ndio hazitangazwi, Hiyo ni habari ya mashtaka na ndio tulio ingoja mda mrefu.

  • @herbertmsirikale6940
    @herbertmsirikale6940 7 років тому +2

    Kuna watu nao ni mandezi humu,nawaona tu

  • @ramadhanmbilinyi1815
    @ramadhanmbilinyi1815 7 років тому +1

    me nasubiri nijue wanasiasa walivyo

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 7 років тому

    😂😂 mgomo mchezo mtakula wapi? Leo kila kona Makonda , RC Makonda maji usipoyaiga utafanya,

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 7 років тому

    Makonda ni mchapa kazi bwana....waTanzania tunayo akili

  • @sharifuamuli4519
    @sharifuamuli4519 4 роки тому

    Wabunge wa cmm wananalala kweli tunawaona nasikulala kwausingizi wabunge wasiolala niwabunge wachama chaupinzani hao uwa hawalalagi kabisa nawao ndo watoa oja bungeni wabunge waccm wakiamka tu utasikia taahari wanakrupukaga usingizini hawaelewi kinachoongeleka wao wako tharf zakupinga hoja za wapinzani nakupgia makofi taharf za zawanaccm wenzAo namuunga makonda mkono kwaili yupo sahh

  • @zuleajuma1734
    @zuleajuma1734 7 років тому

    lakini mbona mulisema hamtoi habali yake

  • @izeman7633
    @izeman7633 7 років тому

    tulia ww
    joel joel tuliza

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 7 років тому +2

    Relax RC wakimaliza kukuhoji na wakatoa ripoti, rudi kachape kazi kwa Kishindo mpaka, yule pastor uliye mkalia koo avimbe, wanahabari, na wanao kuchukia WAPASUKE

    • @Teksani
      @Teksani 7 років тому

      Sonjohn W. Joram nani amuachie a relax? KAZI ATAFANYA NA UPUMBAVU ATAACHA.

  • @selemankindamba9485
    @selemankindamba9485 7 років тому

    Makonda kama maji 2 ucpooga utakunywa walikulupuka kuzungumza walichozungumza.

  • @khadijawendomwachirenje3513
    @khadijawendomwachirenje3513 7 років тому

    nyie pia mnaosema hawajatoa habari za makonda mnaupungufu was fikra sana

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 6 років тому

    kwan uongo hawasinzii? mbona tunawaona kwa macho yetu? kusinzia kupo kwa aina nyingi na sisi huwa tunaona.

  • @rajabuabdallah3840
    @rajabuabdallah3840 7 років тому

    HAWA WANDISH VP XWALSEMA HAWATATOA HBAR ZNAZO MUHSU MKONDA

    • @emmanuelnyansiro8636
      @emmanuelnyansiro8636 7 років тому

      huoni ni kuhusu bunge kwani ni habari binafsi ya makonda

    • @erickhaule8680
      @erickhaule8680 7 років тому

      muwage waelewa muda mwingine msiwe vichwa maji hiyo ni habari inayohusu kamati ya bunge

    • @tanzaniakwanza9564
      @tanzaniakwanza9564 7 років тому +1

      ata kama inahusu bunge, ila habari likiisha tajwa jina la Mkuu huyo wa mkoa basi habari inamuhusu maana yy ndo muhusika