JE YAFAA KUOA KWA SIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 111

  • @aishamwinyi7820
    @aishamwinyi7820 Рік тому +2

    Mashaallah mashaallah Allah kulipe shekh wetu kwa ufanunuzi

  • @khadijaally8676
    @khadijaally8676 4 роки тому +3

    🤣🤣🤣Kumbe watu watamani kuoa kwa siri lakini huchaaa.... Hii kali sana

  • @hubaamuj5129
    @hubaamuj5129 5 років тому +5

    Subhannallah! Khery siri ; bora afya na uzima. Sababu ya dhahiri shairi inaumiza hususan kama unaongezewa wapili... In sha Allah Allah atuongoze katika sunnah za Mohammad (SAW) pia za kufunga Jumatatu na Alkhamis In sha Allah! Saum Maqbool kwa wenye Saum!

  • @ModdySalim
    @ModdySalim Рік тому

    ALLAH barik shekh wangu

  • @toptv4473
    @toptv4473 4 роки тому +1

    Allah akupe umri mrefu uzidi kutujuza

  • @aishasuleiman4129
    @aishasuleiman4129 3 роки тому

    Shukran shkh.....jazakaallahu kheir

  • @ramlataayat9999
    @ramlataayat9999 4 роки тому +2

    Hahaha msemaa kweli n mpenz wa Allah kweli

  • @monnyselly2317
    @monnyselly2317 5 років тому +3

    Nice teaching

  • @upendokwawote
    @upendokwawote 6 років тому +2

    Tafadhali Usisahau kuisabscribe
    Channel hii "UPENDO KWA WOTE"
    1.Aina za UTAPELI wa waganga
    👇
    ua-cam.com/video/bN3XdCAYqlw/v-deo.html
    2.Uchawi ni kutapeli kisaikolojia
    👇👇
    ua-cam.com/video/DQ89QIFflJY/v-deo.html
    3. MtaaLamu wa Afya Muhimbili anazugumzia Uchawi
    👇👇👇
    ua-cam.com/video/qYi03KFplwQ/v-deo.html
    4.Aliyekuwa mganga wa kienyeji Aupinga Uchawi
    👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/hn3qbopSTJA/v-deo.html
    5.Allah anawasaidia waislamu wakweli wasilogwe
    👇👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/apmj-63Gm0o/v-deo.html
    6.Ujinga Katika Uchawi
    👇👇👇
    ua-cam.com/video/soDAWj3UF_I/v-deo.html
    7. Utapeli wa wachawi na nguvu zingine
    👇👇👇
    ua-cam.com/video/uYsGx2f_UgE/v-deo.html
    8.Waganga wadanganifu wanafuatiliwa
    ua-cam.com/video/NAypDZLqKec/v-deo.html

  • @aminanahimana8759
    @aminanahimana8759 2 роки тому

    Duuh Allah atuongoze mana wivu nao

  • @sharifapazi3259
    @sharifapazi3259 2 роки тому +1

    Duuh hatar ndio ya siri inamashaka

  • @rajabukidiza1180
    @rajabukidiza1180 4 роки тому +1

    mashalah. nimejifunza

  • @mohdally9629
    @mohdally9629 6 років тому +4

    Ukosawa shekh

  • @anchaoliveira207
    @anchaoliveira207 5 років тому +1

    Sheikh kweli kufanya mambo wa siri raha sanaa

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 роки тому

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 роки тому

    Basiii ndiomtume alimuzesha mim sio mtume mpaka niozeshwe opo

  • @allyjuma3513
    @allyjuma3513 4 роки тому +2

    Ndowa bila walihii sio ndowa

  • @athmanihaji7771
    @athmanihaji7771 4 роки тому +4

    Siku utazigawa vipi mtu akioa kwa Siri,je uadilifu utapatikana hapo

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 роки тому

    Jazakallahkhery

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 роки тому

    Hehehehehe yafaa dooooh mtihani kwa wengine huo Sheick

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 роки тому +1

    Ni raha lakini mtu Akiwa akifa Yule mume pale ndio hutokea balaa sasa wale wanawake kila mtu ataka mali hapo

  • @hassanyusuf5154
    @hassanyusuf5154 3 роки тому +1

    Ilikeit

  • @alibajafar3356
    @alibajafar3356 5 років тому +3

    Ahsanta sheik izzudin Alwy mambo kama hayo😁

  • @maryamwilly8689
    @maryamwilly8689 Рік тому

    Nina swali sheikh je kuolewa na mume lakini mshahidi wawe c watu wa mume hio ndoa iko sahihi au hmna ndoa

  • @suleimanali9980
    @suleimanali9980 Рік тому +1

    Jengine umeoa kwa siri imetokea umauti kwa mume jee familia kubwa watakuja kuamini kua marehemu alikua na.mke mwengine?

  • @nassorhamad48
    @nassorhamad48 5 років тому

    ماشاءاللہ

  • @ahilmoti9824
    @ahilmoti9824 3 роки тому

    Ata Mimi sasa naenda kufanya ndoa ya siri

  • @adowhussein7917
    @adowhussein7917 5 років тому +1

    Sheik na jifunza menga jaza kalahu qer

  • @donnadonna4954
    @donnadonna4954 5 років тому +1

    😂😂😂 Shukran sheikh

  • @MaryamAbass-z1x
    @MaryamAbass-z1x Рік тому

    Mashekhe mnatuchanganya ss akiowa kwa siri huo uadilifu uko wapi na wanaume hutudanganya kuwa wamepata kazi za usiku mtu atakukimbia miezi iliopo halafu siku ukijua itakuwa sw hapo au ndio tutaonekana wanawake ss ndio wakorofi kweli hio nihaki baadhi ya wanaume wamekuwa waogo kuliko sie wanawake

  • @shabanisaidi8827
    @shabanisaidi8827 6 років тому +1

    Mashaalh

  • @amourrajab6061
    @amourrajab6061 3 роки тому

    je yafaa kumkataa mwanamke wakati umeshaenda kwao , na km inafaa huyu mwanamke akikuapiza maapizo yale yanaeza kukupata

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 5 років тому

    MASHALLAH ALEIK

  • @timelyali8037
    @timelyali8037 7 років тому +3

    hahaha ustadh pia ww wathamani

  • @sayyidtawaqal1754
    @sayyidtawaqal1754 5 років тому +4

    Shekh mm nimepata mchumba na maandalizi yote yamekamilika ila wazee wamenikatalia kwasababu ni mtu wa Tanganyika naumia sna

    • @travelwaka770
      @travelwaka770 5 років тому +1

      Wazanzibar hii dhambi ya Utanganyika na Uzanzibar inatawatafuna sana. Mnachukullia kana kwamba watanganyika ni makafiri

    • @richardvintan7798
      @richardvintan7798 4 роки тому

      Usifos ndugu me nilifos kuoa uko chamoto nimepikata mungu hawanusuru

    • @swaphiatysaid294
      @swaphiatysaid294 4 роки тому

      Hakuna lolote wazanzibar wana ujinga wa kuwabagua wa bara kwa mambo meng2

    • @rasulisimbano8342
      @rasulisimbano8342 3 роки тому

      Richard Vintan ulikutana na changamoto gani kaka?..

  • @ayushiayush5471
    @ayushiayush5471 5 років тому +1

    Shukurn

  • @suleimanshaban2140
    @suleimanshaban2140 5 років тому

    Nice

  • @abudually5444
    @abudually5444 5 місяців тому

    😂😂😂

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 5 років тому +1

    😁mashaallah

  • @salmakhamis8181
    @salmakhamis8181 4 роки тому +1

    swadakta

  • @ilhamprecious8816
    @ilhamprecious8816 7 років тому +3

    Mash ALLAH

    • @nassormohammed7079
      @nassormohammed7079 6 років тому

      MIMI SIO SHEIKH IKIWA HANA WALII KIVIPI LIWEKE WAZI SUAKA LAKO

  • @nasibuomary1692
    @nasibuomary1692 6 років тому +1

    Hapo SASA

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 3 роки тому

    Asalam alaikum sheikh wangu kuna mwanamke wakizungu kanipenda nimuowe yuko tayar kislimu ila na mimi nna mke hapa anasema kwao hairuhusiwi kuwa na wake wengi kwaiyo mpaka ipatikane karatasi inayosema mimi sijaowa, je nifanyaje sheikh ?

  • @omarali-em1zq
    @omarali-em1zq 5 років тому +1

    hapana mtume ameowa kwa siri ambao haitwi siri manake anasema akiulizwa isitoshe watu wote wajua

  • @shemsakiobya6146
    @shemsakiobya6146 5 років тому +1

    ni kero ndoa ya siri

    • @abdallahmuttaq7306
      @abdallahmuttaq7306 5 років тому

      Sasa wampinga shekhe tatizoekwako sio hio siri wewe hta hio thahiri hutaki

    • @bahatihadijabahati7456
      @bahatihadijabahati7456 5 років тому

      @@abdallahmuttaq7306 😂😂😂🙆‍♀️

  • @saidam6960
    @saidam6960 5 років тому

    Assalam alaikum

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 6 років тому +1

    Mashaaallah shee hiyo ndoa safi sanaa

    • @sheikhmdhaffarsulaimanmadi3833
      @sheikhmdhaffarsulaimanmadi3833 6 років тому

      Tupendane , Tuoane , tusitiriane wake kwa waume tuzaliane watoto wa halali > Lakini tueni makini Suala lakuoa Mashahidi nikitu muhimu na ihishimiwe ndoa hiyo kwani kunauwezekano wa malumbano

  • @samiarajabukiulashalila3737
    @samiarajabukiulashalila3737 6 років тому +1

    Maashallaa

  • @suleimanali9980
    @suleimanali9980 Рік тому

    Sasa sheikh ukioa kwa siri itakua mkeo.mpya humkalii.zamu?

    • @Mealiim6
      @Mealiim6 3 місяці тому

      Yale Yale ya mume kumuona siku Moja Kwa wiki Tena uck pekee baada ya kudanganya mkew kua anaenda night shift

  • @jamilaingu8403
    @jamilaingu8403 4 роки тому +1

    Walii mtu yoyote ama Ni mtu maalum

    • @mselemseifkisuke8815
      @mselemseifkisuke8815 4 роки тому

      Ni baba Wa binti kama amefariki kaka Wa binti

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 2 роки тому

      @@mselemseifkisuke8815 walii ni baba,halafu babu mzaa baba,halafu kaka, halafu baba mkubwa,halafu baba mdogo, fuata utaratibu huo

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 4 роки тому

    Hahaaaaaaa wanawake waislam mnakazi mnachangia uchi wa mwanaume hahaaaaaaa kwa heri waislam na makanzu yenu

    • @swaphiatysaid294
      @swaphiatysaid294 4 роки тому

      Km hauna cha kucomment bora unyamaze2 cc wote n waja wa M/mungu upoo

    • @rayasuleiman3494
      @rayasuleiman3494 4 роки тому

      Je hao wa dini nyengine wanachangia na vimada wangapi? Ni kher yetu sisi unamjuwa official unaechangia nae kuliko hizo dini zenu na vimada kama wote. Am proud 2 be a muslim

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 4 роки тому

      Nyie mtaa mzima unatembea nao hiyo sawa?

  • @danymsinga7048
    @danymsinga7048 5 років тому +1

    Mtume alioa wake wangap???

    • @luciekarry5180
      @luciekarry5180 5 років тому

      11

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому +1

      Dany Msinga hahaaaaaaa hakuoa alikuwa anawabaka tuuuuu

    • @danymsinga7048
      @danymsinga7048 4 роки тому

      @@petromachanga29 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rahmaameri2845
      @rahmaameri2845 4 роки тому

      @@petromachanga29 Inaonekana dini ya kiislamu inakukera sana broo!take care ila mola atakuongoza inshaallah

  • @Self_ish-l6i
    @Self_ish-l6i 3 роки тому

    na je mtu akioa kwa siri bila ustadh wala kadhi na certificate mtu ataipataje ustadh

  • @jumamachano7329
    @jumamachano7329 6 років тому +4

    Assalamu alaikum jamani naombeni namba za wasap za uyu sh

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 7 років тому +8

    Kwahiyo Mtume swallallahu Aleysalaam kwahiyo hakutoa mahali, pia kuongea na wazazi??

  • @mohammadshee1000
    @mohammadshee1000 6 років тому +1

    Huyu sheikh yuko msikiti gani jamani???

  • @mcoastcoast2033
    @mcoastcoast2033 6 років тому +5

    kuoa kwa Siri kuna raha yake na madhara yake. Iwapo mume nimgonjwa nahujulikani? na mauti yakimfika? hapo Sasa ndio itakuaje?

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 6 років тому +1

    Assalaam Alaykum Ustadh Izudin... Mwanamke kama hana Walii nani atakua Walii wake? Shukran.

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 років тому +1

      Kadhi aw shekhe kama sehemu anao ishi hakuna kadhi

    • @hazelbrown4712
      @hazelbrown4712 6 років тому

      @@IzudinAlwyDin Mtume S.A.W amesema haiswihi Ndoa isipokua na Walii sio? Sasa kama ndoa ya kwanza alifungishwa lakini hakua na Walii alikua na Mashahidi tu baada ya muda akaachika.. Ndoa ya pili sasa akitaka kuolewa je kwenye Cheti cha Ndoa kitaandikwa ndio ndoa yake ya kwanza kwa vile ile aloolewa mara ya kwanza hakua na Walii na imesemekana haiswihi ama Cheti kitaandikwa ni Ndoa ya pili? Natumai umelifahamu swali langu Ustadh. Naomba majibu yako please tuelimike wengi shukran.

  • @suleimanmazrui6942
    @suleimanmazrui6942 5 років тому +1

    Ali Mapinda mahali ndo nini?

  • @yaseenkara2305
    @yaseenkara2305 7 років тому +7

    Kwenye clip hii wasema ni ruska kuowa mke wa pili bila ya wakwanza kujua au hata baba yako.... name clip nyingine wasema kuowa mke wailing ni mpk update ruksa yani umwambie was Kwanzaa kuwa wat aka kuowa sasa tush ikebana lipi hapa shk. ..... maaana umeeulizwa na muulizaji kuwa ataka kuowa Ila wakwanza asijue na umesema ni ruksa

    • @najmahsabrinah4838
      @najmahsabrinah4838 6 років тому +1

      Yaseen Kara kama mkeo wakwanza uliwahi muuliza mara ya kwanza kakataa na wwe wataka kuowa waweza owa kwa siri mengine allah ya alam

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 років тому

      Whatsap Muulize sheikh Izuddin +254 701 662152

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 років тому +1

      Yaseen Kara nafkiri hujafahamu .
      Mume kuoa silazima ruhsa yamke wakwanza wala wazazi wake mume .
      Lakini nilazma mke anae muoa apewe idhni na wazazi wake na kuozeshwa na wahusika wamke atakae muoa .

    • @taimurfeisal1329
      @taimurfeisal1329 6 років тому

      Masha Allah, hata mimi ilkuwa sijaelewa mwanzo

    • @taimurfeisal1329
      @taimurfeisal1329 6 років тому

      Shkran sana

  • @MwanabasiShabani-hh6pf
    @MwanabasiShabani-hh6pf Рік тому

    @shabiryomy