Hicho ndo kitu ninacho tamani kua mzalendo na kuimba kwa njia za home ipo cku nitakuja cause Nina experience ya kuimba please madam siti amina napenda kuimba and then najua 😍😍😍
sina cha kusema wallah yaani mpo vzr sana na Allah atazidi kukufungulieni njia just muwe na subra tu maana kwa mziki huu mtafika mbali sana aminia nisemayo
Great mix of Ancient Zanzibari Music and fusion with Taarab, modern Taarab and what of the percussions? Wow!! MaashaAllah it's awesome. 2019 it's your year Siti and the Band. I have falled in love with your music and am number one fun.
Nliwaona Mara ya kwanza kwenye tamasha la sauti za busara wakiperfom live huu wimbo, nkakimbilia UA-cam kuwaona na tokea hapo nmekuwa shabiki wao mazima. Kazi nzuri sana
I am from India. What a melodious song. Very good vocals and instrumentation. But the greatest feature on this song is that it reveals a story which requires a complete book. Simply great.
Wow ,hii ndio maana halisi ya muziki ,yani kusema kweli mmefanya kazi nzuri kwanzia mpangilio wa ala mpaka wa sauti , da Amina na mwenzio nina wapa salute kwa kazi nzuri , video nzuri pia sana hata kama mtu haelewi lugha anaelewa kinachoendelea ,ipo kiuhalisia ,mme pendeza

Ahsanteni sana kwa maoni na upendo wenu kwetu. Much love to you fam thank you very much. Don't forget to like, subscrice and share.
Hicho ndo kitu ninacho tamani kua mzalendo na kuimba kwa njia za home ipo cku nitakuja cause Nina experience ya kuimba please madam siti amina napenda kuimba and then najua 😍😍😍
😘💕💗💗 best 🎥 and 🎶 of the year in love with it
sina cha kusema
wallah yaani mpo vzr sana na Allah atazidi kukufungulieni njia just muwe na subra tu maana kwa mziki huu mtafika mbali sana aminia nisemayo
Nice! ❤❤❤
Nakuona mbali sn nyie watu kama mtaenda kwa style hii keep it up
Very nice all the best
Najivunia kua mswahili kuzaliwa ukanda wa bahari ya hindi!!! Siti 🔥🔥🔥🔥
Great mix of Ancient Zanzibari Music and fusion with Taarab, modern Taarab and what of the percussions? Wow!! MaashaAllah it's awesome. 2019 it's your year Siti and the Band. I have falled in love with your music and am number one fun.
Goddess of music. You alike Apollo of ancient Greek
wow! found this by accident- so happy i did!!!!!! much love!
Ulinichanganyaaaa......hii Verse inagusa Moyo wangu!!!
Nzuri sana🔥🔥🔥
Nliwaona Mara ya kwanza kwenye tamasha la sauti za busara wakiperfom live huu wimbo, nkakimbilia UA-cam kuwaona na tokea hapo nmekuwa shabiki wao mazima.
Kazi nzuri sana
Sweeeeeeeeeeeetneeeeesssssss!!!!!!
your blessed!
Kazi nzuri sana Siti. Baraka tele...
Superb guys, I'm #musictechproducersoundengineer from DCMA....! @teamdcma
Authentic Zanzibar music from authentic Zanzibaris
the kinda music i can listen bila kuuchoka
I admire the music of zanzibar. Well done
Nimependa violin,imenimaliza akili hii nyimbo
MashaAllah this is music
I am from India. What a melodious song. Very good vocals and instrumentation. But the greatest feature on this song is that it reveals a story which requires a complete book. Simply great.
Nawaangalia clouds in all access now ndio najua kuna ngoma kali kama hii aisee big up sana the band
Wooooooo 👌 nice songe
Wow ,hii ndio maana halisi ya muziki ,yani kusema kweli mmefanya kazi nzuri kwanzia mpangilio wa ala mpaka wa sauti , da Amina na mwenzio nina wapa salute kwa kazi nzuri , video nzuri pia sana hata kama mtu haelewi lugha anaelewa kinachoendelea ,ipo kiuhalisia ,mme pendeza
Nimewaelewa sana kiukwel mungu asimame na nyinyi
zanzibar we can do this big up siti and the band NICE WORK
Mziki mzuri dadangu
Kazi imesimama
Labda hujafaham madam for sure ur the best singer
Gonga LIKE kwa siti the band💥💥#ZANZIBAR_STAND_UP
moto sana ... h
🔥 🔥 🔥🔥 🔥 I'm proud of you my fellow Fighters.
from now im your official fan❤❤
the real reeeeeaaaal Music....
Ipo bombs sana,
Safi sana Amina
❤❤❤
Hawawezi kuruhusu muingie main stream media mtawaonyesha mapungufu yao
🦋🦋🦋🔥🔥🔥
I wish i could be a rapper so i could 'murder' the beat. Nice work buddies.👏
Goood
nyimbo imetulia sana ila hapo anapo fanya '''''Aah''''pananikosha
Wow