Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
MashaAllah
dunia imewekwa tufanye hiviy. muigope mungu ewe Dada kuna zilzala inakuja
Wekeni nyimbo zake ni Siri ktk UA-cam km hivi ili kizazi Cha Sasa tupate kuzisikiaa
Msisingizie damu hakuna damu inayomsukuma mja ktk mabaya bali tumeambiwa tuchunge Nafsi zetu ktk kutenda maovu basi hayo ni nafsi yako Na kumfata iblisi muogope allah sauti ya mwanamke inataka stara Na music 🎶 ni haram tumuogopeni allah
Sitting binti Saad alikuwa mwalimu WA bi Kidude
Sura ndo hizo hizo dah