bismillah mashaallah shukran shekh nilikuwa nauliza vp nitashika msahaf nikasoma au cm na huku nikiwa nimefunga swala ama sio lazma kufungamanisha mikono
Habibty Nashwa Qiyamulayl inamaanisha kisimamo cha usiku , Tahajud iko ndan ya visimamo vya usiku, usiku kuna swala nyingi waweza kuswali, unaeza swali rakaa mbili za kutaka tawba , witri na vinginevyo ,Tahajud n ile unaamka unaswali rakaa mbili mbili na witri moja
omy Mwandike unamaanisha kuwa yuko nyuma ya imam au anaswali yy pekeake? Kama yuko nyuma ya imam aendelee kumsikiliza sura anazosoma imam, nakama yuko pekeake basii asome sura yyte ila n vyema kufata mpangilio yan ,kwanzia baqara Kurd chini au juzuu amma kwenda mbele

Mashallah
Shukurn san Allah akupe afya bora na mwisho mwema
Masha Allah,,,,somo zur najifunza mengi alhamndulilah shekh izudin
🙏🏾🙏🏾amin
Sheikh izudin Jazakallahu kheir
Shukran sheikh
ماشالله لا حول ولا قوة الا بالله جزاك الله الخير 🙏
bismillah mashaallah shukran shekh nilikuwa nauliza vp nitashika msahaf nikasoma au cm na huku nikiwa nimefunga swala ama sio lazma kufungamanisha mikono
ج جزاك اللهُ
Nimefaidi kwa haya mawaidha JazakAllah khayr Sheikh Izidun Alwy Din
Su su 4444r#4#44
Masha llah
Mungu.akujaalie.mwisho.mwema
Mash Allah
Mashaallah nimejifunza kitu
unakaa kimya ukimaliza alhamdulillah
unamskiliza imam
Sahihi .
Sheikh tafadhali tujibu maswali yetu na sisi ambao tupo mbali
Assalaam Alaykum Sheikh.... ipi tofauti ya Qiyaumu Layl na Tahajjud?
Habibty Nashwa Qiyamulayl inamaanisha kisimamo cha usiku , Tahajud iko ndan ya visimamo vya usiku, usiku kuna swala nyingi waweza kuswali, unaeza swali rakaa mbili za kutaka tawba , witri na vinginevyo ,Tahajud n ile unaamka unaswali rakaa mbili mbili na witri moja
Naje? Kwenye kuswali talawehe baada ya Alhamdulilay maamuma anatakiwa asome surati yyte anayojua au kuna Sura maalum
omy Mwandike unamaanisha kuwa yuko nyuma ya imam au anaswali yy pekeake? Kama yuko nyuma ya imam aendelee kumsikiliza sura anazosoma imam, nakama yuko pekeake basii asome sura yyte ila n vyema kufata mpangilio yan ,kwanzia baqara Kurd chini au juzuu amma kwenda mbele
omy Mwandike hakuna sura maalum
Raha sana kuswal sala za usiku ila tasbih
Chichi Abdallah : nina swali binafsi kwa mwenye kunisaidia tafadhali
shukran sheikh