Shukran yaa ustadh,, mwenyezimungu akujaalie kheri na atujaalie sote Duniani na akhera,,, hili darasa ni kubwa mno,,, mengi nimejifunza na pia Hali Hoshi kusikiliza,,, nimelirudia Mara kadhaaa,,,, mwenyezimungu akuhifadhi kwaajili yetu inshaallah🙏🙏
Ma shaa ALLAAH, unayo sema Izu niukweli mutupu,nyinyi mashukh,maustadh, mukitufundisha ndivyo sivyo basi mutatupotosha, hasa sisi wengine tunajua kuswali kwa dharasa zenu kwenye yutub kwahiyo hakikisheni munayo yasema niukwli, samehen kama nimewakwaza, mungu atawalipa kheri in shaa ALLAAH
sheikh Allah atuongoze sote maana ata huku waarabu wameumia na hizo simu anaweza kuwa yuko kwenye swala na akasikia simu yaita anakata swala anashika simu ALLAH atusamehe
Shukrani sana mungu akujalie umri mrefu
MaashaAllah tabarakaAllah mawaidha mazuri Allah akuzidishiee umri mrefu uzidi kutuelimisha kwauwezo Allah Asante saana 🙏🙏🙏
Maasha Allah Allah akuzidishie ilimu shekh na akukidhie unayoyahitajia
Mashallah... Nimefaidika sana shk wangu... Allah akutunze utufunze zaidi
Shukran yaa ustadh,, mwenyezimungu akujaalie kheri na atujaalie sote Duniani na akhera,,, hili darasa ni kubwa mno,,, mengi nimejifunza na pia Hali Hoshi kusikiliza,,, nimelirudia Mara kadhaaa,,,, mwenyezimungu akuhifadhi kwaajili yetu inshaallah🙏🙏
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
Shukran jazira shekh izudin Kwa kutupa darasa zuri Mimi nilikuwa nainua kichwa lkn nimejifunza kupitia wewe alhamndulilah Allah tabaarak'allahu kher🙏
Ma shaa Allah jazakaĺlah kheri.
Shukrani. ILLAH KARIM Atuwafikishe.
Ma shaa ALLAAH, unayo sema Izu niukweli mutupu,nyinyi mashukh,maustadh, mukitufundisha ndivyo sivyo basi mutatupotosha, hasa sisi wengine tunajua kuswali kwa dharasa zenu kwenye yutub kwahiyo hakikisheni munayo yasema niukwli, samehen kama nimewakwaza, mungu atawalipa kheri in shaa ALLAAH
Shukran sheikh
shukuran kwa daras nzur mungu akupe umr mref inshallah
Aameen
ALLAH akulipe kila lakheri na akupe mwisho mwema, mm cna elim ya dini ila najifunza kupitia darsa zako,
shukran sheikh Allah akulipe kher inshaallah
mashkura ustadh jazahlakheri
Alhamdulillahi, twafaidika kwa Mawaidha Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na kheir Aamiin
Lacica M c
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Chee niunge gwagroupe. Uliza ujibiwe upande wa wanawake. ahsante
Zuhura Kaneza +254701662152
Sheh tulifundishwa wakati moja kwamba hi salam in ajili ya malaika kuulia na kushoto
Jazaka'Allahu kheiran
Shukran. Jazakaallahu kheir
Shukran
Tunakuomba uje Dar es salaam,,, Tanzania
Ikiwa hunahakika kama umekamilisha rakaa au hajakamilsha ufanyeje.
sheikh Allah atuongoze sote maana ata huku waarabu wameumia na hizo simu anaweza kuwa yuko kwenye swala na akasikia simu yaita anakata swala anashika simu ALLAH atusamehe
Shukran jazakalahuya sheikh
Shukran sana ostadhi
Ishaallah
Mashaallah
mashaAllah
MashaAllah
Shehk Awes
sheikh kama una midadii
mashallah
Shekhe sisi huku tunae imamu akiswali pekeyake hukaa au akiswalishwa hukaa lakini akiwa yeye ndo imamu usimama mtu kama huyu fiqhi inamzungumziaje?
Darsamubaraka