🔴 LIVE: 10/01/2024 | PATA MUDA NA MUNGU | PR. DAVID MMBAGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 105

  • @marygoretysenga1119
    @marygoretysenga1119 7 місяців тому +7

    Mimi ningependa kutoa ushuhuda wangu.kuna somo ulitoa 2023 mwezi wa nne,kichwa kilikuwa ni IMANI HALISI.nimeisikiliza juzi na wakati wa maombi ulipofika ukaitana hivi....mtu yeyote Ana jambo lililoko mbele yako ambalo linakutisha.mimi kwa kweli nilikuwa ninaumwa kwa siku Tatu hivi kwa upande wa ini.niliamini kwamba maombi yalikuwa yangu kabisa...baada ya naombi mtumishi nishuhudie kwamba maumivu yalipotea na mpaka Leo siumw kabisa,nimepona.sifa na utufu ni kwa mungu....mkenya nairobi

  • @MjakaziGladys
    @MjakaziGladys 8 місяців тому +5

    Makufuatilia sana mchungaj japo mimi sio msabato... ubarikiwe na Mungu.

  • @rogerkambale9998
    @rogerkambale9998 8 місяців тому +10

    Pasta asante,niombee iliniwe n'a hekima,nimpende mungu tena zaidi, naomba Salama katika unyumba wangu,watoto wangu wakomae wakimpenda mungu

  • @bestsagara9938
    @bestsagara9938 7 місяців тому +2

    Nabarikiwa sana kwa haya mahubiri, Bwana aendelee kukutumia vyema. Hakika tutamshuduia Mungu kwa makuu anayotenda maishani mwetu.

  • @amoskaghoma2410
    @amoskaghoma2410 8 місяців тому +2

    Asante kwa baraka hiii kubwa,mimi ni amosi toka kongo

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 8 місяців тому +8

    Ni mbaraka mwingine tena wa siku 10 za maombi, tunaamini tutaendelea kutua mizigo, tutainuliwa kwa namna ya pekee na tutawekwa huru in the name of Jesus amen.

  • @user-gn5bw4dr1e
    @user-gn5bw4dr1e 8 місяців тому +1

    Nîme shiriki ibada toka nyumbani mwangu apa GOMA, Kivu ya KASKAZINI, D.R.C
    Nina omba msaada kwa pasta MMBAGA ya maombi kuhusu kazi yangu ya upasuhaji wa mabati na mkaa amboyo ina kwama
    MUNGU anisaidie nipate 'amna ya kuya tosha msituni na kuya fikisha sokoni
    Mimi ni LUSANGI WABEKA WILLY
    Asante

  • @zaitunimkanyagasi6501
    @zaitunimkanyagasi6501 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe Sana pasted,naomba uniombee niwe wakumpendeza Mungu na wanadamu,na nipate mume wangu wakunipendeza

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq Місяць тому

    Amen amen amen pastor.
    Mungu anazidinkukutumia na hakika unanibariki.
    Wakati mwingine nakosa kabisa muda lakini kidogo ninaopata nakufwatilia sana na mahuniri yako yamenitoa mbali sana.

  • @gloriamasaka7635
    @gloriamasaka7635 8 місяців тому +2

    Asante sana kwa siku 10 za maombi, hata karibu na kwetu hakuna maombi ya siku kumi, nimeshukuru kupata mpango huu, barikiwa

  • @josekaselele4492
    @josekaselele4492 6 місяців тому

    Barikiwa Pastor Mungu azidi kukuinua na kukutunza nabarikiwa sana na mafundisho yoteeee yako utunzwe na Bwana

  • @olpajeremia3210
    @olpajeremia3210 8 місяців тому +2

    Nabarikiwa mnooo na mahubiri haya pr Mbaga.Niombee Binti yako olpa Jeremiah fanuel wa Kivule msongola.Nasumbuliwa mnooo na kuvimba miguu😭🙏🙏

  • @JohnThadayo
    @JohnThadayo 7 місяців тому

    Nabarikiwa sana na mahubiri mazuri na mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏

  • @user-ii2li2mp8p
    @user-ii2li2mp8p 8 місяців тому +1

    Tumshukuru Mungu kwa kutupatia mtumishi wake pastor mmbaga atupatia ujumbe kutoka kwa Mungu mwenyewe Mungu mbariki mtimishi wako nabarikiwa sana na pastor mmbaga

  • @VictoriaJuma-dw7im
    @VictoriaJuma-dw7im 7 місяців тому

    Amen Mungu atubariki sote

  • @user-pc3hv8zc5m
    @user-pc3hv8zc5m 7 місяців тому

    Nabarikiwa na neno la mungu

  • @philmonnem7294
    @philmonnem7294 8 місяців тому

    Mungu azidi kukutunza pastor

  • @maishamahukualimas7116
    @maishamahukualimas7116 7 місяців тому

    mungu wetu aku bariki papa pasta

  • @Annie-mg7sz
    @Annie-mg7sz 7 місяців тому

    Aksante sana pastor, nimebarikiwa sana. Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema kwani naamini baba yetu wa Mbinguni amekuandaa ili uongoe roho za watu wengi zaidi ya walioisha ongoka. Hakika masomo na mafundisho yako ni unique na yanagusa maisha yangu katika namna ya pekee . Masomo yako nikiyasikiliza kila siku kabla sijalala na kuwa nalala na imani thabiti ready to face the next day kwa imani kwamba usiku wote sihitaji hofu. Ninapoyasikiliza Asubuhi yananifanya nione nishafanikiwa katika plan zangu za siku na kuondokana na mawazo mabaya yanayonionyesha kwamba mimi sio mshindi. Aksante my pastor kwa kunifundisha kwamba kitendo cha kwamba nilizaliwa mimi tayari ni mshindi .....statement hiyo inanipa nguvu na ujasiri wa kiutendaji. Aksante pastor kwa mafunuo mazuri.

  • @user-ep9by3ui1v
    @user-ep9by3ui1v 8 місяців тому +1

    ❤utusaidie mungu baba tukupende zaidi ya yote🤦‍♀️

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 8 місяців тому

    Ubarikiwe sana pastor Mmbaga kwa mafudisho mazuri MUNGU azidi kukutunza pamoja na familia yako na barikiwa sana na mafudisho yako Baba yangu

  • @ROGERBerbatov-yg7ws
    @ROGERBerbatov-yg7ws 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu

  • @joyceademba6573
    @joyceademba6573 8 місяців тому

    Ameen,nami naomba boss wangu anisikilize siku za ibada aweze kuniruhusu

  • @user-fi9ef2rd8k
    @user-fi9ef2rd8k 7 місяців тому

    Naamini Mungu hujibu maombi tukiamini

  • @josphatmogaka8668
    @josphatmogaka8668 7 місяців тому

    Amen

  • @esthermsenye6894
    @esthermsenye6894 8 місяців тому

    Amen🙏🏽

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 8 місяців тому +1

    Pastor hakika nimebarikiwa sana na hili somo

  • @hamzajamaica
    @hamzajamaica 8 місяців тому +1

    Tuombeye mungu atupe nguvu ya roho mtakatifu

  • @mulokozididace3051
    @mulokozididace3051 8 місяців тому

    Barikiwa sana

  • @josephinashogela903
    @josephinashogela903 8 місяців тому +2

    Amen ni Imani yangu kuwa ndani ya siku kumi za maombiBwana ataleta badiliko kubwa kwa walio lake. Be blessed all.

  • @JusterKendi-si9wo
    @JusterKendi-si9wo 8 місяців тому +1

    Mwalimu mzuri sana. Nashukuru sana pasta

  • @user-pc3hv8zc5m
    @user-pc3hv8zc5m 7 місяців тому

    Mungu akubariki

  • @jannykomu5345
    @jannykomu5345 8 місяців тому +1

    Pr,niombee niponye magonjwa na ndoto zinazonisubua mimi na familia yangu.

  • @thabitawanka963
    @thabitawanka963 8 місяців тому +1

    Mungu akutumiye watu maelfu waokolewe sifa nikwa Mungu

  • @MashakaSaid-gh5ot
    @MashakaSaid-gh5ot 8 місяців тому

    Jaman naomba muniombee katika jozi zangu nataka kuwa mtumishi shambani mwa Bwana

    • @magrethsayi
      @magrethsayi 8 місяців тому

      Amina mungu akutendee sawa sawa na mapenzi yake be blessed

  • @sarah.robert428
    @sarah.robert428 8 місяців тому +1

    ameen pr

  • @tunzodaniel7700
    @tunzodaniel7700 8 місяців тому

    Pr Mungu akubariki kuna changamoto kwenye hili somo kuna sehem sauti haisikiki maana nimelidowlord naamini litafanyiwa kazi

  • @calebmakori
    @calebmakori 8 місяців тому +1

    GOD amuses me every day and i thank Him for the sermon because you preached what i was praying for i have no doubt that God is talking to me and He has answered my prayer

  • @user-oo4ms3qk6t
    @user-oo4ms3qk6t 8 місяців тому

    Nakuelewa sana pastor naitwa risper juma Niko hapa kigambon

  • @user-sh8nk8er7n
    @user-sh8nk8er7n 8 місяців тому +1

    Kweli Pastor niombee kusimama na neno la Mungu na Roho Mtakatifu

  • @JusterKendi-si9wo
    @JusterKendi-si9wo 8 місяців тому +1

    God is Great. Thanks pst David

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 8 місяців тому +2

    God is good, Pr.

    • @JudthSamson
      @JudthSamson 8 місяців тому

      Mchungaj naomba nsaidie kuombea familia yangu tuepushiwe na magonjwa

    • @DIANAMAGEMBE-dy9um
      @DIANAMAGEMBE-dy9um 7 місяців тому

      Hakika Mungu anatenda amini

  • @kaviravagheni
    @kaviravagheni 2 місяці тому

    Pasta nami najekeka sana namafundicho yako.mimi natoka kwenye inchi ya congo.uniombeye nami nipate mtoto kwenye ndoa yangu

  • @Kerubo262
    @Kerubo262 8 місяців тому +1

    Amen Amen. May God bless you all.

  • @bobog9732
    @bobog9732 8 місяців тому

    Amina amina

  • @esthersawiga9979
    @esthersawiga9979 8 місяців тому

    Mungu azidi kukulinda Pastor Mmbaga 🙏

  • @sarajoana6383
    @sarajoana6383 8 місяців тому +1

    Amen ubarikiwe sana

  • @rosemuia
    @rosemuia 8 місяців тому +1

    Amen Amen growly to JESUS mjungaji jm blessed niko nakijana anakunwya pombe vibaya anitwa Daniel naiitaji maombi yako namini mungu atatenda yalio mema jm in saudi

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  8 місяців тому

      Mungu atende muujiza kwa Daniel. Ninamuombea

    • @rosemuia
      @rosemuia 8 місяців тому

      @@MahubiriPrMmbaga Amen Amen growly to JESUS mjungaji naamini

  • @CristelleZIHALIRWA-oi7ok
    @CristelleZIHALIRWA-oi7ok 8 місяців тому

    Asante muchungaji naombi moja kwa Siku 10ya maombi napenda mungu anilinde Pia napate kujuwa namna ya kufundisha Neno lake takatifu , niwe kama wewe muchungaji

  • @marymshana9868
    @marymshana9868 8 місяців тому +1

    Glory to God

  • @naomijoseph7749
    @naomijoseph7749 8 місяців тому

    Nime Barikiwa Sana sana Barikiwa mtumishi

  • @MokiliJack-pd5gu
    @MokiliJack-pd5gu 8 місяців тому

    Aminaa Mungu aendelee kukutumia nabarikiwa sana

  • @Kivukutv
    @Kivukutv 8 місяців тому

    barikiwa muchungaji mimi ombi langu kubwa ni kwamba mwisho wa siku kumi niwe nime pata karama ya uponyaji

  • @anchillakagombola93
    @anchillakagombola93 8 місяців тому

    Barikiwa Mchungungaji.Tumepata mengi.

  • @user-nu6td3bj5g
    @user-nu6td3bj5g 7 місяців тому

    Kanzi ya bwana tuko tnabalikiwa sana mm na familia yetu yote mungu akulinde na ww

  • @user-nu9pd7yo8m
    @user-nu9pd7yo8m 8 місяців тому

    Pasta niombee nizidishe ukaribu na mungu

  • @mariamwalongo
    @mariamwalongo 8 місяців тому

    Mungu atukuzwe Mtumish Mungu akubariki kwahuduma

  • @user-wy9bk6zv8h
    @user-wy9bk6zv8h 8 місяців тому

    Ubarikiweeee saana mchungaji

  • @AngelinaSimion4
    @AngelinaSimion4 8 місяців тому

    Mungu n mwem n barikiwa n mahubir Aya kupitia chanel muhubir tv asanten

  • @BettyGodfrey-uf6ji
    @BettyGodfrey-uf6ji 8 місяців тому

    Somo nzuri sana , nimebarikiwa

  • @user-ii1zb2vz1l
    @user-ii1zb2vz1l 8 місяців тому +1

    Niombeee Mungu aendelee kusimama na Mimi Kwenye changamoto za maisha

  • @tinnatinna1548
    @tinnatinna1548 8 місяців тому +1

    Hakika Mungu atufungue kupitia siku 10 za maombi.

  • @evalineodira8680
    @evalineodira8680 8 місяців тому

    Prayformorher

  • @user-fx2qd8tz4c
    @user-fx2qd8tz4c 8 місяців тому

    Wapi hapa

  • @Hellen466
    @Hellen466 8 місяців тому

    Nimebarikiwa sana na somo hili

  • @anchillakagombola93
    @anchillakagombola93 8 місяців тому

    Barikiwa mchungaji,tumepata mengi.

  • @user-hw4zn2zy3y
    @user-hw4zn2zy3y 8 місяців тому +1

    Yesu anaendelea kujikaza na ninabarikiwa na kipindi hiki maana nazidi
    Kujua siri ya maombi sasa

  • @user-ce4wr6oy3i
    @user-ce4wr6oy3i 8 місяців тому

    ameen mungu sikia maombi yetu

  • @user-dt7jl7bi7e
    @user-dt7jl7bi7e 8 місяців тому

    Katika maombi haya mungu afungue watu wake

  • @user-mm5ec9ei8t
    @user-mm5ec9ei8t 7 місяців тому

    Nimependa mahuburi haya. Mwenye no yake jamani naomba

  • @suzanamachango3000
    @suzanamachango3000 8 місяців тому

    Mungu wangu naomba unisaidie nipate muda wa kuongea nawe.
    Asante sana kwakuwa unatenda.
    Barikiwa pr.

  • @MashakaSaid-gh5ot
    @MashakaSaid-gh5ot 8 місяців тому +1

    Tuombe pia tumshinde shetani kabisa asipate nafasi hata kidongo

  • @nm1617
    @nm1617 8 місяців тому

    Naomba ile namba ya kutuma maombi

  • @user-gp2kj2wj5l
    @user-gp2kj2wj5l 8 місяців тому

    Naomba msaada wa number ya pastor mmbaga

  • @nangasuamani8773
    @nangasuamani8773 8 місяців тому

    Samahani naomba kujua mnarusha kutokea wapi

  • @sarafinamtweve9462
    @sarafinamtweve9462 8 місяців тому

    Nahita kumpenda MUNGU kuliko kitu chochote

  • @user-gp2kj2wj5l
    @user-gp2kj2wj5l 8 місяців тому

    Naomba msaada mwenye number ya Pastor Mmbaga

    • @magrethsayi
      @magrethsayi 8 місяців тому

      Me pia nahitaji no ake

  • @mayacherie3271
    @mayacherie3271 8 місяців тому

    Amen

  • @zaitunimkanyagasi6501
    @zaitunimkanyagasi6501 8 місяців тому

    Ubarikiwe Sana pasted,naomba uniombee niwe wakumpendeza Mungu na wanadamu,na nipate mume wangu wakunipendeza

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 8 місяців тому

    Ni mbaraka mwingine tena wa siku 10 za maombi, tunaamini tutaendelea kutua mizigo, tutainuliwa kwa namna ya pekee na tutawekwa huru in the name of Jesus amen.

  • @user-pc3hv8zc5m
    @user-pc3hv8zc5m 7 місяців тому

    Mungu akubariki

  • @philmonnem7294
    @philmonnem7294 8 місяців тому

    Mungu azidi kukutunza pastor

  • @user-gp2kj2wj5l
    @user-gp2kj2wj5l 8 місяців тому

    Naomba msaada wa number ya pastor mmbaga

  • @user-tc4hh8xs5t
    @user-tc4hh8xs5t 8 місяців тому +2

    Amen

  • @philmonnem7294
    @philmonnem7294 8 місяців тому

    Mungu azidi kukutunza pastor

  • @philmonnem7294
    @philmonnem7294 8 місяців тому

    Mungu azidi kukutunza pastor

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 8 місяців тому

    Amen

  • @elizabethmanongi15
    @elizabethmanongi15 8 місяців тому

    Amen

  • @user-yc3wt9zg3v
    @user-yc3wt9zg3v 8 місяців тому

    Amen

  • @JusterKendi-si9wo
    @JusterKendi-si9wo 8 місяців тому

    Amen

  • @user-rm1mm4ns7z
    @user-rm1mm4ns7z 8 місяців тому

    Amen

    • @mirajivalentine6183
      @mirajivalentine6183 8 місяців тому

      Nabarikiwa na Maombi na mahubiri yako, Mchungaji naomba uniombee Mungu anijaze roho mtakatifu, watu ninaowadai wanilipe pesa zangu niliowakopa, nipate ujauzito ndani ya mwaka huu

  • @michelinaakope761
    @michelinaakope761 8 місяців тому

    Amen

  • @user-gp2kj2wj5l
    @user-gp2kj2wj5l 8 місяців тому

    Naomba msaada wa number ya pastor mmbaga