NEW QASWIDA 2021 - SH. HAFIDH NA AHLUL - FURAHA YA EID AL ADHHA (OFFICIAL VIDEO HD)
Вставка
- Опубліковано 18 лип 2021
- Kwa wale wenye mapenzi na kazi zetu Tafadhali usiache ku Subscribe Like na Kutoa Maoni yenu katika sehemu ya comment .
Hii ndio UA-cam rasmi ya Sh. Hafidh wa AhLul Madina
Tafadhali Share na Wengine.
Kma unamkubali ustadh hafidhi naomba like yako.
Ivi kwel.sheik hafidhi Bado hajazeeka tu❤❤❤❤❤❤❤qaswida zake nazipenda kikwel inshallah mola hakupe umri mrefu
Weuweeeeee pambeee mashaaallah mashaaallah ustadh hafidh mm nakupendag hunag mbaya cku zote kitu roho inapenda
Mashaallah sana ahlul madina
Mashaallah Mashaallah 🎉🎉🎉🎉
Hakika nakukubali asilimia 100% mashaallah kasida imeenda na mauzui ya yot yaliyomo kweny eid zetu zote mbili mungu akuongoze kwenye njia sawiya akuondolee husda na chuki za walimwengu
Mashaallah hyo mwnye mwanya hongra sh hafadh kwa pozi to watakoma Mashaaallah
Mashaallah mpk mashaallah tena my fevarate qwaswida
Et ngoma watu wasema mashaallah mhhhh diamond wa znz
Weehhh mashaallaahh jomonii😘🥰
kamaunamkubali hafidhi gonga like yako
Mashallah qaswida zako zanikosha sana she hafidh kama ile ya da fatuma na ya mahari
Mashaallah Kaz mzur Sheikh Hafidh nawote muloungama kuleta Qasweeda yenye ujumbe mzito ndan ya Eid🌙🕋🇹🇿
Mashaallah allah
mashaallah KAZI nzuri kheir njema zaniliwaza kaswida zako wallahi
Ustdh hafidh bna we nomaa...yan uko vzr balaaa...nakupendaa🥰😘
Mashaallah ❤️
Masha Allah
Masha allha
Baba uko vzr sana sh. Hafidh huna mpinzani kwa Tanzania ww ni sw na baba lao
Mashala qaswida is powerfect skher hafidh
Fundi wa qaswida shekh hafidh safi sna hawakuwez
Safi sana kwakweli kazi nzri kabsa na Hongera sana Lamasia .................
MASHALLAH ALLAH AZIDISHE UBORA WAKO
Dah shehe hafidh unaweza bwana dah ww ndye diamond wazanzibar wallahy
Hahaha
Mwanmke utamuona ndan ya ramadhan anaenda kuban sidi ya kaswida aweka kwenye TV kuanzia asubh had jion lakin QUR'AN haigusi hadi ramadhan ina pita kusikiliza kwake kwasida ndiyo ibada kubwa kwake yey na tusha katazwa ngoma basi hizo ngoma jizuwiye hta mwez uwishe laaa hpana tunaenda kwa MUNGU tutaulizwa wallah najua wapo watakao chukia haya nisemayo kwasbb Kwao wao kasida ndio ibada kubwa sna kitu ambacho Allah amesha kataza usinitaje kwenye ngoma la usiniombe kwa ngoma Qur'an imeshushwa ndan ya mwezi mtukufu wa ramadhan lakin haina na fasi kwenye mioyo yetu ila kaswida zina nafasi kubwa sna Inna lillah wainna ilayhi raajiuun
Mashaallah 🙏🤲 ahluli madina ALLAH awape afya njema DUNIAN na kiama
Mashallah kikundi cha Ahalmdina mashairi yenu mazuri nnajua haswaa kutunga kila mnayoitoa inashinda mwenzie sio wale wa mipasho i
Nawapenda sana ❤❤
Eid mubarak for all Muslim 💖💖💕💝
mashallah🙏🏾🙏🏾🙏🏾💔💔
Safi sanaaa kaka
Maalim hujawah kutuangusha...💪
Mashaallah
❤❤❤ yupo vizur sana mashaa llah
Masha Allah nakupenda sana hafidhi
Mashallah❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mashallah🤝🤝🤲🤲👍👍🙏🙏
Mashallah
Mashallah khalifa hatmae umezba pengo flani ivi Mungu awahifadhi nyote in shall ah🤲
Kabisa
Ivo vitu va kiomani ndo vinimalizavo...MaashaAllah
Sheikh nakkuballyyy na team yako👍👏👏👏
Hongera zko sh hafidh💜
Dahh nakubali kz shekh hafidh kila hatua dua
Hatuna mbay ahlul madina
khafidhi kanenepa vibaya
Masha Allah kuwa nasauti kavu na yakuvutia huchoki kuiskiliza
mashaAllah Allah awazidishie vipaji vya kuimba qaswida
Masha allah
Mashaalllah
Mashaaalah
kazi nzuriii mashallah
Maashaallah
Asntee kutuletea mpyaaa sh hafidh wetu hutuangush
Hongeraaa
Mashallah qaswaida
Nzr sanaaa Nimepend hiyooo
Maashalaah sheh hafidh kunywa soda nitalipa
Pambeee sana kakak
Sheikh hafidh unanidai lazma kwa uwez w mungu tutoe kolabo
Nice nice nice nice nice Father
Mashallah imakaaa vizr na inatisha
Mashallah shehe cikuping All days
Masha Allah tabarak Rahman
Eid Mubarak to u all 💞💝💓💗🙏🙏🙏🙏☝
Kongwe maliii💗💗💗💗💗Nakukubali fundi
Eid xhow xhow mashallah
Mash allah 😍
Mashaallah munguawazidishie
Ah brooo nakubali hii kaz nimejiuliza marahii vp
mashaaalllh mashaaallh hngr saaanaaa nakupnda kwa ajili ya allh
Utatua shehe Hafizi
Mashalla
Mashallah kiongoz kaz nzur
Mashallah
Kaz nzur endlea
Very good qaswida ,
MashaAllah hukoseagi napenda sana kazi zko ustadh hafidh🙏🏻
Safiii sana kazi mzuri kwakweli, IED yetu itaenda vzuri Sana
Nakubal sh hafidh tuko pamoj
Na,amini ya kwamba hii KASWIDA Ili andaliwa haraka haraka ju haiko poa vema japo sina budi kumpa laik
Jamani zanzibar raha sana natamani ningeolewa Zanzibar 😃😃😃
Shida umeolewa wapi
Mm nip zenj nipe namba yako.kama umeolewa achana nae huyo uje kwangu nakukaribisha
Yr my favorite in qaswida
Mashalla nawapenda
Maishaallah
Mashallah kazi mzr sana
Mambo moto 🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Nakubali kazi zenu Allah awajalie kila la kher ktk kaz zenu
Fundi wangu wa siku zote
Tokea siku ulioituma bac cjachoka kuiangalia na ctachoka kwa ilivyo nzuri
Mashaallah mungu awabarik sana ,mko vizur sana kuelimisha jamii
Nakubali kaz zako allah atakusaidia
Kaz nzuri mashaallah
🔥🔥🔥🔥🔥
Mashallah🙏🙏
Ahlul madina muachiwe
Pambeee hongera
Huna mbaya mashallah
مَاشَاءَ الله
Mashaaallah Allah awajalie mzidi kuendelea hvyo hvyo hongrn sn kk zngn❤💔💓💕
Vitaa 🔥 🔥 mashaallah kazi safi
Nawapend sana
Nimeipend
Mashaallah umetisha sana somo yangu huna mbaya
Nawakubali sana
Mashaallh 🥰
Maalim wa nchi
Mashallah mastaa wangu huaga mnanikosha xna,mungu awape hifadh kwenye kazi yenu.Lkn mbna chidi zungu jmn hapo amekosekana na saut yke murua
Mashaallaah 😍😍😍😍😍😍
Zungu kwaasasa hayupo Ahlul Tena
Live u
Kaswida mzur sana mashallah