uyu mama wamuache tu...kumfananisha na akina nani...only kennomies can do that, she's the queen on the floor juc awa NDIYO wanafanya atlst tunaona bongo Kuna talent
Mamlaka za kiafrika hovyo sana hv nyinyi basata hizi nyimbo zenye Maadili, zinazo Elimisha,... hamzisikii? Akuna mtu aliye uchi, minyororo kama mbwa kwanini msiwape tuzo za kuwatia moyo? Kila siku mapenzi, matusi na hao hao ndo bora kwenu.
😆😆😆mkuu umenifurahisha sana,but all in all unachoongea ni sahihi sana sana sana,hii nyimbo imenisisimua sana,ina ujumbe thabiti kabisa,basata ipo kimchongo mchongo tu
Lulu ameanza kufight siku nyingi Sana kwenye hii industry ya filamu.Big up Sana mama G.Hongera Sana dada lady jaydee kwa wimbo wenye mafundisho ya kulijenga taifa kimaadili#mtoto wa mwenzio umuone kama mtoto wako#.
Kuna wakati unashindwa kuongeza neno hapa" Maana kile wanacho imba ndicho wanacho ki-Ishi sasa" Nyimbo hiii ni ya kitambo kidogo..Tena ina ujumbe mzuri sana" Ila haikuweza kumsaidi kitu huyo msichana...baada ya Muda kupita hiyo Tabia ndio ikawa anaifanya na kuishi" Hama kweli hawa ni wasaniii"
The best radio show of all time, sijui kwanini vitu vizuri havidumu nimejaribu kuitafuta wahapahapa kwenye internet nimekosa haipo tena kama kunaanaejua namna ya kupata vile vipindi anisaidie.
Embu jamani tuangalie hii video ya commando jide na tuwe wakweli..just imagine huo umri wa lulu, it means hii nyimbo ni ya kitambo sana,lakini embu angalieni hio quality ya video ilivyo super 👌, yaani video inaweza kuzidi mpaka video baadhi za kipindi hichi cha 2022...itoshe kusema jide is a true super woman legend😍
Watoto wa 2000 wanashangaa sana ,
Ila sie 90s Tunaelewa hii ngoma ,long live the Queen 🥰 #Lulu #Kipanya #Jide #GYPSY
uyu mama wamuache tu...kumfananisha na akina nani...only kennomies can do that, she's the queen on the floor juc awa NDIYO wanafanya atlst tunaona bongo Kuna talent
Eeh Mungu nibariki na moyo wenye upendo,uvumilivu na hekima ili niweze kupalilia shamba moja litakalokufurahisha hata na wewe Muumba👏
alie itzama tena nyimbo hii miez hii naomb like
Mamlaka za kiafrika hovyo sana hv nyinyi basata hizi nyimbo zenye Maadili, zinazo Elimisha,... hamzisikii? Akuna mtu aliye uchi, minyororo kama mbwa kwanini msiwape tuzo za kuwatia moyo? Kila siku mapenzi, matusi na hao hao ndo bora kwenu.
Kwani tuzo zitolewe kila siku ni pipi 🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆mkuu umenifurahisha sana,but all in all unachoongea ni sahihi sana sana sana,hii nyimbo imenisisimua sana,ina ujumbe thabiti kabisa,basata ipo kimchongo mchongo tu
@@BigZhumbe Sijasema kila siku ila zinapotelewa waangalie nyimbo zinazo stahili sio zile zinazo sapoti ushoga.
Kwa bahati mbaya sana hiyo meseji ya shamba haikumfikia anko jj.. mtoto wa mwenzie akawa mkubwa mwenzie.. rip to him
R.I.P Dada Joyce,wa Kwanza kabisa Kwa chereheni😭
Lulu ameanza kufight siku nyingi Sana kwenye hii industry ya filamu.Big up Sana mama G.Hongera Sana dada lady jaydee kwa wimbo wenye mafundisho ya kulijenga taifa kimaadili#mtoto wa mwenzio umuone kama mtoto wako#.
Kuna wakati unashindwa kuongeza neno hapa"
Maana kile wanacho imba ndicho wanacho ki-Ishi sasa"
Nyimbo hiii ni ya kitambo kidogo..Tena ina ujumbe mzuri sana"
Ila haikuweza kumsaidi kitu huyo msichana...baada ya Muda kupita hiyo Tabia ndio ikawa anaifanya na kuishi"
Hama kweli hawa ni wasaniii"
Hii nyimbo mimi nimefuatilia video sio nyimbo ... nimependa sana content yake
The best radio show of all time, sijui kwanini vitu vizuri havidumu nimejaribu kuitafuta wahapahapa kwenye internet nimekosa haipo tena kama kunaanaejua namna ya kupata vile vipindi anisaidie.
Ni wajibu wa jamii kulea watoto...
It is a societal role to manage Children upbringing
Ll ume kuwa sana mama g kama sio wewe
Great msg! inagusa sana
Embu jamani tuangalie hii video ya commando jide na tuwe wakweli..just imagine huo umri wa lulu, it means hii nyimbo ni ya kitambo sana,lakini embu angalieni hio quality ya video ilivyo super 👌, yaani video inaweza kuzidi mpaka video baadhi za kipindi hichi cha 2022...itoshe kusema jide is a true super woman legend😍
Nice
Jmn huu wimbo inaonekana aliandika mda mref
the first dj to play this hit in kenyan soil why lie
WATU HUKUWA LULU AME GROW SANA ILA WATU HUBADILIKA LADY JAY DEE AMEBADILIKA HATA LULU WAREMBO SANA
nyimbo nzuri yenye maadilu nimeipenda sana
I love this let's instill good morals in society for a brighter tomorrow
Lulu lulu daaaakitambo unafight kwenye game
Our own legend, voice does not fade. You tacked memories of quality music.
❤❤❤
Mke wa majizo arikuwa mkali toka kitambo
Ebu twenden wote tuifanye iwe trending am so proud of u madam#SHAMBA
Kililu mashallah
Beautiful message in the song , thanks My Diva ⭐🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬
live long life Dear Queen may Allah protect you. Message delivered💯📢
Tujitahidi tunza watoto wetu mapema kabla hawajaanza kutunzwa
Na ndio ilivyokuwa maisha ya lulu yakaharibika km kwenywe hii filamu
Maisha ya Lulu yakaharibika!???
Watanzania na Maadili yenu ya kinafki ndo yanawapa Umaskini... Kwahyo Lulu alipo pale Maisha yake yameharibika😂😂 Aisee
@@DrFit-di1rb 😂😂hao ndo wabongo
Zidi kufanikiwa endelea kuzirudisha kazi zako #real superAfrica giant best woman
Dada wa Taifa 🙌🏿🙌🏿
Throwback Wahapahapa☑️
Nyimbo nzuri kwa jamii zetu make kwa sasa watu wamejaa unafiki na ubinafsi!
Watoto wa 2000 wanashangaa sana 🤭🤭🤭,
Ila sie 90s Tunaelewa hii ngoma ,long live the Queeen 🙌🙌🔥🔥
😂Kipanya ndani, sio mchezo kama kawaida 🤛
Dada Jide in the building...I love you too much Sister 😍😍
Hii ngoma ukipewa uisikize bila kuona video unaweza waza ni ya kilimo kwanza. Hahaha bonge la meseji bonge la ngoma.
Ka lulu 🤭🤔
❤❤
Unakaa kimya ukija kurudi unaludy na mautam kama yoteeeeeeee
On DUNDA ENTERTAINMENT We follow you 100%
Wangapi wameona Lulu wa Kanumba like 👍 👌 ♥
Kwani ni yeye Kweli?
@@barakakusa7606 ndio sasa iv ni wamajizo
Good mother of my heart lady jaydeee...you deserve a respect to our mother land....🙏🙏🙏an out of our boundry
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤲🏻
I will love you forever
Love from Rwanda 💛💙💚
Huyo mtoi anafanana lulu akiwa mtoto
Ndiy yeye mwenyewe Lulu
nime shea na kucimment ni mwamba
Legend hakosei much respect Komandooo
Nice song
Elizabeth alikua kinyoka leo mke wa mtu😁😁
Goma Kal Sana 🔥🔥🔥🔥🔥💯
Huyu sista anajua sana sema hawampi shavu
Lil vixen anafanana na Lulu sana
Ndio maana nakukubali sana dada wa taifa,kwenye mziki
Super woman ♥️♥️ your music always long time though
Elizabeth Michael wow memories 🤗
inapo anza ni kama movie flani hivi inaitwa NERIA
Message is home.
Hii ndy miziki sasa,syo wale wengine kuimba mambo ya siyo eleweka,mpk jamii imeporomoka
Am here after seeing Elizabeth Michael's post on Instagram
Wise words from our iron lady warm love from kenya
nakukubali comando never give up
This girl on thumbnail . . .. ako wapi walai🥰
Is that LULU (Elizabeth Micheal)?
lovely
Kalulu
Mziki mzuri unaishi milele 🔥🔥🔥👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻💪🏻
🔥🔥🔥
Lgnd🇹🇿🇹🇿🙏
Masoud Kipanya
Hii Message inakosea tuu Kuni Liza ila basi nimejizuia na Nimekuelewa
Wewe ndie Lady Jaydee nae mjua kweli
Song with a message.... Bravo to u JDe
Sestar Naomba Kufanya Kazi Na Wew please
QUEEN of the bongo music she is back again Lady j dee mama laooooooooooooooooo......salute sanaa sster
Wimbo wa siku nyingi Sana, angalia Lulu alivyokiluwa enzi hizo
✊❤️✌️
Video nzuri sana
The Queen of bongofleva
True
Good message
Duh masud kipanya alikuwa mdogo
Nakukubali sana dada elimisha jamii yako
Mbona kama lulu vile AMA machoyangu
Wimbo Bora kwa msichana Lady Jaydee.Big up
KKT kwaya hz nyimbo kawaimbie siku ya watto Afrika MB zenyewe Gharama alafu unatuimbia kwaya kweli?
Wimbo bora sana, asante lady jaydee
🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Dada ujumbe umeufikisha.........
Mungu akubariki katika kazi zako.
Ama kweli mbolea imewekwa , huoni mazao kwa Bwana mkubwa mjengon ???
dada mkuu wa bongo music
May God Be Wth U My Beautiful Cster Jide
Goodsong so impressive
Wow beautiful
Ahahah masudi kipanya
✅yanga bingwa
Usi usemeye moyo mbona siyi oni
Kanataka kufanana na Lulu bana
ndo mwenyewe huoni video ya zamani hiyo!!
@@sadeeqcrucial9194 hapo sawa! Maaaana nimeumiza kichwa kinyama! Maana namuona na kipanya ndani
Zamani sana waaa
Touch of a legend…m grateful to live in your era