Mashaallah mashaallah ningependa na kumuomba mungu huduma hiyo iwe kwa hospitali zote zote yaani hospitali zetu nyingi nyingi ni hovyo hovyo na manesi na madokta wengi roho zao ni mbaya kwa wagonjwa wanachoangalia ni kipato tuuu
Pole sana dadangu neema mungu yuko atakusaidia ata hiyo miezi mitatu haitafika pia hilo titi lengne litatolewa dadangu utakua sawa daa flora mungu akuzidishie dadangu
Pole sana mdogo wangu Allah atakuponyesha usijali mungu yupo hongera dada flora Allah atakulipa kwa wema wako lakin dada flora umependeza sana mashaallah
Alihamdulilahi tunamshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa moyo wahuruma huyu dada flora hongera kwa kujitoleya. Piya mungu awazidishiye wote wLio jitoleya kwa misaada yao pole neeema utapona tuu
Pole mdogo wangu ....Allah atakupa shifaa na nafuu ya haraka inshallah
Pole sana dada neema Mungu atakuponya
Pole neema mungu yupo pamoja na wewe utapona in sha Allah
Pole da mungu akuponye
Pole mmy neema unaniliza na mm Alwah atakuaf.pongezi nyingi kwa dada etu mtetezi wa wanyonge.Alwah akuweke na akubariki
Mungu akusimamie kwa kla hatua ya maisha yako nakupenda bure dadangu.
Pole Sana mdogo wangu neema Allah atakufanyia wepesi utapona
pole sana mdogo wangu
Pole sana Mungu akukumbuke neeema na akuponye
Mashaallah mashaallah ningependa na kumuomba mungu huduma hiyo iwe kwa hospitali zote zote yaani hospitali zetu nyingi nyingi ni hovyo hovyo na manesi na madokta wengi roho zao ni mbaya kwa wagonjwa wanachoangalia ni kipato tuuu
Pole sana Neema utapona ndg yng Mungu ni mwema atakupigania, asante pia da Frola jmn ubarikiwe sana
Mungu akupe kuishi myka mingi mma Florence 🥰🥰
MashaAlllahMungù
Akubariki
Docter
Flora
Allah akujalie shufaa ya haraka neema hongera da flora kwa kazi nzuri
Ahsante dada Flora
Pole sana lakini mungu akulinde dada kwa kazi yako nzuri mungu amekufanya mschana dada ubarikiwe sana
Mungu ni mwema,ubarikiwe da Flora na timu Yako nzima pamoja na hospitali🙏
Pole dada mungu akuponye
Frola mungu akulipe sana
Ashukuriwe Mungu kwa uponaji wako neema,Mungu akubariki nawe pia da flora
Dada flora mung u akupe maisha malefu
Pole sana daa neema
pole Sana mdogo wangu Allah akufanyia wepesi
Pole dada Neema
Pole dada neema mungu atakuinua pia dada flora kazi unayoifanya mungu akusamehe mapungufu yako na akukumbuke siku ya taabu zako
Pole Neema Utakaa Sawa My Dear ❤️❤️
Pole sana dadangu neema mungu yuko atakusaidia ata hiyo miezi mitatu haitafika pia hilo titi lengne litatolewa dadangu utakua sawa daa flora mungu akuzidishie dadangu
Pole mgonjwa hongera Flora. HUYO dada mtaftie Matunda ya bit roots zinaongeza damu haraka sana
Pole neema shukuru mungu kwa hlo..utakuw sawa mungu mwema
Mahariapewa daa flora
Pole mwenyeez mungu atakusimamia na utarudi kwenye furaha
Had nimetokwa na machozi Frola umetumwa Mwenyezi Mungu🙏
pole sana Neema mdogo wangu
Pole neema allah akupe shifaa upone kabisa inshaallah
God bless you abundanly for your good 👍 work
Hongera dada flora miunga akupe maish marefu
Pole sana Dada neema MUNGU akufanyie wepesi na upone kwa haraka mumy,hujafa hujaumbika endelea kumuomba Allah
Mungu akuongeezee zaidi nazai frola wangu jaman i love you
Pole Sana mpenzi utapona kwa uwezo WA Allah
Pole sana mdogo wangu Allah atakuponyesha usijali mungu yupo hongera dada flora Allah atakulipa kwa wema wako lakin dada flora umependeza sana mashaallah
Mungu. Atakufanyiya. Wepesi
Subhanalllah maskin anapata tabu sana
Mungu awasimamie wahudumu nyooote na msije mkabadilika, hospital zote zingekuwa km hivi wagonjwa wengi wangepona kwa uwezo wa Mungu.
Poleni sana dada flora na huduma yako
Alihamdulilahi tunamshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa moyo wahuruma huyu dada flora hongera kwa kujitoleya. Piya mungu awazidishiye wote wLio jitoleya kwa misaada yao pole neeema utapona tuu
Mungu akufanyie wepesi dadangu, Dada flora mungu akubariki na kuzindishie wema kwa maisha yako na Familia 🙏🙏🙏
Pole sana mdogo wangu nema mungu ata kuafu inshaallah pia dada flora mungu akuzidishie
Mungu akuponye dada yangu
Pole sana mungu anakupigania
Neema pole sana
Pole sana daa neema utapona haraka in jesus Name
Alla ashukuriwe
Polee neema mungu 🙏 yu pamoj na wew
Mungu Akuaffu na awape malipo mema wote waliomsaidia
Pole sana dadangu utapona In sha Allah
Pole sana
No groves using check that oerthewise Qr my dear sister you through hard time God will do to you
Allah akupe Shufaa
Allah atakuponya Neema😢
pls me too
Pole sana mpendwa
Neema M MUNGU atakufariji pole sana utapowa yatapita
Mungu atakuponya inshaAllah
pole neema
Pole neema
Masikin pole sana dada flora mungu akupe moyo huohuo walai unawasaidia sana 😭🤝🏾🙏🏻
Pole Sana dada
Hakika dada Flora nashindwa la kukwambia mungu azidi kukutunza
Mungu awalipeni
Mtaftie bit-roots inaongeza damu kwa haraka sana
Nawapa pongez madokta na menes wa hosptar hii
Mungu amsaidie
Mungu mkubwa uyo Dada nimekaa nae sana bugando alikuwa anatia huruma xan naistry yake inaumiza xan
Utapona mungu yuko
Pole Neema
Wengine tunasumbuliwa na wafanyakazi unapata mfanyakazi asiyesumbua unamnyanyasa nimesikitika sana
Nakuombea uponyaji wa haraka Neema
Huwez kuvumila tu kwakuangalia bila kulia
Maskini nduguzangu wa tanzania 😭😭😭
Nimejikuta nalia
j8
Kwa kweli nimejikuta nalia km mama mwenye watoto pia ila Neema utapona hakuna gumu kwa Mungu wetu dada flora Mungu akubariki sana
Pole sana
Pole sana dada