KAZI ZA HUKU ZINATUMIZA MIGONGO NA MIGUU | UKILETWA NA MZUNGU HAKIKISHA UNAFANYA KAZI USINYANYASIKE
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- Hassan ameeleza safari ya maisha yake kutoka Zanzibar mpaka kuingia Uingereka mnamo mwaka 1995
Namna alivyojipanga kwa Safari na maisha aliyoyakuta Uingereza.
Anakwambia maisha ni magumu ni ya kukimbizana na yenye stress nyingi, bila kusaidizana kwenye kipato basi maisha yatakua ni magumu.
Kasisitiza vijana kusoma na kufanya kazi kwani ndio kitu itakuokoa Ulaya.
Ameeleza mtihani wa ndugu na jamaa kuhitaji kupewa pesa tu bila kujali waliopo Ulaya wanamaisha gani
Thank you Hassan for allowing this to be online
www.oda.international
Mimi nipo UK, sasa hivi naelekea kazini nikiwa na furaha na Namshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kunijaalia kufika hapa
Hongera sana na karibu kwa kipindi 🙏
+4367764790884
Nitafutie babu huko
Usiseme wabongo wavivu wewe dada zaina huku maisha magumu kazi watu wanafanya ila kazi zahuku zinaumiza kusimama viwandani hamna social life, kazi nyumbani nakazi muhimu rent bills zinakungoja, na una jua bei za nyumba huku ama unasema watanzania wavivu , tumekuja kutafuta lakini tunachoka especially ukiangalia familia uliyotoka mbaya tumejituma sana waru tunamiaka zaidi ya 30 , kunachosha haswa huku kama anavyosema kaka kazi nyumbani shopping kulala tumechoka wengine tunampango wakurudi nyumbani tulichopata alhamdullilah
Elimu nzuri, sio UK peke yake nchi zote za kigeni maisha sio rahisi
Care wanasubiria ufe Wauze nyumba watoto wachukue urithi daaaha hongera sana brother hassan ❤❤❤
Penye nia ipo njia. Asante Hassan kwa stori na hadithi fupi ya maisha yako. Umeonyesha na kuthibitisha kuwa wanayosema watu kuhus wewe au plani zako ni kinyume kabisa. Umepambana na kutimiza ndoto yako ya kusafiri na imetoa njia fulani hivi ya wale wote waliokuwa hawajui namna ya kusafiri wanaweza kuiga mfano wako. Shena asante kwa kazi nzuri kama kawaida ukidadisi watu hapa wapo watakaonufaika.
Huyu jamaa ni kweli maneno yake mm nilikuwa pia miaka mingi sana na nimeona na makazi tumeyafanya huku kwetu hufanyi lakini tumetia ability akili na tumejifunza mengi na kazi nyingi za mikono za ufundi tumezijuwa na ndio tumerudi tufanye hapa wenyewe huna boss ni mwenyewe tu na mungu atusaidie
Kuna watu wakiwa ulaya miaka 3 tu wakija Tz wanajifanya hawajui kiswahili ila ww kk mashallah
nimemuelewa sana katika suala la kukumbuka nyumbani 😢❤
Allah Subhanna Akupe futaha Daima na akupe watoto wema wenye kiielewa km baba yawo mchezaniwao hutunzwa watoto wako wanajuwa. Kiswahili na wanaswali vizuri usilisahau na hili ni muhimu zaidi
Huyu JAMAA ameongea ukweli mtupu miaka miingi ulaya lakini sijasikia kuchanganya lugha kiingereza na kiswahili "sifa zimwwndee'
Walokuja Uk 95 wengi hawajuwi lugha
Huyu ni mtoto wa mjini na hana ulimbukeni kabisa.
Mie niko Denmark na nimapata watoto hapa ila wote wanaongea kiswahili vizuri tena na kukiandika kabisa.
Ni ulimbukeni tu flani ndio na kujisahau.
@@sonnyr1899kweli kabisa ndugu, ni ulimbukeni, au na wengine ni kutaka kujifunza lugha kupitia watoto wao. Hongera kwa wanao kuongea na kuandika lugha yako, hata wangu nawaongelesha na kuwaandikia kiswahili, na hasa mmoja wao anaandika pia. Kwanza ni vizuri kuwa na lugha zaidi ya moja, watu huzinunuwa kwa pesa hizo, then lugha ya wanapoishi wanaijuwa tu, kutwa wapo maskuli
Ni kweli mi niko marekani maisha ya ulaya sio mchezo full stress miserable life Yani kazini nyumbani yani
Na hapo uwe single sasa...full loneliness
Si urudi bongo mbona bado upo huko
@@jovovichmedia9424 huwezi kimbia majukumu hata bongo utayakuta magumu tena ya bongo ndio hovyo kabisa maana hakuna rule of law.
Kweli nduguzagu mimi nipo neworleans nawaza kurudi nyuban
Nyie wabongo mliokuwa Ulaya acheni unafiki mara Bongo maisha magumu ngoja tukimbilie Ulaya mkifika huko maisha ya Ulaya magumu sasa nyinyi mnafikiri Ulaya kuna miti ya fedha maisha dunia nzima yanachangamoto utofauti ni fursa tu pumbavu nyie mliokosa subira
Hassan asante kutuelezea safari yako ya kufika Ulaya na uzoefu wako wa maisha. Nyumbani wako wasio waaminifu lakini wapo waaminifu. Binadamu si mkamilifu popote duniani unaweza pata wasio waaminifu.
Asanteni kwa darasa zuri . Nimependa kila kitu na asante kwa kutuambia ukweli😊
❤kaka nimempenda kwa kusema ukweli juu ya yote,yupo vzr sana
UUNGEREZA MAISHA GARI SANA . WE NYUMBA KWA WIKI,?😢
Kaka hassah tumekumiss miaka mingi hatujakuona au ndio maisha kama ulivosema manake umeongea ukweli mtupu big up kaka hassan.
HAWA WAZANZIBARI WAMEJAA kama nyoka kule UK, yaana wamesafiri zamani sana!
Na siyo ugumu wa kazi bari na hali ya hewa kipindi cha winter inatuumiza sana
Sadka mimi nina miaka 23 huku nje nimechoka roho inaniuma nimekuja tokea na miaka 25
@@FatimaAli-of4gh pole sana dada hata mimi ulaya imenichosha sana niko huku miaka 23 na nilikuja nikiwa na 21 years old
Kwa k baridi halizoeleki
😂 ludin bas tuwapokees
Mpemba uyooo, asante
Tunashukuru sana kaka Hasan kwa kutukumbusha tukumbuke nyumban 🎉🎉🎉🎉
Kaongea ukweli sio uongo life ulaya ngumu sana
dada ongera sana kwa jitihada zako twapata faida sana pia unajua kuhoji
Usilogwe kupeleka pesa kabisaaah! Nenda mwenyewe na utafanya makubwa na hata gharama sio kubwa vile.
Ni kweri maisha ya uingereza magumu yana stress ya hali juu
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu katika watu wengi waliotoa elimu zao za safari ww umesema ukweli
Sanaaa . Umeongea vizuri na ukweli mtupu.
Isitoshe nipo gulf miaka 40… ni kufanya kazi asbh kwenda kazini jioni kurudi home… na mpaka leo bado tunafanya kazi za hosp tena shift ni ngumu lakini muhitaji ni lazima tufanye tuna tafuta maisha…
🤝 Ndio maisha tunayo ishi. Alhamdulilah.
Alokuwa hajasafiri hayajuwi maisha ya njee anayasikiya tuu kama Hadithi. Utaitamani hiyo baraza ikupumbaze utaliya utaikumbuka.
Acha tu bill Kama zoteeee usipime yaani pesa unapata mkono wa kulia inatokea mkono wa kushoto kweli nyumbani ndio mpango mzima well say ♥️❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Asante sana kwa elimu nzuri dada sheina
Muwafundishe watoto mila za kwenu Wawe wanawatembelea. Mimi miaka 30 hapa, na ninawafundisha watoto umuhimu wa familia
Our kaka is so confident nimempenda sana,asante kwa kutupa experience yako..
ongera sana mzee kwanza nimepata faidi lakini pia nimefurahi sana
Duh kumbe kama SWEDEN ..sio poa..anacho sema huyu jamaa ni more than 100%..pesa unapata ila siku mbiri tatu pesa ime isha na kazini lazma uende la sivyo unaweza pata kichaa bills zikija.
Uishi maisha marefu dada shena
Aflika NI nchi nziri Sana Sana viongozi wetu mafisadi wanatutweza na kutufanya aflika tuikimbie kwenda ughaibuni
kweli watu wengi wamelizwa na ndugu za karibu
Hili swala la baadhi ya watu kuamini wazee ulaya wanateseka na upweke, nadhani wakiwa bongo hawatembelei wazee vijijini mwao.
Wazee wanateseka sana bongo na wapo kwenye miji yao. Wametelekezwa na watoto na wajukuu. Ni wengi mno mno. Watu jaribuni kuzunguka vijijini kwenu kuwaona wazee tofauti mbali na wale wa nyumbani kwako unaoamini wanaishi vizuri.
Ni kweli but ni kwa uchache ukicompare na huko ... huku kwetu hata majirani wakati mwingine tumewategemeza wazee ambao wala hawatuhusu.
Kweli kabisa maisha ya ulaya siyo ya kawaida yani we acha tu
Njaa tu ndo emetuleta huku lakini siyo maisha from hand to mouth .mtu unafanya kazi kama robot
Mpemba mwenzang uy
Huyo mtazania amesema ukweli kabisa kazina kurundi nyumbani hakuna cha kujuana kweli kabisa unasema kweli kabisa
Kweli ndugu lawama niliwapelekea tools ya kufungua work shop wameuza kila kitu badala kufungua work shop,😲😲
Pole
@@SamwelJoseph-yk3cw 🙏
Freshi umeongea point
PREACH MY BRODA
Watu wa nyumbani wanakunyonya macho na damu. Ni wabaya kuliko kausha damu.
@damaris, ukweli kabisa huruma na utu hawana
Unaona tofauti mojawapo hiyo na nchi za nje nyengine, ni kuwa hapo UK umepata makaratasi kupitia kuwa na watoto, nchi nyengine hawana hiyo
Benefit system ndio inayowachanganya watu.
Maisha sio magumu ni plan zako tu. Akili kichwani
Poleni sana
Wanaumwa Miguu Migongo inachangia na Hali ya hewa ya Ulaya muda Mwingi hakuna jua, watu wanakuwa na upungufu wa vitamin D na ukijumlisha na kazi nzito basi Migongo ndio hapo
Ni kweli hata mimi huwa nakwenda kwa Dk ananipa vitamin D miguu inaniuma sana
Kwa wale wanosema sie wa TZ tunalalam8ka tu ,mbona wa Nigeria wana invest kwao. Wao wanaruhusiwa uraia pacha ambao wanakuwa na haki kamili ya kumiliki nchi kwao , tofauti na sisi na hili ndio linaloturudisha nyuma
Umesema ukweli mtupu bro.yani Mimi Nipo hapa belgium.na hayo unayoyasema yooote nayaona.ni hakika kabisa.yani kama unataka ule raha.yaani ufanye Kazi Kwa bidii mno huku.then ujiimarishe kiuchumi nyumbani halafu urudi.hapo utaonjoy maisha.
Umeongea ukweli mtupu kakangu
Dada fanya kipindi cha watu walioko nyumbani
Hakika ukiwa una malengo kimaisha na vile vile unajitambua ; huwezi kukwama . Mara nyingi ulimbukeni ndiyo unaoangamiza watu wengi wanapokwenda nje ya nchi zao .
Sema alhamdulilah kuna watu wanaamka hawajui hata wapi waelekeee ,hawana kazi hawana bazi wanataka hizo kazi lkn hawazipati
Umeongea kitu kizuri sana sio watu wengine oooh ulaya pagumu sijui maisha sio rahisi
Bro Muungu akubariki huna majigambo
Then usim judge tu jamaa, ukaona maisha yako ni rahisi, coz kwanza linganisha, je unaishi peke yako, au ume share nyumba, kisha je una mke au mume, na au na watoto, hasa kuanzia wadogo? then bills zako za muhimu unalipa, au unapunguza kwa ajili ya ku save? Then kuna wanaosaidia makwao walipotokea
Kaka Hassan ndo nimerudi hapa kaxini hata nguo za kaxi sijavua nakusikiliza from Uk
Umesa kweli
Uko sahihi kabisi bro
Kweli asilimia kubwa sio watendaji
Tena wanasaidiwa sana
Ni kweli kabisa
Maisha ya ULAYA siyo magumuuu. BALI UNATAKIWA kujituma UWE NA DEGREE usiwe nayo UONGO UONGO MWINGII utakusaidia ILI maisha YAWE RAHISI
Hapo kwa kustarehe ndipo penyewe. Wamestarehe mpaka wanakosa nauli. Wanakuwa mateja
Kweli maneno yako
Then ukilinganisha, wengine wameletwa (sponsored) tu, so mamboengi ni ready made
Daaaa. Hiyo inaitwa chugachuga
Bismillah
Jamani watz mnaoenda nje mkifika angalieni fursa zilizopo
Ukweli ni kwamba waafrika wengi walootoboa ughaibuni wana biashara hawategemei kazi tu ya ajira au mzungu aliemuoa..
Inategemea uko nchi gani na unafanya kazi gani? USA 🇺🇸 maisha mazuri sana na pesa zinapatikana ukiamua kufanya kazi kwa bidii, ukiwa umesoma ndio maisha raisi sasa. Nakubaliana nawe kutengeneza na kukumbuka nyumbani
Mimi niliingia Uingereza mwaka mmoja 1995 kama huyu jamaa , lakini nikaamua kurudi Tz baada ya miaka 6, sikuweza kuendelea kuishi kutokana na matatizo ya kimaisha., niliishi Tz kwa muda , nikaondoka tena , nikapata nafasi ya kuja Oman.
Karibu sana kwa kipindi kaka tupate elimu +4367764790884
Kila sehemu maisha sio rahisi.utaratibu wa kuwatambua diaspora ndio utssaidia watanzania waliopo nje kujinusuru kiuchumi. Angalia mfano Nigeria diaspora wao wana uwezo wa kujenga na kuendesha biashara ndani ya Nigeria matokeo yake ni kuwa wanaigeria wote walio nje wana majengo na biashara nchini kwao.Watanzania ulaya wanaumia zaidi kwa sababu kila kitu inabidi kiishie ughaibuni. Wakija Tz wengine hawana mijengo matokeo yake hukaa hotelini tukumbuke wengi walitoka uswazi sasa leo upo London unakuja kwenu bado unakaa uswazi ni ngumu.watanzania waliopo nje karibu wote wamekwenda kutafuta maisha lkn wanapenda waishi kwao.
Maisha ya ulaya tukiyaiga Tz miaka 10 tu tutakuwa tumetoboa.
Futa usemi wako hujui ndugu wanavyorudisha maendeleo nyumba unatuma pesa ya kiwanja inaliwa n'a hâta ukiwa n'a kiwanja kabla hujasafiri ujenzi uyapigwa mpaka uitike abeee tema mate chini
Naona kila mmoja anawasifu wanaigiria wana invest kwao, Wenzetu wanapewa haki kamili ya kimiliki na nchi yao,kwetu sisi hili ndio linaloturudisha nyuma, hatuwezi kumiliki kamili haki zetu nyumbani tulipozaliwa. Na Nigeria wanao uraia pacha ndio unasaidia sana
🤣 uulize ticket without visa
Ukale urojo ee😂😂 😂😂😂
Huyo baba nimempenda bure anaongea ukweli. Watu wa tanzania hawatamuelewa
Hata waliosoma hawataki magolikeaper.
Huyu jamaa ni muongo sana hata sisi tunakaa UK sasa namuuliza hao ndugu ndio walimtuma aje atafute pesa awatumie sasa anangoja nini huku asiyerudi kwao Tanzania
kama umemsikiza kwa makini hauwezi kumuuliza hayo maswali mzee kazungumza ukweli mtupu
Maisha kila mahali ni magumu
Lazima utafute kazi ufanye ukope ununue gari ukodishe nyumba na nk….
Bank ndio mahali pekeee panapokumalizia matatizo yako ni mikopo kwenda mbele…
Mtangazani una meno mazuri meupeee
Kwahiyo mnatushaurije tukae Tanzania au maana kila nterview hapa naona watu wanasema maisha magumu ulaya tupeni conclusion tukae bongo tupambanie bongo maisha yanawezaka
Wanawapa uhalisia
Ili kama umeamua kwenda nchi za watu basi Uwe na taswira ya maisha halisi
Akili kwa mkichwa, Rizki popote 🙏
Baki tu nyumbani ndugu yangu
Dada hivyohivyo endelea kutupa story unajua dada
Unarudia rudia sana.Can't u be brief?
😂
Maguu
kanichekesha eti ata atoke madina😂😂😂
Ni kweli asemayo huyu kaka ndio tupo Uk
Leo wa kwanza kucomment
Mohamed Nurdin hulali jamani🤔
@@fettyrashid9042 nitalala nikifika USA dada Yani siku nikiigusa New York nazani nitalala pale kwa uzuri kabisa
@@mohrecaps 🤣🤣🤲🙏
@@mohrecaps😅😅
Kasawijika😂
Mimi meli dio nime I Gia marekani
Hongera sana kaka
Sasa sheikh mbona ukiambiwa urudi huku unakataa,maana yake huko kuna nafuu flani unaiona,swala la miguu na migongo huku ndio usiseme bora nyie hata matibabu mazuri pengine mnapata,ndugu yangu kaza buti huko huko huku ni hatari sana,anaefanya kazi na asie fanya kazi wote ujira mdogo,wanaofeli huko ulaya wengi walevi na watu wastarehe.
Sio ulevi ndugu yangu kodi ni nyingi huku za kulipa
Ndo ashaanzisha familiar tatizo
@@FatimaAli-of4gh Sasa mbona mnatuchanganya wengine wanasema ulaya mambo safi wengine mnasema sio safi,lakini kama mabaya kweli mbona hamrudi,sijawah ona aliekwenda ulaya akarudi kwa maisha kuwa magumu,akirudi anakuja kuanzisha biashara.
Saa 4 wacha nkale urojo!😂
Wabongo ni wavivu na ndiyo maana wanapenda kulalamika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa kwanini mmekuja huku ulaya?
Sikiliza ushauri mzuri huo ,acha upumbavu
Ndio uelewa wako
We hujitambui na hujui ulichokiandika.. Kwanza ni ulaya ipi upo? .. Tuambie ni ulaya ipi hiyo upo?
Kwanza huyo kijana siyo MBongo . Lakini maisha ya njee ndo yanjee ni yakutafuta maisha.
Huyo kazoea kukaa barazani
Wacha kulalamika kama hali sio nzuri rudi kwenu wacha kasumba hizo ndio mana hatuendelei
Ila Watanzania mnaoishi Abroad mnatutia aibu sana . Ni ninyi tu Watanzania ndio kila kukicha mnatutangaza ndugu zenu huku Tz eti tunataka pesa kwa pesa gan mnazotutumia? huku, mjifunze kwa Wa Nigeria wanaijenga kwao makasri kwao hadi vijijini ninyi hamna mnachofanya kazi yenu kutulalamikia tu acheni hizo
Hao unaosema wa Nigeria wanapewa haki na nchi zao ndio maana wana invest kwao, sie mpaka leo tunakataliwa haki zetu nchi yetu tulozaliwa, hatuwezi kumiliki kamili haki zetu nyumbani , hilo ndio linaloturudisha nyuma
@@umsalim6515 Kivipi kwa huna haki ya kumiliki ardhi nyumbani? Nyie shangaeni ugenini ardhi huku inabebwa na wageni mkirudi huku hola
Bongo raha sana usikuambie mtu maisha ughaibuni ni mahangaiko tu ila kwa upande mwengine ulaya kuna fursa ukilinganisha na nyumbani.
Watanzania wavivu ndio maana wakitoka nje ya nchi yao ooh ni kazi
Sasa pesa wafanyie nn??😊@@augustuss4503
Niko tz unachosema nikweli, mwenye uwezo wa kufikiri ndio atakuelewa
Sasa unataka kuishi bila kazi uolewe fanya kazi ndio ulaya hiyo
sio wabongo asilimia 100wazanzibar wenzetu ni wavivu.hujaowa wake wanne huko
Wewe maisha ya nje si mchezo ujafika uone
Ukiwa hupo huku mwenzio unamuona mjinga huku hakuna starehe kazi kwenda mbele sio kama nyumbani jioni upo forodhsni
Sasa nyinyi mumefata starehe au kazi nyinyi kweri wapumbavu kama mtu anajuwa alichokifata huko hawezi kulalamika ungebaki Bongo ushinde vijiweni