👏👏👏👏. Napenda sana Tanzania. Niko Kenya lakini huko ni kwa Mama Land. Mungu ibariki sana Tanzania 🇹🇿. Imenikumbusha sana maana nimesoma huko nikaja Kenya nikasomea tena huku. ❤️
Hello Asmaa, Karibu tena hapa Tanzania, wewe ni ndugu yetu, kumbuka East Africa ni moja na inatupasa tushikamane kuiendeleza na kuilinda East Africa yetu.
Hii Ni Nyimbo nzuri Sana. Nyimbo nzuri Sana kama hizi nakumbuka Tulijifunza kuziimba Katika shule ya Msingi.Zinafundisha Mambo mazuri Sana ya uzalendo na kuipenda nchi yetu.
komboeni taifa msimuope kikwete na Malaya wake majaliwa tulia akson jaji warioba Ana makinda stargromena Ana tibaijuka j mkunda j mabeyo j mwamunyange mungu ibariki Tanganyika uzalendo kwanza
Tulio kuja kuskiliza nyimbo yetu ya uzalendo baada ya mama kuleta chanjo mim takufa nikiamini naweza kuishi kwenye aridhi ya tanzania bila chanjo na mungu ata jibu maombi ya wazalendo juu ya taifa lao
Huwa na mwanga machozi napo usikiliza wimbo huu na namna wanasiasa wanavyo tenda kinyume duh inauma I love you TANZANIA I love you president jpm I haert lissu
Wimbo huu nikiusikia/kuusikiliza nakumbuka s/msingi enzi hizo miaka ya 1980 Ilikua lazima kuimba assemble kabla ya kuingia darasani!.Na ulitujengea uzalendo kwa nchi yetu(Tanzania).
Hivi kuna sheria inayosimamia upigwaji wa huu wimbo? Kuna makatazo yoyote kuhusu kupiga wimbo huu? Kwa mfano nikiweka ringtone ya simu yangu ni sawa? Elimu tafadhali
👏👏👏👏. Napenda sana Tanzania. Niko Kenya lakini huko ni kwa Mama Land. Mungu ibariki sana Tanzania 🇹🇿. Imenikumbusha sana maana nimesoma huko nikaja Kenya nikasomea tena huku. ❤️
Karibu tena
East or west home is the best!!!!
Hello Asmaa,
Karibu tena hapa Tanzania, wewe ni ndugu yetu, kumbuka East Africa ni moja na inatupasa tushikamane kuiendeleza na kuilinda East Africa yetu.
6
I LOVE TANZANIA from the bottom of my heart Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake
I love my country peaple❤
Ukiimbwa huu wimbo nasikia internal feelings feel more blessed Ann daaahh
Same here
For sure
This could have been the best anthem for Tanzania.
Nakupenda sana nchi yangu ❤
Leo nmejikumbuka huu wimbo
Mungu ibariki TANZANIA 🙏
Aaaaaawwwwww..... Tanzania my love...... I love those days in school how we sang so proudly....... Kwakweli nitalalamika kukuacha Tanzania
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kututunukia .
Ila hujatendea haki LUGHA yako ya taifa ili ukamilishe uzalendo
Mwenye aliimba nyimbo hii namuomba kesho aje ofxn kwangu
Ni wapi nije
😂😂😂😂
Tanzania nagotogilwe nse yane-Tanzania nakupenda nchi yangu!
Asante mungu kwa Tanzania yetu mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa
Asante Mwalimu wangu Mr Ngata kwa kutufundsha huu wimbo wa uzalendo wa mama Tanzania back 1998..👏
Asante kwa nyimbo nzuri ya uzalendo
Huu wimbo unanifanya nakuwa na mguso wa ndani sana katika moyo wangu, nchi yangu Tanzania nakupenda sana
Naposikia hii nyimbo nakumbuka mbali sanaa
Nakupenda TANZANIA""milele nipo nawe bega kwa bega
Ahsante mwalimu wilisoni kwa kutufundisha kuimba wimbo wa uzarendo
Waooooh jamn huu wimbo mtamu huwa nikiuskilza nasisimuka
Miss you Tanzania mungu ibariki nchi yetu tuonforee maradhi ya korona
Much love my country Tanzania ❤️❤️❤️
Nice song
Alietunga nyimbo hii apewe chochote kama kumbu kumbu mana naipenda sana napata feeling kubwa sana
😂😂😂😂
Mungu ibariki na kuilinda Tanzania
Nakupenda Sana Tanzania yangu eee mungu ibariki Tanzania amiiiina
NAKUPENDA sana huu Wimbo nkiuimba lazima nilie....I love my country Tanzania
Liaaa kwa mahaba
Good song l like Tanzanian forever 🙏💪
Wimbohuu huwa nakalibiakutoamachozi na unanizidishia uzalendo kwataifalangu loveyou🇹🇿💋
Mimi pia boss..huwa machozi yanalenga
Be in my heart 💓 ❤️ Tanzania you are my country never leave alone.
Heri yako kwa Mataifa♥️🇹🇿♥️
Naipenda Sana nchi yangu tanzanini❤❤❤❤
Nakupenda sana nchi yangu Tanzania 💚💚💚💚💚
i will never leave you Tanzania
❤l love you tazania very much 😢
Nakupenda sana huu wimbo
Iloveu Tanzania iloveu John makufuli
Naipenda sana Tanzania
love you Tanzania!!!!
Hii Ni Nyimbo nzuri Sana.
Nyimbo nzuri Sana kama hizi nakumbuka Tulijifunza kuziimba Katika shule ya Msingi.Zinafundisha Mambo mazuri Sana ya uzalendo na kuipenda nchi yetu.
nchi ya amani nakupenda sana mama samia suruhu
♥️♥️🥰🥰 I love my country🙏🇹🇿🇹🇿
Naipenda Tanzania yangu
Naipenda Tanzania yang
Nakupenda Tanzania
Ilitakiwa uwe ndo wimbo wetu wataifa mzuriiii mh
🇹🇿💓tanzaniaaa
Naipenda san inchi yang
Tanzania viva Jpm💪🎷
❤
Safi
komboeni taifa msimuope kikwete na Malaya wake majaliwa tulia akson jaji warioba Ana makinda stargromena Ana tibaijuka j mkunda j mabeyo j mwamunyange mungu ibariki Tanganyika uzalendo kwanza
2020 adi mwisho😋🇹🇿
"It must be now the Kingdom Coming and the Year of Jubilo!"
Mungu ilinde nchi yangu pendwa Tanzania
A JPM also who fight against ufisadi and fight for the social again.love my country
Tanzania bendera nzur sana mashalalah
Inanikumbusha mbali .
Home country
I LOVE YOU Tanzania
Tazara
Najivunia kuwa mtanzania
❤❤❤
Oh my Tanzania 😂😂just wow 🎉 homeland
God bless Tanzania
Nchi yangu
Huu sasa ndio wimbo wataifa 🇹🇿
Namkumbuka Mr president JP Magufuli kila nisikiapo huu wimbo
Daaah ✊✊✊
ALLAH BLESS AFRICA , ALLAH BLESS TANZANIA.
Muslim religion in Tanzania??? Beautiful sounding song.
Amen
Tanzania milele!
😍😘😍😘
First
Thank you my friend
Mzee polenakazi
Naipenda sana nchi yangu ya tanzania
Uzalendo ndioo ngao naipenda nchi yang
I love Tanzania
🇹🇿❤️❤️
Tulio kuja kuskiliza nyimbo yetu ya uzalendo baada ya mama kuleta chanjo mim takufa nikiamini naweza kuishi kwenye aridhi ya tanzania bila chanjo na mungu ata jibu maombi ya wazalendo juu ya taifa lao
🇹🇿🇹🇿
Great 👍🏾. Mtunzi ni nani?
NAKUPENDA SANA NCHI YANGU TANZANIA, NITAKULINDA SIKU ZOTE NA AMANI NITAILINDA.SALUT TANZANIA.
Huwa na mwanga machozi napo usikiliza wimbo huu na namna wanasiasa wanavyo tenda kinyume duh inauma I love you TANZANIA I love you president jpm I haert lissu
Lazma tuwe wazalendo kwa nchi
Wimbo ninaupenda sana
Hunikumbusha shule ya msingi
My country
Bless tanzania
Safi sana.
Inapendeza Sana.
Jmn mimi nikisikia uu wimbo adi nasisimka sikusoma Tanzania maana siujui ila najifunza naanza kuujua ila Najivunia kuwa MTANZANIA
I love songgggggg ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
Happy uhuru day my fellow Tanzanias at heart. 💙💚💛🖤
I love💖💕💓❤ my nation
I think this was supposed to be National Anthem for Tanzania.
Wimbo huu nikiusikia/kuusikiliza nakumbuka s/msingi enzi hizo miaka ya 1980 Ilikua lazima kuimba assemble kabla ya kuingia darasani!.Na ulitujengea uzalendo kwa nchi yetu(Tanzania).
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🙏
❤❤💚💚💚💚💚💚💚❤❤❤❤❤
Nitalalamika kukuacha Tanzania
Tanzania nchi Bora ktk ukanda wa Africa 🌍 na dunia tujivunie kuwa wa tz tulende amani yetu Kwa nguvu zote
Kwetu pazuri
Aliye imba hii nyimbo naomba namba yake anayotoleaga hela please
TANZANIA!
Tunaombaiwe nyimbo ya taifa
Kweli tena inabamba kuliko hii tunayoimbaga
Ni wimbo si nyimbo
pambani taifa ni mshindi kwa ajili ya taifa usumuogope kikwete ni pumbavu na malaya wake
Watanzania tudumishe uzalendo wetu jamani hata tukiwa kwa watu tukumbuke kusifia kwetu.
Hivi kuna sheria inayosimamia upigwaji wa huu wimbo? Kuna makatazo yoyote kuhusu kupiga wimbo huu? Kwa mfano nikiweka ringtone ya simu yangu ni sawa? Elimu tafadhali
Unaweka tu mana hii nyimbo ya uzalendo tu
I love my Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌎🌏🙏🙏🕌⛪❤
Duuu huu wimbo unanikumbusha mbali sana
Naipenda tanzani na kumkumbuka baba wa taifa mwl j.k. nyerere pumzika kwa aman umefanya meng nasi kuwa huru pepo ni yako r.i.p
Ila hujatendea haki LUGHA yako ya taifa
Nakumbuka miaka ya 90 shuleni