Wananchi wa kawaida washindwa kumudu gharama ya maisha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @titusmuoka67
    @titusmuoka67 2 роки тому +9

    Uhuru hajui hio anaona tumbo yake tu but God will make the way possible

    • @wangadeche1179
      @wangadeche1179 2 роки тому

      Nakujaribu kuchunga Mari yake ya wizi then wanaita ruto mwizi

  • @elijaonyango8620
    @elijaonyango8620 2 роки тому +1

    Uhuru haelewi shida

  • @Ubtwa
    @Ubtwa 2 роки тому +2

    So painful 💔

  • @zion3655
    @zion3655 2 роки тому +1

    Wakenya mbona hamwandamani, lakini kwa siasa.mmakimbiakimbia mkifwata hao washenzi ambao hata mbungeni ni.kulala

  • @mikekk8387
    @mikekk8387 2 роки тому +4

    Alafu ustukie mtu anasema tibim ,tialala 😭😭😭😭

    • @sylviaecke1772
      @sylviaecke1772 2 роки тому +1

      Alafu unasikia MTU anasema husler na yuko na elkopter 6

    • @abiingendo8041
      @abiingendo8041 2 роки тому +2

      Haki mafara Ndio tu wamebaki huko

    • @fectoryab1833
      @fectoryab1833 2 роки тому

      Tialalaaaa

    • @wangadeche1179
      @wangadeche1179 2 роки тому

      🙆🙆aki watu wengine wako na macho na hawaoni imagine

  • @aminali2964
    @aminali2964 2 роки тому +3

    The only solution we can solve this,is to vote the right leaders who can understand our problems....William ruto is the only solution

    • @sylviaecke1772
      @sylviaecke1772 2 роки тому +4

      He will Put US in Hell, He was in govament and He DD do nothing, nyinyi ndio Wale wanaletashida kenya

    • @EDDY5918
      @EDDY5918 2 роки тому

      Suluisho ni Ruto

    • @jamespeter5060
      @jamespeter5060 2 роки тому

      But he is in government? But he is number 2 in command nani aliwaroga nyinyi ? Mulitwambia tano tena, kumira kumira ,but you are the one who elected this government bure kabisa

    • @mutethiam7677
      @mutethiam7677 2 роки тому

      Si mtalia

    • @EDDY5918
      @EDDY5918 2 роки тому

      @@mutethiam7677 afadhali itakuwa ni kilio kipya

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 2 роки тому

    uhuru huyo

  • @wangadeche1179
    @wangadeche1179 2 роки тому +5

    Ndio maana nachukia handshake 🤝 Sasa Kama wenye tuko job ni shida na watu wa vibarua za door to door?🙆🙆

    • @sylviaecke1772
      @sylviaecke1772 2 роки тому

      Handshake Inajiuhusu hapa hivi vipi Raila hapati salary kwa gova but ruto dd,mchagueni ruto tena ndio mliye vizuri

    • @dzoofaki8170
      @dzoofaki8170 2 роки тому

      sasa si uende kwa ruto akakupe chakula

    • @wangadeche1179
      @wangadeche1179 2 роки тому

      @@dzoofaki8170 Soo must anipee food...Mimi nishawahi buy mborea kwa Bei ya 2500 but saa hii inauzwa 6000 handshake imeharibu uchumi wa Kenya wewe Kama inakaa hapo ukingoja kupewa utangoja sana

    • @wangadeche1179
      @wangadeche1179 2 роки тому

      @@sylviaecke1772 handshake imetuharibia uchumi..watu wawiri wakijaribu kurinda Mali ya wakenya wario tuimbia...

  • @Ubtwa
    @Ubtwa 2 роки тому

    On ground with tie,,hustler wakikukwapa matai?

  • @abiingendo8041
    @abiingendo8041 2 роки тому +1

    Haki tungekuwa na akili sawa tungeungana woote hustlers tulete serikali inayo elewa mwananchi wa kawaida

    • @lucylucy58
      @lucylucy58 2 роки тому

      ruto ni hustler???

    • @abiingendo8041
      @abiingendo8041 2 роки тому

      @@lucylucy58 offcorse he was and thts why we want him coz knows what is hustle, nauache kuwa Fara unaniboo nkt

  • @jamespeter5060
    @jamespeter5060 2 роки тому

    Tano tena, thuraku thuraku ,wembe ni ule ule shida ni nyinyi mumeleta

  • @abiingendo8041
    @abiingendo8041 2 роки тому +1

    Haki maisha kenya ni mateso tupu hii serikali imeshosha mwananchi wa kawaida

    • @wangadeche1179
      @wangadeche1179 2 роки тому

      Sio wote we still have some fool's wanaona tukiongea eti ni siasa

  • @zion3655
    @zion3655 2 роки тому +1

    You always elect fools, run after thieves and you have no power to remove them

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 2 роки тому +2

    tutahama tuwaachine familia za maroyal dynast, afu prezo atwambia tupigie azimio, handshak zao, twatamani waresign hata leo, huenda walala hoi tukapata nafuu. badala rais kutafuta suluhisho, yy busy apigia debe azimio la ufukara, ndio aendelee kusalia serikalini

    • @hellenopiyo3391
      @hellenopiyo3391 2 роки тому

      Sure Sisi wenye tuko chini ndio tuko na shida unajua hao ata wapandishe Mara kumi bei ya chakula bado wanakula vizuri lakini Sisi tunaumia sana🤣🤣🤣🤣🤣

    • @wangadeche1179
      @wangadeche1179 2 роки тому

      Aki wish uhunye atoke saa hii