KnowledgeTv by ESRF S02E09 - Ufugaji wa Samaki kwa Kutumia Matank

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @mathiaskulwa7686
    @mathiaskulwa7686 3 роки тому

    Iko vzr

  • @AffectionatePterodactyl-gh1vr
    @AffectionatePterodactyl-gh1vr 10 днів тому

    Teknolojia hii naipata wapi

  • @ismaildjuma3343
    @ismaildjuma3343 3 роки тому

    Ongera sana naitaji namba ya sim ambaye nifundi wao nohuo mpya

  • @godfreymrosso2051
    @godfreymrosso2051 2 роки тому

    Mwandishi hayuko sawa ungemwacha aelezee mpka gharama

  • @fadhili2293
    @fadhili2293 6 років тому +1

    Maonesho mara nyingi hayalengi faida. ukiiga utajuta. hapa ndio tunasikia pesa ya serikali inatumika tu na wala hakuna faida.

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 4 роки тому

    Nikihitaji elimu kwenu , nitaanzaje......na je ina malipo

  • @rosentirurasanye2934
    @rosentirurasanye2934 5 років тому

    Naomba namba za simu za huyo afisa uvuvi tafadhali,
    Asante sana

  • @kisharkulaya4596
    @kisharkulaya4596 6 років тому +1

    vepe kuhusu faida na soko

  • @lesthermulagha2030
    @lesthermulagha2030 6 років тому

    Naomba namba ya simu, kwa sababu napenda kufuga samaki niko Mbeya Mjini .

  • @winfridasika9126
    @winfridasika9126 2 роки тому

    Uhalisia ukoje kuhusu soko na gharama za uzalishaji kuwen wakwel

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      soko lipo niwewe tu kujitangaza na kuzalisha samaki bora. labda hapo kwenye gharama ndo itakuwa ishu ila ukitumia wataalamu pengine gharama zitapungua na utazalisha kwa ubora mkubwa hivyo utauza kwa bei nzuri sokoni

  • @mamahustru
    @mamahustru 6 років тому +2

    mtangazaji ovyo kabisa. Swala muhimu kuliko yote la garama za sytem a uendeshaji hakuona umuhimu wa kuuliza. Wanahabari wa Tanzania kaazi kwelikweli.

    • @barakaleonard5994
      @barakaleonard5994 4 роки тому

      Nmeangalia video nzima nikisubiri hayo maswali na mengne ya maana ambayo angeweza kuuliza, kama muda wa samaki kufikia uzito flani changamoto upatikanaj wa pum na vitu vingine na gharama sijaona, sijui lengo la hii video ni nini haswa...

  • @HermanMannytheNerd
    @HermanMannytheNerd 6 років тому

    Gharama za kuanzia zikoje?

  • @willykwilyam7062
    @willykwilyam7062 6 років тому +1

    nahitaji pomp

  • @aikaassery7434
    @aikaassery7434 6 років тому +1

    kaka nahitaji tank
    moja nianze kufuga samak

  • @sultanishwari6926
    @sultanishwari6926 7 років тому +1

    Ngowi tv

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 6 років тому

    namba za simu za wahusika

  • @harubuselemani9756
    @harubuselemani9756 5 років тому

    ù