Amen mtumishi wa Mungu aliye hai,natamani sana kufika Tanzania hili nishiriki Kwa hili kanisa lakini uchumi hauniruusu,am viewing from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ubarikiwe mtumishi,wacha Mungu azidi kukupaka mafuta uzidi kua na hekima ya juu manake ni watumishi wachache walio kama wewe,Amen
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Ila naomba watu wa sauti jamani, neno zuri ila sauti inakata. Naomba watu wa sauti mrekebishe mitambo yetu ili upako usiwe unakuja na kutoka
Amen,hakika mtumishi wa mungu neno hill limeniweka mahali na limenibariki,mungu akutie nguvu ili uweze kutuhubiria watu kama sisi tunao hisi tumekwama🙏🙏
Amina, Àmina napokea kwa jina la Yesu, na ikawe hivyo katika maisha yangu katika jina La Kristo Yesu Alie hai. Barikiwa zaidi mtu wa Mungu kwa mafundisho haya Mungu aliyoyaweka ndani yako ili kutulisha. Na kuanzia leo nakataa na ninafuta roho ya Ruben ndani yangu kwa jina la Yesu🙏
Amen 🙏 Amen najiungamanisha na madhabahu hii, yoyote yatakayofundishwa, tamkwa ikawe hivyo katika Maisha yangu NAMI nitamsifu Bwana toka mawiwo hadi machwe🙏 na nikaimbe wimbo mpya kabisa.
Kiukweli nafurahia Sana hiki I kitu au zawadi aliokupa Mungu nabarikiw najikuta Lila wakati natamani nikisikilize Lila SAA Mungu akuongezee miakaingi Kwa utukufu wake❤
Morning pastor George kumbuka mtoto wangu kwa maombi yeye hulala na ndoto mbaya kuwa huona nyangau na panga Kila anapo lala na Humuamrisha alale ama imuue muombe mchunganji pia Kila wakati ni mgonjwa kama Sasa nilimpeleka hospitalini tukaelezwa kuwa ako na H pirori alcers na ni mtoto Wa miaka minne tu
Nakupenda. Jinsi unavopenda maendeleo hii k2 nimependa.
Amen mtumishi wa Mungu aliye hai,natamani sana kufika Tanzania hili nishiriki Kwa hili kanisa lakini uchumi hauniruusu,am viewing from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ubarikiwe mtumishi,wacha Mungu azidi kukupaka mafuta uzidi kua na hekima ya juu manake ni watumishi wachache walio kama wewe,Amen
Pia mm natamani sana hua nabarikiwa na mafundisho yake ❤
God of glory help you utafika tuu
Me too❤
Endelea kubarikiwa mpendwa
@@haruonharounkithinji574 wacha tuombe Mungu
Na mimi nashukuru kwa mafundisho kutoka kongo mungu akulinde
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Ila naomba watu wa sauti jamani, neno zuri ila sauti inakata. Naomba watu wa sauti mrekebishe mitambo yetu ili upako usiwe unakuja na kutoka
shida ilikuwa mtandao, Mungu akubariki sana Mtumishi nimepata Neno na Upako.Mungu azidi kukufunulia
Praise the Lord!! Mafundisho ya kweli. Yanatuweka huru kweli kweli.Napokea neema ya kupiga hatua. Good Sherphard!
Amen Mtumishi
Amen,hakika mtumishi wa mungu neno hill limeniweka mahali na limenibariki,mungu akutie nguvu ili uweze kutuhubiria watu kama sisi tunao hisi tumekwama🙏🙏
Asante sana Babaku wa kiroho barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
Amina, Àmina napokea kwa jina la Yesu, na ikawe hivyo katika maisha yangu katika jina La Kristo Yesu Alie hai.
Barikiwa zaidi mtu wa Mungu kwa mafundisho haya Mungu aliyoyaweka ndani yako ili kutulisha.
Na kuanzia leo nakataa na ninafuta roho ya Ruben ndani yangu kwa jina la Yesu🙏
Ameeen👏👏👏
Napokea Napokea kuwa mtu mkùu sana katika uso wa inchi mpaka uzee wangu 🤲🤲🤲🤲🤲
Mungu akubariki zaidi,uko vizuri saaaaana pastor,nitakuja HAPO kanisani KWAKO live,naishi Bugando
Niko Hapa Baba Uniguze niguze Vibali vyako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
Asante baba kwa nyumbe nyipya papa❤❤
Hakika nabarikiwa sana na maarifa haya..
MUNGU akutunze Sana Pastor
God bless you always pastor for imparting wisdom on the body of christ Asante🙌🙌🙌.
Amen, hapa nimejifunza, nimeuona mkono wa Bwana. Barikiwa mchungaji.
Amen amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
Amen 🙏 Amen najiungamanisha na madhabahu hii, yoyote yatakayofundishwa, tamkwa ikawe hivyo katika Maisha yangu NAMI nitamsifu Bwana toka mawiwo hadi machwe🙏 na nikaimbe wimbo mpya kabisa.
Mungu akubariki akupemaisha marefu
Nimejifunza jinsi ya kuanza kidogo, barikiwa mtumishi
Kupitia mafundisho yko tangu nilianza kukufuatilia nilimpokeo mungu na moyo wangu wote
Amen nimebarikiwa mungu akubariki mtumish wa mungu
Amina MUNGU ni muweza Kwa kutupia mda wa kupata neno lake
Barikiwa baba yangu wakiroho tuna kupenda sana na Mungu aendelee kukupa neema
Mungu wangu naomba kibali cha kufanya kazi na pia unijalie hekima ya kufanyia kazi maono yangu❤
Amen nimebarikiwa. Mkono wa bwana uwe juu yangu na family yangu. God bless you
Ubarikiwe sana mtumishi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amen🙏🙏 nimebarikiwa sana neema ya bwana iwe pamoja nawewe mtumshi
Napokea neema na baraka kutoka Kwa mungu
Ubarikiwe baba na me leo nikutane na mtu sahii
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa neno lenye nguvu
Napokea Baraka za Bwana na kupokea Mafunzo
Muzazi wangu wa kiroho unanijenga Sana maishani mwangu Mungu aliye kuita azidi Sana kukurinda na uishi myaka mingi
Ubarikiwe sana baba yangu wa kiroho
Kiukweli nafurahia Sana hiki I kitu au zawadi aliokupa Mungu nabarikiw najikuta Lila wakati natamani nikisikilize Lila SAA Mungu akuongezee miakaingi Kwa utukufu wake❤
Amen 🙏 🙏 nimebarikiwa sana be blessed man of God
Lipa Leo ucheze kesho🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana baba
Mtumishi WA Mungu, ubarikiwe Sana na jumbe ambazo Mungu anakupatia. Napokea kupiga hatua Zaidi Kwa Jina la Yesu.
Amina baba
Barikiwa sana mtumishi
🙏🙏🙏
Madiaba naijua😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeen Ameen.. Glory ❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen🙌🙌🙌
Oooh Goodness w❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
God bless you pastor
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oooh Hallelujah ❤❤❤❤❤❤ Ameeen Ameen and Amen ❤❤❤❤❤❤❤
AMEN AMEN, 🙏🙏
Amina
❤Amina
Naomba niunganihwe na maombi ay asubui
Aminaaaa🎉
Powerful ❤
Amen 🙏
Wacha Mungu abaki kuwa Mungu yale ametenda ni makuu
Nikutanishe Baba
Amen!!!!
Ameeeeeeeennnnnn and ameeeeeeeennnnnn 🙏🏻🤲👏🏿👏🏿
❤AMEEN
Muchhumblebeforethelord
amen
Ameen
Amen Amen, √√
Morning pastor George kumbuka mtoto wangu kwa maombi yeye hulala na ndoto mbaya kuwa huona nyangau na panga Kila anapo lala na Humuamrisha alale ama imuue muombe mchunganji pia Kila wakati ni mgonjwa kama Sasa nilimpeleka hospitalini tukaelezwa kuwa ako na H pirori alcers na ni mtoto Wa miaka minne tu
NAJIUNGAMANISHA NA MADHABAU HII NA NEEMA INAYOTENDA KAZI KWA JINA LA YESU KRISTO
Maamuzi magumu lazima yawepo
Mithali 16:9
Mwanzo 49:3-4
LIPA LEO CHEZA KESHO ( PAY NOW PLAY LATER) I'm really blessed
Amen
Jaman huyu Mungu amenivusha sana kupitia wewe mtumishi wa Mungu siku moja nitakuja mwanza niabudu hapo naelewa sana sana
Roho ya Reuben 😂😂😂
Mungu akubariki zaidi,uko vizuri saaaaana pastor,nitakuja HAPO kanisani KWAKO live,naishi Bugando 👍🙏💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓❤️❤️
Ubarikiwe baba
Amen amen amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🇰🇪
Asante kwa neno mungu akubariki zaidi, Kenyans we love you much growing spiritual
Kenya tupo rada kabisa,Mungu akubariki sana mtumishi.
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Ameeen 🙏
Amen 🙏🙏🙏🙌🙏
Amina
🙏🙏
Mungu akubariki zaidi,uko vizuri saaaaana pastor,nitakuja HAPO kanisani KWAKO live,naishi Bugando 👍🙏💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓❤️❤️
AMEN
Amina
Ameen
Amen amen
Amina
Ameeen
Amennn
Amen
Amen