Naomba roho mtakatifu aachiliwe ndani yako ili ufahamu kile anamaanisha.mm sikuuwa na chochote cha kumtolea mungu.nikaahindi kwamba ukinibariki nitakutole zaka na malimbuko kamili.siku ya pili kukatangazwa maombi ya kufunga mwaka siku tano.nilichukuwa maombi nikiambia Mungu amponye mama pressure na vidonda vya tumbo na nilipwe pesa yangu yote ile deni ya miezi 2 bila kuvuka mwaka na madeni.siku ya tatu ya maombi niliambiwa mama yuko sawa hadi anasafiri kutoka kilifi _lumu kusherehekea new year na wajukuu wake . siku ya mwisho wa maombi 31 December nilipewa pesa yangu yote.ndugu Mungu anaangalia roho yko atimize hitaji lako.
Ee mungu wangu nahomba unipe moyo wa kukutolea
Barikiwa enosent mashauri hizo nyayo nizakitumishi kabisa tuko pamoja
Mungu wangu naomba neema yakutoa sadaka hata kama kidogo nilichopata
Eee Mungu nisaidie na unipe moyo wa kukutolea .. huu mwaka uwe wangu wa kufurahia baraka zako
Kwa hiyo asiye na kitu asiombe? False Teachings.
Naomba roho mtakatifu aachiliwe ndani yako ili ufahamu kile anamaanisha.mm sikuuwa na chochote cha kumtolea mungu.nikaahindi kwamba ukinibariki nitakutole zaka na malimbuko kamili.siku ya pili kukatangazwa maombi ya kufunga mwaka siku tano.nilichukuwa maombi nikiambia Mungu amponye mama pressure na vidonda vya tumbo na nilipwe pesa yangu yote ile deni ya miezi 2 bila kuvuka mwaka na madeni.siku ya tatu ya maombi niliambiwa mama yuko sawa hadi anasafiri kutoka kilifi _lumu kusherehekea new year na wajukuu wake . siku ya mwisho wa maombi 31 December nilipewa pesa yangu yote.ndugu Mungu anaangalia roho yko atimize hitaji lako.
@@GhFc-w9kAmen 🙏🙏🙏🙏 kwenu ni lamu kwani😮
@@Swabrina- ee
@@GhFc-w9k side ipi ju mm pia kwetu n uko
@@Swabrina- maisha masha