EXCLUSIVE: IDRISS KITAA AONGEA SABABU YA KIFO CHA DIDA SHAIBU/NATAMANI DIDA ARUDI TENA/NIMEUMIA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Tumepiga Story na IDRISS KITAA
    ````````````````````````````````````````````````````
    Facebook Page @chazymedia
    instagram @chazymedia
    Tiktok @chazymedia
    ``````````````````````````````````````````````````````````````

КОМЕНТАРІ • 203

  • @robertrerarevocatus3455
    @robertrerarevocatus3455 5 годин тому +5

    Dah Kaka pole Sana ndugu yangu hakika ni Uchungu Sana Ulio nao Mwenyezi Mungu akupe wepesi Sana 😢😢😢😢😢 Dah Pumzika kwa Amani Dida

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 години тому +7

    Hainahaja yakumsema kwa ubaya mwezetu maana hata cc hatujazijuwa hatima zetu kubwa nikumuombea duaa allah ampekauli thabit naamsamehe makosa yake na cc atujaalia mwisho mwem🙏

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 3 години тому +4

    Poleni sana mungu amlaze maali pema peponi mbele yake nyuma yetu mungu atupe mwisho mwema

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 6 годин тому +9

    Inna lillahi wa inna illahi rajiun Dida
    Idris usikufuru, hata kama una uzuni , mola akusamehe

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 2 години тому +1

      Kachanganyikiwa jamani hakujua analolisema Allah amsamehe sidhani kama kasema kwa kujua

  • @richardJanson-h7c
    @richardJanson-h7c 6 годин тому +4

    Poleni sana tena sana tulimpenda lakini Mungu kazi yake haina makosa

  • @RadShayo
    @RadShayo 5 годин тому +3

    Poleni jamaniii Eee mwezi mungu tunaomba umsamehe makosa yake yote apumzike Kwa amanii

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 5 годин тому +7

    Idrisa umekufuru Yan hamuamin kama mungu yupo mbaka akuondole mtu wako wa karibu au ndg Yako tunajidanganya sana hibada ni muimu na pumzi tunayo itumia atunui kama ruku au bado ni mumba wetu katujaria na anaichukua wakanti ukifka urivyo sain kabda ujaja dunian ivyo tumche Allah kila huchao in Sha Allah Allah atujarie mwisho mwema Ameen

    • @bihijaabdalla6885
      @bihijaabdalla6885 5 годин тому +1

      Kughafilika ni kwa Sisi binadamu lkn pia mauti ni mawaidha tosha hususan ya mtu wako wa karibu..Allah amuongoze na amuongoze na Sisi na amjalie kaul thabit ya Rabb

    • @SuleAltwaf
      @SuleAltwaf 4 години тому +2

      Subir na ww ya kukute utajua nn Alimaanisha

    • @HaikaJohn-w3h
      @HaikaJohn-w3h 3 години тому +2

      Kachanganyikiwa jmn jmn mwache tuuuh

    • @YATAISHAMohd
      @YATAISHAMohd 3 години тому

      Mimi nahisi kamaanisha binaadam tunajisahau sana km Mungu yupo muda wote. Ila unapoumwa na yanapofika mauti ndio tunakumbuka km Mungu yupo.

    • @momobaufu7967
      @momobaufu7967 2 години тому

      True hapo amekosea bt Allah atamsamehe ni huo uchungu mpk hajui alicho kiongea😢😢😢

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 4 години тому +2

    Inna lillahi wa inna illahi raijun😢Allah amsehm makosa yake ya siri na dhairi🙏🙏sote pua zangalia chini😢Allah atujalie mwisho mwema InshaAllah 🙏🙏🙏ndugu zangu sio vizr kusehm maiti hii niwakati wakumuombea dua ndio chakula cha maiti

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 6 годин тому +2

    Allah awape Subra...
    Innallilah wa Innailaaih Llaajhun..

  • @TitoMatius
    @TitoMatius 2 години тому +1

    Jaman dida hakika umeniuma mama angu mungu akupumzishe kwa amani

  • @UmmiJokha
    @UmmiJokha Годину тому +1

    Pumzika kwa amani dida wetu mbele yako nyuma yetu tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 5 годин тому +4

    Allah akuongoze inamaana kumwabudu M/ mungu mpaka akuondoshee hili

    • @salimsaleh6587
      @salimsaleh6587 3 години тому +1

      Kachanganyikiwa maskini Allah amsamhe Na atusamhe Sisi sote hakuna aliekamlika kwakweli

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 2 години тому

      Kachanganyikiwa maskini

    • @rukaya-jg7hj
      @rukaya-jg7hj Годину тому

      Waandishi bas muachrni huyo kijana mnahoji sana mnamuona kibisa hayupo sawa kachanganyikiwa atakufuru msiwaulize maswali wafiwa

  • @Danielraulents-r3g
    @Danielraulents-r3g 4 години тому +3

    Pole kaka iddy 😭😭

  • @muhidinsuleiman4315
    @muhidinsuleiman4315 6 годин тому +7

    KKa mbn unaongea hvy utamuamudu mungu mpk akuondoshee hyo.. dah Allah atuongoze

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 6 годин тому +1

      Haifai kabisa

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 5 годин тому

      Poleni sana kwa msiba. Innalilah wainah ilahi rajiun. Haqika sisi wote wa Allah.
      Kijana wangu kuna kitu umesema kizito sana. Amakweli kifo ni mawaidha tosha kwa muumini. Umeapa kuhusu kumuabudia Allah akuoteshe kuhusu kufanya jambo sahih katika kumuabudia Allaah.

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 5 годин тому

      Hicho kifo cha dada yako mpedwa Dida kufariki. Kina kupa usahihi wa kujitathimini. Nenda kutana na Masheikh wa Kisalafi....katika masjid omary mukhatab Jangwani karibu na club ya yanga. Kawambie story yako na elezea hamu yako ya kutaka kumuabudia Allaah. Na akujuze pale ulipoteleza katika kufanya makosa. Allaah akuifadhi Iddrisa

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 2 години тому

      Kachanganyikiwa jamani musimuhukumu na yeye binaadamu ni anaekosea nna imani hakumaanisha kutkana na maelezo yake alikua total confused

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 2 години тому

      ​@@kadrimwingamno258ni kuchanganyikiwa tu, hao salafi wenyewe kuna watu wanawaona walo nje ya maamrisho ya Allah

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 6 годин тому +2

    Allah akuongoze kweli umludie allah idrisa

    • @MelanyMelany-ep4bw
      @MelanyMelany-ep4bw 5 годин тому

      Amrudie mungu kivipi kwani huko kuwa mtangazaji ndio ina maana hafati vile Allah anataka acheni mambo yenu nyie

  • @upendohellehongelakwahudum8564
    @upendohellehongelakwahudum8564 3 години тому

    Kwa kweli hinindoto hata kwangu pia mungu amutanguliye mbele ya haki 🙏🙏🙏🙏

  • @Hawamoshi-j7r
    @Hawamoshi-j7r 2 години тому +1

    Poleni sana mungu Amsamehe makosa yake

  • @HarisHars-t6z
    @HarisHars-t6z 2 години тому

    KI KWELI IMENIUMA SANA PUMNZIKA KWA AMANI DADA DIDA❤

  • @abdallahabibu8340
    @abdallahabibu8340 5 годин тому +1

    Innaalillaahi Wainnaa Ilayhi raajiuun

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 6 годин тому +46

    *Alikuwa mtoto wa kiislam ila maadili ya kikafiri... hii dunia sio sehemu sahihi ya kufanya staarehe na kujisahau kuishi ni bahati na kufa ni lazima Allah atujaalie mwisho mwema in shaAllah*

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 6 годин тому +18

      Sawa secretary wa Mungu tumekuelewa wewe unaye ishi mbinguni...

    • @himidiwekabuje8402
      @himidiwekabuje8402 6 годин тому +12

      We unajuaje km aliishi kikafili usihukumu maana utahukumiwa

    • @JohnsonRutta-k1c
      @JohnsonRutta-k1c 6 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂hi imenifanya ncheke aki hyu cy anahukumu ​@@joycehaule9717

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 6 годин тому +12

      Tajeni mema ya maiti zenu na muwafichie makosa yao. Usimuhukumu mtu wewe muombee dua mwenye kuhukumu ni Allah peke yake

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 6 годин тому +6

      hukumu mmeanza

  • @LattifaKusaga
    @LattifaKusaga 2 години тому +1

    Why vidonda vya tumbo dah didah😢😭😭😭rest in peace 🕊

  • @WambeneHabiba
    @WambeneHabiba 6 годин тому +2

    Inalilahi waina ilahi rajiun

  • @Naju645
    @Naju645 5 годин тому

    Allah atupe mwisho mwema 😢😢nimeumia😭😭😭😭

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 2 години тому

    Innalillah Wainna ilayah Rajiun poleni sana Familia

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 Годину тому

    Innalillah wainna illayh raji'uun
    Allaah amsameh na amjalie qauli thabit

  • @SamouOman
    @SamouOman 2 години тому

    pole kaka angu mungu akupe uvumiliv

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 4 години тому

    Innalillah Wainnailayh Rajiuun ,Mungu akupeni subira nikweli usemavo kaka ,mazoea nimtihani sio kama hatuyakubali mauti ,msiba unauma hata kama niwajibu ,Allah nae Assamese alimokosea sote siwakamilifu ,tusihukumiane vibayapia😢

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 3 години тому +2

    Mungu hayupo kwa kuandoka Dida??acha kufuru wameondoka wangp dida ni nan??usitake tumtukane marehemu wakat ni muda wa kumuombea dua😢😢😢

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 2 години тому

      Nikuchanganyikiwa tu jamani musimuhukumu

  • @FadhiraMwema
    @FadhiraMwema 5 годин тому +1

    Ndugu zanguni kifo hakina mda hakina taarifa tuishi kwa tahadhari na tujilazimishe kumuabudu allah

  • @swabahasaidi8590
    @swabahasaidi8590 3 години тому +1

    Subiri sanaa zote usikifuru

  • @ZamdaLupeta
    @ZamdaLupeta 4 години тому

    😢😢poleni kwa kipindi hiki kigumu mbele yake nyuma yetu😢😢😢

  • @alyehemed4477
    @alyehemed4477 7 годин тому +1

    Allah amlaze pema peponi

  • @SaudaOmary-pi9si
    @SaudaOmary-pi9si 4 години тому +1

    😭😭😭😭😭R.I.P. Dida

  • @Staan-w9s
    @Staan-w9s Годину тому +1

    Kwahiyo kama sio ndoto hutamuabudu 0:35 🤔

  • @anabBajaga
    @anabBajaga 8 годин тому +1

    INNALILLAHI WAINAILEHI RAJIUN

  • @adamkipenga6512
    @adamkipenga6512 6 годин тому

    Daaaaaah kweli kifo sikia kwa mwenzio mbele yake nyuma yetu 😢

  • @carolinetanui2382
    @carolinetanui2382 7 годин тому +1

    Daaaaaaa ehhhhh mungu

  • @umu-ul-kurthumhamad9500
    @umu-ul-kurthumhamad9500 2 години тому

    Innalillah wainna ilayhi rajiun, ila mbona wamemueka Sana KafA Jana anazikwa keshokutwa

  • @noorbawaazir9035
    @noorbawaazir9035 Годину тому

    Innalilah wainnailah rajiun😢

  • @omanmct135
    @omanmct135 6 годин тому

    Inalilah wainailah rajun aaalllah amuweke peponi

  • @ismailfarah8083
    @ismailfarah8083 5 годин тому

    Poleni kwa msiba.

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 5 годин тому

    Innalillah wainaillha rajiuun😭😭😭😭dida jamn

  • @MatildaLazaro
    @MatildaLazaro 2 години тому

    Pole sana

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 Годину тому

    Tunafaa kukumbushana mungu atupe mwisho mwema

  • @athumaniashimu1568
    @athumaniashimu1568 3 години тому

    Ata me inaniuma san san dad yangu kuondoka nimeguswa mno na huu msiba 😭😭😭😭

  • @BahatiMohamed-j3l
    @BahatiMohamed-j3l 3 години тому

    Kwani @ Kombo ukinyamaza utakufaa mbaka utoe kaulii mbakaa watu wanauzuni unaongea upumbavuu

  • @tumainijotham5054
    @tumainijotham5054 4 години тому

    Pumzika kwa amani dada dida inauma sana

  • @shamilamo9159
    @shamilamo9159 5 годин тому

    Innalillah wa innailayh rajiun

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 5 годин тому

    Kachanganyikiwa uyo Allah amsamehe

  • @UmmyMsafiri
    @UmmyMsafiri Годину тому

    Astagharullah 😢 yeye ni binadam ila tuna fundishwa kumuombea maiti sio kumsimanga kwa makosa yake haijalishi alikuwa ana ishi vipi mwenyezi mungu amurehem amsamehe makosa yake ya Siri na dhahili

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 години тому

    Apotujiulize dunia imemuacha au dunia kaicha tusijisahau naulimwengu jina nzur khadija ila matendo sifuri

  • @emanuelmichael975
    @emanuelmichael975 2 години тому

    Pole id inalilah wa inalilaa raijun

  • @HabibaMkwama
    @HabibaMkwama 5 годин тому

    Pole sna Babu iddi najalbu kuvaa viatu

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 3 години тому

    Unajipa asilimia mbingu ni ya waisilamu tu .acha kuwaza ujinga .mungu sio mwanadamu

  • @aliroro9344
    @aliroro9344 7 годин тому +5

    🤔..Kwaio Wewe Mungu unaemuabudii Una Imani nae na Umuamni mpka akuodole ilo itaji lako 🤔 Hii kufru

    • @treyvissy9854
      @treyvissy9854 7 годин тому +5

      Ni jazba tu ya msiba ndugu usikaze fuvu sana .. yeye anaelewa anatakiwa kumuabudu mungu wake wakati wote!

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 7 годин тому +2

      Kachanganyikiwa wallah😢😢😢

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 6 годин тому

      @@treyvissy9854 Akuna cha jazba yeye ni arudi nyuma atubie maana hii clip ipo akione tena na akijua amekosea basi atubie tu.

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 6 годин тому +1

      Subraaaa subraaa punguza maneno

    • @silverman6930
      @silverman6930 5 годин тому +1

      He was closed to her just relax .. it’s painful trust me 😢. Dude he’s in excruciating agony right now 😢

  • @KhaletaniyaQueen
    @KhaletaniyaQueen 7 годин тому

    isikufuru bro

  • @saumusudi9720
    @saumusudi9720 4 години тому

    Innalillah wainaillaih rajiun

  • @fatumamorris7581
    @fatumamorris7581 Годину тому

    Innah lilah wa innah lilah rajhun

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 4 години тому

    Kilicho bakia kaka Ibada ukweli kabisa

  • @AbdouliHasani
    @AbdouliHasani 5 годин тому

    Inalilah wa inalilah lajiun

  • @FATUMAPASKAL
    @FATUMAPASKAL 3 години тому +1

    Usimuhukumu mtu. Tuombeni. Mwisho mwema jmn

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 2 години тому

    Ata mimi nimeumia sana 😢

  • @EllyNacy
    @EllyNacy Годину тому

    Huwa nachukia uandike heading alaf haiendani na kilichozungumzwa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 години тому

    Leo mtajifanya watiii ila mbabadili waja glasiya pombe atabeba au kaaicha

  • @StevenGiven
    @StevenGiven 3 години тому

    Jamani msiba usikue tu Kwa mwenzio ila unaumaaaa

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 2 години тому

    Kufa ni wajibu kila kikubwa tusijisahau safar ipo

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 4 години тому

    R.I.P

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 5 годин тому

    Ukimuona Idris machozi yanakutoka pole I saaaaaana

  • @signtv9848
    @signtv9848 2 години тому

    dunia ni mapito fanyeni ibada mnasubiri mpaka mtakapokufa ndo mpelekwe masjid

  • @SarahSanga-p6d
    @SarahSanga-p6d 3 години тому

    Bdo siamini jmn dida mbn mapema poleb sanaaa jmn

  • @swabahasaidi8590
    @swabahasaidi8590 3 години тому

    Dida wetu sote Mungu amarehumu

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 5 годин тому +1

    Kuli nafsi dhalikal mauti inna lilahi wainailahi rajiuun

    • @Hinduhamza
      @Hinduhamza 3 години тому

      Kullu nafsin dhaikatul
      Maut

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 6 годин тому

    Huyu kaka Allah ampe hidaya mana imani yake haijatengemaa maongezi yake tu unafamu😢 Allah atuongeze kumjua Yeye mola wetu nakufata matakwa yake nakuacha makatazo yake

    • @ummycheedy2809
      @ummycheedy2809 5 годин тому

      Kila mtu akipata msiba anaupokea anavyojua yeye 😭

    • @AyubuIssa-np3vc
      @AyubuIssa-np3vc 5 годин тому

      Tatizolako umejawa naudini sana ubaguzi umekujaa .sasa alichokosea nikipi .au kisa bwana ametowa jinalake is iimisiwe .uyo amegusa kwWatuwote

  • @HALIHAMISI
    @HALIHAMISI 4 години тому

    Hupaswi kusema hunais ndoto broh kifo tumeumbiwa wanadam ni sehem moja ambayo kila mmoja wetu hitamkuta hila tu kwa nyakat zake tuseme inshaallah mwenyenz mungu hamfanyie wepes kwenye safali yake ya milele kabuli lake liwe miongon mwa watu wema popen inshaallah

  • @KassimNassor-h9m
    @KassimNassor-h9m 3 години тому

    Mungu amfanyie wepes hakuna mkamilifu mbele ya allah!

  • @upendohellehongelakwahudum8564
    @upendohellehongelakwahudum8564 3 години тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @RamadhaniIssa-e6i
    @RamadhaniIssa-e6i 5 годин тому

    😢

  • @kareemyassin9322
    @kareemyassin9322 4 години тому

    😢😢😢😢😢

  • @masoudtwalib6413
    @masoudtwalib6413 6 годин тому

    Punguza kuongea sana unachochora.

  • @mozaally7643
    @mozaally7643 2 години тому

    Kuumwa ckufa muda umefika

  • @ashuu7772
    @ashuu7772 5 годин тому

    Huyu kachanganyikia kidogo

  • @mozaally7643
    @mozaally7643 2 години тому

    Vua io midude mikononi

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 6 годин тому +1

    mbona watu wanasema ni moyo

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 5 годин тому

      Watu gani wakwenu huko uliko au hao walokua karibu nae

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 години тому

    Muache naushetani shamsham leo ndani yakabur

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 5 годин тому

    Daaa kwaiyo dida malizake kaaacha pesa zake kaaacha kaenda yeye tu jamani dunia tunaiacha jamani tupunguze tama za dunia

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 2 години тому

    Kufa ni wajibu kila kikubwa tusijisahau safar ipo

  • @YonoZanzibar
    @YonoZanzibar 4 години тому

    😢😢😢😢