Mtume Muhammad SAW aliwaambia maswahaba wake wakimbilie Habasha/Ethopia kwa Mfalme Najashi(Hijjira ya kwanza). Makuraysh (Makafiri wa Makka) walikuwa wakiwapiga vita Waislam (mtume na maswahaba wake. Hivyo mtume akawaambia maswahaba wake wakimbile/wahamie Habasha/Etjopia kwa Mfalme Najash kwavile mfalme Najash alikuwa anaongoza kwa uadilifu japo hakuwa Muislam. Waislam/Maswahaba walipofika Habasha walipokelewa na Mfalme Najash na wakapewa hifadh lakini makafiri wa Makka wakapata habari kuwa maswahaba wa mtume wamehamia Habasha. Makafiri wa Kikuraysh walibata habari kuwa maswahaba wamehamia Habasha hivyo makafiri wanafunga safari kwenda Habasha kuwapiga vita maswahaba. Walipofika Habasha makafiri wakamfuata mfalme Najash na kumlaumu kwanini amewawapokea na kuwahifadhi maswahaba (Waislam)? Makafiri wakataka kutia fitna ili Najash awafukuze maswahaba lakini Najash aliwauliza maswahaba kwanini wamefukuzwa Makka? Messages wakamjibu Najash kuwa wamefukuzwa Makka kwavile wanatangaza dini ya Uisla alokuja nao mtume mpya Muhammad S.A.W, dini ya kumpwekesha Mungu mmoja ambae ni Allah S.W. Najash aliridhishwa na tabia/maadili ya maswahaba hivyo akawawekea ulinzi maswahaba, akawafukuza Makafiri na hapo ikawa sababu ya Najash nae akasilimu (aksingia ktk Uislam) na Uislam ukaenea Afrika. ***WaAllahu Aalam***
Assalaam alykum. Nawapata toka simiyu. Niombe na vijijini Allah ajalie mfike kuna watu wanasilimu lakini suala la elimu bado sana. Wengine ambao elimu yetu ni ndogo sana. Tunaoneka wasomi wakati elimu hatuna. Tunaomba wenye elimu ya dini wafike na huku. Assalaam alykum
@@nuriyaabuu swali ni nchi gani ya Afrika uislam uliingia mwanzo kabla ya Madina. Jibu likaja ni Ethiopia. Ndio nikauliza vp misri au wakati huo haikua iko Afrika? Musa alitumwa akamuhubirie Firauni kabla ya Mtume Muhammad hajawatuma Masahaba kwenda huko Habesh
Akisema uislamu kuingia afrika kabla madina ni masri kwa sababu tunaamini kuwa uislamu upo tangu adam a.s hadi musa a.s to Muhammad b.p.u.h .lkn ukisema uislamu kuingia afrika wakati ya muhammad(P.b.u.h) ni ethiopia( habashi) .
Ikiwa sheria ya dini ya uislam alipewa adam , nuhu ibraahim, ismail, is-haaq, yaqub na walio fuata. Sasa hapa hapa ikiwa nabii yusuf aliishi misri. Je hatuoni uislam ulianza kufika mwanzo misri kabla pengine? Embu nipeni ufafanuzi
@@jahadibrahimtv7958 tembelea saa hii ukaone na utaona baadhi ya makaburi ya waarabu walio jenga huo msikiti na pia kulikua na jiwe zamani likizunguka kando ya ufuo wa bahari wazee wetu wa zamani walikua wakifika hapo na kufanya ibada na maombi yao yalikua yanakubalika wakati huo wazee wetu wengi walikua awajui uislam ni nn. Lakini jiwe ilo lilipotea baada ya watu kufanya anasa kwenye bahari
@@sakinat2527 sakina swali limekosewa kuulizwa kwani manabii walikua dini gani? Apo ndipo utanielewa ila ange uliza ivi baada ya mtume kukabiziwa utume ni nchi gani ya mwanzo kufikiwa mafundisho ya kiislam apo ndipo ingekua Ethiopia lakini kwa swali alilo.uliza ni nchi gani ilio fikiwa na uisilamu mwanzo barani Africa kabla ya madina itakua ni misri nako alihudumu musa na yusufu
@@sakinat2527 asante kwa kunielewa na tumia njia ii pia kuwaelimisha wengine unajua ii kitu kama iki ndio kinatupa tabu kuwalingania manaswara wakiitikati uisilam kaja nao mtume Muhammed s a w wakati alio kuja nao fasi ni nabillahi Adam na mwenyezi mungu ametuumbia katika umbo la kiisilam tokea awali
MashaAllaah yaani mie niko na ombi kwa sheikh Masawe yaani atuongezeye mda wahiichi kipindi Sijuwi mwasema aje wandugu zangu
Ni raha sana
itapendeza sana
Swadakta dada
Mashallah shukrain sheikh wetu allah akujalie afya njema akuifaidhi
Mashaallah jazakallah khayran
Mashaallah sheikh wetu masawe kipindi kizury
Mtume Muhammad SAW aliwaambia maswahaba wake wakimbilie Habasha/Ethopia kwa Mfalme Najashi(Hijjira ya kwanza).
Makuraysh (Makafiri wa Makka) walikuwa wakiwapiga vita Waislam (mtume na maswahaba wake.
Hivyo mtume akawaambia maswahaba wake wakimbile/wahamie Habasha/Etjopia kwa Mfalme Najash kwavile mfalme Najash alikuwa anaongoza kwa uadilifu japo hakuwa Muislam.
Waislam/Maswahaba walipofika Habasha walipokelewa na Mfalme Najash na wakapewa hifadh lakini makafiri wa Makka wakapata habari kuwa maswahaba wa mtume wamehamia Habasha.
Makafiri wa Kikuraysh walibata habari kuwa maswahaba wamehamia Habasha hivyo makafiri wanafunga safari kwenda Habasha kuwapiga vita maswahaba. Walipofika Habasha makafiri wakamfuata mfalme Najash na kumlaumu kwanini amewawapokea na kuwahifadhi maswahaba (Waislam)?
Makafiri wakataka kutia fitna ili Najash awafukuze maswahaba lakini Najash aliwauliza maswahaba kwanini wamefukuzwa Makka? Messages wakamjibu Najash kuwa wamefukuzwa Makka kwavile wanatangaza dini ya Uisla alokuja nao mtume mpya Muhammad S.A.W, dini ya kumpwekesha Mungu mmoja ambae ni Allah S.W.
Najash aliridhishwa na tabia/maadili ya maswahaba hivyo akawawekea ulinzi maswahaba, akawafukuza Makafiri na hapo ikawa sababu ya Najash nae akasilimu (aksingia ktk Uislam) na Uislam ukaenea Afrika. ***WaAllahu Aalam***
Alhaddaj Mohammed mashaallah mungu anakubariki
Ma shaa Allah
MashaAllah tabarakallah
MashaAllah. Elimu inahitajika Sana.
Kishki mungu akulipe ndugu yangu unajitahid sana kuimalisha imaan allah atakulipa hakika
Nakipenda sana kipindi hiki allah awajaalie barka ili kiendelee
Assalaam alykum. Nawapata toka simiyu. Niombe na vijijini Allah ajalie mfike kuna watu wanasilimu lakini suala la elimu bado sana. Wengine ambao elimu yetu ni ndogo sana. Tunaoneka wasomi wakati elimu hatuna. Tunaomba wenye elimu ya dini wafike na huku. Assalaam alykum
Masha Allah
Waalaykum Salam warahmatullahi wabarakatu
Ma Shaa Allah Tabaraqallah
Jazakhallahu khairaa
MashaaAllah
Mashaallah Allah akuifadhi shekh wetu massawe nakupendeni Tv kishk
Bora hicho kipindi kiwe hukohuko mitaani waelimishe wengi
MashaAllah
Nafurahi sana kuona watu wangu,
Nifikishie Salaam kwa maamuma wote wa Mtoro na Mosi anihifadhie hio alfu 5.
mashaAllah ila muda mfupi sana
Mashaallah
Jazaka Allahu kher Allah awazidishie juhudi za kutuelimisha Aamiin
Ma sha allah
Allah akulipe sheikh wetu masawe
MASHA ALLAH tabarakaAllah
Mashallah
afrika uislam uliingia mwanzo kabla madina allah akbar
Maasha Allah tunazidi kuelimika na kishki tv
Ethiopia
Maa shaa Allah
Mashallha
Mashaallah kiongozi mkuu wawapiga azana Duncan anatoka habesh amblyopia ni Ethiopia kwasasa simwingine ni Bilal bin rabah
Mashala
Na nchi ya afrika ilikuwa ni uhabeshia kwa sasa ni Ethiopia
Zanzibar
Hata Bilal bin Rabaa radhi Allahu anhu ni mu habashi.
She kk Mungu akuripo Nishallha
Maa Shaa Allah
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Tujitahidi tusomedini yetu
Waleykum salam warahmatu llah wabarakatuh
allah akbar waislam maswali madogo yanatushinda mtihan ulioje
Mashalllah
Habasha(Ethiopia )
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautjli
Masha allah iki kipindi nakipenda sana kinanifunza
Allah awajalie kwakutupa daawa
Nahisi ni Ethiopia dini iliingia kabla ya madina
Ma shaa Allah nakipenda kipindi coz ata cc tunajifunza alhamdhulillah
Mashaallah naelmika na kipindi hiki
Nakipenda Sana kipindi hiki
Hiki kipindi nmekipenda saaana cjui nlikua wapi tyuu
Mashallah nimefaidika
Nomba kuuliza. Vp Misri au wakati uo haikua Afrika?
Mwanzo ilikua habash(ethiopia) before misri(egypt)
@@nuriyaabuu swali ni nchi gani ya Afrika uislam uliingia mwanzo kabla ya Madina. Jibu likaja ni Ethiopia. Ndio nikauliza vp misri au wakati huo haikua iko Afrika? Musa alitumwa akamuhubirie Firauni kabla ya Mtume Muhammad hajawatuma Masahaba kwenda huko Habesh
Uko sawa bro lkn alilomaanisha masawe ilikua wakati wa mtume muhammad (s.a.w) ndo mana akauliza kabla ya kuingia madina
Kaka yangu masawe, mm ni dd yako ni mtu wa hai. Unasema zawadi ajaitolea jasho vp my brother? Kusoma nako kazi my brother.
ALLAH akbaru
Waliingia kuomba hifadhi na sahaba wengine wakabadili dini wakabaki huko hawakurudi
Uhabeshi
Akisema uislamu kuingia afrika kabla madina ni masri kwa sababu tunaamini kuwa uislamu upo tangu adam a.s hadi musa a.s to Muhammad b.p.u.h .lkn ukisema uislamu kuingia afrika wakati ya muhammad(P.b.u.h) ni ethiopia( habashi) .
Somalia kwanini wamekuwa waislamu wote?
Ni nchi ya Ethiopia (Uhabesh) au Habasha.
Na bado hio hio etheiopia iko na Christians
Habash eithopia
Mohamed said
Ni inchi ya ETHIOPIA HABASHA
Lakini ni Ethiopia au ni Eritrea
Ikiwa sheria ya dini ya uislam alipewa adam , nuhu ibraahim, ismail, is-haaq, yaqub na walio fuata. Sasa hapa hapa ikiwa nabii yusuf aliishi misri. Je hatuoni uislam ulianza kufika mwanzo misri kabla pengine? Embu nipeni ufafanuzi
Sheikh mbona kipindi kifupi
Daaa swali jepesi
Kenya Jimbo la Kwale South Coast Diana Beach utaenda kupata msikiti ulijengwa kabla ya Nabii Issa (A. S) kuzaliwa
Uongo huo
Sijawahi sikia hilo
@@nasibudarbi2600 unasema uongo ushawai enda hapo mahali ama unapajua?
@@jahadibrahimtv7958 tembelea saa hii ukaone na utaona baadhi ya makaburi ya waarabu walio jenga huo msikiti na pia kulikua na jiwe zamani likizunguka kando ya ufuo wa bahari wazee wetu wa zamani walikua wakifika hapo na kufanya ibada na maombi yao yalikua yanakubalika wakati huo wazee wetu wengi walikua awajui uislam ni nn. Lakini jiwe ilo lilipotea baada ya watu kufanya anasa kwenye bahari
@@yusufmwangichannel6692 hakuna msikiti ndani ya Africa ambayo ina umbri ndefu Kuliko msikiti wa zaylac
Misri
Mmh weweeeeeee ni Ethiopia
@@sakinat2527 sakina swali limekosewa kuulizwa kwani manabii walikua dini gani? Apo ndipo utanielewa ila ange uliza ivi baada ya mtume kukabiziwa utume ni nchi gani ya mwanzo kufikiwa mafundisho ya kiislam apo ndipo ingekua Ethiopia lakini kwa swali alilo.uliza ni nchi gani ilio fikiwa na uisilamu mwanzo barani Africa kabla ya madina itakua ni misri nako alihudumu musa na yusufu
Online tv nimekuelewa
@@sakinat2527 asante kwa kunielewa na tumia njia ii pia kuwaelimisha wengine unajua ii kitu kama iki ndio kinatupa tabu kuwalingania manaswara wakiitikati uisilam kaja nao mtume Muhammed s a w wakati alio kuja nao fasi ni nabillahi Adam na mwenyezi mungu ametuumbia katika umbo la kiisilam tokea awali
Masha Allah
MashaAllah
Mashaallah
Ethiopia
Mashallah
Maa shaa Allah
Zanzibar
Masha Allah
Mashaallah
Ethiopia
Mashaallah
Masha'Allah
Masha Allah
Mashaa Allah
Ethiopia
Ethiopia
Ethiopia
Zanzibar
Mwenyewe we umejitaidi zanziba😁😁