Hongera Makamo Mwenyekiti Zanzibar Ngome ya Wanawake Taifa kwa usimamizi mzuri wa shuhuli Mungu akuzidishie kujua kukaaa na watu vizuri, Inshaallah kheir.
Hiyo ilikuwa ni sikukuu ya sita. Ndio mkoa wa mjini ngome ya wanawake ACT wazalendo wamejipanga kwenda kula siku kuu hiyo kwa Mama yao Bi Aweinah. Kwanza mjue madhumuni ya hiyo shughuli. Sio ya msiba ni sikukuu ya sita baada ya kumaliza mfungo wa ramadhani.
Mm tokaalipo kufa maali sichanganyi natamani nimuone bi awena lakini sijuwi naazewapi tunakupenda mama yatu kamatulivyo kuwa tukimpenda.baba maalim seif
Kweli jamani tusichukue mihemko yetu tukaitia kwenye dini. Twende mbele tukirudi nyuma. Mmefanya jambo jema sana kufanya dua sana tena sana. Lakini msiseme sikuu ya sita hakuna katika Uislamu. Hatujasoma tuulize waliotuzidi elimu tunapotosha umma wa kiislamu. Sikuu ni siku moja tu baada ya kumalizika Ramadhan basi.
Kichwa cha maadishi ya tangazo haijakaa sawa. Hiyo siku ya sikukuu ya 6. Mabrook ngome ya wanawake Mjini kwa kujumuika na Mama Aweinah kwa dua na chakula cha mchana.
Ckukuu ya mfungo tatu familia tunakushanyana tunaombea Dua maiti zilo tanguli itakua kiongozi wetu mpendwa visiwani Tena ikiwezekana owe ya kitaifa Kila mwaka kwani hatotokea kipenzi Cha watu Kama maalim aminini ilo nyinyi mabunju kwaherini
Tuwe na hikma tunaposema tuseme maneno laini na tuelimishane kwa upole tusitupiane maneno haikuwa na haja kumwambia muislam uchwara haina haja kwani Allah anabadilisha hali kwenda kwenye hali nyengine kwa hio haifai kudharauliana.unae muona leo yuko chini kesho hua juu.
Unahakika hajui anachosema. Pia kiswahili hajui. Muhimu hakuna shirki na kashfa. Hata mashidano ya Quran hayakuwekwa au kusoma quran katika sherehe ya nikah. Hata kama ni bidaa kubadilika ni kwa lugha nzuri lugha ya kejeli haitawabadilisha .
Na Mbele ya Allah mukajibu hivyo... Rasul Allah salaallahu alayhi wasalam kasema kila ni bidaa na kila bidaa ni dhambi.. nyie munafanya istihzai? Tumuogope Allah.. maisha ni mafupi
Mashallah Allah Awasameh wazazi wetu wote na waislam wote na sisi tuliokuwa nyuma yao Atupe husnilkhatima Amin
ua-cam.com/video/rYgJ7IL9sPQ/v-deo.html
AMEEN YA RABB
000000000000000000008
@@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 8
Mungu akuzdishie furaha mamaetuu ... Tunakupnda sana ...
Hongera Makamo Mwenyekiti Zanzibar Ngome ya Wanawake Taifa kwa usimamizi mzuri wa shuhuli Mungu akuzidishie kujua kukaaa na watu vizuri, Inshaallah kheir.
Mashallah Mashallah huyo anosoma hadi raha Allah amhifadhi
ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظكم من كل سوء
الله يرحم شيخ سيف شريف و يرحم جميع المسلمين
امين يارب العالمين
Ameen ya Rabb
Jamani tusiifanye dini kuwa ngumu. Wameungana na Mke wa Marhem nikatika kumfariji na na" dua" kwa marehemu.. Allah awalipe kwa lililokuwa kusudio lao
Hiyo usemayo ni sahihi kabisa lakini sio sawa sikukuu ya sita. Kicha cha habari kimepotosha watu.
Hongereni Ngome ya wanawake ACT wazalendo mkoa mjini nyoote mliofanikisha shughuli hii..
Hiyo ilikuwa ni sikukuu ya sita. Ndio mkoa wa mjini ngome ya wanawake ACT wazalendo wamejipanga kwenda kula siku kuu hiyo kwa Mama yao Bi Aweinah. Kwanza mjue madhumuni ya hiyo shughuli. Sio ya msiba ni sikukuu ya sita baada ya kumaliza mfungo wa ramadhani.
ua-cam.com/video/rYgJ7IL9sPQ/v-deo.html
M/Mungu amuhifadhi Inshaallah. Mahala pema peponi Inshaallah.
Ammin 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭👐Ammi n😭😭😭😭😭😭Maalim we miss u Soomuch😭😭😭😭😭💜Allah akulaze pema Baba yangu😭😭😭😭😭😭😢👐👐
Ameen ya Rabb
Mama Awena twakupenda sanaaa WA Zanzibar
Hasahauliki Maalim Mola wetu machoz yetu iwe Sadak yake😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭lailahaillallah muhammadarrasulullah👐👐👐😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mama msemaji MaashaAllah...
Mama mashallah allah akuhifadh na wenzio
Mashaallah
Pole kipenz Wetu mama Wetu Awena 😘 twakupenda Sana mama Wetu Awena Yaarabb Msameh Malim Seif
ua-cam.com/video/rYgJ7IL9sPQ/v-deo.html
Ameen ya Rabb
Aameen Aameen Aameen.
Allah yarham wa skeen fil Jannat Firdous.AMEEEN
MASHALLAH
MashaAllah . All sisters 💖💞💞💖💖💖💖💖💖💞💞💞💞💞💞💞💖
Alhamdullillah maa shaa Allah
Mm tokaalipo kufa maali sichanganyi natamani nimuone bi awena lakini sijuwi naazewapi tunakupenda mama yatu kamatulivyo kuwa tukimpenda.baba maalim seif
Nyumbn kwake
Anakaa Mbweni Shuka kituo cha manatini ukifika hapo uliza tu jtakuwa umefika
Mashallah Allah Awabarik nyote
Hongera Bi Nawiye.
Amin amin amin
Allahumma aamin
Ammin 🤲🏻
Kweli jamani tusichukue mihemko yetu tukaitia kwenye dini. Twende mbele tukirudi nyuma. Mmefanya jambo jema sana kufanya dua sana tena sana. Lakini msiseme sikuu ya sita hakuna katika Uislamu. Hatujasoma tuulize waliotuzidi elimu tunapotosha umma wa kiislamu. Sikuu ni siku moja tu baada ya kumalizika Ramadhan basi.
We fata unayotaka hujalazmishwaa
Amini 🤲 🤲
Kichwa cha maadishi ya tangazo haijakaa sawa.
Hiyo siku ya sikukuu ya 6.
Mabrook ngome ya wanawake Mjini kwa kujumuika na Mama Aweinah kwa dua na chakula cha mchana.
MashaAllah hakina mama Mungu wazidishie umuli mlefu
Hongereni kina mama wakslamu Zanzibar oye
Kuwatakia maiti zao dua haijakuwa tbu sna mbona jmbo jema hilo
Amin yarrb
Kila aneponda shughuli hii ndio hao mabunju ccm
Allah apokee duaa Yaaraby. Amiin
ua-cam.com/video/rYgJ7IL9sPQ/v-deo.html
Hamna sikukuu ya sita katika uislamu,,, musizidishe mambo kayika dini...
ua-cam.com/video/rYgJ7IL9sPQ/v-deo.html
amiin yaarabbi
Ameen yarrab
Ilikuwa wapihii hatufahamishani mbona
Ckukuu ya mfungo tatu familia tunakushanyana tunaombea Dua maiti zilo tanguli itakua kiongozi wetu mpendwa visiwani Tena ikiwezekana owe ya kitaifa Kila mwaka kwani hatotokea kipenzi Cha watu Kama maalim aminini ilo nyinyi mabunju kwaherini
Huyo anaesema bidaa hata maana yake haijui.
Muislaam uchwara wee
Tuwe na hikma tunaposema tuseme maneno laini na tuelimishane kwa upole tusitupiane maneno haikuwa na haja kumwambia muislam uchwara haina haja kwani Allah anabadilisha hali kwenda kwenye hali nyengine kwa hio haifai kudharauliana.unae muona leo yuko chini kesho hua juu.
Unahakika hajui anachosema.
Pia kiswahili hajui.
Muhimu hakuna shirki na kashfa.
Hata mashidano ya Quran hayakuwekwa au kusoma quran katika sherehe ya nikah.
Hata kama ni bidaa kubadilika ni kwa lugha nzuri lugha ya kejeli
haitawabadilisha .
Tufanyiyeni lain viongozi tumuone bi awena
Hakuna sikukuu ya 6. Mtume (s.a.w) anasema yeyote atakaezidisha jambo katika dini ajitayarishe makaazi yake motoni.
Unaweza kuniambia nini maana ya sikukuu? Hebu nijuvye kidogo nini maana ya sikukuu?
Jaman tusifanye dini ngumu
..
Ndio maana ikawa bidaa... watu kama wapo harusini
Kumuombea dua maiti ni bidaa? hebu wacha huo upumbavu wako
Sasa kaka hawa ni wanawake ulitaka wavae majokho na vilemba na kofia ndio iwe sawa ?
Vikanzu munashida nyinyi hebu kasomeni kwanza
Na Mbele ya Allah mukajibu hivyo... Rasul Allah salaallahu alayhi wasalam kasema kila ni bidaa na kila bidaa ni dhambi.. nyie munafanya istihzai? Tumuogope Allah.. maisha ni mafupi
@@aliabdalla9297 na siku ya kiama Mbele kajibu kama hivyo... pumzi isikuhadae
Amiin,amiin