HANDSOME BOY ALIE TOKEA KUMPENDA BINTI CHOKORAA 💔 Love Story | DONTA TV

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 594

  • @TantineNshimirimana-he2ty
    @TantineNshimirimana-he2ty 3 місяці тому +16

    Loveness uzur wak unatosh usije kupak sijui make up unaharib uzur wak kazi nzur unastahili mauwaa🎉🎉❤❤ kwa kaz nzur unawez

  • @Agatha-g6v
    @Agatha-g6v 3 місяці тому +198

    Jmn love anajua sana ,,,,,kama unampenda loveness gonga like tujuana

  • @Albatishabani
    @Albatishabani 3 місяці тому +79

    Ila loveness ume nivunja mbavu dada, naku omba like yako moja tu tafazali.

  • @rosedzuya6869
    @rosedzuya6869 3 місяці тому +14

    Mungu akufikishe mbali Loveness, nawafuatilia nikiwa UAE♥️♥️♥️

  • @YASINFADHILI-er1xp
    @YASINFADHILI-er1xp 3 місяці тому +51

    Mwenzenuuu sijawai kua WA 1😢😢😢naombeni ata vi like 2😢

  • @johnokina2879
    @johnokina2879 3 місяці тому +12

    Kaka mapenzi ni kipofu, pigania unachokipenda. Much love❤❤❤❤.

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 3 місяці тому +13

    A very good lesson for wicked women who don’t take care for their husbands I❤it keep it up don’t Donta tv

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 3 місяці тому +9

    Loveness unajua sana kwa kweli eeeeee nimecheka sana😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NdayisengaKhadidja
    @NdayisengaKhadidja 3 місяці тому +23

    Jamani mimi nampenda Love❤❤❤❤

  • @peterwanyoike-xl9eh
    @peterwanyoike-xl9eh 3 місяці тому +46

    Ak pezi la mtoto wa boss na dada wa kazi inatoka lini

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 3 місяці тому +9

    Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉loveness kam jina lake yupo vizur xn kila movie Masha'Allah atafikia malengo zaidi

  • @SafariJamal
    @SafariJamal 3 місяці тому +9

    Movie kali aisee 👌,,, ila mwanitesea loveness wangu❤ sana jamani 😂😂mateso mengi mnoo kwenye character yake mwaniumiza rorho jamani 💔🫣😂😂😂😂🇰🇪❗

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 3 місяці тому +18

    Tuko wote brown kutoka 🇧🇮 🇧🇮 nakufatasana kaka❤❤❤❤

  • @LoveMshan
    @LoveMshan 3 місяці тому +71

    Kumbe ndomna mnachelewesha penzi la dada wa Kaz na mtoto wa boss lovenes yupo na uku

  • @HajiMachano-m6y
    @HajiMachano-m6y 3 місяці тому +5

    Oyoo ime Tisha na love ness mungu akubark dada upo vzr

  • @FatmaFatmaMohammad
    @FatmaFatmaMohammad 3 місяці тому +31

    Yan love 💕 nes nakupnd san 🥰 dada yng uko pw san tunao mpenda love tujuane

    • @MustafaMgundwilo
      @MustafaMgundwilo 2 місяці тому

      Tupo hapa

    • @PillyDaniel
      @PillyDaniel 2 місяці тому

      Nipo hapa namzum tu lovenes anaweza sana😂😂😂😂

  • @EviathaEdistedius
    @EviathaEdistedius 3 місяці тому +36

    Nipo huko nasubir penz la dada wa kaz tok juz😢😢

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza 3 місяці тому

      😂😂😂we endelea kusubili mm nimechoka😂😂

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 3 місяці тому +1

      Hhhhhh tunangoj mpak kielewek

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 3 місяці тому

      Nilisahau pia kma kuna dada wa kazi😂😂😂

    • @AishaAishayahaya-e3w
      @AishaAishayahaya-e3w 3 місяці тому

      Wanaker kam nn ila bado twaipenda❤❤

    • @BeatriceSoka-c7c
      @BeatriceSoka-c7c 3 місяці тому

      Walisema kev ana dharura that is why wamecheleweaha​@@AishaAishayahaya-e3w

  • @EzromKasind
    @EzromKasind 3 місяці тому +15

    Gonga like kwa loveness❤❤

  • @سيييققق
    @سيييققق 3 місяці тому +7

    Wakenya tupoo? Gonga like tujuane basi mi na watch nikiwa gulf na wewe unawartch ukiwa wapi

  • @HadijaKanze
    @HadijaKanze 3 місяці тому +4

    Eee jamani mim nimecheka eti loveness n chizi waaah kaz nzuri san

  • @shaydebby5678
    @shaydebby5678 3 місяці тому +18

    Nmecheka sana amina alivokimbia baada ya kumuona love😂😂😂😂😂

  • @Diyo-u5o
    @Diyo-u5o 3 місяці тому +2

    Chokoraa am mwendawazimu....isiwe issue jamaa mnaupga mwingi❤❤

  • @Guyfleury17
    @Guyfleury17 3 місяці тому +126

    Wenzangu gutoka Burundi 🇧🇮 nimekua wa1 naomba likes zangu.

  • @VeveVestineniyera
    @VeveVestineniyera 3 місяці тому +4

    Nawapenda sana vipenzi❤,loveness apewe maua yake🌷🌷

  • @ConsolathaMakusa
    @ConsolathaMakusa 3 місяці тому +4

    ❤❤dontaa bhana nyiee mungu awape nguvu kila iitwapo leo mnafanya vizurii... Hamboiiii hampoiiii🍓🍓

  • @NgalamnyaziScolasticah
    @NgalamnyaziScolasticah 3 місяці тому +8

    Haya majina ya kendy huwa na shida gani,Kila mahali ni visiraniila amina kumbe una ukarimu hivyo siokm kwa penzi la mtoto wa boss na kija kazi, loveness hongera mama pokea maua yako toka Saudi Arabia 🇸🇦 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤❤❤❤

    • @ErnestShayo-x2b
      @ErnestShayo-x2b 3 місяці тому

      Uko wapi

    • @NgalamnyaziScolasticah
      @NgalamnyaziScolasticah 3 місяці тому

      @@ErnestShayo-x2b nk Kenya 🇰🇪

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 місяці тому

      Yan huyu Amina 😂😂😂😂😂😂😂akiwa mtaratibu anaboa maan tushamzoea kidomo na umbea😂😂😂😂😂hatari xn I say 😂😂😂😂😂

  • @Albatishabani
    @Albatishabani 3 місяці тому +5

    Ali nyiye jamani muta tuwa na mapenzi, eti loveness murembo tena chokoraa! Nipeni yangu basi kutoka apa congo drc tena nawapenda sana.

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 3 місяці тому +4

    Lovenes jmn upo vizuri nimecheka leo😂😂❤❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 місяці тому +8

    Kazi nzr sana tem Donta plus❤🎉

  • @andrewkasiga
    @andrewkasiga 3 місяці тому +100

    Kama una Anglia moviee hii GONGA LIKE HAPA NIJUE UWEPO WAKO😊❤❤

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza 3 місяці тому +3

    Mambo ni 🔥🔥🔥💯💯 mko vizuri mno hongereni Sana

  • @NiyonsabaJofred
    @NiyonsabaJofred 3 місяці тому +14

    Lavness hata ujifanye kichaa unabaki kuwa mzuri sana nakumisi sana❤

    • @MarionImali-j8b
      @MarionImali-j8b 3 місяці тому

      😂😂😂😊

    • @NiyonsabaJofred
      @NiyonsabaJofred 3 місяці тому

      @@MarionImali-j8b jamani mbona unanicheka nimesema ukweli wewe nimurembo sana kama Kelvin hajaoa basi muangalie juu ya hilo munaendana sana ila blauni siyo sana

    • @AgnesMiyi
      @AgnesMiyi 3 місяці тому +1

      Naungana na wewe hata awe vipi Bado mzuri sana binti

    • @AgnesMiyi
      @AgnesMiyi 3 місяці тому

      Nataka nimuulize blaun mbona macho yake yanazunguka sana

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 місяці тому

      Candy Dada 😢😢 Jamn

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 3 місяці тому +11

    Team strong tujuwane🇲🇬🇲🇬

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 3 місяці тому +5

    Yahani kusema kweli kabisa hacha mupewe mauwa yenu jamani eeeee Raha sana 🥀❤️🥀❤️🥀❤️🥀❤️

  • @AminaJoseph-m4o
    @AminaJoseph-m4o 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂 Loveness Huwa ananipaujasiri sana nakupenda saaana unanipa shauku ya kuwa muuigozaji❤

  • @ChristineNasambuWekesa-is9qx
    @ChristineNasambuWekesa-is9qx 3 місяці тому +3

    Funzo nzuri sana..keep it up guys

  • @JeanJacquesmotivation-hn6tn
    @JeanJacquesmotivation-hn6tn 3 місяці тому +24

    Nipo Wa kwanza kabisa kuiona hii naomba like zangu apa❤

  • @EdnaMwashilo
    @EdnaMwashilo 3 місяці тому +3

    Yani hii angeigize kev angeuwa Ila sio mbaya mko vizuri mungu awapeke viwango vya juu sana

  • @rahabundeje7206
    @rahabundeje7206 3 місяці тому +3

    Huyu ndy loveness ninayemjua mimi 😀😀😀 aisee ana kitu atafika mbali sanaa ❤❤😊

  • @eunicemwikali5118
    @eunicemwikali5118 3 місяці тому +3

    Loveness kumbe uko huko do manake penzi la mtoto wa boss imechelewa...enywei congrats ❤

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa 3 місяці тому +4

    Loveness jukua maua yako mapema kazi nzuri 👌👌🔥 🔥

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 3 місяці тому +2

    Love umeweza dadaangu maua yako❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JamilaJaffari-o9k
    @JamilaJaffari-o9k 3 місяці тому +2

    Kiufupi donta famili nawakubali sana🎉🎉🎉🎉

  • @elosygatwiri-r4l
    @elosygatwiri-r4l 3 місяці тому +1

    Kendi akona kisirani mingi sana ,loveness unaingiza vizuri akh hongera pokea maua yko much love from kenya

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 3 місяці тому +2

    Wow wow loveness jamani ogera kaka Brown

  • @CathrineMlialia
    @CathrineMlialia 3 місяці тому +2

    Jamani loveness amecheza vizuri natamani iendeleeee ❤

  • @Samiafficial3942
    @Samiafficial3942 3 місяці тому +3

    Wengangu kutoka Rwanda tujuane❤❤❤❤

  • @Kize-j4b
    @Kize-j4b 3 місяці тому +48

    Jamani tunaoamini loveness anakitu ndani yake na akipambana atafika mbali sana kwenye tasnia ya filamu tujuane kwa likes♥️♥️♥️♥️

  • @NeriusKithisyo
    @NeriusKithisyo 3 місяці тому +4

    Loveness Leo umenipamba roho.umeingiza kweli

  • @MamaBright-j3k
    @MamaBright-j3k 3 місяці тому +4

    Love unajua kuigiza nawapenda

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 3 місяці тому +9

    Haya tujivunie na donta

  • @SegeseMbut
    @SegeseMbut 3 місяці тому +3

    Mnazingua sana mnachelewesha kazi kinoma jifunzeni kwa kp na zebuu

  • @SafiMahoro
    @SafiMahoro 3 місяці тому +2

    Dada kwa Nini iyi n'a fasi kelvin asinge usika nayo ww n'a kelvin muna endana sana,❤❤❤❤

  • @ifrahabi4834
    @ifrahabi4834 3 місяці тому +3

    Loveness is best actress ❤❤❤

  • @Haji-l9q
    @Haji-l9q 3 місяці тому +8

    Handsome mwenyewe kunambi angeigiza tu kelvin ndowanaenda na loveness

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 місяці тому +4

      wabongo hampendagi maendeleo sijui ni kwanini , mkimtaka mtu mmoja mnamg'ang'ania huyo huyo hiyo nishida kubwa sana badilika lafiki penda kuwapa na wengine nafasi

    • @Haji-l9q
      @Haji-l9q 3 місяці тому

      @@Mpakauseme okay

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 3 місяці тому +2

      Kwaiyo wangine wasicezi waceze tu kelvin na lavenesi inakuja iyo kweli inabidi tutambuwe kama iyi nikazi haicavuwi wacezaji

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza 3 місяці тому

      ​@@Mpakausemendo ushangae wacha hawana dogo mm naona yupo sawa

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 3 місяці тому +3

    Hongereni kazi nzuri no na inamafunzo

  • @DianaDiana-ej6fn
    @DianaDiana-ej6fn 3 місяці тому +3

    Ak loveness wewe ,,,,nmecheka venye ulikuwa unataka 😂😂😂😂😂,,, anyway umeicheza poa

  • @VumiliaMwaiswelo
    @VumiliaMwaiswelo 3 місяці тому +3

    Nasubilia mtoto wa bos kelvin na love

  • @StacyMkadinali
    @StacyMkadinali 3 місяці тому +2

    Daah loveness umeweza kwel kwenye hio party ya uchizi apo ambapo ulijirusha kwenye machupa baada ya kumfukuza kunambi

  • @GreatOman-vg4qu
    @GreatOman-vg4qu 3 місяці тому +2

    Lovenes..unajuwa..sana..kipenzi..utafika .mbali..sanaa

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 2 місяці тому

    Loveness Mambo mbaya Sn hongera Talanta yako safiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DavidSafari-k4x
    @DavidSafari-k4x 3 місяці тому +1

    Loveness jmn ❤❤❤ pamoja n 🎉🎉🎉 umenifurahisha

  • @rakenmontes7981
    @rakenmontes7981 3 місяці тому +2

    Loveness umenifanya nicheke sana😂😂😂 unajuwa sana yani kama kichaa kweli😂

  • @ruthlodung
    @ruthlodung 3 місяці тому +15

    mngeandika kichwa Cha move kua ,kijana handsome alie mpenda msichana mwenda wazimi Dio msichana chokoraa Kuna tofauti kubwa kati ya chokora na mwendawazimu

    • @ZyadaAll
      @ZyadaAll 3 місяці тому

      🎉🎉🎉

    • @MwahijaKhatibu
      @MwahijaKhatibu 3 місяці тому

      Bora ww umelioona nilikuwaaa naitafuta comment hiiii😂😂😂

    • @SalhaAley-cl2yj
      @SalhaAley-cl2yj 3 місяці тому

      Afadhali nimepata wenzangu maana chokoraa ni mwenye akili

  • @AgnesMiyi
    @AgnesMiyi 3 місяці тому +18

    Jamani mm ni mara yakwanza kuiangalia hii move kumbe ni nxuri nikaribisheni jamani

  • @AhadiMoses
    @AhadiMoses 3 місяці тому +28

    Aiseee hii movie ninzuriii ,,broo Brown hongera,,,naomba likes zakooo broo💯

  • @KomboAlly-s2m
    @KomboAlly-s2m 3 місяці тому +2

    Mbn mnazingua penz la mtoto wa boss mnauchelewesha kuuwachia

  • @AmadiBilali
    @AmadiBilali 3 місяці тому +3

    Shavu sana brwon unaweza broo,from Mozambique pamoja

  • @PiliMakame
    @PiliMakame 3 місяці тому +2

    Hongereni sana kwa mafundisho yenu mazuri

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 місяці тому +1

    Ndo naingiya kwa Donta plus🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @GrolyOnesmo
    @GrolyOnesmo 3 місяці тому

    Loveness umeigiza kichaa ila sauti ileile ya maab unaalali kunambiakupende nauho uchiz dada nakupenda sana weww na celvin❤❤❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 3 місяці тому +1

    Loveness umenichekesha akii pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 3 місяці тому +3

    Afadhal kwa hii movie amina ashaolewa😂😂😂😂

  • @GastoMariana
    @GastoMariana 3 місяці тому +2

    Mnaacha kuendelea na series ya penzi la mtoto wa boss mnalukia vitu vinavyopoteza mood ,😂

  • @AshaShapan
    @AshaShapan 3 місяці тому +2

    Love. Ness. Anaiweza. Sana. Mungu. Amjaliye.

  • @kahozaMediaWorld
    @kahozaMediaWorld 3 місяці тому +6

    Wa Kwanza ❤❤❤

  • @ChristinaJoab
    @ChristinaJoab 3 місяці тому +5

    Tunsubr penzi la mtot wa boss mwendelezo

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂wangapi wanamkubali loveness ❤❤❤ from 🇰🇪

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 3 місяці тому +1

    Tuluokuja kutizama hii baada ya interview ya lovenes plz like hapa❤

  • @CaroQueen-ub6dr
    @CaroQueen-ub6dr 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤aiseee yaani love Ness wwe ndio actress mpoa sana duniani

  • @AishaAishayahaya-e3w
    @AishaAishayahaya-e3w 3 місяці тому +4

    mim ndo mjumbe wa nyumba kumi awa ndo niwapangaj wang😂😂

    • @TulinaveMgeni
      @TulinaveMgeni 3 місяці тому

      nimecheka kwa sauti😂😂😂

  • @gudilasway4144
    @gudilasway4144 3 місяці тому +2

    Loveness leo umenichekesha 😂😂

  • @DominikaBahat
    @DominikaBahat 3 місяці тому +2

    Ongera sana loveness my dear

  • @HappynessMkatika-wm5zl
    @HappynessMkatika-wm5zl 3 місяці тому +1

    😂😂😂jaman nimechekaa mnoo🙌loveness unajuaa kuigizaa mpk bac🙌ety huyu afutwe kwenye kitabu Cha wakina mama wajawazito..hajalipa mrejesho khaa😂🙌

    • @elizabethismile6827
      @elizabethismile6827 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mm nafuga majini eehee😂😂😂 nimejua kucheka

  • @AnnaMbale-r1l
    @AnnaMbale-r1l 3 місяці тому +2

    Kazi nzuri jamn nimecheka san

  • @ShamimHamisi-s2y
    @ShamimHamisi-s2y 2 місяці тому

    Upo vizur dada mungu akuzidishie❤❤❤❤

  • @HajiMachano-m6y
    @HajiMachano-m6y 3 місяці тому +1

    Jamani hii muv noma ila ime nifndsh kt na love ness yup sw kwny kz zke mung akupen afya njm n kaz njm love ness ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @Ezems-el6ts
    @Ezems-el6ts 2 місяці тому +1

    Bonge la movie kweli kweli 🇨🇩

  • @Annemumbe-r2z
    @Annemumbe-r2z 3 місяці тому

    Haki loveness unajua kuigiza mama hongera 💪💪🥰🥰

  • @moontv2504
    @moontv2504 2 місяці тому

    Hakika loveness anatisha kwasasa ❤❤❤😂😂nakupenda Sana dada wakazi 😂❤natamani kukuona

  • @AliceCuki
    @AliceCuki 2 місяці тому

    Somo kubwa apa jamani movie nzul sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 3 місяці тому +2

    Loveness na hilo teke ulotaka kumpiga Amina aki nmecheka 😂😂😂❤❤ kzi nzr 🔥

  • @BeatriceAron-j3b
    @BeatriceAron-j3b 3 місяці тому +5

    Kunambi tunampenda ila kwa kuingiza na lovenes bdo san, mwachie kelvn bna

  • @GloriaHilla-b5f
    @GloriaHilla-b5f 2 місяці тому +1

    I like the tune wow love good job

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 3 місяці тому +5

    Alifu nyie miyusho uyo ni handsome boy au badboy nimecheka mbavu cna😅😅

    • @JuliethMaketh
      @JuliethMaketh 3 місяці тому +1

      Sijapenda brown namkubali sana🎉🎉 hii term kwa ujumla Iko vizuri

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 3 місяці тому

      @@JuliethMaketh sasa hansom boy apo yuko api

  • @HusnaJuma-qb1hg
    @HusnaJuma-qb1hg 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂Broun kaah ukumbatiaji wako wakibabe jamani 😂😂😂

  • @NeliaDaniel-h9s
    @NeliaDaniel-h9s 3 місяці тому +1

    hua nikiona kazi ilio na lovenes huwa nainjoi sana nakupenda bure 🌹🌹🌹🌹

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 3 місяці тому

    Wazazi walio mzaa love wapewe mauwa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @DorcasAlii-eu9vu
    @DorcasAlii-eu9vu 3 місяці тому +2

    Good lesson to all ladies,,,