Sheikh Kishk Atoa Ya Moyoni Awauliza Swali Wasanii "Binafsi Siwachukii Mnapenda Kuchovyachovya Tuu"
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- #QiblateinOnline #Diamond #Harmonize #Alikiba
Follow Us On:
INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
FACEBOOK; www.facebook.c...
UA-cam; / @qiblatainonline
Ulicho kiongeya ni sahihi sheikh wangu Allah atujaliye kubadilika na kuwa wema pia atujaliye mwisho mwema
Ameen
Mimi kama mkristo naunga mkono fact tupu mzee♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🇹🇿🇹🇿💯
Karibu basi bro Erzon ktk uislam ndio dini ya haki ndugu yangu ❤❤❤
@@Noorein-ws8wk 🇹🇿🙏💯
Mashaallah shekhe kishik nafatilia sana mawaidha yako nataman siku moja nikija Tanzania angalau nikuone
Mungu akuhifadhi uweze kutuongoza nyemaa 😊🎉
Subanallah...... 😢😢😢Allah atupe mwisho mwema 🤲🇰🇪🇰🇪
Shukran sheikh wetu umetukumbusha Allah akuhifadhi na mabalaa
Mashalaah mungu akuweke miaka 1000
Mashaallah tabaraq rahmani yaani umesema mambo muhim saana shekh watoto wanafundishwa nini Asante saana sheikh usichoke
Shekh Umeondoa Dhima! Allah akuhifadhi😢
Allah akuzishiye umri shekh wa uzidi kutukumbusha mabaya na mema tunakupenda sana watu nsumbiji mociamboa da praia tunatamani uje tena utupe mawaidha na tukuwona angalau kidogo na piya nijulishe ya kwamba shekh wetu hamad Al marufu shekh mbone atuko nawo tena tokeya mwaka 2020
Ewe ALLAH tuongoze ktk njia iliyonyooka 😊
Jazakallah Khairan jaman tukumbuke kesho yetu
Kondeboy juzi juzi kaenda kanisani
Diamond juzi juzi kavaa cheni ya msalaba
Mashallah tabaraka llah 😢kweli kabisa Allah atuongoze amiin ya Allah
Sheikh mawaidha nzuri allah atulinde katika njia ya kheri
Hongera kwa kuliona hili mashaah
Allah nnamuomba akupe afya njema umri wako ote kwa huruma wake Sheikh wangu
Subhannallah
Kama Wana masikio watasikia na wataongoka
Wengine sio wenzetu kwenye imani wewe mu islam huwezi kuva misalaba na kujichora mattoo mwili mzima alafu wewe waingia msikitini wenda ongea nini na mola wako wafukuzeni kwenye misikiti au kesho mutaulizwa na allah
DAAWA NZURI SANA ILA KWA WENYA AKILI MASHAALLAH
صلى الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤❤❤
Mwenyezi mungu akulipe sheikh kishk kwa juhudi zako
Subhanna Allah Allah atuongoze atujalie khatwima njema
Shukrun sheikh ALLAH atuepushe katika kundi hilo ovu yarab
Allah atawabadilisha In sha Allah
ManshaaAllah, Allah atupe mwisho mwema
Nakupenda sana sheikh wangu kishki
Mashallah jazakallah khaila
Sahiih sheikh Allah awajaalie wawe wenye kuskia na kuzingatia na sote kwa jumla biidhinihi ta'la
Subhanallah Allah atupe mwisho mwema 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Shekh umenigusa sana yaani utadhani nimekutuma uyaseme hayo, binafsi mm hata kufuatilia habarizao ktk mitandao sitaki maana naona kama nitakuwa nassaport mamboyao kwanamnamoja ama nyingine! Mwenyezi Mungu atusaidie ss navizazivyetu.
Kishki nakukubali saanaa, haswa kwa mada hii ILA nakuomba sana usijiingize ktk siasa, km utakumbuka juzijuzi tu ulimpongeza mama samia kwenye siku yake ya kuzaliwa mashallah, LKN ndo wewe huyohuyo wapinga kusherehekea kuzaliwa kwa mtume,yaani MAULID YA MTUKUFU WA DARAJA,KIPENZI CHETU NABII MUHAMMAD (SAWW) 4:33
Allah tupe mwisho mwema
Masha Allah...FACT!
الله اكبر ولله الحمد ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
W lykum msalm warahamtullah wabarakatuh hata sisi tunakupenda san mungu akuweke
Mashallah mungu akujaalie kwakutupa mawaidha mazuri ❤❤❤na mungu atujaalie kua waja wenye kuacha yasiompendeza in sha allah 🙏🙏
Allah Akbar
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Mashallah
Barakallah fiyk
Swadkah kishik Allah awsomgoze aaamin
Asallam maalequ Maashalla Maashalla Allahadulilah ❤❤❤🎉
Magonjwa mapya kila siku dah mungu atufanyie wepesi😢😢😢
Sahihi Allah tusamehe dhambi zetu yarabbi😢
Allah atuongeze atupe mwisho mwema amiin
Shukran sheikh
ASANTE SANA UMESEMA UKWELI KAKA MUNGU AKUWEKE AKUPE UMLI MREFU UZIDI KUTUPA DALASA ZAIDI
Bismillah subhanallah
Umesema kweli "Hakika ya ukumbusho utamfaa mwenye kuamini.
Innallilahi wainailaihi rajiuun
Kazii ipo
Assalaam alaykum warrahma tullah wabarakatu
Maneno kama haya yakirudiwa mara kwa mara kwa wasanii yatasaidia, hata wasipo badilika wao lakini jamii itafahamu kua hawa ni watu waovu, lakini kuwakalia kimnya wataendelea na uovu na jamii itaendelea kuwapenda. Kwahili shekh kishk Allah akulipe
Maashaallh
Kweli sheikh wangu uliyoyasema lazima tubadilike dhimekithiri dhambi audhubi llah na shari za waovu n Allah atuogoze sote
Subhanallah
As-salam A'laykum warahmatullah wabaracátuh!! Sheikh ili ni kweli kabisa lakini kwa wakati huu wao kuacha ni shida, ila tu Allah atuzidishie ne'ma
Insha alla watabadilika
Sio darsalam tu ni ulimwengu mzima maaswi yamekua mengi maradhi mengi Allah atuepushe na ghadhabu zilizo jaa ulimwenguni hz ndizo dalili zakiyama Allah atupe mwisho mwema🤲🤲🤲
Ukweli niukweli tu, Japo hawata sikia, ubarikiwe sana
Yarab tupe mwisho mwema insha Allah
Alihamdulilah
Allah atusamehe sis na vizazi vyetu😢
Swadakta
Kweli shehe
Nikwel unachosema mwenzio akikosea kikubwa kumlingania na kumuombea dua mung akulinde nauishi maisha malef na yenyebaraka tele❤
Unasema kweli kishiki
Kutokuwachukia watu waovu na wachafu kama hao ni udhaifu mkubwa wa imani na kughafilika Allah atuongoze
افانت تكرهو الناس حتا يكون مومين
Ujinga tu nyie kila sehemu mwatafuta tatizo salafi ubwabwa
@@furahisana7733 wajinga itawaonatu wakitetea ukinga
@@hashimabdulqadir4984 hii aya maana yake ni kulazimisha yaani utawalazimisha watu wawe waislamu ama swala la kuchukia uovu na waovu nilazima na asiefanya hivyo atakua na unafiki
Huwezi kumcukia mtu kisa maovu yake kwa sababu hujui mwisho wake huenda akawa na mwisho mwema
Swadaqta
Hao wasanii wanaitwa kioo cha jamii mtihani sana
Umesema haki Allah atakulipa
Wasanii wanajiita kio cha jamii
Kiukweli wao ndio wanaoongoza kutuharibia jamii
Selekali watusaidie kuwakemea wanatuharibia vizazi
kwanza vijana wengi wa tz tena wengi wao waislam
Naam hakika shekhe nurudin
❤❤❤❤❤
Jamani Nina shida na namba ya sheikh kishki,,, nina shida nae jee,,, nitaipataje jamani
INNA LILLAH WA INNA ILAYH RAJIUN 😭YAA ALLAH NAOMBA UTUEPUSHE NA MABAYA WANAYOYAFANYA WENGINE NA GHADHABU ZAKO YAA ALLAH 🤲🤲🤲
Mimi nawachukia sana Hawa watu kwa Ajili ya ALLAH
na hatujafundishwa na mtume kuwachukia....huo c uislamu kabisa
Usiwachukie waombee wabadilike.
Kweli mtu msanii lakin anaetenda na mavazi yanakujaje wanaiga uzungu,,mtu yupo uchi na kukaa stejini kutenda machafu njenje
Kweli kabisa sheikh maneno ya haki yenye ukweli ndani yake
Shekhe, hawa wasanii ama kwa kujua ama kwa kutokujua wanafanya kampeni za kishetani na ushoga haswa kwa upande wa mavazi
Huyu daimond kalaaniwa huyu analaana kubws yeye pomoja na walaanifu wenziwe wapo yupo mmakonde 1 anawatia aibu jamaa zake pale mahuta pale mahuta panawachamungu wakubwa huyu kapatia doa acheni laana
muombee dua nawewe usttagfiru kwa mapungufu yako na utuombee nasisi waislam
Umeongea ukwer kabisa
Shekh niko mbali napenda nikuone lkni sinawezo kuku fikia kwahali niliyonayo nifAnyaje
Vp kwenu Yemen mukkala
😂ALLAH atupe mwisho mwema
Tabu za dar zaletwa na watu wachache
Unawahukumu,wakati Mondi alishawahi kutoa mchango wa kujenga msikiti Kigoma.
Ustadh ajahukumu mtu bali anaongea Ukweli Kingine Kuusu Mondi Allah ndie atakae amuwa uliona wapi muislam kuvaa cross✝️😔🙆🏾♂️
Hata jamaa za hawa wasanii baadhi yao wanaona wanayoyafanya jamaa zao ni sawa.kwa mfano yule alojiita mama dangote ni limama la ovyoo sana
Ukweli KBS sheikh pesa wanazo nawana ogopa ndoa
Mbona Alikiba aliowa na ametulia na Bibi Amina.
Nawaige bass. 10:25
Rusaganya anasema watt Wa kiume wanapakatwa
Yemen umekimbi nn na Ayo unayosema ata Yemen yapo
Acha wehu babu sikiliza maneno yake 😢
Toa ujinga na ujahili hapa.
Jiingaaa
Allah tupe mwisho mwema
Mashallah
Swadakta