Hawa mafrateli wamenibamba sana aisee,wanavyonengua viuno Kwa madaha na sauti zao nyororo,Mungu awatie ngumu mzidi kuinjilisha na awasaidie katika safari ya malezi ya kitawa,, Debbie following from Nairobi.
Jamani Askofu Amani baba Jamani, very Humble Man of God, nakupendaaaa hadi basi. Moshi tunakumiss jamani. Tumemisi malezi yako😢😢 Wimbo mzuri sana. Vijana wameutendea haki, Sinodi inaonekana kwa mchanganyiko wa watu walioucheza hongereeeen sana.
Wow! wow! What a nice song, it is full of God's blessings. To Seminarian Andrew Muzingwa, I salute you for referring me to this song. May the almighty God whom we serve bless you and your team. Pongezi wanakwaya kwa nyimbo nzuri yenye upako wa Roho mtakatifu.
Pamoja na ujumbe mzr wa kuelezea maana ya Kanisa la Kisinodi, nimefurahishwa sana na Askofu Lyimo kuonesha ujumbe huu kwa kushikiri ktk wimbo huu. Hongereni sana Waseminari wetu
Duh, huu wimbo nimeurudia mara nyingi. Niuite tu wimbo wa Karne uliobeba ujumbe muhimu. Leo sina cha kuongeza, hongera kwa Baba Askofu, Mapadre, watawa, na hasa nyie Waseminari wetu. Bila kumsahau mpiga kina da na Mtunzi. Keep it up
Hongereni sanaa, hongera Sana kaka yangu Ackley
Very nice song ❤❤
Thanks subscribe and share for more videos.stay blessed
Nmemuona askofu wetu
Kanisa la kisinodi njoon tutembee kwa pamoja kwa umoja nice song good
Upendo kwa jirani na kwa Mungu ndiyo msingi dhabiti ⛪ kujitoa sadaka kwaajili ya wengine 🙏✍️🤝
Aminaaaaaaaaa kuu shukrani sana 🙏🙏🙏🙏
🌹🌹🌹🌲🌲🌹🌹🌹kanisa la kisinodi hutuongezea upendo kwa kila moja na kushiriki mambo kadha wa kadha katika kanisa letu niceeee🌹🌹🌹🌲🌲🌹🌹🌹
Hongereni sana , kazi inapendeza
@@MtRitawaKashia asante sana usisahau kushare na kusubscribe.
Kanisa la kisinodi... Good singing and composition.... I love the song.. 👏👏👏
Thanks
Share subscribe for more 🔥
Mko vizuri tuendelee kuifanya kaz ya Mungu wetu
Kazi nzuri sana. Mbarikiwe sana mafrateri-Njiro.
Asante Sana
Amina
huu wimbo mzr, watawa hongeren kwa wimbo mzr mnoo👏👏💯
Asante sana
Hongera sana.
Asante sana
Na Nina imisi Sana toka DRC Congo🇨🇩.
Thanks 🙏
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Hawa mafrateli wamenibamba sana aisee,wanavyonengua viuno Kwa madaha na sauti zao nyororo,Mungu awatie ngumu mzidi kuinjilisha na awasaidie katika safari ya malezi ya kitawa,, Debbie following from Nairobi.
Amen ubarikiwe
Wimbo unamwagilia Moyo kabisa Hongera sana Baba Askofu Amani na wote mmpedesa sana na ujumbe una Amasa saana🙏🙏🌹🌹
Amen
Like share and subscribe for more
Woow! Kanisa la kisinodi ushirika ushiriki na umisionari 😊😊😊 asanteni kwa wimbo huu mzuri! Mungu awafanikishie katika utumr wenu
Congrats may yaweh bless you
Safi sana ,,kazi nzuri ya uinjlishajii
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Nice song... God bless you
Amen
Yapata wapi mashairi ya wimbo tafadhali...asante
Usijali tunashughulikia lyrics soon tutatoa
Mungu abariki watu wa Mungu....!!!
Sms!!!!!!!! Power!!!!!!!
Mpo vizuri❤
@@MarianaMichael-j8r Asante sana, usisahau kushare na kusubscribe.🙏
Wow I love this song.. I must have it on my radio program on Sunday sauti za waumini ECN radio
Wow thanks very much
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
Wow thanks very much
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
Big up nimewakubali
Hongereni sana wapendwa katika Kristo.
Amina
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Studio Iris, im and we are proud of yu, always!!
This is amazing 🥳🥳 am proud to see the Religious strength together 🙏My Assumption Family am happy to see them in the song 😇😇
Thanks
Please subscribe share and like for more videos
Nzuri mnoo " Hongereni sana wana Njiro"
Hakika upendo udum
Good work. God bless you all!
Thanks, a lot for your compliment. please share the link and subscribe. bless you.
Jamani Askofu Amani baba Jamani, very Humble Man of God, nakupendaaaa hadi basi. Moshi tunakumiss jamani. Tumemisi malezi yako😢😢
Wimbo mzuri sana. Vijana wameutendea haki, Sinodi inaonekana kwa mchanganyiko wa watu walioucheza hongereeeen sana.
Amen
Wonderfully done, how I love Catholic God knows
Can't stop dancing 🕺💃💃💃 lovely 🌹🌹🌹.my favorite humble religious men and woman,lay and our young ones,you are blessed.
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
barikiwa na BWana nyie waseminary
Amina
congratulations for sure mmeupiga mwingi sanaaa
Wow! wow! What a nice song, it is full of God's blessings. To Seminarian Andrew Muzingwa, I salute you for referring me to this song. May the almighty God whom we serve bless you and your team. Pongezi wanakwaya kwa nyimbo nzuri yenye upako wa Roho mtakatifu.
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
amazing service to God Almighty. As an alumnus, keep it up!
Thank you!
Congratulations for the wonderful performance
Thanks 🙏
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Cool shoot 💥 cool music 🎶 cool vocal 💥 cool location ✨ cool dress code 🎬 bless up 🥂
thanks so much
What a message delivered to us through the song be blessed wana spiritants
Thanks very much
Like share subscribe for more
I am very happy when I see my classmates hete and school mates as well.... SMS Highhhhhhh 🔥🔥
Congrats our boys. i feel Blessed with the song ad above all been part of it
Awesome thanks much appreciated
Am glad to see my classmate Agnes sila doing it perfectly,,,,,,kudos,,,,, I like the message of the song
Thanks
please kindly subscribe like and share for more
Pamoja na ujumbe mzr wa kuelezea maana ya Kanisa la Kisinodi, nimefurahishwa sana na Askofu Lyimo kuonesha ujumbe huu kwa kushikiri ktk wimbo huu. Hongereni sana Waseminari wetu
Asante sana.
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
@@spiritanmissionaryseminary-nji Amina, mbarikiwe sana Wana Seminariy ya Njiro. Ni mjumbe mzr sana. Karibuni Dar
@@mariachale6089 Asante tutakaribia karibuni pia katika seminary yetu
@@spiritanmissionaryseminary-nji asante kwa mwaliko, nitakuja siku nitakapofika kwa Fr. Ludovick, Paroko msaidizi St Therese, mimi ni mamake mdogo
Amen
Waooo, hakika Waseminari mmetoa ujumbe mzr kbs kuelezea maana halisi ya Kanisa la Kisinodi. Big up sana kwenu nyoote na kwa mtunzi
Safi sana
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Amina
Mungu na ahimidiwe
Wow
Congratulations Sana mmeupiga mwing upendo tudumishe upendo WA watu wore.
Hahahaha.. Asante sana.. Amen
Kanisa la kosinodii ushirika ushirikii na umissiionarii
Amen
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Safi sana, nabarikiwa mno
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
Wonderful music. Am proud to be associated with sms. Waiting for volume 2. Congratulations mandugu
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
waoooooo 👏 hongereni sana jamani Ndugu zangu Mungu aendelee kuwapigania tulijenge Kanisa letu
Amina
I like song
Thanks
Share subscribe for more 🔥
Nice song keep up pita kwangi pale yu tube
Kazi nzuri sana
Asante Sana
Awesome!!
Asante sana.
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
Amen
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
Mungu uwepo wako na ukaonekane kwa uzao wetu Amina
Amina
Duh, huu wimbo nimeurudia mara nyingi. Niuite tu wimbo wa Karne uliobeba ujumbe muhimu. Leo sina cha kuongeza, hongera kwa Baba Askofu, Mapadre, watawa, na hasa nyie Waseminari wetu. Bila kumsahau mpiga kina da na Mtunzi. Keep it up
Amen. Wow thanks very much for your touching comment..
Kindly Like, share and Subscribe For More🔥
@@spiritanmissionaryseminary-nji asanteni sana Waseminari woote na wote walioshiriki kufanikisha ktk recording ya wimbo huu
Mungu awape siku zakuishi
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
Excellent. Keep it up. I am blessed to
Amen
kazi nzuri wapendwa
asante
Mungu awabarik
Amen
Kindly share and subscribe for more 🔥
Safi!
Thanks
Share subscribe for more 🔥
Congratulation my fellow brothers for representing sms well
Amen
😘
Nyumban kumenoga
Haswaaa
🙏🙏❤
Good
Thanks
👌
Apriciate you all
🎉
Amen
Mbona Askofu Amani kuna sehemu kawa kijana jamani? Au ni mwingine?😍😅
Kama sijakosea, huyu ni Askofu Msaidizi anaitwa Mhashamu Baba Askofu Lyimo ayekaa Njiro
Wapendwa Waseminari wetu, wapi nitaweza kuipata Kanda ya kusikiliza kwenye gari yangu?
Upo maeneo gani?
Nifate inbox kwaajili ya maelekezo zaidi 0756754055
Mimi sikai Ar, nipo Dar Parokia ya Mt Peter Clavery, Mbezi Luis karibu na stand ya mkoa
Nimeichukua na.yako ya sm, nitakufata inbox km ulivyoelekeza, ila mm naishi dar
@@mariachale6089 sawa your welcome
Waoooh great music, congrats ,I can see my sister Sr.mary
Good
Thanks