Bonge moja la goma ila fid q ww noma sana nandomana kuna laini moja unasema nibora ungeumbwa nyoka ungeyavua magamba milele usengezeeka hip hop ingendelea kutamba..huzeeki mzee sema nyandu naww umeuwa ileile
Ati mboso anajaribu chorus za hiphop very funny hakuna kitu....endelea na nyimbo zako za pwani...ww mboso...@nikkimbishi.....belle 9,pindaboy...ndio ...salute
Fid Q ulichofanya sio sawa! Huku sasa kukomoana... Khaa! Sio kwa michano hiyo... cha cha cha... Ningekuwa mimi ndo mwenye wimbo huu baada ya kusikliza verse yako ningebadili yangu angalau ikaribiane na wewe! Duuuh!
Mijusi wakae kushoto, wakae wakijua misoto ndo hinafanya si tuna kua,wanaisi joto alafu wakaa chini ya jua haa aa 26 we are life for real Nyandu Tozz Poor Millionea
Round hii ningeambiwa nichague kazi ningekua soja like baba naua mmoja mmjoja,sikuizi atunywi tunywi bar tena cz hm kuna gs bar tenda,mwanangu gigy mpe henness vitu vikimkolea atuoneshe masebeneee
Ngoma Kama hizi haziendi coz wako busy kusupport ngoma za kawaida 26 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tekash wannabees you tubu busy seeking views
Good music my bro
Tam song 26°
Sure
Bonge moja la goma ila fid q ww noma sana nandomana kuna laini moja unasema nibora ungeumbwa nyoka ungeyavua magamba milele usengezeeka hip hop ingendelea kutamba..huzeeki mzee sema nyandu naww umeuwa ileile
Vifua vikubwa kumbe mambo ikoo hukuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Daah Fid fanya mdogo mdogo hii ngoma umeshirikishwa mwanangu sio yako daah
Angekaa baiser kwenye chorus naona ingekuwa 🔥🔥🔥 sana ila ngoma kali sana wazee
Ngoooosha🤪🤪🤪
Mbosso kanishangaza sana aisee, kafanya chrous kali sana.
Ati mboso anajaribu chorus za hiphop very funny hakuna kitu....endelea na nyimbo zako za pwani...ww mboso...@nikkimbishi.....belle 9,pindaboy...ndio ...salute
Fid q hii style ndio inafaa mwananguko ujue nakkumbua ile kinyamwez yaan kinyaamwez
Uwiiiiiii😮😮😮😮 mbongo noma sana kweli eseee 26
Ukipotea ukaonekana hukuikosea Ile njia, mwenye njaa Hana miiko, hakuna msafi hata mnafki anafaa wito fidi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana
Mbosso kauwaaa hatariiii kumbeee nahuku yupooo Nika juaaa mambooo ya Zanzibar tuuuu
Fid Q ulichofanya sio sawa! Huku sasa kukomoana... Khaa! Sio kwa michano hiyo... cha cha cha... Ningekuwa mimi ndo mwenye wimbo huu baada ya kusikliza verse yako ningebadili yangu angalau ikaribiane na wewe! Duuuh!
Fid unapumulia mipla ama!😯 Maan xo kwapumzi hio
Kama umegundua hiyo koras angepewa mr blue ngma ingeenda mbali zaid weka like
Kabisa mzee
Kweli au harmoniz
Ata angesimama Gnako ingekua poa sana yani
Hahaha naam
Wangempa Deddy ama GNako
Noma kwajili ya mbosso nimeipenda
Fid q wamoto sana hamna anae kufiki brother saluti
Mijusi wakae kushoto, wakae wakijua misoto ndo hinafanya si tuna kua,wanaisi joto alafu wakaa chini ya jua haa aa 26 we are life for real Nyandu Tozz Poor Millionea
Niwazii mwenye njaa hana mwiko....
Huuuuhuuuuuhuuuuuuu☠️☠️☠️☠️
Kaka umeuaaaaaa NGOMA KALEEEEEEEEE####26
Mjomba fid mkorofi kweli
Kuma la mamake nyimbo ya mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥
much love from comoros 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Umejua kunichekeaha broooo🤣🤣🤣
nyanduu mnyama...i respect you....u know wat am saying...kakosekana nwanao blue hapo basi....
Kalii kinoma mbosoo kabadili miondoko katisha
Ebana mmmmmmh!!! Shughuli!!! Sio mchezo!! Hii sio mchezo aise
Naitangaza nambaaaaaa #26
Naona kabisa Mondi alikua na nafasi yake humu,Ngoma kali balaa
Ckuiz hatunywi bar tena, tunakunywa nyumban n guess who is bar tender
Goma Kali SSanaana na kuku Bali Sana Fid Q 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I wish nngekuwa mwanafunzi wa ngosha coz he will be the best forever
fiq 💥💥💥💥mikono juu kwel hii no 26
Naitangaza nambaaaaaaaaaaaaaa #26
Mimi niljua tuu mwanangu mbosso kwenye hili goma amefanya mauajii🔥🔥
Hili ndo tatizo la fid ukimuachia zaidi ya sekunde moja ndo nyimbo yote anaimeza2️⃣6️⃣
😂😂😂😂🙆🙆🙆🙆🙆🤸🤸🤸 Fid q anapenda sifa ukimshirikisha jipange
Mziki mzuri hauna views daah yani hii ngoma inastahili 20 millions view
Nyanduu anaongeaa Mbosso fid q wameua sanaa
Nyandu huwaga Nakuaminia Kila na hii hapa umemuongeza mkali Fidi🔥🔥🔥🔥
Meeeen tozy vs ngosha ni balaaa kubwaaaa
Round hii ningeambiwa nichague kazi ningekua soja like baba naua mmoja mmjoja,sikuizi atunywi tunywi bar tena cz hm kuna gs bar tenda,mwanangu gigy mpe henness vitu vikimkolea atuoneshe masebeneee
Hakuna rapper zaidi ya Fid Q
Tozi ungekaza kidogo ungekaribia kumpata fid q
Fid Q rapstyle never get old big up 26 NUMBER 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏💰💰💰🤣🤣
Yandu mm nilikujua unajitambulisha kumbe ngoma ndo isha fika Kati hatari sana
Huku ni 🙌🙌🙌💥💥💥
Kubanda kama kubanda mwacheni huyo jamaa jmn ni nomaaaa
Fid q 😎🙌🙌
This Guy's are in another level, I wish khaligraph Jones angekua kwa hii ngoma
nakubali kwani ni ujio mwingine tupo chimbo limpopo hatuna tagi tupo mtu be me and my blood jr26mafia tuna furahi .
Ngoma Kali sana mwanangu nyandu 26 umetishaaa
Saa ya mabadilko...26....🦁
Nmeelewa sana mbosso khan
Mwanza mwanza ngosha ze don
Hii Beat na Alivyoanza Nyandu ni nomaaa... Verse kali sana.. #kabisaaa
FID Q balaaaa tisha sana, Mboso nae kauwa sana,
Ngomaa kali sanaa mwambaa
Na kabla ya kumkata PAKA, papasa papaka mkare ha ha ha ...salute mr.Kuubanda
Ngosha ni ngosha tu SUKUMA TWENDE. Watakujua tu bro Fid Q.
Wambie wao chekechea si ndio chuo kikuu 💪💪💪💪💪
26 life 😜😜🔥🔥🔥🔥🔥
Sheeeee#26🔥🔥🔥🔥
Chorus haikutendewa haki kabisa
Fid na Nusu mamae fid ame funika wote
Nyandu anajikuta nani mbona anaua sanaa
Namba ni ileile 26
moja kali wanangu nyandu, mbosso, fidq moto #26life
Fareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeed KUBANDA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kuna watu na mauwezo yao kwenye hip-hop wametulia tuu dadek
Ebu mwacheni Kwanza Nyandu atupe ladha All ze way from South Africa Cape town wynbebrg 🇿🇦
Hip-hop ndio habar kwa ss..ngosha 🙌🙌🙌🙌
Ngoma tamu ngoma Kali
Round hii ningeambiwa nichague kaz ningechagua Soldier' Like Pah' Pah' nauwa mmoja mmoja 26 FOR LIFE🌍
26 forever ayooo Nyandu mnoma sana dingi Salute
King of hipap Ngosha 🙌
Hawezi fika kwa hashim dogo...kama ni hiphop mjombaa sio kwa ubaya....facts...@nikkimbishi
@@suhailsodeh5063 hujui hip hop kas kmy
Kaka chumaaa hatareeee heshimaa nyanduuuuuuu
Nambaa 26 ❤
Wayaaa hujawah kukoseaaa
Big up sana mbosso & fid Q
Ni hatari kinoma 26 life like zake apo chini kama unawakubali
Toka Qatar kazi imewezaaaa 26🌍🌎🌏
Nyanduu tishaa mnoooo
Kitu 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥 sikupingi kaka
Ngoshaaaa umeuwa brooo
26 LIFE 🔥🔥🔥
Ngoma Kali sanaaa 👊
Acha na f Q ni mtu mwinginee🔥🔥🔥🔥
26 juu ndio bendera 👑
Nakubali mwanangu hamidu
Mr blue alikuwa wapi???mbosso kauwaa kma kawa..nyandu big up...fid Q 👌👌👌👌👌👌👌👌🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Beat kali mmeitendea haki sana salute kwa priducer
Ngosha mtu mbaya umeua kinoma
Bongo hip hop safiii26
Zombie 🙌🙌
I thot Bar was for soap till I met Bars after Bars❤️fid Q 🇰🇪 🇰🇪
Dah mboso we yako mapenz but FID Q big up
Ila fidQ we endelea tu💚💛💚💛
Goma languh🔥🔥
Hakuna msafi ata mchafu anahitaji uwito
hajawah kosea nyandu round hii ningeambiwa nichague kazi ningekua 👊
26life🇩🇪🎯🚀