Mkianza kufuatilia hayo mambo basi muende mpaka viwanda vya wahindi, utakuta storekeeper ni raia wa india kabisa na analipiwa vibali na vinapokelewa.... Nenda lake Cement/Nyati utaona yaan nafas za kawaida tuu za kufanya wabongo wamekaa wahindi...... Shida ipo pia kwa taasisi zetu zinazotoa vibali vya kazi
bado ukanjanja upo sana palee,,
Wa Tz ni wez tu
Lake oil pia kuna mhindi
Mkianza kufuatilia hayo mambo basi muende mpaka viwanda vya wahindi, utakuta storekeeper ni raia wa india kabisa na analipiwa vibali na vinapokelewa.... Nenda lake Cement/Nyati utaona yaan nafas za kawaida tuu za kufanya wabongo wamekaa wahindi...... Shida ipo pia kwa taasisi zetu zinazotoa vibali vya kazi
Storekeeper apewe mbongo tunataka cement za nusu bei.
wa Tanzania ni wezi na wanaanza kufundishwa wizi kuanzia shule za msingi(wizi wa mitihani na kura)
Kuna watu wezi kushinda wanigeria,?
Serikali ina haki ya kufuta kazi ya hr kwa private company?? Wabunge tusiwe waropokaji tu
Inawezekana na ata kuzuia mali anazomiliki kama ni mgeni na hajatimiza vigezo vya kuishi nchini