napenda mizengwe: rai yangu....mzee sumaku mzee matata pamoja namkwele orgnal: sauti zenu niza asili na zmependezesha sana igzo letu .hvyo nashaur na Dada safina arud ktk sauti yake ya asili,,, akifanya hvyo atapendeza zaid yahpa
Imetulia. Ila ITV Tanzania naomba niwashauri kila kipindi mkitengenezee chaneli yake. Mfano video za Mizengwe ziwe kwenye chaneli ya ITV - Mizengwe ili mtu akitaka kuangalia mambo ya dizaini hiyo iwe rahisi kuyapata.
Toa karanga mdomoni ndio uongeee😂😂😂😂😂
Huyu anaitwa King mkwere.Utampenda tu
Mkwere jinga sana🤣🤣🤣 anatuharibia mbavu zetu🖐️🏃🏃
U guys are the best comedy crew ever in tz big up guys....my ribs are damn hurting thumbs up
Jamaniiii nimecheka Sana daah 😂😂😂😂😂
mbavu zangu miyee😃😆😆😆😃😃😃,kazi mzuri sana,hongera sana itv mzingwe
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili" (i love mizengwe
mupo vizuri sana aaaahaaa,
Wanafurahisha sana mizengwe ila mbona wamepotea hivi?hizi clip zote za zamani tuleteeni mpya,mnafurahisha kushinda comedy zote TZ.
da! mkwele nakukubali sana uko vizuri
Hahahaaaa,,matata huwa nakkubali sana yaani
Dar es salaam ukikaa hapa lazima uwe mbunifu😂🤣😅
Naomba nimshilikishe mkwere namkubali sana kwenye kaz yang
munaweza sana na ndio maana nawatazama kila wakati na ku like
😂😂😂😂😂 Nimecheka sana
kazi zuri saana itv
hahaha mkwele hatali sanaaaaaa sumaku umenifanya nicheke pekeangu daah
Pamoja sana
Yan nawapendaga sanaa!!mnanivunja mbavu zng jamani nyie!😁😁😁🙅
Hahaha noma sanaa. Bahat sina tv
Hahahahahah! Nawapenda snaaaaaa mizengwe mnajuwa kunikosha
yani mizengwe nawapenda sana kiukweli mnanikonga nyoyo asanteni sana
nawapenda wote, mnavunja mbavu hatar
mko vizuri mizwengwe nawapenda sana
Mizegwe kipindi chenu kifupi ila kinaelimisha Sana, Asante Sana,
mwaniuwa mizengwe mpaka nimenenepa bila kula uwiiiiii nawapenda sana nyie
iyo biashara nouma
Yn mkwere anachekesha😁😁
Nawakubali Sana na kazi zenu
napenda mizengwe: rai yangu....mzee sumaku mzee matata pamoja namkwele orgnal: sauti zenu niza asili na zmependezesha sana igzo letu .hvyo nashaur na Dada safina arud ktk sauti yake ya asili,,, akifanya hvyo atapendeza zaid yahpa
Tuto pamoja xana
Mnajua sana tena zaidi yasana
Wapo vzr sana
Mizengwe mnatisha
Mkwele sikutaki😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2022
mkwere ipo siku nitakutafuta na nina zawadi yako. family yetu yote inafurahishwa na wewe
Weken marudio ya zembwera na mx
I like it.
ha ha ha yaani jamani imecheka sana hawa jamaa ni mwisho wa matatizo
Noma sana
mkwele we noma
nawakubali san unajua san
Wako vizuri sana!
Mbona hamtoi toleo mpya siku hizi.
Bravoo
Mkwereee kipindi cha joto kwa hiyo baridi niwekwe mochwari
Nyie nikwere safisana huyo jamaa anae act hivyo katupiga miaka 3 iliyopita maeneo ya sinza kijiweni
mizengwe nomaaaaaa sana
hahahahhahah nimecheka mpaka
Mizengwe Ni comedy pekee inayo fundisha Tz. Wengime wote Ni Magumashi2
mko vizur mizengwe
Hii clip huwa siichoki kuiangalia😀😀
jama wanjuwa
ziara ya magofuli magereza ukonga
Haahaaaaaaaaaaaaaaa! daaaaa
Kidogo lakini kitamu
We kaandae kaburi,sie twaenda kumchinja
😂😂😃😃😃
Nahitaji number za hawa watu
Imetulia. Ila ITV Tanzania naomba niwashauri kila kipindi mkitengenezee chaneli yake. Mfano video za Mizengwe ziwe kwenye chaneli ya ITV - Mizengwe ili mtu akitaka kuangalia mambo ya dizaini hiyo iwe rahisi kuyapata.
Penda sana mizengwe♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡
DM
DM Iko poa
Asanten
🤣🤣🤣🤣🤣
nyinyi noma sana
Haahaaaaaaaaaaaaaaa!
eti weka
mambo
Poa je we mzima
Gjg
mbavu zangu
Kuna kipindi nacheka peke yang nikiwakumbuka
hahaha nzurii sanaaa
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
hahahaha za mwizi 40
hahahahahaha noma sana
ZAMWIZI 40
hahahaha
Mbavu zangu
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Arafa Iddy like it
Xo nic arafa