Elshadai Revival Choir - Nacheka (OfficialVideo)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Ayubu 8:21
[21]Bado atakijaza kinywa chako kicheko,
Na midomo yako ataijaza shangwe.
Till he fill thy mouth with laughing, and thy lips with rejoicing.
Studio: Elshadai Records
Mix and Mastering: Fredrick Masanja
video: Director Rahim
Decoration: Hans
Song Written: Baraka Faustine
Leaders: Juliana Hamis & Baraka Faustine
Booking
+255 626 632 785
Instagra: elshadai_revival_choir
@UpendoMedia @CLOUDSMEDIA @Wasafi_Media
@tvsibukaeagt @efmtanzania @gospelmusicafrica6396
#music #gospel #gospelmusic #memes #comedy
Huzuni yangu imebadilishwa kicheko 🙌🙌🙌🔥 ni mwendo wa 😄😄😄
🔥🔥🔥
Hongeren sana wapendwa kwakazi nzr
Hongeren kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu🎉
Good job
Wimbo wa viwango sana..
Mbarikiwe sana
Hongereni sana elshadai Mungu awainue kwa utukufu wake
Amen
Ni mwendo wa kucheka tu, hongereni sana Bwana Yesu azidi kuwainua viwango vingine
Hongereni Mungu awabariki kwa kazi nzuri sana
Wimbo mzr sana mbarikiwe nyote
Barikiwa
Hongerenii sanaaa wimbo mzuriii sanaa numebarikiwaa❤🎉
Kwa kwel kazi n nzur kwel
Wow! What a message hongereni sana ndugu zangu!! Huu wimbo tutaimba kwenye harusi yangu
Lazima tunaachaje
Hakika Bwana ametufanyia kicheko 🥰🥰😍
Hongereni mkwe na mungu awabariki #kicheko
Ahsanye sana mkwe wangu ❤❤@@barakastephano2279
Mwanzo mwema wenye kichelo, Mungu azidi kuwainua kwaajili yake na yetu pia.
@@SabinaMkono Barikiwa muhasibu
Wimbo sahihi kwa wakati sahihi ❤ leo nacheka tu
Barikiwa
Kazi nzuri sana hii Mungu awainue zaidi ni matumaini maisha ya watu yatabadilishwa sana kupitia Elshadai Choir
Hongereni sana kazi nzuri
Utukufu Kwa Mungu
Wawoooo, amazing song. Mbarikiwe sana
Amen baba
Kazi nzuri aunt yangu,Mungu awape nguvu
🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥
Mungu azidi kuwateteka katika kazi yake mko vizr🎉🎉
@@NoelaEmmanuel-h3q Amen
🔥🔥aseee!wimbo mzur mbarikiwe
Ubunifu mzuri...
Barikiwa
Mungu n mwema kwenu
Hongereni jamanii,,mtunzien hiko kibao sibora aje atabasam zaidii kwenye harusi yake❤.🎉🎉🎉
Mambo n moto
Kazi iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Barikiwa sana
kaka uko vzr
Nacheka tu😂😂🔥🔥🔥🔥 wimbo wa moto sana aisee🙏🙏🙏
Good song 🔥
Ongera sana KAZI nzuri
😂😂😂😊😊
😅😅😅
🔥🔥🔥
Duu bibi harusi alitisha kweli na bwana harusi Ila tumemmiss kigoma lucy
Amen Barikiwa pia
Amen kwahman ipo cku atakuja
😂😂 nacheka ty
♥️
Wow
😅 Very nice 👍
Utukufu Kwa Mungu
Bro Rahim unyama sana kaka
Thnkx jer
Hakika Lucy umecheka ufanye sas uolewe mlembo wang
😅😅😅
Mungu awabariki kazi nzuri 💯
Tafadhari mrudie video za album ya kwanza (mwimba,kumbuka ni wapi n.k ) zikiwa na video nzuri kama hii zitapendeza sana
Amen Barikiwa sana
BUNDA TUNA VIPAJI VIKUBWAAAAA NA VYA KILA AINA
Aiseee ni poa sana #nacheka pia✌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongeren sana wapendwa kwakazi nzr
Amen Mungu awbaliki kwa kazi nzuri