Kwani haya mambo si yalishapita waislamu mbona kama yataka kufufua fitna!! Kwani sheikh Abdallah Humeid hajataraajaa mpaka leo??? Kama hajataraajaa na anajua kuwa alifanya kosa basi hayo ni maasi yake na hakuna haja ya kuyataja kila wakati.
Hii channel ni ya MAHZBI, Hilo jina salafi lisiwachanganye Ukifuatilia video zao zinawasema vibaya mashekh wa kisalafi kama vile 1. Shekh Kassim mafuta 2. Abdallah Humeid 3. Shekh Hamis imam 4. E.c.t
kwann . mwamuita mnafiki Amir wenu wa Masalfi fitna ipo kote tambuen uchamungu ndio daraja ya juu kwa waumin hakuna uchamungu hakuna utukufu akhera wala dunian na jiaran akisema wewe mkosefu ujue umekosea kweli
😅😅😅 nyoka watafunana sasa
Allah amrehem shkh wetu umma utaendelea kunufaika na durus zake inshaallah
Channel ya kiizib hii husuda imeanza na itawamaliza maana imeanza kuwala Mmoja Mmoja msongo wa mawazo unawamaliza
Huy mwamba nilikua namkubal sana darsa zake nilikua nahudhuria allah amrehemu
Chanal ya hizbi vp tulieni mana mwajifanya hamukosei
Sheikh Muhammad hassan ndiyo yupi. Huyo
@@abbaspaziaog2188 Kenya yupo
Lazima tuwekane sawa Allah Amrehemu shekhe
Allah amrehemu.
Allaahumma aamiiin
Amini
Daraja alilofikia Kasım Mafutaa inaitwa “ DARAJA KUU LA UNAFIKQ NDANI YA UISLAMU “ Hilo ndiyo daraja alilofikia Maftaa
Allah akuongoze
Mche Allah, kwa haya maneno. Unawezaje kumsemea mtu kuwa ni mnafiki tena wa daraja la juu hali ya kuwa ni muislamu bali ni shekh.
Wewe ni mtu jahili, hizbi tu, huelewi lolote.
Allah akuongoze ;
Kwani haya mambo si yalishapita waislamu mbona kama yataka kufufua fitna!! Kwani sheikh Abdallah Humeid hajataraajaa mpaka leo??? Kama hajataraajaa na anajua kuwa alifanya kosa basi hayo ni maasi yake na hakuna haja ya kuyataja kila wakati.
@@Hamis-ks1sy twambie wap katarajaaa napia bas ukitakaa ivo hata firauni ameshapta hakun haja yakutajw tajw.
Hii channel ni ya MAHZBI, Hilo jina salafi lisiwachanganye
Ukifuatilia video zao zinawasema vibaya mashekh wa kisalafi kama vile
1. Shekh Kassim mafuta
2. Abdallah Humeid
3. Shekh Hamis imam
4. E.c.t
Allah amrehem abuu muawiya
Alikiwa na elmu lakini wanadamu walimuhusudu wenzake
Hii ndio chanel wanayoitumia Mahizbi wakisaidina na kina shaafii kuchafua daawa ya salafiyya
hamna cha Salafi wala nini nyie nyote ni watu baatil
Daraja la alilofkia qasim ni unafki
kwann . mwamuita mnafiki Amir wenu wa Masalfi fitna ipo kote tambuen uchamungu ndio daraja ya juu kwa waumin hakuna uchamungu hakuna utukufu akhera wala dunian na jiaran akisema wewe mkosefu ujue umekosea kweli
@@khamisswalehe nani kàkudanganya ni amir wa masalaf amir ktka taasisi yake
@@ABUUSHURAIM jaahil murakab