DUDU BAYA AFICHUA MAZITO, REDIO YA ALIKIBA INA UTATA, DIAMOND KUFANYA FIGISU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 119

  • @aliceudoba3672
    @aliceudoba3672 7 місяців тому +8

    Yaani inabidi wakuweke baraza la sanaa kama mshauri🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 7 місяців тому +12

    Broh dudu upo makin upo
    Smart sana maana nilikuwa
    Siyajui hayo yote kuwa radio
    Na tv inakuaje kwa kupiga
    Hatua mzuri kimafanikio

  • @SaidWasaki-iq3qd
    @SaidWasaki-iq3qd 7 місяців тому +14

    Kaongea point sana dudu baya

  • @malkiawaubembe.
    @malkiawaubembe. 7 місяців тому +16

    Dudubaya unajuwa kuhongea sana bro . Ww ndo mtu pekee ninaye fata interview tanzania mzima

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 7 місяців тому +11

    Konki master umetema madini sanaa binafsi nimekuelewa

  • @lildonswash9994
    @lildonswash9994 7 місяців тому +11

    Dudu is delivering like he's pregnant much respect legend your talk is not cheap

  • @honorykwahhay4364
    @honorykwahhay4364 6 місяців тому +1

    Huyu mwamba anafahamu mambo mengi sana, ni kichwa kweli kweli❤

  • @thomasraymond9366
    @thomasraymond9366 7 місяців тому +10

    Bro dudubaya uko sawa

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 7 місяців тому +6

    Mwenye sikio na asikie na aelewe,,akili kubwa sanaaaaa

  • @sijaonalujinama
    @sijaonalujinama 7 місяців тому +6

    Dudu baya, unafaa kuwa mchambuzi kwenye TV na RADIO. Naomba uchukuliwe na TV kubwa unafaa sana.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 7 місяців тому +8

    IMEFIKA WAKATI SASA DUDU BAYA APEWE NAFASI YAKE, MIMI NAMUONA ANAWEZA KUWA BALOZI MKUBWA KATIKA MAKAMPUNI MENGINE KAMA WANAVYOPEWA MACHAWA.

  • @Fundikichwa
    @Fundikichwa 7 місяців тому +10

    muwe mnaweka hta feni kwa mbele bas mkiwa mnahoji watu, mtu anajifuta jasho mudaaa wtee mpka kero ,utazani mnahojiana kwny shimo

  • @SalimSalim-bv3wb
    @SalimSalim-bv3wb 7 місяців тому +5

    Mtangazaji yuko vizuri

  • @MRx_SpLy1210
    @MRx_SpLy1210 5 місяців тому +1

    Kama namuelewa flan ivi dudu 🤔

  • @johnmosha
    @johnmosha 7 місяців тому

    This dude is droping wisdom

  • @josephk90
    @josephk90 7 місяців тому +2

    Huyu dada huwa nampenda mimi jamani, hiyo sauti😢😢😢

  • @Hashkan22
    @Hashkan22 7 місяців тому +4

    Huyuu jamaa hanaga unafikii ndio mana hua namsikiliza hafungamani upandee wowotee sio kama akina baba levo✌️✌️✌️✌️

  • @namangabruno-xh3kp
    @namangabruno-xh3kp 7 місяців тому +10

    Dudu inabidi uwe Mzee wa baraza

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 7 місяців тому

    Feni feni feni mnamtesa legend pls msitafute habari at his expence pls

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 7 місяців тому +22

    apo kweli like basi kwa dudu baya

  • @dodgerbwoy4400
    @dodgerbwoy4400 7 місяців тому +2

    Dudu baya is very wise

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 7 місяців тому +2

    Kwani media ni ya music tu

  • @salyungumabula136
    @salyungumabula136 7 місяців тому +5

    Konki master ana akili pevu

  • @hubimogela9167
    @hubimogela9167 7 місяців тому +1

    Interview nzuri sana

  • @neemafesto-vw1ji
    @neemafesto-vw1ji 7 місяців тому

    This bro, ana exposure kubwa . Tasinia anaijua sana

  • @MaregesiChristopher
    @MaregesiChristopher 7 місяців тому

    Link mimi uwa nakubali xna mara nyingi lazima nikufatlie xna inshot bandle langu uwa unalimaliz xna ,uko vzr bro big up xna ,hata watangazaji uwa wanapenda kukufata maana ake wanajua unavitu kichwani ,

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 7 місяців тому +7

    Dudu ana watambua majizi wote

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 7 місяців тому +1

    Kaka yet dudu baya tunakupenda mno ukiojiwa

  • @HadijaSachu
    @HadijaSachu 7 місяців тому

    Kiukweli yupo vizuri anafaa sana

  • @RichardJuma-v3c
    @RichardJuma-v3c 7 місяців тому +4

    Alikiba mchukue dudubaya mpe kipindi kwako

  • @benbest3095
    @benbest3095 7 місяців тому +1

    Mtangazaji bure kweli huyu ila konki ni noma

  • @Zuu673
    @Zuu673 7 місяців тому

    Well said brother

  • @IsaacKaziya
    @IsaacKaziya 7 місяців тому +2

    Sana dudu

  • @chachamachera2804
    @chachamachera2804 7 місяців тому

    Huyu Jamaa yupo sawa...

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 7 місяців тому +1

    nakapenda haka kabinti sijui nitakapata vipi♥️♥️🤔

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 7 місяців тому +7

    Wewe mdada kwanini unakaa na kutunga maneno ya kijinga Eti RADIO IMEKUJA KUSHUSHA BRANT YA RADIO ZINGINE , Huna cha kusema au?

  • @victoryoram7304
    @victoryoram7304 7 місяців тому

    Jamaa akili kubwa sana🙌

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 7 місяців тому +6

    Diamond alipo pigiwa simu aliulizwa ungependa tupige wimbo upi wako akasema ipigwe nyimbo ya zuchu kusaga akamwambia nyimbo wako wew diamond akachagua yope

    • @Fundikichwa
      @Fundikichwa 7 місяців тому +1

      na yope yenywe ni ile remix ya inosby ft diamond na bado ile ilikuaga inapigwa tu kwsabb ni ya inosby ft mond

  • @salehhamad4628
    @salehhamad4628 7 місяців тому

    Konki konki konki master

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 7 місяців тому

    jo ndo mwenye wasafi media hii nimeelewa sasa

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 7 місяців тому +2

    Yn mnavyo ipambanisha wasafai na iyo yankibakuli cjui kwann yn yote i ili kuifanya ijulikane iyo y nn kibakuli

  • @HamisiHemedi-u8k
    @HamisiHemedi-u8k 7 місяців тому +2

    Dudu unajua kuelezea poit

  • @YvesNyembo
    @YvesNyembo 6 місяців тому

    Pia muulizeni aliferi wapi

  • @MTOTOWAvitoto
    @MTOTOWAvitoto 7 місяців тому +2

    Dudu kasema

  • @noahnsubc1666
    @noahnsubc1666 7 місяців тому +1

    Dudu baya ashaanza kuwa binadamu cku hz😂😂😂

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 7 місяців тому +4

    Radio ya alikiba ni ya kikwete hiyo

    • @Lodrickmwambene
      @Lodrickmwambene 7 місяців тому

      Hata wasafi sio ya mondi 😂😂😂😂 Wabongo bwana mtu hakitoka Mara Freemason hata itv sio ya mengi peke yake alikuwa na share na waingereza

  • @molexevelist813
    @molexevelist813 7 місяців тому

    Oya uyu mwamba uwa namkubali sanaaaaaaaaaaaaaa,hapepes linatemaga cheche tuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 7 місяців тому +1

    Ilaa tatizo ambalo waandishi mnatakiwa kujifunza ni kuaandaa maswali yako mazuri na makini kwaajili ya jamii, neno ambalo kalitamka alikiba anawezakulifafanuaa mwenyewe, yeye cha kusifiwa ni kwamba kaongeza ajiraa kwa jamii.

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 7 місяців тому +2

    Kachooka sana

  • @NakitepeJuma
    @NakitepeJuma 7 місяців тому

    Ukiweka chumvi .zembwela Mzulu..na wale wawili waliobaki.kitakuwa kipindi Bomba na pendwa sana

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 7 місяців тому +4

    Bongo wanajua mambo ya wengine Kuliko ya kwao😂😂🏃🏃🏃🏃

    • @Jibambeshow254k
      @Jibambeshow254k 7 місяців тому +2

      Yani bora walale njaa lakini wasikose habari zawatu 😂😂 kazii ipo TZ

    • @blockchain1203
      @blockchain1203 7 місяців тому +1

      @@Jibambeshow254k Wapuuzi sanaa

    • @Jibambeshow254k
      @Jibambeshow254k 7 місяців тому

      @@blockchain1203 😂😂

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 7 місяців тому +2

    Konki master

  • @PaulMwita-t1k
    @PaulMwita-t1k 7 місяців тому +1

    Baraza lina hangaika nawatu wasio kua na maneno yenye busala na watu wapo mahili kama hawa hawaprwi nafasi

  • @OscarDzombo
    @OscarDzombo 7 місяців тому +3

    Huyu dada mtangazaji ndie kanifanya hadi nika subscribe mbengo ❤

    • @josephk90
      @josephk90 7 місяців тому

      Yaani nampenda huyu dada asee sijui anaitwa nani nimfollow hata kwenye akaunti zake😢

    • @OscarDzombo
      @OscarDzombo 7 місяців тому

      @@josephk90 wallah mm pia nampenda na roho yangu yote, mtto mzuri mstaarabu na anaelewa kazi yake

  • @mwamvuarashid290
    @mwamvuarashid290 7 місяців тому +1

    Huyu mwamba ndo angekua waziri wa Sanaa majizi yangekoma

  • @PantaleoEdward
    @PantaleoEdward 6 місяців тому

    Kwakweli nimeelewa uzalendo ni vitendo siyo maneno

  • @ShelayWamapozi
    @ShelayWamapozi 7 місяців тому +8

    Kiba kafungua kimsukumo nakushawishiwa siamin kama ilikua ndoto yake

    • @SalimSalim-bv3wb
      @SalimSalim-bv3wb 7 місяців тому +1

      Ni msukumo kutoka upande wa pili

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 7 місяців тому +1

      Soma story pale mange Kimambi

    • @chire4574
      @chire4574 7 місяців тому +1

      Sio yake matajir wamemfata wakamshwawishi kuumia jina lake..ndo maana ata jina sio kings radio

    • @elizabethmasitsa6537
      @elizabethmasitsa6537 7 місяців тому +1

      Wanadamu bana Yani mnajua watu kuliko wanavyojijua waa

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 7 місяців тому

      Mange kasemaje kwan kaak​@@nahyialetomia9284

  • @jaylazorschannel5681
    @jaylazorschannel5681 7 місяців тому +4

    Crown media is there to promote King Kiba's Music and record label. That's the business plan.

    • @jaylazorschannel5681
      @jaylazorschannel5681 7 місяців тому +1

      Ni sawa na kuwekeza hela kwa biashara yako. Maana kiba kamwaga mpunga mrefu sana.

  • @SufoWazir-s4q
    @SufoWazir-s4q 7 місяців тому +1

    Nikwambie kitu dogo?

  • @strong8534
    @strong8534 7 місяців тому

    Wewe binti ulikuwa wapi???

  • @PantaleoEdward
    @PantaleoEdward 6 місяців тому

    Jamaa ni kisima Cha busara

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 7 місяців тому

    Huwa wanamlipa?😅

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 7 місяців тому

    Dada mtangazaji pls nisaidie namba yako ya cm nimekupenda kwakweli❤❤

  • @mindamambo2248
    @mindamambo2248 7 місяців тому

    Dudu baya una madini sana hebu media zisikuache wakupe kitengo unaweza una akiri sana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 7 місяців тому

    Simplicity , yaani unakataa kitu lkn unakifanya .

  • @KwizerJackson-is7fh
    @KwizerJackson-is7fh 7 місяців тому +1

    Nikweri

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 місяців тому

    Dudu akili kubwa kuliko wanavyofikir watu

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 7 місяців тому

    Naomba usajiliwe Basata mjomba angu hau fanya jitihada zote ili uhakikishe utafanya kazi Basata wasanii bado ni wagonjwa wanyimwa haki kwa hiyo wanahitaji Basata mpya ambae ni wewe mjomba Dudu.

  • @olicendayihimbaze4074
    @olicendayihimbaze4074 7 місяців тому

    Haya yote tutayapitiya😂😂

  • @NDILANGA
    @NDILANGA 7 місяців тому

    Tatizo mnaandikaga habari ya uongo sikuzoye

  • @mwanzamotitsuma8680
    @mwanzamotitsuma8680 7 місяців тому

    Tatizo unachanganua biashara yenye haikuhusu

  • @HassanSamata-pf2pm
    @HassanSamata-pf2pm 7 місяців тому

    Wasafi ni kusaga

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 7 місяців тому

    Unafail sana bro, watu awaangalii tuzo ela kakangu ndio inasakwa. Ishu ya volunteering/internship ni muhimu sana uwezi taka mshahara wakati performance ziro. We ujasikiliza radio mpya unaaza lalama tuu wezako wapo ikulu wanakula bakia apoapo. Wenzako wanajiongeza wewe unabaki nyuma bakia apoapo.

  • @frankwarembosaloon5316
    @frankwarembosaloon5316 7 місяців тому +2

    Wasanii wabongo mapicha picha tu kupenda kutumika kwenye vitu vyawatu alafu wanakufa masikini. Hanauwezo wakifungua redia wametumia tujinalake. Ata diamonde wasafi sioyake nia kusaga atalikiba nihayohayo

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 7 місяців тому

      Tupe ushahidi

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 7 місяців тому

      Acha kuongea pumba wewe hujui chochote ngoja tukupe ukweli ulivyo wasafi ni ya Diamond sasa wakati anafungua mawazo ta radio akamfata kusaga kwakuwa kusaga ni mhasisi katika mambo ayo akapewa shule na kusaga ndio watu wa kwanza kuwa na frequence nyingi za radio ivyo Mondi akapewa freq na kusaga kupata shea kama sehemu ya wasafi ambaye mwenye shea akawa mkewe ila kwasasa walishatoka wasafi na Mondi ana asilimia zake zote na ndio mmiliki halali

    • @Tanafa-j9q
      @Tanafa-j9q 7 місяців тому

      Kabsa maana weny makomwe wanaxmbua xana

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 7 місяців тому

    Wew yako ni ipii .....km unayajuwa hayo ungelala njaa kweli😂😂

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 7 місяців тому +3

    Alafu we dem huna sababu tusikutukane kuma bako kwaiyo wewe ulitaka ali kiba usifunguwe redio naona kila siku content yako redio ya ali kiba kuma wee tafuta content nyengine matako yako wewe redio ndo ishafunguliwa kama umetumwa kuichafua redio ya ali kiba basi mwambie na baba yako afunguwe kama rahisi

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 7 місяців тому +3

      Una point nzuri ila hukuwa na sababu ya kumtukana. Mtangazaji kauliza maswali mazuri yenyekuleta ufahamu kwa wengi na konki kayajibi vizuri na kutoa ushauri pia.

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 7 місяців тому +3

      unamtusi mschana hivo ALafu naona jina lako ni issa ,,mwezi mtukufu wa Ramadhan unatoa matusi hivi kwa sababu katajwa ali kiba😢

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 7 місяців тому +1

      Duh mbona matusi hivyo...

  • @AbuubakarMmbwana
    @AbuubakarMmbwana 7 місяців тому +2

    Dudu baya unabaya

  • @Marjeby
    @Marjeby 7 місяців тому

    We presenter unatangaza vizuri una rafudhi nzuri but shida yako moja kubwa sana na usipo angalia itakukost unapokuwa unafanya mahijiano na mtu haumpi tention kabisa mtu anaongea wee kama unawaza vitu vingineee na sometime unangalia na pembeni kabisa hiyo ni shida bint acha hiyo kitu kabisa

  • @mtulivuboy1825
    @mtulivuboy1825 7 місяців тому +1

    kwa nini kila mkizungumza kitu chochote lazima muweke wasafi ndani huu niujinga na niutuma pia ushamba sana kwani hao peke yake ndio wakona medias stupid). tanzania you have to stop this. everything wasafi everything wasafi ((FAN CULO tuti quanti)) Il.

  • @Yusudav
    @Yusudav 7 місяців тому

    Futa jasho na shingo😆😆

  • @fredymbinga
    @fredymbinga 7 місяців тому +1

    Njoo Lindi ulime upupu utapata pesa siokuponda ponda wevip tunakuona kama chizi ujue

  • @AltamimSoud
    @AltamimSoud 7 місяців тому +1

    Media ndo imefunguliwa juzi hio ya crown leo ya 2 halafu unaanza kuikosoa hata haijafika wiki kama watapata wapi mtangazaji wa musoma yaani unataka kupika wali mchele tayari maji yamenda kuchota waje waupike haujapikwa bado domo lishafumbuka linataka kula mchele mbichi wacha hizo subiri uone mwenendo wake halafu ukosoe pimbi wewe

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 7 місяців тому +2

      Huyu jamaa hajakosoa media anatoa ushauri tu tena baada ya kuulizwa

  • @fredymbinga
    @fredymbinga 7 місяців тому

    We dudu mavi umeishiwa Sasa unaingilia maendeleo ya watu kwanza ndevu chafu

    • @suleimansaid2633
      @suleimansaid2633 7 місяців тому

      Huyu kaishiwa C mwanamuziki huyu

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 7 місяців тому +2

      Mbona ajaongeya vibaya dudu

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 7 місяців тому +1

    Kaka Dudu ahana contact number? nahiitaji