Ferooz ft Roma - NALIA visualization Video
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- #Ferooz #SlideDigital
Ferooz Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/ferooz
Written & Performed by Ferooz
For Bookings: feroozmrisho@gmail.com
Follow Ferooz on:
/ feroozgram
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Kama umeirudia Mara kibao hii ngoma nipe likes
Ngoma kama hizi ni watu wanao jielewa tu na wenye heshima zao ambao tupo tunasikiliza wa amaboko na majeje hapa sio kwenu
Feruz Kaka Rudi tunakungoja usikae kimya Kaka✍️✍️✍️✍️🙏🙏🙏🙏🙏
Ferozi achakuzubaa sauti yako ndo mtaji uwezo unao na hujachuja mjomba usinyamaze sana madini upo nayo bado kama ya starehe ,changamka .utafunika wote.mashabiki upo nao.
Hii ngoma imesimama ile mbaya na yaani aitochuja milele ferooz&Roma sarut kwenu....
Nashindwa hata ni comment vipi ilinionyeshe hisia zangu ila ngoma imesimama
Dah Roma umeua mzee hii ngoma itaishi milele BG up kwa ferooz kazi nzuri sana mungu awabariki.
Kubwa hii
Sana kaka
Kabisa yan ngoma kali sana
Roma skuzote uwezo anao
Sanatu
Kiukweri huwaspendi kuongea
Mengi
Roma
Anauwezo
Hizi ndizo ladha za sauti za really bongo flava nizijuwazo mimi kama Mswahiliflani, big time wazee mmetisha sana.!!
Hato kaa! Hato wafaa! Hata tumshike boom! Mbingini huingiyi na kope saa yanini una vimbaa!!👀🎤 Roma!!
alipoanza Roma tu imenoga zaidi big up mwamba
Ferooz u are the best bro...!!!!!! Aminia sana, unajua sana, unahisia kali za muziki, I cried for this song..! Roma pia hukoseagi mwamba.!
Daaah nalia kwauchungu kwakua nimekumbuka siku ile namfukia mumewangu uwiiii
Huyu ndio ferooz naemjua mimi kwenye ngoma hizi nimemjua tangu kwenye alazwe pema leponi kamanda #### saluti niletee chuma kikali zaid ya hich
Huyu ndo ferooz wa barua na starehe hakika ng'ombe hazeeki maini #big up Roma umeitendea Haki Ngoma hii
Wenye vipaji vyao,huyu brother anaimba bwana shout out to you @Ferooz
Uko fiti mzee Rudi kwenye game all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ferouz hakoseagi..... Kk upo juu an!!!
Hakika umerudi tena mkali wangu flz like zenu kwa mwamba falooz
Ferooz mrisho dah hatar sana hivi ngoma Roma kakanyaga mbaya dude la milele sana
Daaaah!!!!! mtatuliz jaman na nyimb zen hiii imenipa hisia kali san
Ferooz hii ngoma isipokurudisha ntaamini binadamu wabaya.
Mwamba nakukubali sana simu yangu nyimbo zako zote ninazo toka kitambo tupo nawe
Pia namm
Hii hakika Ni Bonge la Ngoma 😭😭😭
Hizi ndo nyimbo zikitoka watu wanapata ujumbe. Kuna baadh bado niwasanii sio wale wanatafuta support za vyama tawala kujinufaisha tu.
Hii ngoma ni qaliiiiiiiiii sana ...roma umeibeba kinomaa utafkir yako
Nice song ferooz karudiii nomaa saana from🇨🇩🇨🇩
Daaaaah ferooz umeniliza
Roma wewe ni mvushaji maana yake ukimbariki mtu anabarikiwa
Dah! Ngoma kali sana jaman big up Ferooz ft Roma
mazee kangu ferooze kama kuna role model amkweli wewe no 1 hongera sana
Thats true guyz mpo safi wenye vyuma asili big up
Nimewapenda mpo vzr ferooz na roma juu zaid kumbe bado upo ferooz
Nalia nikikumbuka police man, wema wangu, starehe BOSS, Barua, kamanda,Nilia kutoka moyoni
😘🇹🇿👊🔥🔥🔥🔥umetisha Feruz
Watu wenye muziki wenu..ngoma kalii japokua inahuzunisha
Feruzzi duu umeludi tena
Ferooz. Unaweza acha mambo n a watu wakushike. Mkono
WaBesH for ever bro.
Bonge la ngomaKaka duh 🚀🚀🚀🚀🚀
Haya sasa msisite msiogope,,na kwa kibur cha cheo unawatoa wenzako sadaka😭ujumbe ufike
Safi Kazi nzuri endelea kupambania heshima yako
naikubali sana ngoma hii y ferooz dah
Nyimbo nzr sana
Hili song linawwza kuibua hisia Kama Kuna m2 umemtendea unyama, bgp ferooz ft Roma
Mziki mzuri nawahuzuni ila unaujumbe wakujifunza sanaaa
Brothers nakumbuka mbali sana nisiapo huu wimbo
Ngoma kalli brother floozy big up with the great job that you done
sijui niseme nini bro niko burundi mm ilo ngoma ni hatare sanaaaa feruzi upo juu
Nyimbo nzur inabua hisia ya mzik pia ina burudish na kuelimisha jmii hii ndo fasihi hahisi
Roma umetishaaaa
Feruzi kazi nzur RIP MKAPA
Tulimis saut kama hii ,nyimbo za hisia
Good song bro
Bonge la ngoma,,,, nimependa Roma alivyochana
Mmeumiza Sana moyo wangu Hii ngoma Ukweli mtupu
Big up bro you can do it and keep shining again 💪🏽💪🏽💪🏽one love 💕 ali from Kenya 🇰🇪
Sijawah kukataa uwepo ferooz,roma pia nakubali kazi yako,NALIA.
Roma uwaga ukosei mzee baba, ferooz jitahid sana mwana kwenye game uwaga nakukubali sana, toka daz nunda mpaka wema wangu.
Alie zaliwa na mwanamke cku zake zinahesabika Ahsante Roma nimekuelewa sana a.k.a Mnyaq boy hapa Mbeya 1
Pumzika kwa amani baba yetu kipezi magufuli
Mashalah hongera sana kaka ferooz 💘❤❤❤
Uko juu sana my brother ferooz dua njema kwako uishi miaka mingi ❤💓❤👍👍
Huyu ndiyo Ferooz tunae mtaka tungo zimenyooka komesha ya wanaoimba ngololo dakika tano nyimbo chali Ferooz tumia beat zao za Ila style yako ibaki hii hii na tungo hizi hizi zenye akili
Mziki ni biashara, assume hiyo ndo aperform jukwaani
Wivu tu unakusumbua
@@Mad1netv Wala sipingi muziki ni biashara ila ni Sanaa na Sanaa ni kiyoo Cha jamii na jamii ni Mimi na ww leo kijana kesho baba keshokutwa Babu mwanamuziki mtunzi anae balance hizi hatua tatu ataasipo faidi Sana yeye uzao wake utafaidi kwasababu bidhaa imezingatia ubora na mahitaji ya walaji wote watatu vijana, baba mama na wazee msikilize professor j au joze chameleon tuone maudhui
Daaah wamekutana wote mafundii
nimekubali umerudi kwemye game nampa hongola producteur wako kafanya mambo
Feruz mpyaaa,,ni yeye umtisha mwamba
ferooz ft roma kill it 🔥🔥🔥🔥🔥
eshima kwa roma bwana
Roma umemaliza kaka we unachana mpaka unakera big up sana broo
Daaah ferooz ndio huyu
Kazi WANAYOOOOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Legend....ngoma poa sana.
Best
Duh nyimbo kali sana
Hujui jamaa nyimbo zake hua ni funzo kwa wenye mazingitio
Kadha kaka tupo nyuma yako mapaka ufuke mbali san sababu zoezi za kazi zimeaza yaan no basi tu
R I P Joseph pombe magufuri 😭😭😭😭 moyo wangu unaumia sana sana sana sana sana
W
Wallwah hii nyimbo nzuri kweli bg up
Respect legend
Pole sana mwanaguu kwa majonzii
I'm being Love this guy since niwe mdogo
Nzuri Sana.
Welcome back Ferooz, from 254
Sasa hii ndo bongo fleva yetu
Kaka toa remix ya jpm daah mpasasa nikisikia sauti ya jemedali jpm siamini kama ndiohayupo mungu tusamehe kama tunakukosea
Hakikaa loma mmetishaa ote
Hakuna mwamba katka dunia hii
Really this is the request deduction all us #tanzanian... Ikooo vzr mnooo maana baada ya kulia kwa uchingu tulonao tunazidi tu kujitasmini daaah Safi sanaaa
We go ferooz
Ferooz my favourite all the time
Nikikua cjackiliza aixe ferooz na roma ni bonge la wasanii
💥💥💥💥💥 dah roma balaa
Long time mchizi kazi safi
Love from DRC. Pa1 kaka
Napendaa kuona kazi zenu
Roma, Leo hiiiiii ndo nimeamini kuwa akili yako kwenye mziki sio ya kukopi unauwezo wa kuzali.
yes huyu ndo feruz wazaman tulikumis never give up tunakukubali
Ferouz nakubali wewe ni king of legend
Shoooo kali mwamba
Ferooz baki humu humu aisee we jamaa unajua sana hii nyimbo hadi sasa ilitakiwa iwe trending lkn sijui tunafeli wapi tu.
Big up sana ferooz ft roma
Hii nyimbo nzur sana
Brother rudi bhanaa mana umetufufua wadau wako jmn daaaaaaah💪💪💪💪💪💪💪💪👀👀👀👀👀👊👊👊👊👊👏👏👏👏👏👏
Mwanaharakat
Ferooz such a pure talent bro....tumemiss miziki kama ......
Roma mtu mmoja hatari saaaaaana
Pole sana kaka nimsiba wa kila mtu ila najua Muheshimiwa Mkapa alikuwa na nafasi kubwa kwako, mziki mzuri sana
Ngoma nikubwa sana big up
Kaka zangu