Nipo Zambia,nimeanza kufuga kuku baada ya kuingia utube na kuiona channel ya Agalus,vema na shukrani kabisa.changamoto vifaranga wangu wadogo wanazima njia ya haja kubwa na wanakufa sana,natumia dawa ya sulfa..nachanganya na antibiotics,lakini matokeo bado si fresh,usafi wa chumba na kutoa maji ya kutosha umezingatiwa sana,naomba suluhu ya kitaalam.
Hongera sana kwa hilo somo,,mungu akubariki .Nikona swali ,,sasa ukifugia uyo kuku kwa siku nne bila kumpa chakula,,je hataweza kufa ama kupatwa n magonjwa?asante
Nimefurahi sana kuanzakujifunza ufugaji bora wa kuku,nawaombea Mungu awazidishie maendeleo ilinasi tupate faida juu ya kukuwa kienyeji nazidikuananya ilinipate elimu
ASSALAMU ALAIKUM wabatakatuh Mm nategemea kazi yadereva na ningependa kuwa mufugaji nimejaribu maranyingtu kwa kutumia wenzangu lakini sajafaulu nakuiaca kazi nawona ngumu mana ndo kula yangu navile navyo Iona kazi ya ufugaji inaweza kulipatu lakini kulingana namajukumu nilio nayo uwa nashindwa kuka nyumbani waweza nipa ushaurigan mwenzio kwajina badru f kutoka ug nitafurai ukinijibu asante
Ufugaji ni kaz na inahitaji umakini sana umpte mtu Unae mwamini. Kwa ufupi Kama utaweza karibu tufanye kaz nasi. Tutakusimamia. Kwa maelewano nafuu. Karibu🙏 Wasap namba +255765467484 kwa wasap tu.
Andika you tube jinsi ya kulea vifaranga by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA taratibu. Tiba asili kwa vifaranga hapana angalau wafike mwez
Endelea Kujifunza zaidi ufugaji kuku, kulea vifaranga, magonjwa, dawa za kuku, mbinu mbalimbali za ufugaji kuku, tiba asili, chanjo za kuku pia. Video zote zipo
Miguu kua yellow usababishwa na mambo 2 la 1. Ni urithi yaaani vinasaba (genes) au 2. Ulaji wa mahindi kwa wingi yaani nafaka za mahindi kwa wingi 👉Japo haina madhara kwa kuku🙏
Naomba munifahamishe sehemu nzuri namaanisha mazingira mazuri ya kufuga kuku wastawi bila bugdha mahitajj ya vyakula ili update mifugo mingi na bora Mimi ni mgeni nataka kuanza ufugaji naomba msaada
Karibu kwenye ufugaji naomba ufuatilie somo hili👇 mambo ya kuzingatia ili upate mbegu bora ya kuku w kienyeji. Unapo anza kufunga ua-cam.com/video/N-DBOzac8pU/v-deo.html
Shukran mungu atupe hekma namaarifa akustiri tuzidi kunufaika zaidi kupitia mafunzo yako amini 🤲
Amina✍️🙏🏿
Naomba namba za simu
Nahitaji vifaranga hivyo
@EdithNdalichako wasap+255765467484
Safi sana boss wangu nazidi kupata elimu ya fugaji
🤝 pamoja
Elimu nzuri sana
Tupo pamoja ndugu
Somo Zuri sana, Mungu azidi kukubariki
Amina KUBWA ndugu nawe endelea kubaki na agalus tv 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤝
Shukran kijana, somo ni zur sana sanaa sana. Je vifaranga vinapewa status mpaka wakifikia umri gan
Asante sana ndugu. Hadi wiki 6 kisha unàanga wachanginyishia na grower kufika wiki 8 .utawapa grower tu
Njia nzuri sana hii kwa waoanza ufugaji na kuku wachache
Sana🙏🙏
Nipo Zambia,nimeanza kufuga kuku baada ya kuingia utube na kuiona channel ya Agalus,vema na shukrani kabisa.changamoto vifaranga wangu wadogo wanazima njia ya haja kubwa na wanakufa sana,natumia dawa ya sulfa..nachanganya na antibiotics,lakini matokeo bado si fresh,usafi wa chumba na kutoa maji ya kutosha umezingatiwa sana,naomba suluhu ya kitaalam.
Pole Sana ndugu. Ufaham uo ugonjwa vizuri kupitia video hii
ua-cam.com/video/6Din7RoCjMs/v-deo.html
Vifatanga wamevimba nundu kwenye masikio dawa ya asili ya kuyibu ni hipi msaada tafadhali
Sawa ya asili ya vinundu kwenye macho paka mafuta ya mawese penye nundu atapona kwa mda mfupi tu
Tafadhali mafuta ya Mawes ni gani/ni nini.
Mnapatikana wapi? Na je ninaweza kuja kununua kuku kwako? Napenda sana masomo yako
Ahsante Sana, nimeanza kufuga na hili SoMo litanisaidia Sana, matamani kuwa na kuku wengi
Karibu sana Mungu awe nawe🙏🙏🙏 Katika ufugaji wako
Ubarikiwe, naomba msaada dawa Kwanza kwa vifaranga asante
Video hii itakusaidia Sana
ua-cam.com/video/bj5xRWqzhhM/v-deo.html
Waoh. Asante sana.
Barikiwa pia
Hongereni sana. Mmefuzu vizuri sana, nitajaribu. Asante sanaaa
Asante nawe kila la heri 🙏
Good kwa elimu umetupea tuhangalilie sungura
Pa 1🤝🤝
Asante sana barikiwa
Amina ndugu nawe pia
Ahsante kwa elim hii GOD bless you
Amen to you
Somo nimelipenda sana. Asante
Narikiwa sana🙌
Asante kwa somo zuri mm nataka nianze tafadhali Bushoke mkono
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji
Asante kaka lengo langu nikitaka nianze kufuga kuku Tena wawe wengi, nashukuru kwa somo lako
Barikiwa Sana ndugu
Asante nimepata elimu vizuri san
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Ahsante
Tupo pamoja
Asante. Santa. Nimejifunza. Kitu
Barikiwa sana🙏
Nashukuru sana Kwa somo lako nitalifsnyia kaz
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji
Hongera sana kwa hilo somo,,mungu akubariki .Nikona swali ,,sasa ukifugia uyo kuku kwa siku nne bila kumpa chakula,,je hataweza kufa ama kupatwa n magonjwa?asante
Hawez ndugu. Barikiwa pia
Ubarikiwe sana na Mungu
Amina ndugu barikiwa pia
Ubarikiwe samo zuri
Pa1🤝
Asante sana kwa mafundisho mazuri.
Tupo PAMOJA NDUGU
Asante sana kwemsada elimu nzur
Barikiwa pia
Mungu akubariki Sana.
amina
Like this one nitakuwa mfugachi
Welcome
asante kwa SoMo zuri ukimuyangaya vifaranga kitu Cha Kwanza vifaranga unaanza kuwapa chakula gani
Stater ya vifaranga cha dukani
Asante kwa somo nitafanya
Poa
Thank you for your advice brother
Your welcome
Some lako nimelipenda ubarikiwe sanaaa
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
Nashukulu kaka kwa somo naitaji kuwa mfugaji mkubwa wa kuku wa kienyeji.
Karibu sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii
Asanten San. UK vizur
Pa1🙏🤝
Asante saana kwa hunielimisha kuhusu kulea kuku asante
Ok kuhusu kulea vifaranga somo hili 👇ua-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/v-deo.html
ila kwa maelezo zaidi tuwasiliane wasap tu.
+255765467484
Good,wengi hatujui
Hakika ndugu
Asante kwa funzo mazuri
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿 tupo pamoja
Ubarikiwe kwa some zuri
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
Asante kwa somo zuri sana ,swali naomba unieleze jinsi ya kutunza mayai kabla yakumwekea kuku kulalia
Sawa ndugu
Sawa ndugu
shukran kwa somo. ubarikiwe ndugu
Amina Kubwa🙏
Japo napata taalifa leoo ngoja nijarbuu
Njia ya kuku kutaga kwa mapemaa tafadhar naombaa msaadaa
Karibu sana
Very nice advise
Welcome🙏
Somo zuri sana nitajaribu tu.
Karibu sana🙏 Kwenye hii mbinu
Nashukuru kwa somo zuri
Tupo pamoja sana ndugu
Actually May God bless you,I want to start
Amen 🙏🏿 Your welcome
Asante kwa maarifa
Barikiwa sana Ndugu
Nimeelew kaka asant kwa somo
Pa1 sana, 🤝🤝🤝
Nineshukuru sana kwa somo zuri
Barikiwa Sana ndugu
Asante sana bro
Tupo pamoja ndugu
Shukran ❤❤
Barikiwa pia ❤️🔥🙏🏿
Somo zuri, asante
Barikiwa pia. Tunakutakia utekelezaji tu
Thank you for lesson
Your welcome
Good hakili Mingi
Pamoja ndugu
Good thank you
Welcome
Ni elimu na ujuzi tosha kabisa 👍
Tupo pamoja ndugu
Nimefurahi sana kuanzakujifunza ufugaji bora wa kuku,nawaombea Mungu awazidishie maendeleo ilinasi tupate faida juu ya kukuwa kienyeji nazidikuananya ilinipate elimu
Karibu🙏🙏🙏🙏Amina
ASSALAMU ALAIKUM wabatakatuh
Mm
nategemea kazi yadereva na ningependa kuwa mufugaji nimejaribu maranyingtu kwa kutumia wenzangu lakini sajafaulu nakuiaca kazi nawona ngumu mana ndo kula yangu navile navyo Iona kazi ya ufugaji inaweza kulipatu lakini kulingana namajukumu nilio nayo uwa nashindwa kuka nyumbani waweza nipa ushaurigan mwenzio kwajina badru f kutoka ug nitafurai ukinijibu asante
Ufugaji ni kaz na inahitaji umakini sana umpte mtu Unae mwamini. Kwa ufupi Kama utaweza karibu tufanye kaz nasi. Tutakusimamia. Kwa maelewano nafuu. Karibu🙏 Wasap namba +255765467484 kwa wasap tu.
Asante sana kwa somo zuri
Asante sana Ubarikiwe🙏🙌
Funzo zuri sana.
Pa1🙏🤝
Asante nimejifunza kitu je kuku akianza kuvimba macho na umeshampa dawa ya mafua unafanyeje
KWENYE MACHO UKIFUNGUA KUNA VITU VYEUPE AU
Nimeipenda
Barikiwa Sana ndugu
Nimelipenda somo lako la ufugaji kuku wa kienyeji.
Niko Mza Tz.
Hongera Sana ndugu karibu tuzid Kujifunza kupitia channel hii
Nimelifurahia somo zuri.
Barikiwa pia
Mungu akupe kaul thabit il uendlee kutoa som zur zaid
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
kipindi hiki kinapatikana lini mimi ndiyo nimekiona sasa hivi
Hii inakitu safi 👏
Barikiwa Sana ndugu
Asante kwa masomo na marifa. Nitaaza kufuga kuku kienjeji
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji. Na Endelea kufuatilia masomo mengine ktk channel hii Kuhusu ufugaji kuku utajifunza mengi
Asante kwa somo zuri kuku ukinyanganya vifaranga halafu ukamnyima chakula ck tatu hawezi kufa na njaa
Hawez Amin ivyo 🙏
Asante kwa darasa nawezaje kupata vifaranga au kuku
Upo wapi ndugu
Pamoja sana
Barikiwa
Tunashukuru kwafaids
Pa1🤝🤝
Habari kaka unapatikana wapi... Asante sana kwa somo lakoo
Barikiwa Sana ndugu
Thank you that is a very good lesson i like it God bless you.
Amen🙏
Good lesson
Welcome🙏
Asante kwa somo
Barikiwa🙌
Thanks alot
Be blessed
Thanks.a very good tuition
Be blessed🙏
Elimu nzuri sana
Barikiwa Sana ndugu
ELIMU nzuri sana
Pa1🙏
Maarifa mazuri sana
Hakika🙏
Allah akubarik kwa SoMo laki mashaallah
Amina ndugu nawe iwe heri pia
Naomba elimu kulea vifaranga bila mama yao...pia bila kutumia madawa ya dukani....
Andika you tube jinsi ya kulea vifaranga by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA taratibu. Tiba asili kwa vifaranga hapana angalau wafike mwez
Hili somo nimelipenda sana
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji
@@AGALUSTV Asante sana
Endelea Kujifunza zaidi ufugaji kuku, kulea vifaranga, magonjwa, dawa za kuku, mbinu mbalimbali za ufugaji kuku, tiba asili, chanjo za kuku pia. Video zote zipo
Nashukur kwa ushauri namiongozo.mbarikiwe.je hamna vitabu kwa ajili ya ufugaji wa kuku.
Vitabu vipo
Asante sana.
Pa1🙏
Kitabu pesa ngapi@@AGALUSTV
Asante kaka
Pa1🤝🤝
Nimependa sana ninapenda KuFa nga kuku nitajalibu asante
Barikiwa sana🙏🙌
Ni somo zuri sana
Barikiwa pia
Asante nimejifunza naweza kupata kitabu wap nipo mtwara mjin
Ucjari tunamalizia kukiandaa
Unafundisha vizuri sana,je vipi whatsup group
Asante tupo pa 1 kwa wasap bado kidogo ila tupo njiani🙏🙏
Ufugaji safi
Hakika ndugu
Asante nimefurahiasomo nitaendeiea kufatili mwalimu
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
Napenda nijifunje zaidi
Karibu sana🙏
Nice
Una uza vifaranga upatikana wapi
Kama unahitaji utapata tu
Pa1🤝🤝
Good
Thank you🙏🙏
Nimependa
Barikiwa sana🙏
Asante kwa somo lako, ninaweza kununua mayai ya kuku wa kisasa?
Hayata totolewa
Asante mkuu
Pa1 🤝
Somo nzuri hio, ningetaka kujua chenye inafanya kuku wawe na miguu ya yellow,
Hatuja elewa fafanua vizur kidogo una maana rangi ya miguu kua yellow kw muonekano au
@@AGALUSTV Hello, ndio namaanisha kwa maonekano kwa miguu na kwa mdomo ni yellow,
Ok tumekupata ngoja soon🙏🙏 kua na subira kidogo
Miguu kua yellow usababishwa na mambo 2 la 1. Ni urithi yaaani vinasaba (genes) au
2. Ulaji wa mahindi kwa wingi yaani nafaka za mahindi kwa wingi
👉Japo haina madhara kwa kuku🙏
Nashukuru sana,ntawapa mahindi kwa wingi.
Asante kwa elimu nzuri
Barikiwa🙌
Naomba munifahamishe sehemu nzuri namaanisha mazingira mazuri ya kufuga kuku wastawi bila bugdha mahitajj ya vyakula ili update mifugo mingi na bora Mimi ni mgeni nataka kuanza ufugaji naomba msaada
Karibu kwenye ufugaji naomba ufuatilie somo hili👇 mambo ya kuzingatia ili upate mbegu bora ya kuku w kienyeji. Unapo anza kufunga
ua-cam.com/video/N-DBOzac8pU/v-deo.html
Somo safi lakini nauliza swali mm nina kuku kwenye mazingira yenye jua Kali au joto halafu wanamlalia mayai wanaacha bila kutatoa nitafanyaje hapo?
Engineer machemko from 🇹🇿 nimekubari uzalishaji wenu wa kuki
Barikiwa Sana Engineer
Nitaasa kufuga asante
Barikiwa
Thanks sana
Pa1🤝
Asante .
Barikiwa
Asante
Pamoja🤝