Ugonjwa wa Mafua ya kuku yanapozidi unaweza sababisha vifo kwa kuku wako. Hivyo ni vizuri ukazifahamu dalili za ugonjwa huu mapema ili uweze kutibia kuku wako mapema.
Dr naomba kuuliza vifaranga wangu wanakama mwezi mmoja wameshusha mabawa kama wamebeba makoti hi itakua ugonjwa gan? na niliwapa chanjo ya ndui ila wengine wanavidonda mpaka macho yameziba.
Bro! U'v provided a very good lesson, keep on updating us, be blessed
Oooh thank you 🤝🤝🙏🙏
Ahsante sana Kwa SoMo zuri,ubarikiwe
Amina ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia
Asante kwa kutujuza zaidi magonjwa ya kuku na Tina zake
Barikiwa🙌🙏
Nimekuelewa na Asante Sana kwa somo
🙏🙏🙏🙏🙏
Thanks 👍 for your advice in poultry treatments
Welcome🙏🙏
Well done, advice taken
Welcome🙏🙏🙏🤝🤝
I like the lesson ,
Welcome🙏
Masomo mazuri nitafanyia kazi teacher
Karibu sana ndugu
Somo zur
Pa 1 ndugu🙏🙏🙏
Umenisaidia sana kwa hiyo elimu
Tupo pamoja ndugu 🙏🏿
Hongera Sana kwa masomo yako mazuri nakufuatila Sana
Pa 1 sana ndugu
Mani Double nimefurai na somo hilo.
Barikiwa sana🙌
Somo zuri
Nimelipenda sana
Asante
Pa 1
Pa 1
🙏🙏🙏
Dr naomba kuuliza vifaranga wangu wanakama mwezi mmoja wameshusha mabawa kama wamebeba makoti hi itakua ugonjwa gan? na niliwapa chanjo ya ndui ila wengine wanavidonda mpaka macho yameziba.
Pole sana Ndugu kuhusu Ndui wazaidie kwa tiba asili tafuta video ya jinsi y kitibu ugonjwa WA Ndui by Agalus tv
@@AGALUSTV shukrani
Pamoja ndugu
Je unacganganya dawa zote au mojawapo?
Dawa ipi apo ndugu maana iyo coment inahusu ugonjwa wa mafua ya kuku dalili
Jaman naomba msaada, kuku wangu amepalalaizi upande mmoja. Mwanzo alikuwa mzima, but kuamka tuuu amekuwa hawezi kutembea na analalia tuu upande mmoja
Mpe OTC 30%
Dr naomba kuuuliza hivi niungonjwa gani ambao husababisha kuku kushindwa kutembea miguukukosanguvu na kupungua uzito kwakuku hatakama kuku anakula nakutchongoka kwamfupa ule wakifuani natibayake Nini?
Vp madini ya mifupa na chokaa kw wingi wanapata?
Lkn bad cjajua n daw gan y kuwek ili niweze kuua bacteria kweny band lang
Hatuja kuelewa una maana ip?
Kaka nina swali kuku wangu wana kohowa ila hawajavimba macho tatizo ni ipi
Ni kikohozi tu apo ni dawa za kikohozi
@@AGALUSTV jambo mwalimu , kama dawa gani
Jina LA dawa unataka au
Umetumia muda mwingi ktk dalili kuliko tiba....
Ok pa 1🙏🙏
Bacteria anadhibitiwa vipi ?
Fuatilia somo hili dawa za kuku
ua-cam.com/video/DiG5lAtaZ88/v-deo.html