Aisha umekua kwa serikali kutoka kitambo umefanya nini? Wewe ulikua kwa Raila ulipoona Raila atashindwa uliruka huko ukabadilika ghafla ruto uliye kua ukimtukana akawa mzuri, wewe unajutafutia pekeyako tu na sio watu wa kilifi angalia maisha ya watu wako yalivyo?? Unaskini hata maji ya kunywa hakuna watu wanateseka wewe uko sawa. Tu
Kwani kenya ilikuwa wapi nalamu ilikuwa wapi maneno mengi na hakuna kitu hapo vijana wajinga walima wapi ata hawajui new constitution inasema nini niwanyika hawo nimaleso tu kwaviuno
Jumwa is a real leader, clean in her heart and no jealousy on any one.Jameni!! Ruto weka kazi mahali .
Hasante our sister hon.Aisha Jumwa am sure you will be fixed somewhere .....🙏🏼
Waaaaaaaaa,president Ruto tena
President Ruto tafadhali muangalie dada Aisha Jumwa umupangie kazi katika sehemu yeyote juu amesimama na ww tangia mwanzo.
Alikupa ngapi Ruto je sema aisha juma cici hatujapata hizo amekupa
Speaking out of anger.
Sasa awa jameni
Hawa viongozi wa pwani ni wampumbavu sana,hawakusoma,hawajielewi, angalieni mashamba hayana hati miliki,umeme hakuna, barabara hakuna,
Ingawa hawakusoma lakini hawalali inje kama nyinyi hata cho hamuna nakazi zote mwaja tafuta huko ambako hawakusoma
President Ruto ndiye first president in Kenya since independence to visits all places and rural areas in Kenya in general.
Wewe joho achana na serikali ya ruto itakuja kukukosesha kura pwani jitoe kwa huo uteuzi
Wait 2027 all this being elected by ruto will miss vote's next election, ruto knows what he's doing
Baba never fails. Deni ya Ruto tunayo jamii ya wajaluo.....
Wee ni ng`ombe tu Aishaer
Ngombe ya mama, kiburi chini,😂
Mwadanganywa nyinyi wananchi poleni hiyo siasa inazungumzwa hapo ni ya umasikini
Tunataka mfanye kazi tumechoka na kelele zenu
Huyu thought she was sent home,what she doing now akh hii nchi
kwa mara ya kwanza kusikia mungaro akiongea pont
Aisha umekua kwa serikali kutoka kitambo umefanya nini? Wewe ulikua kwa Raila ulipoona Raila atashindwa uliruka huko ukabadilika ghafla ruto uliye kua ukimtukana akawa mzuri, wewe unajutafutia pekeyako tu na sio watu wa kilifi angalia maisha ya watu wako yalivyo?? Unaskini hata maji ya kunywa hakuna watu wanateseka wewe uko sawa. Tu
Kwani kenya ilikuwa wapi nalamu ilikuwa wapi maneno mengi na hakuna kitu hapo vijana wajinga walima wapi ata hawajui new constitution inasema nini niwanyika hawo nimaleso tu kwaviuno
Chuma uko nachooo