Yaani katika wachekashaji nyie ni namba moja mnawashinda woote huo ni ukweli.yaani mna vipaji sana hongerani sana.yaani wote nyie na sarafina wenu mpo vizuri
Hiki kikundi cha uchekeshaji cha Mizengwe ni kizuri, kina wasanii wenye uwezo mzuri, mimi ninawapa hongera sana,ila tatizo kimetengewa mda mfupi Sana wa kurushwa kwenye Tv, chonde chonde tuongezeeni mda na siku, ikiwezekana kiwe kinarushwa hata mala mbili kwa siku, mwisho NAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA.
Hahahaaaa,,kimbendule hili jina ukilitaja mara nne tano si unapata cancel hahaaaa,,sumaku bhna ila hela haina haina shida teheeeeeeee,kweli pesa sabuni ya roho
We Sumaku si mchezo,kwa kipaji hiki.mkwere nae big up sarafina upo vizuri na mzee matata nae safi yaani mpo vizuri wote.
Pongezi kwa kazi mzuri mizengwe from Kenya nakuru.
nawependaga sana mizegwe mko vizuri
Yaani katika wachekashaji nyie ni namba moja mnawashinda woote huo ni ukweli.yaani mna vipaji sana hongerani sana.yaani wote nyie na sarafina wenu mpo vizuri
hahahaha mizengwe nomaaa, jaman kipind chenu kinatuburudisha pia kinatuelimisha watu walika zote, ombi kwenu tunaomba mrefushe kidogo igizo lenu nifupi mnooo.
Hiki kikundi cha uchekeshaji cha Mizengwe ni kizuri, kina wasanii wenye uwezo mzuri, mimi ninawapa hongera sana,ila tatizo kimetengewa mda mfupi Sana wa kurushwa kwenye Tv, chonde chonde tuongezeeni mda na siku, ikiwezekana kiwe kinarushwa hata mala mbili kwa siku, mwisho NAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA.
Hatr
haswaaa
Ni kweli hata me naona hvo hivo walekebishe
Big up sana mkwere napenda sanabmizengwe mnafundisha
yani nyie mizengwe ni nomaaaaa balaaaa big up sana
Pongezi Wana mizengwe nyote,mko juu tu Sana ,Odende Jacob from Kenya.
😂😂😂😂 mtu kabanwa adi kuleta ela ya barua 😂😂😂 ila huyu ba mkwee mmmh hatareee😂😂😂 mamamaeeeh khaaaaaaa 😂😂😂😂😂
Kutok Dar slam
Nawakubar Sana
Sema kitu kimoja
Mnapunja scene
Eti kaenda english course tena ya kichina...🤣🤣🤣
Hiii ela mmeweka nyinyi ama imedondokea bhat mbya 😀😀😀
“Hii hela mmeweka nyinyi au imedondokea?”
😂😂😂😂😂
Hahahaaaa,,kimbendule hili jina ukilitaja mara nne tano si unapata cancel hahaaaa,,sumaku bhna ila hela haina haina shida teheeeeeeee,kweli pesa sabuni ya roho
ahahahaha sumaku nakukubali sana
yani mizengwe kiboko mkojuu sana...
Nawapata sana
Nimekimbia hadi nimepitiliza nyumba ya pili ndo nimerudia 😂
We mzee xifia baba
Chereko! chereko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
iko pow sanaaaaa mkwele ni nomaaaaa
Mtu mwenyewe unaongea kama uko kwenye pochi. 😂😂😂😂
Mipango inaenda😂😂
nampenda mkwele
haha hahaha ameanza kukopa kwenye barua
Ally kelv kevo j
Chereko chereko😂😂😂
Hahaaaahaaaaaaa baba kiboko jina ukitaja mara 5 unapata nn........,,,
Bg San
Mkwere ni shida
mizengwe big up
Wee mwenyewe umebaki na mia saba
Hahaaaaah eti aah! hii mbona ina nembo ya jeshi tena haaaah.
Kipindi hiki nakipenda sana. Ila kimepewa muda mfupi sana !! Tunashauri muongeze muda jaman
bahasha yenyewe haina gundi sijui kama hajalamba hela nyingine😁😀
sumaku noumaaa
mizengwe muko sawa ila tunataka ilo mpya
iko powa sana.
me ndo yule shusha tugawe 😁😁😁
Tungu Izengo poa
Huyu mzee ni pesa tu na mwanae hana msimamo. Somo zuri mno. Kijana anabanwa hawezi jitetea
Hahaha😃😆😆😃😃😃😃 nimeipenda sana
mizengwe naipendasana sana
poa😁😁😁😁😁😁😁
kwakweli mizegwe naipendasa nn👍👍👍👍👍👍👍
Hiki Nikundi Ambacho Aktetereki Ongera Sana
Nzuri
Cherekooo
oyoooo
jaman ww mzee unafanya kazin gan mbona kila anayekuja anakasoro ila huyo wa simiyu ni kiboko
Rena Sebastian hongeleni
😂😂😂😂nzuriiiii
Ata Kama unanidanganya unidanganyi Sana mkwere noma🤣
Ahaha Unaleta barua hauweki ata mia pamoja
Sumaku nomaaa hahaha
safi kaka unatambua kuoa si interview kama jamii zipo hivyo basi tambua dunia imekwisha
Hahahaha
Safi sana"kazi zuri kabisa
yani.safina.unanifrahisha.sana.mpovizuri sana
Eti hata kama unanidanganya hunidanganyi sana
Salute
hahahaaa jamaahuyu noma sana duuu
Nawapenda sana mizengwe
Mkwere na wakubali
nimewapenda mko powa
Mizengwe juu
Katuni
hahahaa... uyo baba ni shida, simiyu to dar is too far
Mkongo noma
Maringo noma sana😀😀
Nimecheka wallah
Smaku sazengine mkorofi😆😆😆😆
hhhhhhh eti malingo sogea uku nisije kukata bahati mbaya
Huyu mwanangu nimemsomesha hada tuition
si umemkubalia kwa saabu hilo panga
watu bana
et sogea huku damu isikurukie😁😁
Safi sana
hahahahahahaha SHUSHA TUGAWE
saruti sana mko poa
mkwe kama huyu hafai 😁😁 duh
baba mkwe ni sheeda aisee duuh
Mtt anavirungu km baba yke
dah nilitamani iendelee
😄😄😄😄
nishidaa
mizegwa naikubali sana mkuju hogera kwakazizuli
hhhhhh shusha tugaweeeee
Mkwereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Jamani
mshua kachukua mahari tayar
noma
nce
nice
hhhhhhh eti unaongea kama upo kwenye sifiria
Hawa hawajawahi kuchujuka tangy nimeanza kuangalia ,miaka hiiiio
😂😂😂😂😂😂👍
haha
mzuri
mzuri
Hello good iko poa
Hans sifa
wakwe km nyinyu ninooma
mborodita idris
hahahaha
Dh peaa za kushawishi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😆
😂😂😂😂😂😂😂
May
Mpmb
N
🤣🤣
Good job