WATU WANAACHA KUJADILI MAENDELEO WANAKUJADILI WEWE HUONI KAMA WEWE NI MTU WA MAANA SANA'PASTOR MGOGO
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
UA-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Amen 🙏 napenda injili yako inakuwanga very powerful kweli nyundo imeniunda vilivyo 😂😂😂😂😂
Amina
Yaan nakukubali sana Mchungaji,ila sijuhi ni lini utafungua Tv ambayo itaweza kuonekana kwenye Ving'amuzi hapa Tz?
Amen😂😂😂amen🎉
Hallelujah hallelujah
Pst: hiyo ndiyo ukweli mchungu! Utufahamishe!!! Tunapokea! Amen!
😂😂nabarikiwa sana, YEHOVA MUNGU akulinde uzidi kutubariki n kuokolewa
Ubalikiwe sanaa
🎉🎉ameee
Ameen❤
Barikiwa sana
Kweli una sema mtumishi wa mungu
😂😂Ukweli mchungu🙏🙏
Uakika apo upo
Ameeen 😂😂😂😂👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏
Mungu akupe pesa ufungue tv 📺 ya ko tz chaneli yako
Ukweli mtupu mchungaji
Nc
Ohh my God
😂😂😂😂😂tunasomana
Hahahaha aaaaaaa
😂
😂😂nabarikiwa sana, YEHOVA MUNGU akulinde uzidi kutubariki n kuokolewa