Utovuadamu tuuu Ndo nini kukumbatiana ivoo Wari wazimaa msonahaya Jirekebisheni sio vzuri ivo wanawake wa kiislamu na wazanzibari wenye tamaduni na mila zao za kujitunza na kujisitiri
Mijari mitovu adabu...hawana wazee hawa ??? Hatari mitovu adabu hii Yawashwa si yaoane tuh..hakuna mafunzo yyte kwenye michezo hii...mafunzo yamo kwenye qur ani na sunna ....huu ujinga wakasida,michezo hamna ishu
Nakubali kaz wadau wng bg up
Kweli ukiwa msanii wakosa haya tena hata kuogopa Allah huogop
Hashuo la mbirimbi kuzaa kigogon🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hhhhhhh
Jaman mm nataka kuoa mpemba ambae yupo tayari,,,,,,,,,
Watuwafanye nanyie mufanye,kazihizo waachieni wabara wale wasionadini,ambao niwakristo,wafaye hivyo,nasio nyinyi wapemba,aunyie asliyenu sio wapembanyie,mwawaigawao
Wapumbavu tu cjaona la kuchekesha apo
Utovuadamu tuuu
Ndo nini kukumbatiana ivoo
Wari wazimaa msonahaya
Jirekebisheni sio vzuri ivo wanawake wa kiislamu na wazanzibari wenye tamaduni na mila zao za kujitunza na kujisitiri
Wallah
Hakuna uchekeshaji hapo hata kidogo munadhalilisha Mila na desturi za Kizanzibari
🤭🇰🇪 mbona mwasema maneno yautaraa.huo ni utovu WA adabu .heshima nduzangu nikitu cha bure
Jamani mwauharibu upemba hizo sio Mila na desturi za kipemba.. Jamani mwautia dowa upemba.
nukweli kabisaa wabara tuiache tu na tusiige tamaduni hizo.
Khalifa madawa au...
Mtihani
Muwaombe radhi ao wapemba kwamnavowadhalilisha
Astaghafirullah ndo upumbavu gani huu
Ila hii unguja sio pemba
Wanikumbatia tafikir Fundi charahani
Zogo kwenye shikio
hashuo tuu ndo kichekechesho gn ss icho msotafuta kaz mkafanya
Pemba na zeuri hizi wapi na wapi?
Umenikumbusha nimeagizwa sabuni
Wacheni ujinga nyie
Hahahh
Mutacherewa Sana hamuna mpango wowote Sanaa si mchezo nyie ! Km hamuna kazi kapigeni matuta msaani
C wapemba hawa
Hao ni wa Pemba wenzenu
wapumbavu wakubwa nyie
Mijari mitovu adabu...hawana wazee hawa ??? Hatari mitovu adabu hii
Yawashwa si yaoane tuh..hakuna mafunzo yyte kwenye michezo hii...mafunzo yamo kwenye qur ani na sunna ....huu ujinga wakasida,michezo hamna ishu
Kasomeniii wacheni upumbavuuuu
Stupidness
🤣🤣🤣🤣
ua-cam.com/video/BPV0nppQLTQ/v-deo.html