Umeonaaee huyu mwingine sii rizk jamani yani sijui nani alimpa hiyo nafasi haimfai hata kidogo uongeaji wake hauna hata mvuto lakin cheki semaji letu la kisomi
Kwa hamasa uliyoitoa na kwa hali waliyopitia Pacome na Aucho, na kazi waliyokuja kuifanya kiwanjani, ilikuwa na haki ya kuzimia kwa furaha Kaka Aly Kamwe. Hongera sana kwa ubunifu uliotukuka. Viva Yanga
Mungu ametenda na tunamshukuru yeye pekee kwa kuwafanya madaktari na wauguzi ndugu ,marafiki, wanayanga na familia yako kukupa huduma na faraja za kukurejeshea afya yako. Tunaendelea kukuombea uwe buheri wa afya daima.
IVO IVOOOOOOOO!!!! ALLY KAMWE,WEWE NDIO SEMAJI LA UKWELI,SIO SAWA NA YULE BWAKUBWAKU WAO.MAANA WEWE NI SEMAJI LENYE AKILI,NA UNASIKILIZWA NA WATU WENYE AKILI,NA UNAELEWEKA VIZURI.YANGA INAWAUMIZA SANA,MAUMIVU HAWAYASEMI MPAKA WATASEMA TU.
Hongera viongoz, players na idara zote,,bt pamoja na malengo ya game ya Cairo tukazngatie kukwepa kupata kadi zitakazo pelekea kukosa mechi zijazo za robo fainali❤❤ young Africans
Tunao lipia kadi na wenye kadi za uwanachama like nyingi hapa sisi ndio wenye timu sio kelele halafu huna kadi ya kidigitari kaa kimya usiumie kwa lolote wala usifurahi kwa lolote
Uyo mwandishi alieuliza swali la mwisho chombo anachofanyia kazi bado kimemuachaa mpaka sasa aijampa barua ya kumuachisha kazi daah hii kweli Tanzania yangu yenye baadhi ya waandishi waliofeli elimu zote za tumboni na duniani asa swali gari yaani eti ulijisikiaje pindi umezimia au utazimia tena kama ikitokea umefurahi tena😅😅😅😅
Alie furahi kumuona Ally kamwe karejea akiwa na Afya njema weka leki hap 🎉🎉
😂 11:24 11:29
Semaji la afrika hilo alikamwe mungu azidi kukupa afya njema
Swadakta semaji kuumwa ni Ibada Daima mbele nyuma mwiko
Nimefurahi kumsikia msemaji wetu akiongea na mungu akubariki
Semaji kama semaji mauwa yako ally wetu mungu nimwema umeimarika mapema inshallah tutafika mbali sana siyo kama roporopo lileshoga liimba taarabu
Watu watateseka sana mbele ya mwenyekiti wa wasemaji daima mbele nyuma mwiko
Msemaji katulia... SIO KATUNI KAMA WA UPANDE WA PALI..... COMEDIAN sana Ahmed Ally.....
Umeonaaee huyu mwingine sii rizk jamani yani sijui nani alimpa hiyo nafasi haimfai hata kidogo uongeaji wake hauna hata mvuto lakin cheki semaji letu la kisomi
Mungu akutunze mwanangu pole na hongera kwa yote
Kwa hamasa uliyoitoa na kwa hali waliyopitia Pacome na Aucho, na kazi waliyokuja kuifanya kiwanjani, ilikuwa na haki ya kuzimia kwa furaha Kaka Aly Kamwe.
Hongera sana kwa ubunifu uliotukuka.
Viva Yanga
Mashaallah semaji letu lipo fiti sasa unguruma semaji unabaya ✌️✌️✌️✌️✌️
Allah akupe afya njema akuepushie shari zote
💯💯🔥🔥💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚 Mungu akupe Afya njema Mungu akulinde akupe maisha marefu semaji
😂😂😂😂😂"nimezimia nayo na nimeamka nayo" hii nimeipenda ukovizuri sana mwenyekiti wa wasemaji African nzima😂😂🎉🎉🎉chukua maua yako💛💚💛💚💛💚
Asante mungu kwakunturiza semaji wakimataifa ❤❤❤❤
Mungu akubariki uendelee kuitumikia klabu yetu pendwa... young Africans sport club
semaji liko vizuri atuzungumzi habari za team nyingine
Alhamdulilah kuona umepona ally wetu tunakupend sana❤
Mungu asaidie timu yetu ifike salama CAIRO tupate ushindi pia
Mimi kama shabiki wa young African nimefurahi kumsikia mwenyekiti wa wasemaji African
Good sana kiongozi 👑👑👑👑👑
Viva YANGA Viva Wananchiiiiiiiiiiiiooooooh 💛💚🌟⚽🦵💪💯🔥 Let's go ahead
SHIDA YETU NI TUNDU TU NA TUMELIPATA
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Tukutane Final🥇🏆
Tunaomba mboreshe sauti kwa wanaouliza maswali. Mnaweza mkawa mnawapa Mike za kuvaa au vipaza sauti. Kwa kifupi boresheni sound system.
Supreme Speaker
I second you
Hongera sana Mtumishi wa Bwana. Mungu amekuheshimisha pamoja na wananchi. Viva Young Africans. Big up president Heris.
Mungu atusimamie Kwa hili jambo la kwenda kutafuta ushindi
Amen
Mungu ametenda na tunamshukuru yeye pekee kwa kuwafanya madaktari na wauguzi ndugu ,marafiki, wanayanga na familia yako kukupa huduma na faraja za kukurejeshea afya yako. Tunaendelea kukuombea uwe buheri wa afya daima.
IVO IVOOOOOOOO!!!! ALLY KAMWE,WEWE NDIO SEMAJI LA UKWELI,SIO SAWA NA YULE BWAKUBWAKU WAO.MAANA WEWE NI SEMAJI LENYE AKILI,NA UNASIKILIZWA NA WATU WENYE AKILI,NA UNAELEWEKA VIZURI.YANGA INAWAUMIZA SANA,MAUMIVU HAWAYASEMI MPAKA WATASEMA TU.
Kweli yanga ni timu kubwa imepiga mpira mkubwa Afrika imekaa dunia imejua Na Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua
Naipebda sana yang mpaka kufa kwang
Hii ndo tofauti kati ya msemaji na mropokaji😂😂🔥
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hongera viongoz, players na idara zote,,bt pamoja na malengo ya game ya Cairo tukazngatie kukwepa kupata kadi zitakazo pelekea kukosa mechi zijazo za robo fainali❤❤ young Africans
Good critical 💯
Especially Dr Aucho
Nakumbuka fainali ya mwaka jana alikosa
Wana nchi 💛 💚
Brilliant aly kamwe
We jamaaa kweli mwenyekiti 🔥🔥
Hakika malengo yatimie na ushindi tuupate syo ushindi tyuu ushindi mnenee, Amen🙏🏼🙏🏼💚💛 #nyumamwiko
Waaaaaaoooo hii idea ya live videoconferencing na wachezaji ooooh is amazing 👏
Yanga for lifeeee
Tunashkur mungu
Uuu mwaka eee n mwaka was kufosi matamanio yetu n makombe2 ❤❤❤❤❤❤❤
TUPO TEYARI MWENYEKITI WA AFISA HABARI AFRICA 🌍
Yanga mmetisha umenifurahisha yanga raha
Very fact msemaji wetu
Na tutarud na ushindiii naomba msave hii comment tukirud na ushind mkumbuke
Sauti chini sana
Very Professional hakuna kuleta uchale wala hakuna maneno ya kwenye khanga or kusema timu nyingine wewe unaongelea timu yako....🙏
Afadhali 💚💚💚
Daima mbele nyuma mwiko
semaji uko juu
Mpaka Muda huu hakuna HABARI zaidi ya Yanga...... Hata jana Mpaka leo hakuna VIEWERS huko kwa makolo😂😂
Sawaaaaaaaaaa mkuuuu
Naona kamwe anaunyerere furani Ivo💚
Mungu ni mwema,tulikumisi sana
Pole, Ally Kamwe semaji lenye ofisi
Mungu akubariki!
Namkubali Sana msemaji wetu
Chumaaaaaaa tumefurahiii
Kuna msemaji mmoja tu wa mpira ambaye ni Ali Kamwe wengine ni wachekeshaji
pole sana semaji letu
Very smary msemaji
Am Ahly atafungwa kwao,maana ameingia wooga
Nimefurahi kusikia mwenyekiti wa wasemaji akiunguruma
Tunao lipia kadi na wenye kadi za uwanachama like nyingi hapa sisi ndio wenye timu sio kelele halafu huna kadi ya kidigitari kaa kimya usiumie kwa lolote wala usifurahi kwa lolote
Aisee kweli, na mimi nikachukue kadi sasa, sina zawadi nyingine ya kuwapa wananchi zaidi ya kujisajili. Ule moto wanaowasha siyo poa
Yanga raha jamani.
Uyo mwandishi alieuliza swali la mwisho chombo anachofanyia kazi bado kimemuachaa mpaka sasa aijampa barua ya kumuachisha kazi daah hii kweli Tanzania yangu yenye baadhi ya waandishi waliofeli elimu zote za tumboni na duniani asa swali gari yaani eti ulijisikiaje pindi umezimia au utazimia tena kama ikitokea umefurahi tena😅😅😅😅
Yangaaaaa
Masha asha Allah Aly kamwe
Mashaallah una baya
Huyo bn anajua San sana
Semaji la wasemaji 🤩
tena nakumbuka semaji letu, ulisema tutaeda misiri tumeshafuzu, na kweli imetokea hiyo hongera kwa utabili wako
Semaji la yanga hauna baya 😂 💛💚
Jamaa kweli alizimapaka sauti imekuwa ya chini sana.
Siku ya supu kila mkoa iwepo eneo maalumu ya kupata supu ya timu yetu
Semajii
🔰🔰🔰🔰
Sauti ipo chini sana
Sogeza mbele dk 3 kuendelea ndo sauti ipo juu
Unatishasana semaji lawasemaji
Ngurumaaaaa
Nice
Akili nyingi mwenyekiti wawa semaji africa
Sauti yenu iko chini sana
Toa nondo semaji wewe unajuwa 5:36
💚💛💚💛💚
Chuma kimerudi mzigoni🎉🎉
🙏🙏🙏👍
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Pmj sana kamanda
Tumefrah kuona umelejea salama
Ally bhana eti wanapiga kiarabu huko kwao….😂😂😂😂😂
💚💛💛💛💛
Tulikumisi sana semaji yaan usipohutubia taifa hata cku Moja nlikuwa naona tabu sana
True!
Kuna tofauti kati ya MROPAJI wa Club na MSEMAJI wa club..you do NOT need kwenda Mlimani Primary School..sembuse Udsm..sijui IF anapajua!😢😂
waa mbie awo waupande wapili wajifunzekwetu
ukisikia sauti tu utajua hilo ndio semaji bora sana katika nchi hii amna lingine kama 🤣🤣🤣🤣🤣
Inshallah
SAUTI NDOGO MNOO
Mkumbusheni rugano islael Pancho na yule .msanii wa msauz
Yule comedian achana nae muimba taarabu wa msimbazi
🔥🔥🔥🔥🔥
Ahmed Aly jifunze basi kwa huyu dogo,wat u wamechoka katuni
🎉🎉🎉