@@masouddasi5988 utakuwa labda jina hulipati sasa click hiyo picha yangu ya logo utapata jina navoandika, au hilo pishi la vilemba click subscribe utakuwa unapata msg ya mapishi yangu kila nikiweka upishi mpia,
Waleikum salam , it seems that your pastry was still thick you should rolling it to get thin, very thin like samosa pastries and use rice flour more you use best result will get. Thanks.
Mashaalah tabarak Rahman. Asante dada
Mashallah shukran sana Allah aibarik mikono yako
Allah barik. Amin
MashaAllah nimejaribu jana vimetokea super asante sana
Ma sha allah shukran habibty
Mashallah i need to try this recipe 👏👏
Thanks
Mashallah
Masha Allah 😋😋
MashaAllah yummy.. JazakAllah khair sis
Asante sanaa naomba visheti recipe p/s
Salamu kutoka kwa aroma of zanzibar..Asante kwa mapishi mazuri
Shukran sister
mashalwaa nimependa Sasa hatutopika kainati tutafanya hizo nakuaminia
Masha Allah Ramadan Kareem my Queen.....
Mashaallah nzuri
Mashaa Allah yummy yummy 😋
MashaAllah nimezipenda
Ahsante dear
Maashallah nitajarib nami kesho inshallah pia nimetumwa salam zako na bi Aroma of zanzibar ndie kanielekeza hapa anakusalim na pia tunawapenda woote
Shukran habibty alaika salam, karibu sana . Nasi tunawapendeni pia hasa mkijaribu vakula vetu mnatupa moyo tufundishe more.😘
Mashallah vikemba rasmi
Thank u dear
So nice mashallah naomba vyakula vya skukuu mapema please
Wow will try this Thanks darling ♥️💋⚘🙏👏👏
You are welcome dear
@@queenshibaskitchen9130 mbona mm kupati yuyube
@@queenshibaskitchen9130 sikupati nikikusearch
@@masouddasi5988 utakuwa labda jina hulipati sasa click hiyo picha yangu ya logo utapata jina navoandika, au hilo pishi la vilemba click subscribe utakuwa unapata msg ya mapishi yangu kila nikiweka upishi mpia,
Masha Allah first time naona upishi mpya. Salam zako from Aroma of Zanzibar
Shukran habibty
aroma tup.juu
Shukran aunty kwa recipe ya kilemba, siku zote naitatuta recipe, Allah aibariki mikono yao
I mean Allah aibariki mikono yako, Ramadhan Mubarak
Mashallah basi leo niemufurahisha kwa vilemba,
Amin yarabi shukran auntie.
Asalam Alaikum i have try the recipe the taste was gud mashallah but they were not crispy like urs what could be the problem
Waleikum salam , it seems that your pastry was still thick you should rolling it to get thin, very thin like samosa pastries and use rice flour more you use best result will get. Thanks.
@@queenshibaskitchen9130 i guess that was the problem and i use corn flour coz i dint have rice flour thanks alot for your recipes mashallah amazing
maashaallah nimetembelea channel zote ila ww dada unajua kupika
Shukran habibty
Kaimati
VILEMBA dada sio kaimati haziko hivo
Maashaallah leo najaribu ntakutumia picha vp unaweza kufanya mapema zaid yaani sio lazima jioni kama vile kaimati @queenshibas kitchen
Unaweza kufanya hata siku moja kabla mpenzj
Siagi unatumia salted or unsalted?
Dear nikiandika siagi basi ni yakawaida tu ikiwa ya unsalted nitawambia in shaa allah usiwe na wasi.
😍😍😍😍😍💓
Kwa samli je waweza kukandia n kumelting n kumwagia juu?
Unaweza nimesema kwa video mbona skiliza uzuri habibty.
MashaAllah JazakaAllah kher, je naweza pia kuweka pistachio kabla zijakunja unga wangu? Au kwenye kuchoma zitanipa tabu?
Eehe zitatoka
kama sina unga wa mchele naeza nyunyiza unga wa cornflour?
Unaweza lakin wa mchele ndio best
Kitu gani ulichonyunyuzia juu aunt wetu?
Pistachio niezisaga kidogo
Tunaomba mafundisho ya baklava
In shaa Allah
Dada how much unga and butter do we need?
Habibty recipe ipo kwenye discretion below kuna kama ki aro kiduchu mkono wa kulia chini ya hiyo video kibonyeze utapata full INGREDIENT dear
queenshibas kitchen hata niko🙈thank you!
You are welcome darling