Jinsi ya kutengeneza ice cream nyumbani bila kifaa maalum cha icecream

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 375

  • @ASMRCUTTING01
    @ASMRCUTTING01 6 років тому +51

    Assalamu alaykum. Asante sana kwa recipe hii ya ice cream. Nimetengeneza na watu wote nyumbani wamependa👌😙😙

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 років тому +1

      its me only me Mashallah

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 роки тому

      Whipping.cream.ninini

    • @johnlevina9420
      @johnlevina9420 4 роки тому

      Vifaa nishingapi na vinapatikana wapi msaada jamni

    • @ellennyamanga3836
      @ellennyamanga3836 3 роки тому

      condensed milk ni nn na naipata wapi?

    • @nayrat6436
      @nayrat6436 3 роки тому

      @@sulemohd4812 unaeza kuipata supermarkets

  • @dorothyjamesnathaniel8047
    @dorothyjamesnathaniel8047 3 роки тому +3

    Asante lwa fundisho zuri Gharama na upatikanaji wa whipped cream pamoja.na kijiko cha kuchotea icecream

  • @nuruabdullah7814
    @nuruabdullah7814 5 років тому

    Asante mungu akubarikie ujuzi zaidi na zaidi tufunze ile barafu ya rambaramba inatengenezwaje pls

  • @virilman818
    @virilman818 2 роки тому

    Yes very nice I made it by following ur tips really it was grt...n easy...thx

  • @princesssmomprincess4934
    @princesssmomprincess4934 4 роки тому +1

    Nice i enjoyed watch and listen easily to learn coz waongea taratibu

  • @janemuha4186
    @janemuha4186 5 років тому +1

    wewe mwanadada wajua ufanyalo kweli... i love your videos.... easy to follow and great outcome

  • @ZaytoonaKarama
    @ZaytoonaKarama 4 місяці тому

    Mashallah tabarakallah very nice

  • @khafsakhafsa3693
    @khafsakhafsa3693 4 роки тому

    Hii recipe ni rahisi sana mungu akubarik

  • @mwanasitihamadizani7091
    @mwanasitihamadizani7091 6 років тому +6

    MashaAllah,shukran mydear nimeipika jana ikalala kwa freezer.Tamu sana👍

  • @zainabsalim6693
    @zainabsalim6693 4 роки тому

    Wow mashaallah mabroukeen

  • @dorroboss
    @dorroboss 4 роки тому +5

    Nice, will try this. Love the background music, would you mind sharing the name of the artist or link to the music?

  • @kukutikka6677
    @kukutikka6677 5 років тому +4

    Asante mwanadada.. sauti yako pia tamu kama hio Vanilla whipped Ice-cream😋👍🏾

  • @nyotanjemaingarayo5384
    @nyotanjemaingarayo5384 6 років тому +1

    Mashaallah inapendeza inatamanisha anti hiyo cream nitapata maduka yepi maana mezunguka mjini Leo sijapta. Nipo Zanzibar au kwetu hamna

  • @fatmatwalib8408
    @fatmatwalib8408 4 роки тому

    Ass...Kum. Shukran sana kutuonesha jinsi kutengeneza askrim.
    Lkn pia ninaswali naomba nisaidie,je naweza kutengeneza kwa kutumia whipping cream ya unga?

  • @EStyle-xf1cb
    @EStyle-xf1cb 6 років тому +8

    Sauti nyororo kweli inabidi nisikize Hadi nikaelewa.asante

  • @leilamahbub9967
    @leilamahbub9967 4 роки тому

    MashAllah am Leila Allah akubariki na akupe maisha ndefu ya ibada na Afya.

  • @MartinKariuki4.20
    @MartinKariuki4.20 6 років тому +8

    You actually used puratos whipping cream, thot i wouldnt work bt it looks good, definitely will try it

    • @luluwanja5697
      @luluwanja5697 4 роки тому

      I was shocked too, i thought it required heavy cream. ill have to try it.

  • @aminatacisse2532
    @aminatacisse2532 4 роки тому +2

    Habari kama hauna machine unaweza tumia blender ama mkono

  • @fatumakarisa5372
    @fatumakarisa5372 4 роки тому

    That's nice

  • @khadijahsalimsalimbbatheif3443
    @khadijahsalimsalimbbatheif3443 4 роки тому

    I am subscribing your chanel

  • @أمفاطمة-ل2ح
    @أمفاطمة-ل2ح 5 років тому +2

    MashaAllah asante, Kwanini kwenye screen video zote naona zinaeleza kimaandishi mpaka inaficha maelezo ya mpishi , lugha nisioifahamu

  • @husnastylist5134
    @husnastylist5134 5 років тому

    I jst had to subscribe mashaaAllah

  • @suleyswaleh5381
    @suleyswaleh5381 4 роки тому +2

    Kaza Suitii kidogooo🤓🤓🤓

  • @شكلاطا-ش5ز
    @شكلاطا-ش5ز 6 років тому

    Asante dada mungu akujalie

  • @twaibahamza3356
    @twaibahamza3356 5 років тому

    Shukran sana mungu akupe

  • @k4dane
    @k4dane 5 років тому

    thank you dear for a simple and easy recipe ... asante sana

  • @jeniffernduku3472
    @jeniffernduku3472 4 роки тому

    Asante Sana kwa mafunzo hayo naomba kujua jinsi ya kutengeneza condensed milk ama naeza Pata wapi

  • @radiyayaakub7987
    @radiyayaakub7987 3 роки тому

    I like it

  • @ttmk627
    @ttmk627 6 років тому

    Aki her voice is so magical...Sauti nyororo

  • @tausimussa7976
    @tausimussa7976 4 роки тому

    Asalamaleku waweza tumia evaporated milk na condensed milk

  • @thefamilyfilms4686
    @thefamilyfilms4686 5 років тому +3

    Mama ebu tutengenezee recipe ya maziwa ya kawaida kwenda kwenye whipping cream..ahsante

  • @kevinohola4783
    @kevinohola4783 5 років тому +4

    😋😋😋 nakula kwa macho

  • @tameemashaa5234
    @tameemashaa5234 6 років тому

    Shukran nimeelewa sana

  • @khadijahsalimsalimbbatheif3443
    @khadijahsalimsalimbbatheif3443 4 роки тому

    Mashllh

  • @hassandre6434
    @hassandre6434 6 років тому +1

    Mapishi rahisi what a voice

  • @THEREZAMAGESA-ll6eb
    @THEREZAMAGESA-ll6eb 11 місяців тому

    Naomba msaada nawezaje tengeneza ice cream for business with profit plz help 🙏🙏

  • @salummbwana2518
    @salummbwana2518 5 років тому

    Mzuli sana ilove

  • @ummuahmad4400
    @ummuahmad4400 5 років тому

    Nzuri MashaAllah. Ungeondosha music tungefurahia zaidi. Shukran.

  • @zenabally4051
    @zenabally4051 10 днів тому

    Yummy❤

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 6 років тому

    that was incredibly simple will try. ila hapo kwa kupiga watuchanganya direct translation...ulikuwa una mix sio kupiga
    thanx for the tip !

  • @chariuqe
    @chariuqe 5 років тому

    Asante. Very simple.

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 5 років тому

    It's very easy

  • @mayusahussein4721
    @mayusahussein4721 6 років тому

    Masha allah habinty shukrani

  • @tausimussa7976
    @tausimussa7976 4 роки тому

    Wawezatumi evaporated milk

  • @updyqanihassan1886
    @updyqanihassan1886 5 років тому +1

    Tnx

  • @khadijahassan3906
    @khadijahassan3906 3 роки тому

    Assalam alaykum mm nauliza je waweza kutumia hata maziwa ya kawaida tu au mpaka utumie hiyo waiping crim

  • @carolirungu6994
    @carolirungu6994 4 роки тому

    Wow it doesn't have much sugar like the others

  • @jamalnassir6823
    @jamalnassir6823 5 років тому

    Wow mashaallah heheh niko na swali naeza onja hiyo ice cream ama wauza pesa gapi cz zafutia

  • @vigezo
    @vigezo 5 років тому +1

    Thanks this is simpler than I thought, asante dada

  • @paulinenapz996
    @paulinenapz996 5 років тому

    Very nice

  • @sarahotieno3472
    @sarahotieno3472 4 роки тому

    You've taught me a lot...trying this soon

  • @rahmaally9945
    @rahmaally9945 4 роки тому

    Nimeipenda

  • @yunisadam8494
    @yunisadam8494 6 місяців тому

    Nimeipenda San

  • @haithamyahya6722
    @haithamyahya6722 4 роки тому +1

    Nimependa saut yako

  • @rithapaul1877
    @rithapaul1877 4 роки тому

    Ahsante sana kwa video yako hii. Je kukoroga ice cream after two hrs, inasaidia nini? Thanks

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 5 років тому

    asante sana Hamisa

  • @saddammasha332
    @saddammasha332 6 років тому +4

    Una sauti nzuri Maasha Allah

  • @munezerowarda4433
    @munezerowarda4433 4 роки тому

    Ninzur san nilikuw naitaj pia nitengenez balaf za ice cream

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 років тому

    Mashaallah..nice

  • @salumabdulla5472
    @salumabdulla5472 6 років тому

    mashaallah ni nzur Lkn vifaaa hatuvielew tuonyeshe vzr

  • @maimunashariffathman2073
    @maimunashariffathman2073 6 років тому +2

    MashaAllah nice. Shukran

  • @hafsaomary4663
    @hafsaomary4663 3 роки тому

    Naweza kutumia whipping cream ya unga au haiwezekani ???

  • @GabriellaZayumba
    @GabriellaZayumba Рік тому

    Naomba kujua condensed milk ni ile ambayo natengeneza maziwa ya maji naweka sukari nakoroga ndo inakuwa nzito ? Na hii whipsy cream ni lazima nipate ya maji au hata ya unga ?

  • @irenelemmy5863
    @irenelemmy5863 2 роки тому

    @mapishi rahisi, whipping cream gani inafaa kutumika?? Nimetumia whipping cream ila nikitia condensed milk inakatika

  • @jescanyakulinga1084
    @jescanyakulinga1084 5 років тому

    Weeping cream nimekoswa je naweza tumia dream whip?

  • @neemammenywa3872
    @neemammenywa3872 2 роки тому

    Ásante nitajaribu

  • @deniskiambuthi1959
    @deniskiambuthi1959 5 років тому

    what are the names of the biryani spices..zile leaves na mbegu mbegu

  • @hafsaomary4663
    @hafsaomary4663 3 роки тому

    Kama sina iyo yavkuchanganyia nawza kutumia blenda ?????

  • @ajfanofly7944
    @ajfanofly7944 6 років тому

    Maa Shaa Allah, siku zote nilitamani kujua hiki kitu jinsi ya kutengeneza. Shukran. Allah akubarik

  • @MazunaCar-hub
    @MazunaCar-hub 7 місяців тому

    Whipping ya poda je, haifai? Nimekosa km iyo

  • @mansourahmzinga5061
    @mansourahmzinga5061 5 років тому

    Masha'allah nimeipenda sanaa'😙😙😙

  • @azizaahmadramadhan2579
    @azizaahmadramadhan2579 2 роки тому

    Assalamu alaykum... Jamanj mi nimejaribu yangu imekua kama imekatika sjui nimekosea wap

  • @johnlevina9420
    @johnlevina9420 4 роки тому

    Na iyo condensed naomba unisaidie kujua

  • @safiaaden2432
    @safiaaden2432 5 років тому

    masha Allah

  • @emanuelmusa9158
    @emanuelmusa9158 3 роки тому

    Ongea saut vzr unAban san pua

  • @eunicesophie1807
    @eunicesophie1807 6 років тому

    Mbona this time hii ice cream una koroga na the one you made with strawberries haukukoroga?

  • @zenajuma5632
    @zenajuma5632 5 років тому +6

    Naweza tumia blender kumix hyo whipping cream

  • @ummytwalha2561
    @ummytwalha2561 6 років тому

    Asalaam aleykum samahan naomba nijuze km nitamtumia dream whip niichanganye na nn ili iwe km hiyo whipping cream

  • @laylahajisuufi3124
    @laylahajisuufi3124 3 роки тому

    Nice

  • @martinvasquez3659
    @martinvasquez3659 5 років тому

    Wow ice cream ang sarap mamaya kakain kami ng ice cream ang sarap niyan ah

  • @maureensuperb1014
    @maureensuperb1014 6 років тому

    So nice dear.. thanx alot

  • @rukiaswalleh801
    @rukiaswalleh801 4 роки тому

    Na sukari haiwekwi ama whipping au condensed milk iko sweetened

  • @firdausgreen1886
    @firdausgreen1886 3 роки тому

    Je! Kama hauna hiyo mashine ya kukorogea waweza tumia nn kukorogea????

  • @rashidkabora1296
    @rashidkabora1296 4 роки тому

    Mbn hukuweka sukari hbbty?

  • @paschalmasanja6499
    @paschalmasanja6499 4 роки тому

    Habar ivi ukisema hikombe viwl ni nn inakuwa cup au na je cup ya mls ngap?

  • @fatmakiraga4016
    @fatmakiraga4016 3 роки тому

    MashaAllah

  • @mourinegervas9726
    @mourinegervas9726 4 роки тому

    Je kama sina icho kifaaa cha kuchanganyia sina naweza changanya na kijiko??

  • @julianasabrere6198
    @julianasabrere6198 4 роки тому

    Km sina mashine naweza kutumia blender?

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 6 років тому +2

    Yummy! Thank you Wajukuu watafurahia

  • @lucymbise1451
    @lucymbise1451 5 років тому

    I tried this jaman,ni rahisi sana.Ubarikiwe

  • @sumiismaelsumi8137
    @sumiismaelsumi8137 6 років тому +2

    Ma Shaa Allah Shukran

  • @salmagulam6619
    @salmagulam6619 6 років тому +4

    Mashallah na hiyo whipping cream inapatikana wap au mpk supermarket

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  6 років тому

      Inapatikana kwa duka za watu wa kuuza vitu vya keki 😊

    • @salmagulam6619
      @salmagulam6619 6 років тому +1

      @@Mapishirahisi asante my Allah hakuzidishie heri uzidi kutujuza mapishi mengi

  • @rachelngatia3753
    @rachelngatia3753 5 років тому

    New subscriber such an easy recipe looks yummy. Love your videos so far

  • @Rosetemba97
    @Rosetemba97 4 роки тому

    Eti condensed milk ninsawa na butter milk?

  • @irenemamito8363
    @irenemamito8363 3 роки тому

    Niraisi sana ila naomba uniambie kwajina lakiswaili ivo vyakutengenezwa vinaitwaje na Kama sina mashine yakuchanganyia inakuaje

  • @zeinabomar1010
    @zeinabomar1010 5 років тому

    Best cook😘😘😘😘

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 років тому

    Mm cjaelewa hvyo vitu

  • @emmacecilia4107
    @emmacecilia4107 5 років тому

    Naipenda

  • @salumbondvivane5197
    @salumbondvivane5197 3 роки тому

    Nzuri

  • @karamakhalid8758
    @karamakhalid8758 4 роки тому

    Nice ice cream