Barnaba - Tuachane Mdogo Mdogo (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,8 тис.

  • @princenewton
    @princenewton 6 років тому +451

    kama unamkubali Barnaba Gonga like🔥🔥🔥wimbo kachana mdogomdogo huuu🔥🔥🔥🔥

  • @kanokhan5687
    @kanokhan5687 6 років тому +20

    Maneno yake yamegusa moyo wangu😢💔
    Tatizo unapopenda moyo unakwa mwepesi huwezi kuvumilia mateso ya mapenzi kitu kidogo unatoa mchozi
    Kazi safi sana bro keep it up

  • @princenewton
    @princenewton 6 років тому +272

    Representing the Republic of Kenya+254 wakenya mko wapi jamani tumpeleke Barnaba mbele

  • @mimah1547
    @mimah1547 5 років тому +111

    Tulio break up tulike hapa jmn tujifariji kidogo. Barnaba i appriciate u broda🔥🔥

  • @laurynnakitare4025
    @laurynnakitare4025 6 років тому +205

    Kukupenda ndo sababu wanipeleka mbio hivyo,nani ebu tuachane mdogo mdogo......team tusongeshe mito na bora uhai mko wapi tuchane hii mdogo mdogo

  • @Its_Elvis
    @Its_Elvis 4 роки тому +93

    The most underrated artist in Tanzania...this guy's a genius💙

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 6 років тому +345

    Hata mimi sikutaka malumbano wala zogo tuliachana mdogo mdogo🔥🔥 yani hii nyimbo imenigusa sana 😢

    • @jamilfuad3736
      @jamilfuad3736 6 років тому +4

      Asha Ally ninavyo kuona nani huyu kakuacha na uzuri waote huo

    • @aminaally93
      @aminaally93 6 років тому +6

      Asha Ally jmn kama me😊

    • @jamilfuad3736
      @jamilfuad3736 6 років тому +3

      Amina ally mm natafta mjane😁🤤🤤😝😜

    • @aminaally93
      @aminaally93 6 років тому +4

      Jamil Fuad 😂😂😂polee maana wajane ndo wamechoka kabisaa 😂😂

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 6 років тому +9

      Amina Ally Saa zingine unaona bora kuepuka malumbano ndugu yangu sasahivi naishi kwa amani sana😂😂

  • @twalebentertainemt7685
    @twalebentertainemt7685 6 років тому +107

    OUUUH... kama tuko pamoja kumkubali BARNABA...ngonga like kwa wiiingi... nice one 4real....

  • @ritamelle6318
    @ritamelle6318 3 роки тому +17

    2021 254 Mpo? Oh my God I love this guy's vocals ..moto sana. Mbona naona kambae waTZ wanam' bwaga sana huyu jamaa, He's so underrated. That piece from 02:58..just wow.."Niliweka malengo nae ameharibu mwenendo penzi kalitia pengo simumunyi siamini".

    • @westcijosh
      @westcijosh Рік тому

      That part was fire i wish was longer

  • @tamimuibrahimu2587
    @tamimuibrahimu2587 6 років тому +54

    Daaaaaaah Barnaba umechinja saaaaaaana humu ndani..!!! Nyimbo tamu mpk nataman kipindi hiki ndo ningekuwa naachana na mbebezzzz wangu. Umechinja sana mwana....

  • @6paprildate11
    @6paprildate11 6 років тому +4

    Huu wimbo hauchuji wimbo ambao unaishi daima Barnabas big up hujawahi tuangusha watanzani kwa nyimbo zako HONGERA SANA

  • @bambili1227
    @bambili1227 2 місяці тому +10

    From TikTok...today ..from Kenya

    • @kelilaxxy9387
      @kelilaxxy9387 2 місяці тому

      Mee too aaaah club timba should get this guy in the list

  • @gozybhenery1597
    @gozybhenery1597 6 років тому +44

    hii ya kibabee sanaa barnaba, one of the best song this year bro

  • @onyangoirene1787
    @onyangoirene1787 5 років тому +7

    I have just discovered another swahili artist after kuchoka na wasafi wanafiki. I like this guy 😘😘😘😘

  • @MrMtulivu
    @MrMtulivu 6 років тому +24

    Barnaba weni mtunzi bora sana hata wenye GUNDU Na wewe lazima waiskilize hii ndoma kiaina aina 2 👌 👌 👌

  • @RashidKilindi-nm4qf
    @RashidKilindi-nm4qf 8 місяців тому +1

    Wale wa 2019 ..tujuane kama bado tunasikiliza ili ngoma..it's nice still catchin up mind

  • @middlesimba
    @middlesimba 6 років тому +209

    Kali sana Hii Bro Barnaba

  • @zawadicharles4651
    @zawadicharles4651 5 років тому +1

    dah pole cna kaka barnaba mungu yupo mpendwa, umenifanya nilie jmn hata mm yashanitokea hyo ya marumbano na zogo

  • @danijafar3677
    @danijafar3677 6 років тому +202

    We mkali hunampinzani hukoseagi brother gonga like kama unamkubali barnaba👍👍👍👍💪💪💪💪💪💪💪💪💪🌴🌴🌴

    • @mellaniabruno9339
      @mellaniabruno9339 6 років тому

      uzuri hanaga kiki kabisa

    • @chazbinna4546
      @chazbinna4546 6 років тому

      i nyimbo imenigusa ni kwel 2achane mdogo mdgo coz m2 ukiachwa gafla2 ivi inauma sana bora muanze kukaushiana kwa kuto2miana text pole pole zen call ivo ivo

    • @alfredmatengo6340
      @alfredmatengo6340 6 років тому

      bigapu nyingi kwako

    • @millyjames3315
      @millyjames3315 4 роки тому

      Eboo kuji bamba aky barnaba umenishika pasipo shikika

    • @nyambulilazaro2740
      @nyambulilazaro2740 4 роки тому

      Atar barnaba unawaliza wloachwa ikiwemo mim

  • @justineelius4972
    @justineelius4972 6 років тому +1

    tuachane mdogomdogo hii nyimbo naipenda sana pia na ujumbe uliomo noma sana barnaba classic jina lako ni sawa na tungo zako nazenyewe pia ni classic👏👏👏👏👏👏

    • @compteofficiel3629
      @compteofficiel3629 3 роки тому

      Bonjour Madame. je préférais pas dis qui suis-je dès le début de mon message.
      C'est avec joie que je remercie chacun(e)s d'entre vous ( MES FANS) pour le soutien que vous apportez à ma carrière musicale. Oui c'est bien moi Barnabar (Auteur-compositeur-interprète
      ) français. j'ai eu cette idée grâce à mon manager vue que c'était un jour mon souhait de discuter avec mes fans , c'est ainsi qu'il m'a poser la question et si tu contactais tes fans qui suivent et qui prennent aussi du temps en me fais des tas de lignes de mots doux , je lui répondit ( Wahou) , c'est ainsi je me suis permis de le fais et je ne reçois que des beaux messages venant de vous les fans, je vous adore les fans. je compte sur vous pour la suite et si vous voulez encore me contacter faite le par mail comme je vous l'ai dit ou essayer d'installer une appli qui se nomme HANGOUTS, en dessous de ce message je laisserai mon adresse c'est pour les deux , je préférais que vous le faite si l'application HANGOUTS, car j'y suis tout le temps. Allez prenez soin de vous.
      Tendre bisous☺
      Mail ; compteofficie882@gmail.com
      L'application Hangouts ; compteofficie882@gmail.com...

  • @veronicakomba2791
    @veronicakomba2791 6 років тому +11

    barnaba is sooo unrated jaman..he always comes with bangers..SEE THIS ONE ANOTHER HIT MPAKA MOYO WANGU UMEPATA MAUMIVU

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 6 років тому

    Governor wa mombasa angeiskia hii.This young man has done a respectable and a fully flavoured video

  • @bakarininga519
    @bakarininga519 6 років тому +87

    Km unaamini kuimba ni kipaji sio ujanja ujanja tuko pamoja ,,,one lv b boy

  • @vanessaurasa8551
    @vanessaurasa8551 5 років тому +116

    Kama unakubali Barnaba FUNDI,like hpa👍👍

  • @mtunecessary
    @mtunecessary 6 років тому +14

    Mzee baba Barnaba Classic wewe ni classic singer with no borders and i would love to see you go far just like you pray for me to be great
    #KisumuPresident

  • @teresiahwandeerah5959
    @teresiahwandeerah5959 3 роки тому +4

    This vibe😘😘😘is lit,,wouuuw (kukupenda ndo wanipeleka,kutwa kutwa wanipeleka)#tuachane mdogo mdogo######It vibrates ur body😘😘😘

  • @elenfedrick4821
    @elenfedrick4821 6 років тому +30

    U will always be da Best😍😘.....sijutii kua fan wako

  • @nattyflamez3
    @nattyflamez3 3 роки тому +29

    2021 still listening to this and shading tears there's no expiry date for this🥰😍gonga like kama u can relate to the song

  • @brownbrown2883
    @brownbrown2883 6 років тому +16

    Barnaba you going to killing some body,sweet song,sweet voice,swagg, i don't understand what your say but i think its 🔥🔥🔥🔥i from Japan Tokyo

  • @dorisbariki2124
    @dorisbariki2124 6 років тому

    Star wangu @Barnaba, kama kawaida kila unachotoa pini. Safari nimeangalia mbali umeniangusha umebadilisha masharti mengi mno ila suruali inaonekana ni moja. Hii ni effect ya kutoa nyimbo kali unatufanya tuirudie rudie kuitazama. Halla😍

  • @maggiekariuki157
    @maggiekariuki157 6 років тому +5

    i heard this song on tv n i swear i couldnt stop dancing... good work Barnaba

  • @lillianmbeke9038
    @lillianmbeke9038 4 роки тому +1

    Nahisi nimeonewa eeh kwa walonifanyia eeh penzi langu bembea eeh wamebembea wengine... I love the lyrics of this song

  • @charlomsanifu2660
    @charlomsanifu2660 6 років тому +9

    254 mi ndo nawakilisha kwanza .... Barnaba ndo noma

  • @MULTNAIRE
    @MULTNAIRE Рік тому

    Nipo kwenye wakati mgumu sana kwenye mahusiano yangu, kila mmoja amechoka na mahusiano ikiwemo mimi pia.
    Tatizo tumezoeana 4yrs tukishare plans za maisha yetu na furaha tutakua nayo baada ya kuaona ila now sidhani kama tutamshinda shetani maana nguvu yake imekua kubwa sana baina yetu.
    Mungu atusimamie na kama aikupangwa juu yetu litokee jambo basi Mungu atuonyeshe..

  • @mamasandra9467
    @mamasandra9467 5 років тому +14

    Strong vocals Barnaba,good range as well!!Kazi nzuri sana kaka,very proud of you!!

  • @haroubiddy5510
    @haroubiddy5510 6 років тому

    Yani mwimbo wa mwaka mana kama umeniimbia mimi siuchoki hongera kwa kazi nzur barnaba tunakupenda we ni noma ujawahi kutuangusha mashabiki zako

  • @mwasaruemmanuel
    @mwasaruemmanuel Рік тому +3

    Great song.. great vocals...2023 still rocks,,much love from Kenya

  • @justyourordinarygurlstephy7259
    @justyourordinarygurlstephy7259 5 років тому +1

    Yaani I had to pause comment and pull up again barnaba nakupenda buree tuu yaaani tangu zile enzi,
    Nliskia hii Ngoma Kwa mix ya matatu and I knew it was u hii apa nimeipata... love from kenya pokea

    • @compteofficiel3629
      @compteofficiel3629 3 роки тому

      Bonjour Madame. je préférais pas dis qui suis-je dès le début de mon message.
      C'est avec joie que je remercie chacun(e)s d'entre vous ( MES FANS) pour le soutien que vous apportez à ma carrière musicale. Oui c'est bien moi Barnabar (Auteur-compositeur-interprète
      ) français. j'ai eu cette idée grâce à mon manager vue que c'était un jour mon souhait de discuter avec mes fans , c'est ainsi qu'il m'a poser la question et si tu contactais tes fans qui suivent et qui prennent aussi du temps en me fais des tas de lignes de mots doux , je lui répondit ( Wahou) , c'est ainsi je me suis permis de le fais et je ne reçois que des beaux messages venant de vous les fans, je vous adore les fans. je compte sur vous pour la suite et si vous voulez encore me contacter faite le par mail comme je vous l'ai dit ou essayer d'installer une appli qui se nomme HANGOUTS, en dessous de ce message je laisserai mon adresse c'est pour les deux , je préférais que vous le faite si l'application HANGOUTS, car j'y suis tout le temps. Allez prenez soin de vous.
      Tendre bisous☺
      Mail ; compteofficie882@gmail.com
      L'application Hangouts ; compteofficie882@gmail.com...

  • @trizahesther8150
    @trizahesther8150 5 років тому +21

    This guy knows what he is doing in the industry 🔥😩

  • @fridamahanyu4049
    @fridamahanyu4049 6 років тому +2

    ahsanteeeee maana wengine wanapenda kuachana kwa ugomvi!i love it

  • @johnotama1049
    @johnotama1049 4 роки тому +6

    Very true, Barnaba is really underrated, yet is one of the few artists across EA who really understands music and good music for that matter.

  • @ezekiafilbert4896
    @ezekiafilbert4896 6 років тому +26

    yaaaan hii ngomaa Baba hanichoxhag jamn nakukubal xna mzee Baba umetixhaaa ❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ichukagaum9732
    @ichukagaum9732 6 років тому +83

    Nani yupo hapa ! Tuachane mdgo mdogo

  • @florencekihika2031
    @florencekihika2031 5 років тому +8

    I love this song. I always play it on repeat. Barnaba this is good stuff. Big up.

  • @rosepiere1857
    @rosepiere1857 5 років тому

    Haya wenzangu tulioachana mdogo mdogo tujuane na tuliwazane na hii nyimbo, Barnaba my life time favorite musician

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 6 років тому +330

    Nani fundi Kama *Barnaba* .!like Hapa .

  • @tallrichie7739
    @tallrichie7739 6 років тому +2

    Dah Barnaba this is lit💥💥💥
    Talanta imekukubali babaa
    Who's still watching this mad tune upto date
    Much love from the 254

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 6 років тому

      Tall Richie habaatishi imagine

    • @tallrichie7739
      @tallrichie7739 6 років тому

      @Glorious kweli kabisa this guy has maad talent

  • @ilawaters708
    @ilawaters708 5 років тому +7

    🌸☺️💋I love you Barnaba and all your music may Elohim always bless you and your family your music moves my soul l feel reborn and l just wanna make love to this song, l love this track so much 🥰Tuachane Mdogo Mdogo🥰 it is my favourite track for 2019, Thank God l found you, l have just bought this track via iTunes Much love from 🌺Susanne🌺 🇬🇧

  • @jamesinguro4124
    @jamesinguro4124 6 років тому

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 brother from another mother huuu wimbo wataifa mana kwa mm umenigusa toka moyoni

  • @chimamychimychimamy8482
    @chimamychimychimamy8482 6 років тому +14

    Napenda sana nyimbo ba it touch me and remaidns what ipass through my guy Yani kama ulikua wamba kama yangu from +254 Kenya love dis song oye nakubali mistari

  • @jeniferlukas7346
    @jeniferlukas7346 5 років тому

    Safi,,nakuombea kila iitwapo Leo,,usichuje Dogo...hongera kwa mdogomdogo,,,unanihusu huu wimbo

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 6 років тому +84

    Hata sisi wakata mkaa tumeupokea vyema huu wimbo yani tupo porini hila kama tupo mjini vileeeeee gonga like hapa mdogo mdogo tufike 254🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Husseinmwanakombo025
    @Husseinmwanakombo025 6 років тому

    Barnaba classic.... Unajuwaa kakaa.... Kichupa kizuuli... Tuachane mdogo mdogo....

  • @happinessnyambita8139
    @happinessnyambita8139 6 років тому +13

    jmn ktk Nyimbo zako zote hii balaa duuuh! hongera sana.

  • @teddyludigija2371
    @teddyludigija2371 6 років тому

    Tuachane mdogo mdgo,na me nikuache mdogo mdgo,yanini malumbano na zogoo😘😘😘unajua mpka co vzr👏👏👏👏👏👏

  • @winnywilson4010
    @winnywilson4010 6 років тому +134

    Kama umeipenda ngoma gonga like comment hapa

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 6 років тому

    Dahhhh hii nyimbo imenigusa mwenzenu kupenda kubaya kwamtu asie jua isia zamwenzie😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ayoubmngarishaji6031
    @ayoubmngarishaji6031 6 років тому +217

    Yaani bro ukienda bank kuomba mkopo weka dhamana huu wimbo lazima upate kiasi chochote unachotaka

  • @akifumuhamed6486
    @akifumuhamed6486 5 років тому +8

    duh hii ngoma kali aixee hivi kuna anae isikiliza mpaka 2019 hii gonga like yako apo

  • @tupokejamley1385
    @tupokejamley1385 6 років тому +17

    Upo vizur barnaba nakupenda bure saut ako ya kipekee mnoo 😍😍

  • @shanyshabany5638
    @shanyshabany5638 6 років тому +1

    Waooo barnaba jaman dua zetu ufike mbalii na kufanya collabo na wasanii wa njee jamn yaan saut yako tu hatarrrrrrr

  • @mackladislaus474
    @mackladislaus474 4 роки тому +4

    Ngoma Kali sana itaishi brooo nan anaaangalia 2020 weka like twende sawa

  • @henryjoseph5703
    @henryjoseph5703 6 років тому

    mwanamke akisha jua unampenda aisee atakupeleka Mimi hela za kusuka mala mbili kwa siku daaa wanawake mungu anawaona tuachane Mdogo Mdogo nice son kaka umenigusa

  • @yunduitumbi4323
    @yunduitumbi4323 6 років тому +58

    I feel like ume express my feelings through this song. 😩

  • @gladmwasaka5914
    @gladmwasaka5914 6 років тому

    Sauti ya kipekee bro nic song...Umenigusaaaa kwa sana Tuachane mdogo mdogo kwa kweliiiiii

  • @ziziladuchess3749
    @ziziladuchess3749 6 років тому +8

    The Song got into my feelings✌🏾big up barnaba all the way🇺🇸

  • @evaglorymmaryevaglorymmary6848
    @evaglorymmaryevaglorymmary6848 5 років тому +1

    Nmijikutaaa nmpenda n yeye😂😂😂😂😂
    Kanyimbo katraaaaamu atwariiii

  • @mwambazuwena3134
    @mwambazuwena3134 6 років тому +8

    Huja wahi koseya kabisaa ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josiahjofrey5224
    @josiahjofrey5224 6 років тому +2

    Watching from Taiwan... #Mdogomdogo.
    Gongs like twende sawa!

  • @brightonvalentino9024
    @brightonvalentino9024 6 років тому +199

    BARNABA4REAL KAMA UNAMKUBALI LIKE YA NGUVU

  • @bargashyaboody4308
    @bargashyaboody4308 6 років тому

    hakuna cha diamond wala alikiba huyu ndo mwalimu wa muziki tz.anajuaaa sanaaa kuliko wotee

  • @sophiajohn8597
    @sophiajohn8597 6 років тому +3

    kaka Unajua Mpaka unakera waonee huruma wenzio maana duhhhh big bigger biggest

  • @gdggghh2052
    @gdggghh2052 4 роки тому

    Kaamaa umeniiimbiiyaa mimiiyeee 😭😭😭😭😭 mapenzii yanaaa niteesaaa mpaakaaa natamaniii niifeee nipumuzishwee mwoooyooo waanguuu😭😭😭😭😭😭😭

  • @georgejonass3510
    @georgejonass3510 6 років тому +12

    njoo kwangu utapata shida barnaba i luv u from morine😘

  • @josephchristian1927
    @josephchristian1927 6 років тому

    Kali sana iyi bro.from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩penda sana barnaba mze wa mapenzi.natamani siku moja nikuone live brother

  • @binkamwanah9498
    @binkamwanah9498 6 років тому +5

    kkh tuendelee kukaza #mdogomdogo🔥🔥 tutatoboa bongo fleva mbele #TzBoyz🇹🇿

    • @shadiashakiru4253
      @shadiashakiru4253 4 роки тому

      Kukupenda ndo sababu wanipeleka daaaa bora kuachana mdogo mdog thanks sana

  • @zachariambasha1391
    @zachariambasha1391 6 років тому

    Bro hii nyimbo imenikuta kipindi ninamajonzi ktk mapenz hakika tuachane mdg mdg. Nyimbo kaliiiiiii

  • @melckmafie7736
    @melckmafie7736 5 років тому +13

    Shimo mwenyewe nililochimba ndo linalonizika daaaahhh bonge ya wimbo, kama unakubali gonga like

  • @shabaniismail2829
    @shabaniismail2829 4 роки тому

    Dah!!! Inauma sana. Mapenzi haya jamani. Yani aliyewahi kuumizwa ndo anajuwa maumivu yamapenzi.

  • @tausak4568
    @tausak4568 6 років тому +5

    Nobody can be like you 💗💗😘😘👉🏻🔥🔥
    Sema hoyooo 🔥🔥🔥

  • @celinanyongole2989
    @celinanyongole2989 5 років тому +1

    Aiseee siku haipiti bila kusikiliza hili song 🎶 🎵 barnaba uko juuu

    • @compteofficiel3629
      @compteofficiel3629 3 роки тому

      Bonjour Madame. je préférais pas dis qui suis-je dès le début de mon message.
      C'est avec joie que je remercie chacun(e)s d'entre vous ( MES FANS) pour le soutien que vous apportez à ma carrière musicale. Oui c'est bien moi Barnabar (Auteur-compositeur-interprète
      ) français. j'ai eu cette idée grâce à mon manager vue que c'était un jour mon souhait de discuter avec mes fans , c'est ainsi qu'il m'a poser la question et si tu contactais tes fans qui suivent et qui prennent aussi du temps en me fais des tas de lignes de mots doux , je lui répondit ( Wahou) , c'est ainsi je me suis permis de le fais et je ne reçois que des beaux messages venant de vous les fans, je vous adore les fans. je compte sur vous pour la suite et si vous voulez encore me contacter faite le par mail comme je vous l'ai dit ou essayer d'installer une appli qui se nomme HANGOUTS, en dessous de ce message je laisserai mon adresse c'est pour les deux , je préférais que vous le faite si l'application HANGOUTS, car j'y suis tout le temps. Allez prenez soin de vous.
      Tendre bisous☺
      Mail ; compteofficie882@gmail.com
      L'application Hangouts ; compteofficie882@gmail.com...

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 років тому +4

    Nia bab Kubwa Best Of the Best Melody...UniqVoice On the beat
    ♥️🙌🏽♥️🇰🇪♥️🔥🔥💥♥️🙌🏽

  • @ankalsuma5815
    @ankalsuma5815 6 років тому

    Fantastic sana namkubal sana baba steve hakika hajawah kosea kwenye ngoma zake

  • @josephokemwa4681
    @josephokemwa4681 6 років тому +7

    Great song. Great voice. Proudly Kenyan.

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 6 років тому

    Huyu jamaa ni fundi tena haswa.hapa chozi limenitoka kwakweli imenigusa na itaendelea kuwa juu mpaka napotea duniani

  • @sharonsanayian4780
    @sharonsanayian4780 5 років тому +9

    🔥🔥Barnaba boy much love from Kenya just can't get enough of this song

    • @compteofficiel3629
      @compteofficiel3629 3 роки тому

      Bonjour Madame. je préférais pas dis qui suis-je dès le début de mon message.
      C'est avec joie que je remercie chacun(e)s d'entre vous ( MES FANS) pour le soutien que vous apportez à ma carrière musicale. Oui c'est bien moi Barnabar (Auteur-compositeur-interprète
      ) français. j'ai eu cette idée grâce à mon manager vue que c'était un jour mon souhait de discuter avec mes fans , c'est ainsi qu'il m'a poser la question et si tu contactais tes fans qui suivent et qui prennent aussi du temps en me fais des tas de lignes de mots doux , je lui répondit ( Wahou) , c'est ainsi je me suis permis de le fais et je ne reçois que des beaux messages venant de vous les fans, je vous adore les fans. je compte sur vous pour la suite et si vous voulez encore me contacter faite le par mail comme je vous l'ai dit ou essayer d'installer une appli qui se nomme HANGOUTS, en dessous de ce message je laisserai mon adresse c'est pour les deux , je préférais que vous le faite si l'application HANGOUTS, car j'y suis tout le temps. Allez prenez soin de vous.
      Tendre bisous☺
      Mail ; compteofficie882@gmail.com
      L'application Hangouts ; compteofficie882@gmail.com...

  • @johnnkwabi7376
    @johnnkwabi7376 6 років тому

    Barnaba we fundi makali yako hayaishi wala kuzeeka🔥🔥👏👏

  • @kauboymtinge104
    @kauboymtinge104 6 років тому +33

    Hiyi nyimbo imetoka kipindi kizury sana kiupande wangu

  • @paulkilewa3362
    @paulkilewa3362 6 років тому +1

    Message sent! Ya nn malumbano na zogo! Tuachane mdgo mdgo🔥🔥

  • @vivianshao3358
    @vivianshao3358 6 років тому +3

    huwa nakuelewa sanaaa kaka... keep it up....lope yhu always...

  • @geoffreycalvin6179
    @geoffreycalvin6179 6 років тому

    Io intro uliyopiga apo mwanzo daah ni nooma afu we braza unapenda sifa cjui unajuaga adi unanikera sasa mdogo wko ili jigoma LA mwaka na nimegoma ustoe tena ngoma uu mwaka kama ndo nyimbo kali ivi mtu ata aukosei aah ndo nn sasa we kila ngoma dude 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @danieljohn3836
    @danieljohn3836 6 років тому +18

    huyu jamaaa ni fundi gonga like jaman

  • @shaabanmohamad397
    @shaabanmohamad397 5 років тому

    aky blaza hii song naicheza zaidi 10 times big up blaza halaaaaaaaa..........

  • @japhariluther1664
    @japhariluther1664 6 років тому +44

    👑🎤🎺🎸kama umenielewa gonga like

  • @pendongowi2031
    @pendongowi2031 6 років тому

    we ni mwalimu kwenye Mziki baaria yaaani nyimbo zako hazichuji Kabxaa nakukubali kabxaa

  • @miss_candy_
    @miss_candy_ 7 місяців тому +32

    2024 anyone?❤❤❤

  • @marmodalianegadolian7147
    @marmodalianegadolian7147 6 років тому

    mmmh barnaba boy nakukubali sana kukupenda ndo wanipeleka sasa tuachane mdogomdogo na mm nikuache yann malumbano

  • @davisdavid6063
    @davisdavid6063 6 років тому +10

    Umetishaa bro huwa ukoseiii! Big up

  • @jejetoyobo1254
    @jejetoyobo1254 6 років тому

    Hatareee Sana mdogo mdogo kama alikuwa anakuona week Mara tatu unapunguza Mara 1 Mara mwezi Mara 1,Mara mwaka Mara 1 mpaka mwisho kimyaaa kabsaaa

  • @luteking
    @luteking 6 років тому +31

    From Washington 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🔥🔥🔥

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 6 років тому

      From Tz to USA

    • @rihanjama1643
      @rihanjama1643 6 років тому

      Lute King From Somali 🇸🇴 lives Minnesota Minneapolis Usa 🇺🇸

    • @rihanjama1643
      @rihanjama1643 6 років тому

      Lute King I love this song 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @luteking
      @luteking 6 років тому

      Rihan Jama don’t love this song but love me plz 🤗